FUPI YA KUSISIMUA: SAFARI YA MVUVI; SIMULIZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ต.ค. 2022

ความคิดเห็น • 298

  • @user-yk6dg4kl3s
    @user-yk6dg4kl3s 5 หลายเดือนก่อน +12

    Yan unaweza ukamuona .anatembea kumbe moyon kabeba mengi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @lucykarii6860
    @lucykarii6860 ปีที่แล้ว +10

    Lkn pamoja n hayo yote yame kutengenezea njia zuri n kuwa n maisha mema badaye n katika maisha haya lzm tupite njia zingine ndio tufie baraka zetu

  • @user-nn7vv2fd7z
    @user-nn7vv2fd7z ปีที่แล้ว +13

    Whaaah!...Ama kwa kweli ni story ya huzuni sana ila nimejifunza ya kuwa umoja wa kushirikiana ni jambo muhimu sana na pamoja na uvumilivu...😢😢😢😮❤

  • @aboudybahmesh5424
    @aboudybahmesh5424 10 หลายเดือนก่อน +8

    Poleni sana napia musiamini watu kiolelaolela vijana musikue na tamaa musilishiriki sana tumbo vifunze shida usijifunze raha wala usipende raha zadunia tafuta haki yako hata km ni kwashida iko siku mungua atakuokoa napia jifunze kumuomba mungu na pia moyo wa kusubiri subira uvuta kheri

  • @annejohn8601
    @annejohn8601 ปีที่แล้ว +10

    😂😂😂😂😂😂😂 huyu ndo voice actor hajawai kukosea mahari much love 🥰🥰🥰🥰

  • @ffed1876
    @ffed1876 ปีที่แล้ว +6

    Kila penye uzito na wepesi unakuja Mola akupe ujasiri na imani pia ila simulizi yk ni bombaaaaa👌❤

  • @sophiamfikwa7340
    @sophiamfikwa7340 ปีที่แล้ว +17

    For sure nimeenjoy ,pakulianimelia 😭🇹🇿🇴🇲pakucheka nimecheka ila yote kwa yote nimejifunza Mengi sanaa hakika Dunia Duara.Asante sana simulizi mix

    • @sarafinahprince4265
      @sarafinahprince4265 ปีที่แล้ว

      Hata mie hapa ila nimejipatia funzo kubwa kupitia hii simulizi .❤❤❤

  • @sammy-b6281
    @sammy-b6281 ปีที่แล้ว +11

    Jay I will all ways take my time for you
    I’m Congolese from USA
    North calorina Charlotte Queen City

    • @SIMULIZIFUPI
      @SIMULIZIFUPI  ปีที่แล้ว

      One love Samuel.. Much appriciating time you spend listening our stories..

    • @RashdMwawanu
      @RashdMwawanu หลายเดือนก่อน

      Ffhg for gaDẞzxxbvvszxzbzxzvxcvzcxxxzZvzXcsczcCxczxxzxadXzdzgcdddsZfccdhszsaadzvvbbbbcbbbxdvxzvvzgfzfsßxffdßZhvsx FS cxzAD1WWWQSDSSR​@@SIMULIZIFUPI

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +14

    Asante sana anko jay , , huwa nafarijika sana hasa ninaposikiliza simulizi kutoka kwako , , kwenye haya maisha tunaitajika kuwa wavumilivu sana hususan kwa ndugu wetu wakaribu, , , Adui sio mtu kando bali ni watu wetu wa karibu

    • @nawarbaby7853
      @nawarbaby7853 ปีที่แล้ว

      Story nzur saaaana inamafunzo, kila mafanikio lazima yawe na story ya misukosuko yuma, 😍😍👍🙏

  • @fatmass6125
    @fatmass6125 ปีที่แล้ว +39

    😭😭😭Tupambane na matatizo yetu na sio kuyakimbia nimejifunza🔥♥️

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 ปีที่แล้ว +2

      Maisha ni magumu sana Njee lakini tumejifunza sote kwenye simulizi fupi hili. Basi ni bora kuliko kubakiya nyumbani na kuanza kujifunza WIZI, maunga na UJAMBAZI.. Tujifunze...na tusiwe na TAMAA..

