MAKONDA amwaga MACHOZI nyumbani kwao Mtoto ALI HAJI familia yaangua kilio, Rais SAMIA kuwajengea

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 326

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 6 หลายเดือนก่อน +28

    Dah Namuona magufuli kabisa aisee makonda Mungu ambariki aisee

    • @user-co2ed6dj6p
      @user-co2ed6dj6p 6 หลายเดือนก่อน

      Umeongeaa bro

    • @user-yz5ql2mq7l
      @user-yz5ql2mq7l 6 หลายเดือนก่อน

      😭🤲🤲 kilio chetu mungu amekisikia kwa kuondokewa na magufuli. Ameleta jembe tena 🙏🤲

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 6 หลายเดือนก่อน +13

    Kweli Muheshimiwa Makonda na Dr Samia Suluhu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿, mnafanya Kazi nzuri sana. CCM juu juuu juuu sana.🌹🌹🌹🌹🌹🙏🏻🙏🏻🙏🏻💚💚💚💯👍🏽👍🏽

    • @nyembomajid1262
      @nyembomajid1262 6 หลายเดือนก่อน

      mama samia Hawa ndo watu unaweza tumika nao serekalini hiyo ni timu lamzee magufuli

  • @katamdouglas7716
    @katamdouglas7716 6 หลายเดือนก่อน +10

    God bless you President Samia and your entire team. Good Job...Good leadership. My you never lack..from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @user-ro4ib5bb8u
    @user-ro4ib5bb8u 6 หลายเดือนก่อน +10

    Mama rais wetu hongera Sana,Allah akuzidishie

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 6 หลายเดือนก่อน +12

    Umaskini mbaya sana,mawaziri wetu na wabunge,jipunguzieni mahela mnayoĺipwa guseni maisha ya maskini sisi jamani😢

    • @jamilamahanyu3851
      @jamilamahanyu3851 6 หลายเดือนก่อน +1

      Thubutuu 😢 nani wabunge? Labda magufuli afufuke wenyew hapo wanaomba waongezewe posho maisha magumu

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@jamilamahanyu3851inaumaa sana basi tu😢😢

  • @TajielMahega
    @TajielMahega 6 หลายเดือนก่อน +8

    God bless our President Samia
    God bless you Makonda

  • @kingelieshabani7235
    @kingelieshabani7235 25 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa yote mweshimiwa MAKONDA nakosa laki sema ila Mungu ana juwa yaliyo mbele.ELIA SHABANI toka Congo DRC

  • @user-vk7ly7nk3o
    @user-vk7ly7nk3o 6 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda unafanya watu tuhisi baba yetu yupo hayat magufuri nahongeara mama yetu mama samia kwaupendo wake huo Mungu awabariki zaidi kazi yenu ninjema sana mikawe mifano kwaviongozi wengine 🎉🎉❤

    • @VenerandaKundi-ph4hg
      @VenerandaKundi-ph4hg 6 หลายเดือนก่อน

      Yaani namwona hayati magufuli ndani ya makonda pia mama yetu mheshimiwa mama Samia ana maono ya mbali ni nabii mungu Asante Kwa ajili ya watumishi wako maana maandiko matakatifu yanasema mungu ndo hutuchagulia viongozi wa kutuongoza

    • @alexvenas2699
      @alexvenas2699 6 หลายเดือนก่อน

      Mimi narudia Tena mama Samia hongera sana kwa kumleta huyu mwamba.

