CHID BENZ ALIVYOWASHANGAZA MASHABIKI ZAKE/ DJ CHOKA ASHIKWA NA BUTWAA -
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 มิ.ย. 2020
- #HiviNiKweli #MotownSanya #ChidBenz #NemboYaMtaa
HIVI NI KWELI NI KILA JUMANNE SAA 03:00 USIKU
MARUDIO JUMATANO SAA 08:00 MCHANA
IJUMAA. SAA 04:00 JIONI
JUMAPILI. SAA 08:00 MCHANA - บันเทิง
Wasafi please mu saidiyeni Benzino kutoa iyo ngoma itakuwa kali sana ambao wame kubali iyo ngoma na wana penda itoke tujuwane kwa ma like apa
Jmaa anajua sana
Kabis bonge la ngoma il sio p
L
Toaa ilo ngom brooh
WAKUSAIDIE KWANZA WEWE UJUE KUANDIKA VIZURI, NDO WAJE KWA BENZINO
Anae mkubali chidy gonga like kama zote❤❤❤one love brooh
Like Chidi ever since.....cheki chidi alivyojibu Kibusara na kistarabu... Best ever Rapper East Africa.
This man has extraordinary skills very genius and well talented.. you can see he suddenly changed with vocal synchronised..✴
Chid bro mm ni bro wako, kutoka lamu kenya wallahi naskia Raha kukuona big love bro
Kipindi Kizuri Sn Ila Muwe Na Security Nzuri Maana Ipo Siku Kuna Msanii Anaweza Akapaniki Kutokana Na Mawazo Ya Mashabiki
Kabisa kama kwa yule jamaa wa rasta kidogo amuwakie
Mb a kipindi wameiga Cha ETV kabisa
Acha weye hichi kipindi kimeanza kitambo saana
Wasafi wabunifu saana sema etv ifanye iige
@@kisesalusambo9452 tunaoga na tunafanya kuwaliko, habari ya mjini 😂, penye diamond yuko hakuanguki
Ili Jamaa Jitu Kweli sijui alirogwa na Nani kumamake chidi benzi chumaa 💥
Mwana acha tu mamae
Maisha na mambo yake 😀🙂😃
2024 hapa
huyu mwambaa ni hatari kapandaa na bit hapo hapo mistar hapo hapo eeh bwaanaa respect xna chid benzz♡♡
Anae kubaliana na Mimi chiddy benzi ni genius gonga like
Chizi uyu ila media tu ndo zonimfanya aonekane anaongea point , hamna kitu
Genius gani Sasa....hahahaaa.....wabongo bwana...!
Ismail Yusuph waBongo tunaongoza kwa story za vijiweni 😁, Genius sijajua watu wanauelewa gani kuhusu u Genius .
🎶🎶🎶🎶🎶🎶🙌🙌🙌🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾👍
Explain the meaning of the word Genius.
Bonge la kionjo alie lielewa kama mm like hapo
Benz number moko
Lah family ilala🔥🔥🔥piga keleleeeeeee👏👏👊👊👊👍
Oyooooooo Wasafi hatareeee. With love from Embakasi, Nairobi. Chidi Chuma....... Wacha maneno weka muziki
ONCE A CHIDI BEENZ ALWAYS A CHIZI BEENZ, NAKUBALI SANA HUYU MWAMBA
Mimi ni nani nisidondoshe komenti love wkb
Once Chidi Benz always Chidi Benz
Daaaah yani hapa nimelia yani daah chid so chid go chid talented more than fire
nimependaa sanaa mnavyo mpaa uhuru msanii love this
Dah! Mazee
Chiddi ni mnyama sana, kama unakubali Chiddi kafanya unyama studio gonga like twende sawa
Fundi lumola from DIT product
nakubali MZEE
Lumola wa MUST habiba nakusalimia
Fundi fundi tu
@@habibabintjuma9352 Ahsante Habiba namba yako niliyonayo haipatikani
Naombeni like za producer wadau
Kama unajua unajua tu, CHID BENZ anajua sanaaaaa MUNGU amuwezeshe atoke alipo ila anapishana na hela nyingi sana huyu jamaa
mo town sanya ... wana tulikumis kinouma coz ua the best in street shows..
Chiɗi ɓenziiiiiiino noma mzeeiya
Chidi bana nilipomkubali zaidi kwenye hii video, pale alipotoa sigara akampa jamaa, papo hapo akapiga darasa la madhara ya sigara. NOMA SANA!!!
Hahaaa’ wabwia unga Ndo walivyo....!...Akianza kukuelezea madhara ya unga huku anakusihi usijiingize na ww’ unaweza kujiuliza Kwa nini Sasa yy ANAUBWIA...? ....hahahahaaa...!
Ismail Yusuph sio wabwia unga, watu wote wenye akili walijikuta kwenye ubwiaji wa unga, uvutaji wa sigara ama pombe watakushauri usijaribu hizo vitu kwa sababu ukishaingia hata kama hupendi na unataka kuacha kazi yake sio ndogo. Na hiyo ni kwa sababu hivyo vitu vina addiction strong hatari once you are in you are fucked up!