    • @fatmass6125
      @fatmass6125 ปีที่แล้ว

      @@awatifalghanim1106 nikweli

    • @samsungoman5626
      @samsungoman5626 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 ปีที่แล้ว +12

    Nikweli na mm nimejifunza kitu sanna.
    Napenda sana simulizi km hizi za kujifunza .

  • @Producer_Kabi
    @Producer_Kabi ปีที่แล้ว +5

    Kweli kwenye maisha unatakiwa uwe na subira ndio kitu nilichojifunza asante sana Anko j umenipa somo Mjomba sitokurupuka tena🙏🙏

  • @ashamenza2212
    @ashamenza2212 ปีที่แล้ว +6

    Hongera saaana AANKO JAY

    • @SIMULIZIFUPI
      @SIMULIZIFUPI  ปีที่แล้ว +1

      Asante sana ASHA.. Burudani iendelee

  • @mariamjumamussa9292
    @mariamjumamussa9292 ปีที่แล้ว +8

    Asante sana kaka matatizo haya kimbiwi tupambane tukimuamini mungu usichoke kutupa elimu

  • @patiencembekelu240
    @patiencembekelu240 6 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana Anko J kwa hii simulizi nzuri yenye mafunzo tele, at the same time napenda kumpongeza kijan Adam kwa ujasiri wake,angekua muoga hawangetoboa. So God bls u so much n keep on keeping on🤗

  • @AnnaMukhwana-pf4qr
    @AnnaMukhwana-pf4qr 8 หลายเดือนก่อน +2

    Simulizi safi sana yenye elimu kwa wote ..asanteni sana

  • @nooraahmed6948
    @nooraahmed6948 9 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana storry inamafunzo

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 ปีที่แล้ว +8

    Simulizi nzuri yenye mafuzo kweli matatizo hayakimbiwi

  • @bashirimaketa3559
    @bashirimaketa3559 ปีที่แล้ว +4

    😄😄 anko jay nakukubal mnoo, unajua san, simulizi bhna ukisimulia wew Anko jay Huwa naenjoy mnoo

  • @elickardojjfm6271
    @elickardojjfm6271 ปีที่แล้ว +5

    Good story my brother, ''k''

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 ปีที่แล้ว +4

    Asante mr anko jay
    Kwasimulizi nzuri na yenye mafunzo chem chem

  • @ghm1711
    @ghm1711 ปีที่แล้ว +3

    Nimejirunza mengi kwakweli asante saana Anko jey one ♥ 👌

  • @mariamrashid6880
    @mariamrashid6880 ปีที่แล้ว +4

    Mtihan mzito sana shukran sana msimuliaji Anko Jay na Simulizi Mix yote kwa ujumla waandishi pia hongereni sana kwa kutuelimisha kujifunza na kuenjoy
    Kweli baada ya dhiki ni faraja AlhamduliLLah

  • @swifatsukimtuliaswifatsuki3730
    @swifatsukimtuliaswifatsuki3730 ปีที่แล้ว +4

    Duh pole sana Adam na hongera Sana,🔥😍😍

  • @mwanamisiabdalla5551
    @mwanamisiabdalla5551 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kweli asant anko jay nimejifunza Mungu akubari amn🤲

  • @happygissy7693
    @happygissy7693 ปีที่แล้ว +4

    Mmmmmh!Anko jay hunafarija nikiskia simuliz kutoka kwako🥰🥰🥰🥰🥰

  • @user-sp7ti1ck7j
    @user-sp7ti1ck7j 4 หลายเดือนก่อน +2

    Maisha. Safari ndefu kuna muda nawaza hata kufa. Kuliko mateso haya ya Duniani. 😢😢

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 ปีที่แล้ว +4

    Asante kwa simulizi nzuri Anko J imeniiiza na kunichekesha

  • @carolynejackson4877
    @carolynejackson4877 11 หลายเดือนก่อน +4

    This story is very educative. I like it. 🇰🇪

  • @oman9880
    @oman9880 ปีที่แล้ว +5

    Asante Sana kwa simulizi nzuri 🙏

  • @sososonia1956
    @sososonia1956 ปีที่แล้ว +7

    Anko ni mmoja tu ambay ni Ankojay a.k.a Anko pesa 😘

  • @hassanhawa9954
    @hassanhawa9954 3 หลายเดือนก่อน

    Nime jifunza sana kuteseka siyo kukufa.you are a hero Adam.expriiance is the best teacher ❤❤❤❤❤❤❤😂

  • @ShahrazadSiyah
    @ShahrazadSiyah 12 วันที่ผ่านมา

    "I really liked your work, you are very creative." Keep up the good work!