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 6 หลายเดือนก่อน +5

    Kwa hakika ziara ya makonda imetufindisha mengi kiasi gani waku wa mikoa wilaya na wakurugenzi hawawajibiki kuna uzembe wizi ea mali za uma nahaki kutoka polisi mpaka mahakama hususan haki za wanyonge mama samia fuatilia kwa karibu ziara ya makonda utaona uozo wa watendaji wako pole mama kazi kubwa unayo

  • @GamanielKatani-nw8ll
    @GamanielKatani-nw8ll 6 หลายเดือนก่อน +4

    Daah nimeshindwa kujiziwia nimejikuta machozi yanamwagika la kusema jemedari wetu makonda hakika wewe na mama samia mungu anawaona Kwa mama kulia hivi mungu awabariki mara tilioni

    • @bornifacecharles2
      @bornifacecharles2 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika kwahilo mtu huwezi kujizuia

  • @iddishekomba8067
    @iddishekomba8067 6 หลายเดือนก่อน +7

    Mama mungu akulinde akupehekima na na busara pia uzidi kutusaidia wa nyonge

  • @elebencoltd8649
    @elebencoltd8649 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu unaishi milele yote 🙌🙌🙌🙌Asante Yesu kwa kuwa umeikuza ahadi yako kuliko Jina lako 😭Nimelia sanaaa

  • @user-ns7xn9or9o
    @user-ns7xn9or9o 6 หลายเดือนก่อน

    Paul makonda mwenyezi mungu akubariki kwa kazi unayoifanya kwa chama pia mungu ambariki mama yetu Rais wetu samia kwa kukuchagua wewe kusimamia chama.Mungu ibariki hiyo familia iliyopitia changamoto kupitia alihaji familia imebarikiwa.woote waandishi wa habari kwa kueneza video na picha mungu awabariki kazi yenu ni kubwa.😊

  • @tatutumbi4640
    @tatutumbi4640 6 หลายเดือนก่อน +7

    Rais Wetu Mama Samia. Mungu Akupe Yalo Mema Mengi. Mungu Alimtuma Alli , Aende kwa Makonda, ili Uwepo Wake Uonekane. Mbarikiwe Sana.🇹🇿

    • @ahmedhamis
      @ahmedhamis 6 หลายเดือนก่อน

      Mbarikiwe kwa kuonesha utu na huruma kwa kijana huyu

  • @silasteven3929
    @silasteven3929 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana rais wetu Samia tunafahamu wewe ni mpango wa mungu kuwepo katika kiti Cha urais watu watakuelewa2 mdogo mdogo kazi iendelee binafs nimekuelewa

  • @JoalAlma-ci1hi
    @JoalAlma-ci1hi 3 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda saan kaka kwakweli unajitoa saan kaka ufanyii kazi tuu unafanyia kutoka moyoni kabisa

  • @nkirwapeter4579
    @nkirwapeter4579 6 หลายเดือนก่อน +10

    Da?nimelia bila kutaka Mungu akulinde Makonda

    • @cleversalbaba-em4jf
      @cleversalbaba-em4jf 6 หลายเดือนก่อน

      Tuombe sana makonda anasimamia kusudi la Mungu juu ya taifa letu

  • @delickmarco3945
    @delickmarco3945 6 หลายเดือนก่อน

    ❤Mungu anatenda kazi kupitia viongozi Mungu mbariki rais Samia mnoo na makondo ukweli wakumbukeni wanyonge niwengi wanamaumivu taji zenu zitang'aa mbinguni Amen

  • @user-sg6iy4kv4y
    @user-sg6iy4kv4y 6 หลายเดือนก่อน

    Inahuzunisha sana mungu akubarik rais samia kwa uono wako wa kusaidia wanyonge kama hawa malipo itayaona hapapa duniani ww na makonda huruma hii uo niuongozi uliotukuka

  • @geraldndila5172
    @geraldndila5172 6 หลายเดือนก่อน +19

    Mpaka nimetoa machoz , mheshimiwa rais nilikuwa nakuchukia sana, lakin kupitia ziala za makonda mwenezi wa chama Cha mapinduzi CCM nimekuja kugudua tunakuchukia kwasababu yawatendaji wako huku chini nisamehe sana rais wangu fuatili kilip hizi za mwenezi utagundua nani au niakina nani wanasababisha tukuchukie , wasaidie watu mama , wanateswa sana nabaadhi ya viongozi wako