#SaidAbdallah ....Ah.!...wabwia unga wako tofauti sana juu ya kuasa ‘ hawalingani na hao wanywa pombe au wavuta sigara ‘...!
Kweli kampokonya kabadili adi rahaaaaa
Watu wa sigara tupooo
Chid benz is my favourite rapper since day one.
Ukiaachana na chid, uyo alieedit hii kitu n muuaji wa namna ya flyover.......Daah em ngoja niangalie tna
Hii ngomaa itokee jamn nzur sn ❤️❤️
Uwa sipendagi kucoment ila kwa huyu mwamba ni nyokooooooooo
Nakubalii Xana punch zake
Hii ingekua na Session mbili safi sana. Bugalee na Chidi wangekua na Hiibsession pia ingekua Vema Zaidi
Mimi binafsi CHID BENZ namshabikia toka longtime lakin toka aingie kwenye madawa ikasemekana ameacha simuelewi kunaonekana Kama anatakiwa afanyiwe Counselling arudi Kama zamani kwani hata akifanya interview unaona anatatizo fulan Kama usiriasi haupo.Unakua hicho kipindi nikizuri Sana kinapromo Kali Sana so ndio hivyo
Uyu kuacha madawa ndoto
Ukitaka kumuelewa chidbeenz anachoongea kwanza yafute akirini mwako mapito yake aliyopitia halafu tumia akiri ya kawaida tuu utamuelewa.
@@fatemaligalawa4151 kwann asiweze
Kwani unga mnaona km nini nyie mbona watu wengi tu wanaacha kwanini Chidi
Chidi benzini hatari huyu mwambaa anatisha 🔥🔥🔥🔥 ngoma kali sana
Kusema ukweli chidy anafaa sana kua motivational speaker, anaongea vitu kuntu sana #1♥️
Chidi Benz is one of a kind. The Best Rapper of All Times REAL OG. he is hilarious and serious at the same time Big Up Mo Town Sanya. One Love from +254
Nakubali Kazi alll the way China .... MO TOWN SANYA🔥🔥🔥
Hiyo ngoma ya chid mahabuba aliyotoa ghafla kwa Buga bora aitoe imetulia sana
Mm namkubali chid benz sana 🔥🔥🙏🙏🙏🌹🌹🌹🙅♂️
Very nice wasafi wabunifu Sana kwa vipindi nakupiqien mkofi👏👏👏👏👏👏👏👏
Nakubali season poa Sana 🔥🔥💥💥
RESPECT THE OG CHIDI BENZ ....GREATEST OF ALL TIME ...SALUTE MWAMBA CHUMA
💪💪💪💪
One of the best but not GOAT
Ukweli jamani me huwa nakuja hapa kila baada ya muda kwajili ya kipande icho Cha nyimbo alieimba chidi kwa kweli ni bonge la song
Hakuna mkali wa hip hop kama MNYAMA CHID BENZ KAMA UNAMKUBALI gonga like kama zote timu #CHIDBENZ ALL THE BEST BRO
Jamani hawa wasafi ni wabunifu sana binafsi kuna muda fulani nilikuwa sijawaelewa ila sasa wako juu kwa ubunifu....chidy katisha jamani huyu jamaa ana akili sema basi tu
Tatizonmchezo mwingi
Sanaaaa
Daaaaaaaa nomaa aanaaaaaaaaaaaa
Hiki kipindi sio wanebuni bali wamejiongeza mara ya kwanza naona ubunifu kama huu ilikuwa kwa 50 cent hivyo safi kiasi ila hawajabuni ila wamecopy
Ibrahim Tekelo wamekopi wap
Kumuhoji chidi kazi sanaa
😂😂😂coz anamuhoji muandishi kuliko anavyohojiwa yeye😂😂😂
Yaani kwanza hana uvumilivu wa kutulia kwenye gari anatoka.. Maswali baada ya kujibu ndio anahojii hahahaaaaa chidi hatareee
Nampitishaaaaa
Mkongwe salute mwanzo misho piga kazi one day utarudi na utakaa sawa utasimama mikazo tu
Dah naenjoy mpk Bora kusikiliza wasaf kuliko kusikiliza madem viswaswad wnatia nuksi
Bugaleeee namuelewa kitambo sana. Ni bonge la pro yaan
Kuna chidy benzi m1 tu duniani
Bonge moja la pind.. Big up Wasafi media for the creativity 🔥#MO TWN SANYA 👊
Duuuuuh wasafi tv nyie ni balaaaaaaa chid wew mwisho
Chidi Benz chuma d town stend up👊👊👊
Daaaaaah sauti ya gharama hakuna kama Chid Chid kubaliii sanaaa ❤💝💥💥KINGKONN
Big up nice programme
Wakenya oyeeee 🤣🤣🤣🤣 wapi likes za chidi
Tuupo hatupitwai
Daaah huyu mwamba nomaaa anakiwasha kama zaman aachie hiyo ngoma basii
Daah ngom Kali aixeee fany wasafi muitoe
NO COMMENT.... Wasafi On Top.
