Dakika 10 Za Maangamizi : Chid Benz | Planet Bongo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
  • Chid Benzi ame free style kwa dakika 10 za maangamizi ndani ya Planet Bongo ya East Africa Radio bila kuchoka na kutoa mistari kichwani hapo hapo.

ความคิดเห็น • 766

  • @jumahamza6608
    @jumahamza6608 8 หลายเดือนก่อน +28

    Kama bado unasikiliza hii freestyle 2024 gonga like

  • @YusufuJuma-cm6re
    @YusufuJuma-cm6re 10 หลายเดือนก่อน +33

    2024 unasikiliza hizi dakika kumi likes zihusike umo👉👉👉

  • @qurayshsued2843
    @qurayshsued2843 6 ปีที่แล้ว +230

    Kila cku lazima nipitie hii video kama unamkubali chid gonga like tukae sawa

    • @emeryryan2415
      @emeryryan2415 3 ปีที่แล้ว

      Dont know if anyone gives a shit but if you're stoned like me during the covid times you can watch pretty much all of the latest movies on InstaFlixxer. I've been watching with my gf these days :)

    • @cristianspencer2667
      @cristianspencer2667 3 ปีที่แล้ว

      @Emery Ryan definitely, I have been using InstaFlixxer for years myself =)

  • @hamadtv294
    @hamadtv294 ปีที่แล้ว +41

    Kama yupo anaesikiliza hizi freestyle lines 2023, basi nasikiliza naee....🔥🔥🔥

  • @juniotozman2976
    @juniotozman2976 ปีที่แล้ว +10

    2024 and still one of the best freestyles so far🔥😮‍💨🙌

  • @davidndomba1068
    @davidndomba1068 7 ปีที่แล้ว +54

    hahahahhahahaa chid bhana .....fundiiiiiiii....wanaoponda waendelee kuponda ila ukwel haukwepeki jamaaa...anajua sanaaa

  • @amosnasiali7206
    @amosnasiali7206 6 ปีที่แล้ว +81

    hii ni CHUMA Kweli..CHICHICHICHICHI...hahahaha kali aiseh..jamaa hapumui...kupumua ni after 10mins...+254 tunamtambua CHIDI..kama imefanya ucheke gonga like apa

  • @Mbugokilonda
    @Mbugokilonda 7 ปีที่แล้ว +60

    Mimi nasema hana mpinzani huyu jamaa kwenye frestail, nani anabisha ;;;nakama unamkataa juwa Wewe ni mchawi tu!!!

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 7 ปีที่แล้ว +91

    Uwiiiiiiiiiii
    Frestler techniQue was back again
    Gonga 💗 kama unamkubal huyu techiQuer

  • @ibneidmood4263
    @ibneidmood4263 ปีที่แล้ว +8

    Kama yupo anayesikiliza Free style 2024 basi tupo wote haap

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 11 หลายเดือนก่อน

      2geza tunawakilisha

  • @dangotesam9845
    @dangotesam9845 7 ปีที่แล้ว +15

    Dah! Bila kukaka kimya wala kuchanganywa na beat aisee! I'm happy to see that Chuma is truly back, sober n stronger! You really mean alot to East Africa. Keep it up Mtoto wa Ilala.

  • @nsajigwaelly4843
    @nsajigwaelly4843 7 ปีที่แล้ว +47

    King nimembatiza kuanzia Leo Chidy Benz ndio king baada ya kiti hicho kuondoka na Marehemu MaGwAir Ameamua kumrudishia Mchizi Wake Poa #ChidyBenz #KingofFreestyle100%

    • @venancekalinga3352
      @venancekalinga3352 7 ปีที่แล้ว +1

      Chidbenz uyu ndo la family daresalama standup ana nyota

  • @michaelassenga9240
    @michaelassenga9240 7 ปีที่แล้ว +150

    Hii ndio freestyle bhana, mnaomchukia mkajinyongeeee

    • @kissykennysmatt
      @kissykennysmatt 6 ปีที่แล้ว +2

      Michael Assenga true meaning of FREESTYLE

    • @jemedary6271
      @jemedary6271 6 ปีที่แล้ว

      Michael Assenga true

    • @motto4353
      @motto4353 6 ปีที่แล้ว

      Dk 3:49 amazing

    • @remmychesco533
      @remmychesco533 6 ปีที่แล้ว

      Michael Assenga 0

    • @tumainimalima8112
      @tumainimalima8112 2 หลายเดือนก่อน

      Anaemchukia uyu mwamba ana shida zake ila ana mpinzani uyu mwamba

  • @simonmwangi1057
    @simonmwangi1057 5 ปีที่แล้ว +46

    Niko hapa April 20:2019 nimekuja kuwakilisha +254 🇰🇪 tunakubali sana chid Benz king wa rap true freestyle💯🔥🔥🔥