    • @Officialjidaa-sn9cs
      @Officialjidaa-sn9cs 6 หลายเดือนก่อน

      Kabisaaaa Leo umeongea point

    • @saimongilala8938
      @saimongilala8938 6 หลายเดือนก่อน +2

      Mama yetu mpedwa watu wako wa chin wagekuwa kama makoda taifa lingekuwa mbali sana

    • @mohamedmagongo9348
      @mohamedmagongo9348 6 หลายเดือนก่อน +3

      Nukuu moja ya Mwalimu JK Nyerere inasema "Watetee Wanyonge hadi waweze kujisimamia wenyewe." Huyu ndiye Baba wa Taifa hili na alikuwa akisisitiza kuwatetea Wanyonge kwani Wanyonge ndiyo sauti ya Mungu.

  • @gaushehbshshehe3830
    @gaushehbshshehe3830 6 หลายเดือนก่อน

    Hello makonda from all meet the people tour theres no touching issue than this God bless u and madam president i could not control my tears

  • @pascalinamabena1442
    @pascalinamabena1442 6 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia Rais wetu tunakushukuru sana kwa upendo wako mkubwa na msaada ulioutoa kwa familia hii.Asante sana mama yetu umeiinua familia hii mwenyezi mungu azidi kukubariki akulinde ktk uongozi wako pamoja na familia yako Ubarikiwe mno .

  • @devothajonathan747
    @devothajonathan747 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mashavu yangu yamejaa machozi ya furaha, hakika wewe ni Mungu mwaminifu. Makonda Mungu aendelee kukutunza kwa unavyomtumikia

  • @user-fc2nw3ho7r
    @user-fc2nw3ho7r 6 หลายเดือนก่อน

    Hakika ni nimetokwa na machozi ya furaha,Makonda Mungu akujaze nguvu,Mama Samia Mungu akubariki sana

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 6 หลายเดือนก่อน

    Raisi wangu hongera sana sana. Na kumchagua Makonda Mungu alikuongoza.

  • @omarmussa5755
    @omarmussa5755 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe ulinzi na wepesi Mh Makonda, naomba uendelee kuiangalia iyo familia, watumishi wako wasitumie kama fursa ya kujinufaisha wao binafsi.

  • @fatmaalhabs6939
    @fatmaalhabs6939 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ampariki makonda na raisi samiya duu tuko oman tunafatilia sisi wa omani tupenda kazi nzuri mnayo ifanya

  • @bishopkulwajz209
    @bishopkulwajz209 6 หลายเดือนก่อน

    Rais wetu Dr Samia Moyo huo ni moyo wa kiongozi anayejali,kwa tendo hili la kuikumbatia familia masikini hii umeugusa moyo wa Mungu,naomba Mungu akutunze na kukupa maisha marefu yenye baraka.

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda mungu atakubaliki sana. Haya we mwanaume unajisikiaje huko uliko kwa kutelekeza watoto,unaona alichofanya Mhe Samia na Makonda?Wanaume wenye tabia hizi chukueni somo hilo.Rais wangu Mungu akuzidishie na akupe maisha marefu.😭😭😭🙏🙏🙏👍👍👍

  • @modestamakoye9319
    @modestamakoye9319 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nimelia nakupenda Makonda sijawahi ona BAYA kwako namuombea nyota yako izidi kung'aa wewe ni hazina ya Watanzania ❤❤

  • @emmyurio7735
    @emmyurio7735 6 หลายเดือนก่อน +3

    Be blessed mama samia Mungu akubariki na kukulinda

  • @user-hq6ld1yw7z
    @user-hq6ld1yw7z 6 หลายเดือนก่อน

    Daaah noma San Allah ibariki hii familia hasa huyo mtoto ana akili San na upendo mkubwa sana na familia yake vitu alivyofanya kwa umri wake so swala dogo umubariki pia rais wetu mama samia kwa kujitoa kwake makonda big up San