  • @halimahaji3856
    @halimahaji3856 ปีที่แล้ว +5

    iko poa sana anko j

  • @mwanaally4972
    @mwanaally4972 ปีที่แล้ว +2

    Daaah umetisha xaan anko simuliz nzurii mnoooo daah mung azid kukibariki kipaji chake🙏🙏🥰🥰🔥🔥✌️✌️

  • @rahemarah
    @rahemarah 7 หลายเดือนก่อน +2

    Waaa story nzuri yenye mafunzo walai nimekumbuka mpenzi wangu nilie mpoteza katika mazingira kama haya aki it's too pain😥😥

    • @Princess20011
      @Princess20011 3 หลายเดือนก่อน

      Pouleee kipenz. 😢😢😢

  • @enocksimba5091
    @enocksimba5091 ปีที่แล้ว +4

    Kwa kweli simulizi zako Zinafundisha

  • @user-ro4dc5ob1t
    @user-ro4dc5ob1t 11 หลายเดือนก่อน +3

    Anko jei simulizi ni mzuri sana harafu icho kipaji chako cha usimuliaj yaani sijui ata nikisifie vp

  • @jnsjonas6844
    @jnsjonas6844 ปีที่แล้ว +5

    Daaaah anko j hiii simulizi nimeitafuta xana

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante ANKO JAY

  • @user-cs9mf9rv9t
    @user-cs9mf9rv9t 8 หลายเดือนก่อน +7

    Lífe😢😢😢

  • @user-kl2fg9om5w
    @user-kl2fg9om5w 10 หลายเดือนก่อน +4

    Simulizi nzury ila inauma cna hususan pale kwenye kupoteana na latifa inaliza 😢😢

  • @kevenkeven7381
    @kevenkeven7381 ปีที่แล้ว +3

    Yani iyi simulizi nimejifunza kabisa 🙏🥰🥰 from 🇧🇮🏥

  • @user-uh6og9fj7b
    @user-uh6og9fj7b 7 หลายเดือนก่อน +3

    Eeee kweli ni yakusisimua Daah

  • @khadijangoro9932
    @khadijangoro9932 ปีที่แล้ว +3

    Pole sn ADAM ilipangwa iwe hivyo ili ufikie lengo la kuishi maisha mazuri

  • @piusxinlv5958
    @piusxinlv5958 ปีที่แล้ว +5

    Sehemu iliyo niuma zaidi ni walipo poteana mara ya mwisho baada ya boti kuzama aiseee daaah 😥 nikaisi kama ni mimi ivi nusu nilie 😅

  • @NatashaHope-ot1cw
    @NatashaHope-ot1cw 3 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa simulizi nzuri sana nimejifunza

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 ปีที่แล้ว +7

    Pole kwa safari ya matatizo

  • @jeremayaClassicPhoto
    @jeremayaClassicPhoto ปีที่แล้ว +4

    Kweli matatizo hayakimbiii lkn kukimbia pia kumemsaidia pia ingawa amepitia changamoto nying sn🙏🙏😭😭🤣🤣 nice story 🙏 asntee uncle j

  • @user-nh9ql5fx7s
    @user-nh9ql5fx7s หลายเดือนก่อน

    Nimeelewa matatizo hayakimbiwi lakini Adam niujasiriwake ndioumempa chavu jmn ankoj ni zaidi ya shule ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @shynarpaul6179
    @shynarpaul6179 ปีที่แล้ว +3

    So sad lkn nimejifunza san simuliz nzuri san saf sana ancle J

  • @flomenawanjiru2946
    @flomenawanjiru2946 ปีที่แล้ว +4

    Amakweli ndunia nichugu unapo ifanya chugu lakini ndunia mwalimu mungu akikutaka utapitia yote lakini siku baada ya siku utaagukia mikononi mwa mungu