Worldwide 🔥
Nakubal sana chid
Acheni masiala WASAFI fanyeni juu chini iyo Ngoma itoke ya Chidi ni kali kinomaa🔥🔥🔥 My love My Hubaa......
benz amalizie iyo ngoma kwa uyo producer tafadhali. It could be a breakthrough kwa uyo producer
Wasafi Mungu anawaona 😂😂😂 hizo head phone ni fire huyo jamaa wa black kauwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka hadi basi
Wauwah kajua kunichekesha 🤣🤣😂😂😂
Heheheee
Mugalee yuko vizuri 🤣🤣nimependa alicho kifanya .kumbe ukijikubali unafanikiwa .gonga like Kama nawe umekubali Kama mmi
Mimi nakuombea mungu ata sigara uwache na pombe love yuo chidi
Dah! Uyo nd Bughalee yan n producer mkali na n ktk maprodiuza ambao nawakubal sn ila ata kumjuwa cmjuw nd nmemuona leo naona yupo very simple, sema now upepo upo kw S2KIZZY na T Touch nd mana kapotea msela..
Motoooooo
Iyo nikweli bron uyu jama bugali nitishiyo kabisa a najuwa kipita kiasi
Thanks for the good job love from 254
🤣sanya wallai uendi mbinguni love you sanya
Jid benzi kiukweli kashuka sana sabab ayo yak anayotumia yamembadilisha anatakiwa ajitambue ili awez kukaa vizur katika gem y mziki big up sana chidi ww n msanii mkubwa ila inabid ubadilike
UPANUE WIGO
kuna baadhi ya marafiki huwa tunawachukulia kawaida kwenye maisha lakini ni watu wa muhimu sana.
Sasa Uyu jamaa w T-shet nyeusi na Nyeupe yenye mistari so Funny 😬😬🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
Chuma kama chuma
Nakukubali sana chid Benz ❤️
NAPENDA SANA NCHI YANGU
Uko kwenye kuimba ngoma ya Darasa aisee Dah😂😂😂😂
Pg
Mtangazaji upooo njema xaaab pamj na brother chid
Og nzuri sanaaaaaa Aiseeee
such a very talented brother.. Chid Go Chid soo...
Kama hawajamaaa wanaifatisha ngoma ya darasa wamekuvunja mbav jua tuko pamoja apa..... 😂😂😂😂😂
Hawa jamaa balaa😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
born talented tayar mwanangu chidi..hata uamshwe ucngzn unao uwezo wakutoa ki2..mwngne aige kama hvo bila kutengeneza ujanja flan kama atatoboa hvo
Jamaaaa ni noma jamaa namkubali long
Amalizie ngoma iyo tunaisubili ni 🔥🔥🔥🔥
Nampenda sana huyukaka jamani benzina 💋💋💋
Umemfahamisha kakufaham jaman
Katishaa sana chid chumaaa
Mwili wa Chid Mashaalha umeanza kurud
Chid kanifurahisha sana
Daaah so funny hiyo ngoma ya darasa, huyo mwenye black
Huyu dj mkali... sanaa Big hilo Jiwe nimelielewa
Kumekucha na chid benz gonga like🤣🤣 twende sawa 27 August 2020
SANYA PINDI LA LEO NIMELIPENDA SANA
Chid bora umerudi mzee baba
Chidi noma
Kaka hikii kipindiii nilikimisi na nilikitafuta na kukitetea sana nailinivunjaa moyoo kilipokuwa hakipoo bora kimerudi
Jaman 👌🔥 🔥 Chafu yaooo NEMBO 🇹🇿💪🏿 YA TAIFA DIAMOND Platinum nimesikia Jina lake mpe talfa yake
Nami nimefurahia kurudi
Chid benzi ni Genius asee
Nimekubalii snaa chidy Benz
Daaah!!! CHID BENZ ni BONGE la mtu jamani, yaani CHID ni BONGE la Rapa East & coast Africa...nimependa jinsi alivyoichafua hiyo Beat hapo Studio.... sijawahi kumchukia Wala kumchoka Chi, Chi, Chi ,Chi, CHID Beeeeenz
Kama umeielewa hii ngoma kama mimi like hapa
Sanaa inakuwaa.mpka raha.
chidy nuxxxxxiiiiii c kwa corus ile hyo jamaa ni hafai🙌🙌🙌🙌
Ile beat studio na vocals next level Audio itamaliziwa?
Kaza bro chid
Hello chidi from UK love sana laka jitahidi
Chidy hiyo nyimbo imalizie usiiwache bonge la ngoma wewe kweli ni noma ndugu
IPO pouwa inaitwa Komando
Oyaa ioo ngoma aitoeee ..producer n nomaaa
Sijawai acha kumkubali chidbenz ni nouuma
Chidi ameua sana aisee 😅 King Kooong...
Darasa uko wapi, walevi wanaimba wimbo wako vibaya 😂😂😂😂😂
Ndio hiyo talk of the Town
Hapo sasa!!!! Unapomzungumzia mwenyewe alafu yupo kwa pembeniiiiiiiii mhmhmhmhmhmhmhh
Nakubalii broo tisha sana chidy