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mheshiwa raisi wetu unajua mama unajua matatizo ya wamama pia asante Kwa kumchangua makonda tunaona utumishi wake kwa watanzania barikiwa❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-br7sf6ey9t
    @user-br7sf6ey9t 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu nimkubwa aseee❤❤ nashukulu sana prezdenty wetu kiukwer ukuniangusha moyoni mwangu niliombea ufanyeivi akika mamasamia wewe nimtume wamungu kabisa umeguswa kama ambavo nilivyoguswa asee mungu akulinde kwa mabaya mama vizuri viwevyako ❤❤❤❤❤

  • @halimandinde2853
    @halimandinde2853 6 หลายเดือนก่อน

    Rais samia mungu akupe maisha malefu kwa moyo wa upendo kumuchagua makonda kusaidia wanyonge makonda mungu akubariki sana

  • @user-qd8hr7py3b
    @user-qd8hr7py3b 6 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulilah samia congratulations na makonda wake🎉🎉🎉🎉

  • @carolinenjiro41
    @carolinenjiro41 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yesuuuuuuuu wangu nimelia nimeshtuka Mungu azidi kuwatunza Samia na makonda

  • @charlesmoremi7262
    @charlesmoremi7262 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa mbinguni jina lako litukuzwe milele. Wabariki wote waliogusa familia hii. Naomba nami unijalie uwezo wa kusaidia wenye uhitaji. Amina😭😭

  • @directordelpierrofilmz
    @directordelpierrofilmz 6 หลายเดือนก่อน

    Huku Congo tunasikiya wengine wa tanzania wakisema vibaya Mama Samiya kumbe ni mutu mzuru sana Mama samiya mungu akubariki pia nawewe makonda ubarikiwe zaidi kwa sasabu unafikisha ujumbe bila uizi.

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ibariki tanzania...
    Nimelia pamoja na nyinyi familia

  • @charsmchomvu5679
    @charsmchomvu5679 2 หลายเดือนก่อน

    Yanii Mungu akubariki sana mibaraka isipunguke kwako Bali ikafurike kama maji ya Baharini.

  • @Bquality
    @Bquality 6 หลายเดือนก่อน

    Sijawahi kulia TH-cam aki leo nmelia sana daaah..barikiwa sana mungu awaweke duniani maagizo yalio tolewa yafanyike kwa uwaminifu ...

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 6 หลายเดือนก่อน

    Mumy Rais wangu nakupenda sana sana uendelee kubarikiwa, naiman ipo siku nami nitafikiw tuu kupata kazi

  • @luqmanalbahrey9893
    @luqmanalbahrey9893 6 หลายเดือนก่อน +1

    Age does not make a man but responsibility do.....respect to this little soldier

  • @user-pt1sc4hc1k
    @user-pt1sc4hc1k 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana makonda Mungu akutunze

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 6 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia,mhe Rais wangu/wetu.Hakika unatutoa machozi sana mhe Rais kupitia kiongozi bora na mwenye mapenzi ya watu napia watanzania.Mama Samia nakuomba mtunze sana mhe Paul Makonda maana mengi mazuri tutayapata watanzania kupitia huyu kijana.Paul

  • @user-mb6kb6kc1z
    @user-mb6kb6kc1z 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi namshukuru mungu kwakutupa mama mwenye huruma anayejali maisha yawengine wenye uhitaji mungu akupe miaka mingi Zaid mama naakulinde namabaya Asante mama

  • @merihabibu2493
    @merihabibu2493 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana p makonda upige mwiz kusaidia wanyong mung akuo maisha marefu yeny furah tel na mafanikio

  • @SalmaSaid-fj5fq
    @SalmaSaid-fj5fq 6 หลายเดือนก่อน

    Thanks Mama President kwa kumuenzesha Al Haji

  • @emmanuelmahala7059
    @emmanuelmahala7059 6 หลายเดือนก่อน +1

    Aisee hongeraa rais kwa hili pia makonda endelea baba kuibua changamoto ktk nchi hii kuna watu wanapata shida hongera sana

  • @user-vk7ly7nk3o
    @user-vk7ly7nk3o 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kila upigapo hatua Mungu akutangulie baba ❤❤

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 6 หลายเดือนก่อน +1

    Du uyu mtoto mungu amembaliki Sana ,,Kila la her,,na raisi ubarikiwe pia

  • @twahakamugisha6213
    @twahakamugisha6213 6 หลายเดือนก่อน

    Niko Uganda nafatilia namna unavyo Fanya KAZI(BWANA)siku moja tutakuta mungu akubaliki.