  • @donprince9752
    @donprince9752 6 ปีที่แล้ว +28

    Kaka sio mpaka ufe ndo wakupe cheo ngwair(RIP),we Ni mkali WA freesyle kuliko wote waliotokea

  • @vahyregan8424
    @vahyregan8424 5 ปีที่แล้ว +20

    Big up chid B' ooooh much love to you. You're the best ❤

  • @benmsonganzila8069
    @benmsonganzila8069 7 ปีที่แล้ว +132

    Linapokuja suala la freestyle, Chidy Benz hana mpinzani kwenye hilo.

    • @obbymlatino6068
      @obbymlatino6068 7 ปีที่แล้ว +8

      Ben Msonganzila iko wazi wengi wanaandika ila chid na ngwear noma

    • @saulmwakyusa1001
      @saulmwakyusa1001 7 ปีที่แล้ว +3

      weeee hanifikiii mda wangu haujafika tu

    • @sakinandoile9439
      @sakinandoile9439 7 ปีที่แล้ว

      Saul Mwakyusa jitahidi

    • @alkindimwinyijr8308
      @alkindimwinyijr8308 7 ปีที่แล้ว

      +Saul Mwakyusa mkundu firimbi huwezi chidy ww matako

    • @tropicalpol1628
      @tropicalpol1628 7 ปีที่แล้ว +1

      +Khalifa Mweusi hujui mana ya frestail wewe huyo ndo kauwaaa mkuu

  • @frankdegang8245
    @frankdegang8245 7 ปีที่แล้ว +37

    daaaah chid balaaaaaaaah...huyo ndo chuma dullah

  • @festontandu1747
    @festontandu1747 7 ปีที่แล้ว +45

    kiukweli huyu jamaa ni noma ana pumzi balaa ila ufalme wa freestyle tulishampa ngwair, chid upo vizuri tunakusapoti broo

  • @josephkingumbi3827
    @josephkingumbi3827 7 ปีที่แล้ว +53

    Chid benzi ameshindikana yan ni non stop ...hahahahah wangeongeza dakika ziwe 15 ili tuendelee kupata radha and that is what we call it freestyle nasio kurudio kuimba nyimbo zisizokuwa namaana

  • @richmontanna7934
    @richmontanna7934 7 ปีที่แล้ว +25

    kenya we blv chuma is da best kwa freestyle salute

  • @mrchefamour1987
    @mrchefamour1987 6 ปีที่แล้ว +35

    Kama bado yupo anaeskiliza hii free style ndan ya 2019 niko pamoj nae...

  • @kibwamoko2207
    @kibwamoko2207 7 ปีที่แล้ว +9

    Haya ndo mambo tunayoyataka katika freestyle, hatutak mashair ya kuandika. Umetixhaaa brother Chid

  • @faugomstaarabu9833
    @faugomstaarabu9833 7 ปีที่แล้ว +111

    Huyo ndio mkali wa freestyle hii nchi akuna kama hyu jamaa

  • @samwelsebastian
    @samwelsebastian 5 ปีที่แล้ว +6

    Freestyle machine!!
    Hiki kichwa kinabalaa dadeki
    Kuna muda inabidi ukweli uwekwe wazi
    #realfreestyle✊🏽✊🏽✊🏽👊🏽👊🏽✊🏽

  • @frankkimani
    @frankkimani 6 ปีที่แล้ว +15

    Thats real free style...Keep up KING KONG!!!

  • @dohabisophicateqatar1742
    @dohabisophicateqatar1742 7 ปีที่แล้ว +13

    chidi mzuri kbsa lkn uraibu maskini mungu amtoe kwenye hilo janga.una weza mzee mzima

  • @YouTuuuuuuube
    @YouTuuuuuuube 5 ปีที่แล้ว +8

    Wakati mnampa mangwea king of free style mm sikuwepo na wala sikushiriki . mm na mpa uyu KING KONG ILALA MABEGANI . ngraaaaaaaaaaaaahhh

  • @arsenemuhindotv4175
    @arsenemuhindotv4175 7 ปีที่แล้ว +2

    oooh my God kumbe ukonamnahivi nimekuelewa Chid b... Leo nimekukubali mkali wangu.😍🎶🎵