  • @ZainabSaif-sr9jj
    @ZainabSaif-sr9jj 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika inafunzo kubwa lkn nilichojifunza mungu akupi mtihan pasipo na sababu hiyo ndio ilikuwa njia yk ya kutoka kimaisha asante anko j

  • @AminaSaid-dr8gt
    @AminaSaid-dr8gt 10 หลายเดือนก่อน +3

    Daah imenigusa😭😭😭

  • @MariaMoses-uw7wr
    @MariaMoses-uw7wr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu yup na ww .nijalibu lako umelipita

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 ปีที่แล้ว +8

    Kweli ukikaa kwenye Nchi za watu hata ukae miaka 1000 basi wewe utakuwa ni mgeni tuu...😥😥😥

  • @shaimamabrouk9937
    @shaimamabrouk9937 ปีที่แล้ว +9

    Nimejikuta nalia tuu tunayo yapitia katika safari zamaisha Mungu mwenyewe ndio anajua usiombe yakukute mpaka ufanikiwe sio kazi rahisi

    • @user-yl4zp5qd7t
      @user-yl4zp5qd7t 9 หลายเดือนก่อน

      We acha tuu

    • @SuhailahMuntadhwar-eu4wq
      @SuhailahMuntadhwar-eu4wq 7 หลายเดือนก่อน

      Shukran anko j simulizi hii imebeba ujumbe mzito sana na kupitia simulizi hii nimejifunza mengi sana kukata tamaa ni mwiko subira ni ngumu lkn inamatunda mengi sana

  • @khadijamwatayari5465
    @khadijamwatayari5465 ปีที่แล้ว +3

    Tam sana. hii.asante. anko j

  • @lucykarii6860
    @lucykarii6860 ปีที่แล้ว +8

    Story of encouragement and confidence very interesting. ❤❤

  • @Simbaa342
    @Simbaa342 10 หลายเดือนก่อน +2

    Good man and strong man

  • @malikyashekale8199
    @malikyashekale8199 ปีที่แล้ว +3

    Shukran sana Anko kwa simulizi nzuri yenye mafunzo na kusisimua

  • @MariaMoses-uw7wr
    @MariaMoses-uw7wr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mungu yupo ety

  • @user-sx5tz5cz4c
    @user-sx5tz5cz4c 10 หลายเดือนก่อน +2

    This story its so amazing but other side it's sad again all in all !we have learned something

  • @carolinekasha9396
    @carolinekasha9396 ปีที่แล้ว +7

    Pole Adam kwel umepitia mengi 😪😪but mungu hajawai kukuacha🙏🙏🙏🙏

  • @paulinavessmo35cd4
    @paulinavessmo35cd4 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Anko j barikiwa umenikumbusha kuto kata tamaa kwenye maisha nitazidi kupambana na si kukimbia 👌💪💪

  • @shebbyclassic738
    @shebbyclassic738 ปีที่แล้ว +3

    Dah iko poa sana asee

  • @user-bo4pi8jw6r
    @user-bo4pi8jw6r 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hm Misha haya shida sanaaa

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 ปีที่แล้ว +10

    Inasikitisha ...Yote Nchi zenu Maisha ya TABU..🙈🙉🙊😢😢😢

  • @user-qp3el9cq6l
    @user-qp3el9cq6l 9 หลายเดือนก่อน +1

    Dah! Hv kweli unaweza kupita bila comment kwa story hii hapa! kwa kweli story zako ziko vizur sana dah! imeniumiza lkn imenifunza thanks

  • @user-yl4zp5qd7t
    @user-yl4zp5qd7t 9 หลายเดือนก่อน +3

    Aaaa mwanzo nimeumia nimelia lkn mwisho nimefarijika

  • @user-ho3gv7xj2e
    @user-ho3gv7xj2e 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hii simulizi ni nzuri sana na yenye kufundisha

  • @user-cz6ur2gm6r
    @user-cz6ur2gm6r 9 หลายเดือนก่อน +4

    Super

  • @user-ns7bw5ps9f
    @user-ns7bw5ps9f 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kiukweri vijana wengi au watu wengi tunatamani maisha ya mbele hakuna mtu asiye penda maisha ya majuuu 😂ila sasa tunaenda kwa njia gani 😢daaha hata mimi natamani niishi ughaibuni maisha ya tz 🇹🇿 ya kiwaki sana 😅