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah kaka makonda anafaa kuchanguliwa raisi mi nampa kura nampenda anafanya Kazi nzuri ❤

  • @mwajemwafula5777
    @mwajemwafula5777 6 หลายเดือนก่อน

    Nyuma makonda Kuna upako wa kweli mama Samia kazi yako inaonekana

  • @user-et4ny5gj3p
    @user-et4ny5gj3p 6 หลายเดือนก่อน

    Nimelia kwauchungu wallah.Mwenyezi Mungu awajalie Mwenye kiti wetu wachama Taifa na Katibu wetu upendo iendelee nakazi mzidi kufanya

  • @ip_header
    @ip_header 6 หลายเดือนก่อน

    Hakika inatia Faraja sana kuona Kiongozi wa nchi anajali watu wahali ya chini, Kudos kwa Mama Samia.
    Hongera kwa Makonda kwa utendaji wa hali ya juu, hakuna binadamu asiekosea, kikubwa kufanyiakazi pale unapogundua umekosea

  • @agnesssalali3262
    @agnesssalali3262 19 วันที่ผ่านมา

    Wallah nimejikuta nalia km MTT Mungu si mama Na hii family

  • @neemabright3635
    @neemabright3635 6 หลายเดือนก่อน

    Dah 😢😢😢 inaumiza sana kaka yetu Makonda ubarikiwe sana... But Kuna lakujifunza hapa watendaji hawajui majukumu yao n wamekuwa miungu watu .... Wakati wa mungu ni sahihi siku zote 🙏🙏🙏 keep working

    • @magnusmgaya560
      @magnusmgaya560 6 หลายเดือนก่อน

      Asante sana rais wetu kipenzi dr samia suluhu kwa kazi nzuri unayofanya kupitia kwa katibu mwenezi wetu Makonda sisi wanyonge tunafarijika sana mwenyezi mungu awabariki na kuwaongezea pale mlipotoa

  • @charlottempangala3881
    @charlottempangala3881 6 หลายเดือนก่อน +1

    Rais anahuruma sana tatizo machawa wake wanamuangusha sana, watu kama hao wapo wengi sana ongeza ajira umaskini na urofa utapungua sana, ubarikiwe makonda

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 6 หลายเดือนก่อน

      Sana yani ndiyo wanamuangusha iliwatu wamuone mbaya

  • @Matildariziki123
    @Matildariziki123 6 หลายเดือนก่อน

    Yaani mm mkenya lakini nimejikuta nalia na nyinyi Mungu ni baba yatima naamini hilo mimi niyatima na nimepita mengi nasikufa moyo😭😭😭😭

  • @janemomanyi
    @janemomanyi 6 หลายเดือนก่อน

    Pia mm nmejikuta natoa majozi tu bt mungu anajupu maombia ya wanao mtegemea aki mungu amupaliki mama ambae ni Raisi wa Tanzania najiangalilia kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JuniorJackson-jk4rk
    @JuniorJackson-jk4rk 6 หลายเดือนก่อน

    Nilijuwa hii siku itafika halicho kipanda magufuliii na samia na samweli sitta ndo kinaoneka sasa mungu akulinde makonda

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 6 หลายเดือนก่อน

    Ila mungu ni mkuu sana asante mungu wangu kwa kuikumbuka familia hii mungu akubarik sana mama samia pamoja na makonda