  • @johtv9052
    @johtv9052 7 ปีที่แล้ว +7

    Uuuuuuuu n mwambaa kweli dar es salaam bila chid Benz amna ktuuuuu

  • @tummabryan1214
    @tummabryan1214 7 ปีที่แล้ว +32

    Mmi Mkenya huwa nafagilia saana bongo flavour. Kiukweli tangu hiki kipindi kianze cha freestyle dakika kumi,huyu jamaa kachana bila kuangalia simu,kukatika ama kurudia mistari.HUYU BWANA KIBOKO YAOOO...alafu Msodoki anafuata.....hao wengine kina Mr.berry tuuuuuuu!!!!!

    • @damaschriss8432
      @damaschriss8432 6 ปีที่แล้ว

      Tumma Bryan

    • @daudipaskal753
      @daudipaskal753 5 ปีที่แล้ว

      chichichichidy Benz ninoma zaidi ya noma bila kupumua dk 10 nani kama uyo

  • @yjvx
    @yjvx 3 ปีที่แล้ว +14

    Chidi best of all time 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Memes_Swahili
    @Memes_Swahili 7 ปีที่แล้ว +5

    my best freestyler ever,,, uwezo wa kufikiri umepungua kidogo ila umeua sana mzee 👏👏👏

  • @kingpablojr8175
    @kingpablojr8175 5 ปีที่แล้ว +4

    26 dec 2019 still kitu ni 🔥🔥... nani uko anaangalia 10 za maangamizi agonge like!!?

  • @fedrickwilliam1721
    @fedrickwilliam1721 7 ปีที่แล้ว +31

    chid benz is a best freestyle alive in TZ and EAST AFRICA as well, type like if you agree

  • @muhammedkhamis416
    @muhammedkhamis416 7 ปีที่แล้ว +32

    akipoa ndo kabisaaaaa​atakuwa hakamatiki😎🔉🎶🎵📣

  • @geophreyjoseph8737
    @geophreyjoseph8737 7 ปีที่แล้ว +55

    chid benz king of the freestyle in DSM

  • @goodluckmrosso486
    @goodluckmrosso486 6 ปีที่แล้ว +4

    Mungu msimamie huyu kiumbe wako aitendee haki talent yAKE

  • @samsonmasha7891
    @samsonmasha7891 7 ปีที่แล้ว +7

    long live chidi benz number one rapper in bongo yes back in the game no one like this guy

  • @fdkdonard8489
    @fdkdonard8489 7 ปีที่แล้ว +29

    natoka juu mpaka chini kwenye sori

  • @enockngendakuriyo6759
    @enockngendakuriyo6759 6 ปีที่แล้ว +12

    I'm still watching this non stop 2019

  • @frankenock2688
    @frankenock2688 6 ปีที่แล้ว +2

    Reeeeespect brooo!! saaay Kingkongggggg Tz1 , Ebhana wemkali brooo.

  • @boxingvibe9205
    @boxingvibe9205 7 ปีที่แล้ว +13

    DAAAAHHH HUYU JAMAAAA BALLAAAAAAAAAAHHH KWA FREEEEEEEEEE STYLEEEEEEEEEE

  • @gungmic4218
    @gungmic4218 7 ปีที่แล้ว +19

    chid upo vizur mleten rayvan tumsikie na yeye japo anaimba ckuiz

  • @Hb_superboy
    @Hb_superboy 6 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali Sana chid wengine kwenye dakika kumi hua wanakuja wameandika verse kwenye sim big up chid Benz

  • @issaramadhan-bd2su
    @issaramadhan-bd2su ปีที่แล้ว +2

    Jamaa ni moto hakuna mtu anamueza TZ big up man

  • @jumajumanne2736
    @jumajumanne2736 7 ปีที่แล้ว +3

    we jamaaaaaa noma sana dhu allah hazadi kukuepusha na mabaraa ya dunia

  • @enockngendakuriyo6759
    @enockngendakuriyo6759 7 ปีที่แล้ว +10

    King of freestyle in the world

  • @ignasmhagamamhagama5445
    @ignasmhagamamhagama5445 5 ปีที่แล้ว +1

    saruuti kwake chid lud jamani kama naliona la familia🖖🖖🖖🖖🖖🖖🖖🖖🖖🖖✊✊✊👊👊👊👊🖒🖒🖒🖒🖒🖒😀😀😀😀😀