  • @sukainamusa4651
    @sukainamusa4651 ปีที่แล้ว +3

    Okubonabona si kufa katonda wabanaku teyebaka sukaina musa ug

  • @HuaweiY-wx7we
    @HuaweiY-wx7we ปีที่แล้ว +6

    Very nice ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @user-je2ml6qv2e
    @user-je2ml6qv2e 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kwel nu nzur❤❤❤

  • @salamabwanamoya8746
    @salamabwanamoya8746 ปีที่แล้ว +4

    Mafudisho makali sana hiyi kweli

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 ปีที่แล้ว +4

    Baada ya dhiki faraja adamu amepata dhiki lkn mungu hatupi mja wake

  • @MariaMoses-uw7wr
    @MariaMoses-uw7wr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Everything is possible Adam

  • @user-yk6dg4kl3s
    @user-yk6dg4kl3s 5 หลายเดือนก่อน

    Mchumia juwan ulia kvulin nipen like zangu

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ok nimepata jibu😊

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr ปีที่แล้ว +3

    Amazing story

  • @carolynekanana7860
    @carolynekanana7860 9 หลายเดือนก่อน +2

    Imenikumbusha kongowea Kwa siku njema.

  • @groveyagroya1280
    @groveyagroya1280 ปีที่แล้ว +3

    Wqkwanza mimi jamn siogop kujaribu yani hata nisikie sehem ni yahatar mm naenda nasema liwalo na liwe haa

  • @SaadaSuleman-mq7xo
    @SaadaSuleman-mq7xo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana ank j nimejifunza sana😭😭

  • @user-fz1cy9xt2y
    @user-fz1cy9xt2y 10 หลายเดือนก่อน +2

    Pore kaka nimeria sana pore

  • @fatimeabuu1308
    @fatimeabuu1308 ปีที่แล้ว +7

    Sijaachwa nyuma kamwe...

  • @Eastern-jz7oi
    @Eastern-jz7oi 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ama kweli mchumi juani
    hulia kivulini.❤❤❤

  • @user-vd7ib3gq3v
    @user-vd7ib3gq3v ปีที่แล้ว +3

    Cimliz nzuri

  • @phillyvibeofficial7151
    @phillyvibeofficial7151 ปีที่แล้ว +5

    Kwangu nimejifunza kukaaanyumbani niuzembe nikutoka tu nakwenda kupambana maswaibu ndio seemu ya mafanikio maaana ata Adam asingepitia ayo asinge kutana na mafanikio tutoke tukapambane akuna mafanikio yanayokuja kilaisi

  • @lucisolomon8537
    @lucisolomon8537 11 หลายเดือนก่อน +3

    Delila was not selfish she wanted Adam to ho home ( to get what he wanted). True love includes not denying others their happiness

  • @emanuelneriwa6619
    @emanuelneriwa6619 ปีที่แล้ว +2

    Jamaika wanazungumza kiswahili au makosa ya mwandishii

  • @MariaMoses-uw7wr
    @MariaMoses-uw7wr 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kwahiyo unamtt na delira Adam hongera

  • @michealjoseph796
    @michealjoseph796 ปีที่แล้ว +4

    Matatizo hayakimbiwi ktk maisha maana yapogo tu sk zote tujifunze kulizika na kitu tunachokipata Kwa mda huo tuvumilie

  • @zenasalum3107
    @zenasalum3107 ปีที่แล้ว +7

    Katik zote nilowahikuckiliz hii ni kiboko haina mwenzake

    • @user-bt9qc1pt5u
      @user-bt9qc1pt5u 2 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisaaa kiboko kweli

  • @MatthewKiwinga
    @MatthewKiwinga 9 หลายเดือนก่อน +3

    aise namejifunza kitu anko sante sana

  • @SakinawalyokaMamafuxokin-dq4vo
    @SakinawalyokaMamafuxokin-dq4vo 8 หลายเดือนก่อน +2

    Delila jamani ❤❤🎉

  • @Reemysidimaojo
    @Reemysidimaojo 4 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭 mungu saidie wtu maisha mangmu

  • @user-kz8ol6un7g
    @user-kz8ol6un7g 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kak we mkaliii sanaa

  • @aishamabelle967
    @aishamabelle967 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kwa simulizi nzuli kama hii