  • @user-tf4rh3jb9i
    @user-tf4rh3jb9i 6 หลายเดือนก่อน

    Tumshukuru mwenyezimungu makonda kuwa nuru pale palipo na gizaaa ww ndo umetumwa na mungu"""viongozi wengne wanaona aibuuu piga kaziii pepo ipoooo kwaajilii yakoo

  • @pillyolsen6346
    @pillyolsen6346 6 หลายเดือนก่อน

    Piga garagaza makonda nakupenda nakukubali ww ni mchapa kazi wacha wengine wakuchukie huwezi pendwa na wotr ila kwakweli makonda una nyota ww ni maji ❤❤❤❤❤❤

  • @DastanJuma-
    @DastanJuma- 6 หลายเดือนก่อน

    Hakuna Mungu kama ww litukuzwe jina lako milele daima.

  • @KingMashimba
    @KingMashimba 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzidishie Mh:Rais Samia.S.Hassan tunakupenda wa Tanzania 🇹🇿 wote asie kupenda ni Shetani

  • @user-bb8dx3fr1o
    @user-bb8dx3fr1o 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze sana kaka nime Lia pamoja na machozi ya furaha ya mama uyo mama Samia mungu akutunze sana mama hakika umekuwa baraka sana mama yetu kipenzi

  • @user-zx2ju9os2w
    @user-zx2ju9os2w 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mh makonda akika nimejikuta hata mm nalia ila choz langu na la mama huyo ni baraka kubwaa kwakooo ubarikiwe sana

  • @ellynethmwaseba6199
    @ellynethmwaseba6199 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuweke baba makondq

  • @rahmapelembela-oq4yd
    @rahmapelembela-oq4yd 6 หลายเดือนก่อน

    Mama samia mungu akubariki na makonda mungu akubariki

  • @mamamdogo409
    @mamamdogo409 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana jembe letu naamini utatusongesha mbele hasa wanyonge mpe hongera mama sami wanawake tunaweza❤

  • @azizzaidalbalushi4229
    @azizzaidalbalushi4229 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda Mungu atakuzidishiya ya duniyani na akhera kwa kutumwa na mama yetu na ukafatiliya mungu ibariki tanzania

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 6 หลายเดือนก่อน

    Aisee inaumiza sna Mungu akutunze sana Asante Makonda Mungu atakulipa kitu kikubwa sna amen

  • @ANNAKISIGA-pc5qs
    @ANNAKISIGA-pc5qs 6 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda mungu akutunze haya machozi siku Moja ukawe kiongozi wa nchi Amen

    • @Aishajsaid
      @Aishajsaid 6 หลายเดือนก่อน

      Inshallah 🤲

  • @MariaIssack
    @MariaIssack 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda Mungu azidi kukubariki na zaidi ya Sana akulinde na kukuepusha na Kila hila za Waovu

  • @kassimsuleiman6720
    @kassimsuleiman6720 6 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia niko Zanzibar yaani kinachofanyika kwa Makonda na familia ya Ali Haji nlijizuia sana lkn machozi yamenitoka nakumbuka mbali sana hongera Raisi wetu ila uliowaweka mikoani na wilayani na mshinani sio watu wenye imani hatamungu hawamuogopi

  • @royalahmed7024
    @royalahmed7024 6 หลายเดือนก่อน

    Wanasemaga chema hakidumu ewe M/mungu tudumishie hawa watu Samia na Makonda uwape uhai mrefu inshallah.