  • @faridapatel8814
    @faridapatel8814 7 ปีที่แล้ว +1

    Kijana mwenye talent. Usirudie kaka wewe ni Bro mwenye roho nzuri sana. Nakuombea6maduwa

  • @mkalaherman2328
    @mkalaherman2328 7 ปีที่แล้ว +9

    Chuma katisha kinyamwezi#toka 254 namuaminia

  • @mtokambali3
    @mtokambali3 7 ปีที่แล้ว +2

    Alipofariki Mkali Albert Mangwair niliumia ila baadae nilimtazama Chid Nakusema Kwamba Free Style bado inaishi. Go go go Chumaaaaaaaaa

  • @rajabjuma4311
    @rajabjuma4311 7 ปีที่แล้ว +3

    shikamoo chidy,daaaah cdhan kama kuna wa kubattle na wewe bro maana kufoka dakika 10 bila kukaa kimya hata kidogo so rahisiii.
    big up bro na karib tena kwenye game binafsi nilimiss sana uwepo wako hahahaa..😂😂

  • @franksylivestar7344
    @franksylivestar7344 7 ปีที่แล้ว +34

    sasa mtu unang'ang'ana uelewe na freestyle huijui! wew kakomae na mduara na taarabu ,wanaojua nini maana ya freestyle tuache na kingkong wetu. saafi.saaaana CHID BENZ CHUMA

    • @mosesjoseph5987
      @mosesjoseph5987 6 ปีที่แล้ว

      .

    • @mwana_afrika
      @mwana_afrika 6 ปีที่แล้ว

      Wanasema2 Lkn hawajui Nn Maana freestyle, chid katish San, wakitak vna vipangwe wakaimbe wao

  • @sharifibrahimu8404
    @sharifibrahimu8404 4 ปีที่แล้ว +2

    The best best best freestly.. Dah jamaa anajua anajuaa

  • @justine_mdogo
    @justine_mdogo ปีที่แล้ว +2

    Ni 12/3/2023. Still on fire
    Ni kipaji kitupu. Ana enjoy anachofanya.

  • @Zarmahshimia
    @Zarmahshimia 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbona rap rahisi tu,nadinda narinda natinga natimba naminya namimba....kuna sehemu kama vile mhubiri🇰🇪🇰🇪King kong🔥

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 11 หลายเดือนก่อน +1

      Daaaah

  • @photoshoptv4156
    @photoshoptv4156 6 ปีที่แล้ว +5

    kama una mkubali CHID gonga like hapa

  • @stiviemshuza446
    @stiviemshuza446 7 ปีที่แล้ว +8

    HIKI KIPAJI HAMNAGA🙌🙌🙌🙌🙌

  • @emmanueldastan9157
    @emmanueldastan9157 3 ปีที่แล้ว +1

    Daah mm ni wagospel lakin tangu 2019 mpaka sasa nachekaga tu kwa hii freestyle

  • @ramadhanimostoni8273
    @ramadhanimostoni8273 6 ปีที่แล้ว +1

    King free style,tumuombee huyu mwana arudi kwenye hali yake,kama zamani,jamaa yupo vizuri sana,ila unawaumiza mashabuki wako kwa jinsi unavyoshindwa kubadilika,chidi unatisha.

  • @issaramadhan-bd2su
    @issaramadhan-bd2su ปีที่แล้ว +1

    Yaani beat zote chindi ameua mbya sana uko juu man

  • @yohanamageta2069
    @yohanamageta2069 2 ปีที่แล้ว +1

    hadi leo sijaona wa kumfunika huyu mwamba kwenye hii show labda arudie tena....ametembea dakika zote bila one two one two....one two one two...bila me in the house...bila say yeeeeyoooo na bila kmachia Dullah kutianeno lolote😂😂😂😂😂....

  • @sedekianjalle3411
    @sedekianjalle3411 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ndo Mkali kama unamkubali gonga like!

  • @ndusirodrigue1405
    @ndusirodrigue1405 6 ปีที่แล้ว +10

    Tanzanian king of freestyle

  • @geofreympwani457
    @geofreympwani457 6 ปีที่แล้ว +1

    No one like u king Kong ww ni nomaaaaaaaaa braza

  • @mohdkassim360
    @mohdkassim360 6 ปีที่แล้ว +10

    Chidi is hip hop monster in Tanzania

  • @solomonwachira133
    @solomonwachira133 6 ปีที่แล้ว +2

    now this is true hiphop freestyle. Chidi anafoka tu...thats hiphop. Kingkong,.,u know how we get down get down parampapaha!

