"Ondoka kwenye MSAFARA wangu, kalipe Deni kwanza" MAKONDA amuondoa MKURUGENZI kwenye msafara(1)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @bonifacekapesa8942
    @bonifacekapesa8942 6 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda mimi nipo Zambia nakufatiria kazi yako upo aswa wajibisha wahuni hao

  • @user-by3gh6mr1i
    @user-by3gh6mr1i 6 หลายเดือนก่อน

    Mdogo wangu makonda unafanya kazi ya kurejesha heshima ya chama mungu akubariki sana we mpamabanaji usie na mfano unanikumbusha mzee magu arifanya haya kwa wanyonge mungu azidi kukubariki mdogo wangu kwa kuturetea heshima ya chama

  • @Imaniamockgmail
    @Imaniamockgmail 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde mheshimiwa PAUL MAKONDA!🎉😅💚🇹🇿

  • @goodlucknnko5493
    @goodlucknnko5493 6 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda, unafaa sana kiongozi

  • @Imaniamockgmail
    @Imaniamockgmail 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mheshimiwa Kwa kazi nzuri jamani nimejikuta nachela peke yangu ubarikiwe kaka😂🙏💛🇹🇿

  • @nassibu-hy5ny
    @nassibu-hy5ny 6 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda unachokifnya Kwa watu hawa wanyonge ardhi na mbingu zinaona miti na ndege zinashuudia mwenyew mungu na akulipe makonda

  • @elipidhugotesha1909
    @elipidhugotesha1909 6 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉makonda.had Raha piga kaz.baba

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 6 หลายเดือนก่อน +1

    Rais makonda

  • @estameryngogo594
    @estameryngogo594 6 หลายเดือนก่อน

    God bless you Makonda

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hivi ni kwa nini wakurugenzi wanajisahau, utafikiri wamerogwa, wote sampuli moja, waache unyanyasaji, cheo ni dhamana, waache ujinga

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 6 หลายเดือนก่อน

    Good ,god bless you

  • @user-gy5pb9ep1p
    @user-gy5pb9ep1p 6 หลายเดือนก่อน

    Tunatamani Paul Makonda uwe Raisi wetu Mungu akufikishe hicho cheo ukifikie tunafaike nipo Pemba

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kuchukua chukua ndio nini sasa wakae pembeni waende wapya ambao wako Seriously na Majukumu yao shida vimemo wanao teuliwa na wanao ajiriwa

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa wewe DC gani uyo adi uelekezwe na Mhenezi duh kweli vihiyo wateule wa Rais!!DC ingia feridi mwenyewe jombaa amka mapema anza kwenda mahospitali kwa kustukiza😂chukua gari lako binafsi

  • @bongemzito6398
    @bongemzito6398 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe hiki cheo ni kikubwa selikalini.mi nilizani kwenye Chama tu

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naona hicho cheo cha ukurugenzi kiondolewe

  • @mailisagaswe1544
    @mailisagaswe1544 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi wskuu wa mikoa na wilaya wako wapi? Kwanini hawaendi kwa wananchi kusikiliza kero zao na kuzitatua Jambo hili linasikitisha Sana

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ulinzi wa kutosha uju jamaa anatakiwa kupewa kabisa

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wakurugenzi wanajifanya miungu watu kwenye maeneo yao ya utawala, wana nguvu sana, why?

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 6 หลายเดือนก่อน +1

    Bora serekali.iwe kila mda ipitie kusikiliza kero ya wananchi dhulma nyingi bila wakuu kusikil8za huku dhulma nyingi na rushwa wafukuzwr walio bainika na rushwa hv watakoma.

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wazee waache kulalamika, madaktari km dawa hazipo wapewe nini? Daftari atoe pesa zake mfukoni? Madaktari mwandie Makonda aiulize serikalini wazee wanalalamika kukosa dawa, serikalini iwajibu namna ya kuwasaidia pale dawa zinapokosekana.

  • @deusmbalazi2962
    @deusmbalazi2962 6 หลายเดือนก่อน

    Njoo tunduma huku kuna shida watumishi huku shida tupu.

  • @OdiloMagungu-uf5is
    @OdiloMagungu-uf5is 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi ni siasa za hovyo kabisa na za kishamba

    • @AjiaMohamed-rt5pb
      @AjiaMohamed-rt5pb 6 หลายเดือนก่อน

      Unatakaje ss siasa za aina gani mbulula ww

    • @cyliruta5021
      @cyliruta5021 6 หลายเดือนก่อน

      Ww siasa zako nzuri umefika wapi???😊

  • @staffordsilwimba7989
    @staffordsilwimba7989 6 หลายเดือนก่อน

    Wakulipe wajina

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi ni kwa nini wakurugenzi wanajisahau, utafikiri wamerogwa, wote sampuli moja, waache unyanyasaji, cheo ni dhamana, waache ujinga

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 6 หลายเดือนก่อน

      Sasa kama hana pesa atoe wapi? Wewe unacheza na siasa hao wanafahamiana wote ni wateule wa Rais ni wazee system
      Na mwenye mamlaka ya kumtengua ni Rais na sio mwingine