  • @ramsodaffisoni3684
    @ramsodaffisoni3684 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda mungu akulinde na akupe maisha marefu uendelee kusaidia wanyonge

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 6 หลายเดือนก่อน +1

    Rais Samia mungu akubariki sana sana

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda Mungu akulinde na watanzania tuko nyuma yako

  • @user-cu6gi6gh2f
    @user-cu6gi6gh2f 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda umeturudishia himani moyoni mwetu juu ya mama Samia mungu akujalie ziara njema kazii endelee mungu ha kubariki sana

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa Makonda yupo atatusaidia hakika namuna Mungu kwa huyu kaka jamni makonda anasaidia watu Mungu mpiganie makonda yesu popote usimuache mkingie hila za madui wote

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka makonda mungu akujaaliye Kila LA kher mungu akujaaliye umri mrefu mungu akuepushe husda mbalimbali za usku na mchan

  • @user-qd1fc4mq6o
    @user-qd1fc4mq6o 6 หลายเดือนก่อน

    President Samia suluhu God bless you for your charity. Hao ma DED wanakuangusha washughulikie. Makonda tooth less hawezi kuwawajibisha. Hayo mahoni yangu

  • @user-jd9jv7di5n
    @user-jd9jv7di5n 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mama mama Allah akubariki sana akulipe pepo masha Allah nasikiya raha sana ongera sana mama

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mtoto mdogo hivyo ndo atunze familia kwa kuuza ndizi😢😢😢😢

  • @halimammbaga7346
    @halimammbaga7346 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe maisha marefu mama samia na Makondo kwani mnajali shida za wananchi hakuna cha kuwalipa ni mungu mwenyewe,

  • @africatanzaniatours
    @africatanzaniatours 6 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi akubariki mueshimiwa makonda na Ambariki uyo mtoto na familia yake yote

  • @user-rn6ft5yz2l
    @user-rn6ft5yz2l 6 หลายเดือนก่อน +1

    Rais hongera nilikuwa nakuchukia sana kumbe ni kiongozi mzurii shida chawa wako ziro kabiza

    • @cleversalbaba-em4jf
      @cleversalbaba-em4jf 6 หลายเดือนก่อน

      Mama ni mtu mwema sana tumuombee

    • @user-by4xk2vx5w
      @user-by4xk2vx5w 6 หลายเดือนก่อน

      Asante Mungu kupitia mtumishi wako,Paul Makonda CCM OYEEE 🎉🎉🎉🎉🎉👍👍👍🙏🙏

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 6 หลายเดือนก่อน

    jamani mie nimtokwa na machozi sana.Madam President you are Special.Makonda Thank you.

  • @akwilaisseri5312
    @akwilaisseri5312 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda mwy Mungu akijalie sana sana 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

  • @user-vk7ly7nk3o
    @user-vk7ly7nk3o 6 หลายเดือนก่อน

    Yaani huyo mtoto soon atakuwa kama makonda maana kachukua baraka zake tele tele Mungu amukuze ampiganie daima mama wa Alihaji usimiache Mungu daima kakuonekanikia sana kwahilo 🎉🎉

  • @naomysalumu1858
    @naomysalumu1858 6 หลายเดือนก่อน

    Daah mungu akubariku makonda nimelia kwauchungu😢

  • @leahkabura4271
    @leahkabura4271 6 หลายเดือนก่อน

    Nmelia jamani😢Mungu huyu, asante 🙏🏽Mungu amtunze Raisi wetu na Makonda.

  • @user-zd6ms6xh5q
    @user-zd6ms6xh5q 6 หลายเดือนก่อน

    Ewe mwenyez mungu mpe nguvu rais Samia nauendelee kumpa moyo wa huruma naumzidishie hekma kwani wewe ndio tegemeo letu mtie nguvu makonda na watu wake muepushe na hasada zote za walimwengu aaamin!

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda mungu akupe umri mrefu

  • @mawiaman5527
    @mawiaman5527 6 หลายเดือนก่อน

    Daaaah nimeumia sana ila Mh raisi ninakushukuru Mungu akubariki kwa kuweza kuamua Makonda awe msemaji wa chama

  • @umranim5854
    @umranim5854 6 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭 💔 ina sikitisha sana Mungu awabariki sana sana Mungu walinde na watangulie kwa kila jambo mama samia tunakupenda Makonda Mungu akupe afya njema na roho ya huruma kama mwenyezi Mungu kasema muhurumie alochini na alo juu atakuhurumia