  • @samsonmgelwa1579
    @samsonmgelwa1579 6 ปีที่แล้ว +3

    Respect to yah broo
    Hii ndio maana halisi ya kipaji

  • @musicandfootballfans3368
    @musicandfootballfans3368 7 ปีที่แล้ว +24

    wapi diamond alete zake karangaaa mamaaae wameikataaaaa 😀😀😀😀😀😀😀

  • @bahatimkumbo7298
    @bahatimkumbo7298 5 ปีที่แล้ว

    Much respect to u nilianza kupenda bongo tu sababu hip-hop ilipotea ila saiz toka urudi jembe nimepiga chini wabana pua tupe vitu kitaa kinahitaji saut yako broo

  • @bonephasbenjamin4848
    @bonephasbenjamin4848 7 ปีที่แล้ว +2

    Wowowooooo chichichichiiiiii beeeenziii🔥🔥🔥🔥🔥

  • @milithonabedy7568
    @milithonabedy7568 ปีที่แล้ว

    Akuna rapa atakae kuja vunja hii rekod.kwanza zimepigwa bit nying,kila biti inamistari yake.bila kuchoka bit inatendewa haki no kurudia mistar.mpaka jingo imepewa mistar.kam umeelewa gonga like🎉🎉🎉🎉🎉

  • @husseinkaoneka5834
    @husseinkaoneka5834 4 ปีที่แล้ว

    hyu jamaa kichwa sema tu cjui anayumba wap asee, kila cku lazma niiangalie nikiwa ofisini, gonga like hapa kama unamkubari benz the chid

  • @aproluckas4843
    @aproluckas4843 6 ปีที่แล้ว

    chid brother mistali yako nakubali kiujumla kazi yako naikubali sanaaaaaa chid chid chidibeenziiiih?

  • @sharifibrahimu8404
    @sharifibrahimu8404 3 ปีที่แล้ว +1

    👊👊👊 bado hii ndo best🔥🔥🔥🔥

  • @melecklaizer8958
    @melecklaizer8958 7 ปีที่แล้ว +3

    bro ,respect respect respect ..................weka nolinoliiiii

  • @ramadhanfakh6925
    @ramadhanfakh6925 4 หลายเดือนก่อน +1

    Non stopper 2024🙌🙌

  • @kimukinyau5516
    @kimukinyau5516 4 ปีที่แล้ว +2

    sijawahi juta msikiliza huyu mwambaaa wa chuma 2 by 6 mdabweshiii 51 mturushumbii chwakachaa🔥🔥🔥🔥🔥

  • @farajamwashiuya1804
    @farajamwashiuya1804 3 ปีที่แล้ว +2

    Weweeee benzi benzi tuuu 🔥🔥🔥

  • @masmojree
    @masmojree 7 ปีที่แล้ว +6

    Shikamooooooooo yeeeeeeeeaaaaaah chumaaaaaaaaaaa chidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii king'nkooooooong

  • @ben_madelemo74
    @ben_madelemo74 7 ปีที่แล้ว +2

    Akuna kama chid Tz nzimaa kwaa michanooo bado cjaona mwengnee🔥🔥🔥

  • @ayamukhan1517
    @ayamukhan1517 5 ปีที่แล้ว +1

    Maamaaaeeeee chid nyokoooooo bn had nmelia freestyle

  • @rosieeliahu7720
    @rosieeliahu7720 4 ปีที่แล้ว +2

    Chid hatar,big up zote kwako

  • @nsajigwaelly4843
    @nsajigwaelly4843 7 ปีที่แล้ว +26

    Hamna kama chidy Benz kwa hii fass ya freestyle yaan mpinzan alikua GweAir

  • @sudmdau8441
    @sudmdau8441 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa chid benzi umetisha Sana mkuu ila bangi utaacha lini kaka😂😂😂 mbavu zangu2😂😂

  • @kwataunit8196
    @kwataunit8196 7 ปีที่แล้ว +29

    Kinachoniuma ni kwamba He still Get his Flows,Style ila Uwezo wa Kufikiri Umeshuka ndo maana anaweka Vina lakini hakuna maana, Yani kama Basata wakiangalia wataongeza misamiati mingi ambayo hatujui maana Yake. Tunakuombea Urudi kwenye Ubora wako Bro.

    • @frankdegang8245
      @frankdegang8245 7 ปีที่แล้ว +1

      Kwata Unit freestyle LA msingi vina ..content unaipata unapoelewa maneno

    • @kchood8237
      @kchood8237 7 ปีที่แล้ว +7

      Kwata Unit ....maana ya free styl ni kuchana chochote ambacho mwishono kutakua na vina vinavyoendana na sio kuja na mistati ambayo umeiandaa kabla na kama huamnin tafta free styl za cowbama utaona au wakazi au godzilla

    • @frankdegang8245
      @frankdegang8245 7 ปีที่แล้ว +2

      Drokens Charz hapo child kachana freestyle na hakuna alichokiandika before

    • @twahababu6547
      @twahababu6547 7 ปีที่แล้ว

      Kabisa mzee

  • @rosemangale8177
    @rosemangale8177 6 ปีที่แล้ว +3

    nakukubali sana na freestyle zako chumaaa Chidbenz

  • @henrykiwia4104
    @henrykiwia4104 7 ปีที่แล้ว +3

    chid benzi ni noumer mazee sio kwa kupasuka vile yani jamaa namkubali still he is the king of hop hip

  • @stanslouskings
    @stanslouskings ปีที่แล้ว +1

    Freestyle kwa dakika 10🔥 #HE IS THE REALLY G.O.A.T🙌🏾

  • @nkurunzizarichard7843
    @nkurunzizarichard7843 3 ปีที่แล้ว

    2021
    Bado nasikiliza hiyiii dudee Kong Kong nakubali sana chid

  • @dankirunda5695
    @dankirunda5695 7 ปีที่แล้ว +41

    Hahahaha eti nna sauti kama damuu

  • @edwardnyihande2988
    @edwardnyihande2988 7 ปีที่แล้ว +26

    Nimefatilia dakika kumi za wasanii wengine naona wanarudia nyimbo walizoziimba nyuma ila Huyu Chidy yeye anaimba kitu kipya Kabisa ila anachokosea vitu anavyoimba havieleweki

    • @sihabahussein8940
      @sihabahussein8940 6 ปีที่แล้ว +2

      Sema ww ndio huelewi freestyle kaka hii anga nyingine

    • @sammymanu8496
      @sammymanu8496 6 ปีที่แล้ว +1

      Kumbuka maana ya freestyle... Ni free si lazima uelewe

    • @piereesaimoni1259
      @piereesaimoni1259 6 ปีที่แล้ว

      Ye babaaa

    • @sindebinladeenjr.1551
      @sindebinladeenjr.1551 6 ปีที่แล้ว

      Edward Nyihande...you knw nothing abot mtindo huru bro...!!!

    • @nasibusaid3244
      @nasibusaid3244 6 ปีที่แล้ว

      @@piereesaimoni1259 viedoe

  • @geophreyjoseph8737
    @geophreyjoseph8737 7 ปีที่แล้ว +13

    chumaaaa aiseee we ni nomaaaa

    • @kennysammy1105
      @kennysammy1105 6 ปีที่แล้ว

      Nafikiri Chid benz aliacha ameseti standard waliofuata wte walizingua sn

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 7 ปีที่แล้ว +8

    Africa nzima hamna mtu kama huyu ambae yanamtoka tu na wala hatafuti maneno, kama mtu anabisha amtaje mwengine

  • @danielellyeldanielellyel2281
    @danielellyeldanielellyel2281 7 ปีที่แล้ว +25

    oiiii kka chid mlithi wa cowbama

  • @kennysammy1105
    @kennysammy1105 6 ปีที่แล้ว +1

    Chid benz aliset standard dats free style co wanaogandamiza 🔥🔥🔥🔥

  • @tumaindaniel7907
    @tumaindaniel7907 7 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuelewa sana chuma hii ndio mitindo huru sio wengine wanaangamiza kwa nyimbo walizoandika king Kong noma sana

  • @nchamanchama4912
    @nchamanchama4912 5 ปีที่แล้ว

    Chidiiiii salute.... Huyu jamaa hata dakik 50 anaenda bila kupumzika

  • @kiandikokimomwe1776
    @kiandikokimomwe1776 6 ปีที่แล้ว +2

    I would like you to look in his passion to the freestyle.though some of the words are not well spelled.and some hazina maana.
    This guy needs to get back to his place. But its just hajapata management ambayo aliipata kipind akiwa kweny peak.
    Freestyle--100% i give you #chidibenz
    You the king.
    KAMA CHUO TWENDE VETA.🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