MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI, Mkurugenzi wa shule ndg Msuya! Kwa kumlea, kumtunza, kumsomesha! Hakika umeonyesha upendo wa YESU aliotuagiza ( Pendaneni km mimi nilivowapenda ninyi!) MUNGU AKUPE maisha marefu, Mtangazaji na Ayo tv, mtoto mwenyewe nyote kwa pamoja mbarikiwe! Amina.
@@hamisiharuna3099 ndiyo na Mungu anamtendea kweli kweli, umesikia anasema alikuwa kwenye majengo ya kujipanga na sasa yupo kwenye majengo yake binafsi.
Mr Msuya, Mungu akubariki sana kwa kumsaidia mtoto huyu.Mungu aukumbuke uzao wako na asikosekane wakukusaidia wakati wa uhitaji wako wewe pamoja na uzao wako.
Huyu mtoto yuko vizuri sana. Yuko mature sana.Hongera sana ndugu Msuya kwa moyo wako wa huruma. Yaani bila wewe tungempoteza huyu mtoto. Ni potential. Mungu akubariki sana. Tungepara watu kama wewe pengine watoto wengi wasingepotea.Mungu aendelee kukutunza.
Yaaani naiona roho ya uongozi ndani na huyu mtoto. Naiona roho ya utumishi. I see the bright future ya kijana huyu. Mungu amshike mkono azidi kupenya zaid na zaid.
Hiii ndo shulee yakupeleka watoto aseee Yani Antony wakusahau Hadi kiswahili Yani unamuona maneno mengine anashindwa kuyafafanua kwa kiswahili mpk atumie kingereza hiii ni Big up Sanaa alafu shule ipo kwenye wilaya yanguu daaah
Mr. Msuya ana moyo mkuu sana sana, yaani Aendelee na moyo wa kusaidia jamani, yani anamhudumia kama mwanae wa kumzaa, God bless you in all things you touch Mr Msuya
Baba Isaac Msua , Mungu wa Mbinguni akupatiye maisha marefu ya heri , baraka tele kwako , na Huu kijana Anthony kwa kweli huu ni mtuu mkubwa , kiongozi kwa siku zijazo.
Jaman Jaman huyu mtoto wow! Mwenyezi Mungu amtimizie ndoto zake Inshallah! Tunaomba Millard atoe mchango wake kwenye Maisha ya huyu mtoto jaman soo clever❤
Wow Mungu akubariki baba, natamani nimlete mdogo wangu shuleni kwako. Nimeona ufaulu wa Antony, ndiye aliyepata wastani wa A, bila makandokando. Full "A" Mungu azidi kumwinua kwa viwango vikubwa zaidi. 🙏🙏. Pia tungejua maendeleo ya familia yake ingependeza zaidi yamkini yupo mtu atabarikiwa kuzidi kuisapoti.
Mungu atakulipa wewe baba na waliyo mrusha Antony kwani walikuwa na nia ya kumsaidia mungu nae akaitika kika penye njia Pana njia "hii shule inaonyesha Iko vizuri sana Kwa tulivyo muona Antony na Sasa hivi tofauti kabisa kiakili na maadili pia Asante baba Kwa msaada wako
Mr Msuya MUNGU akubariki sana, upendo ulionao ni upendo wa agape. MUNGU atakulipa usipo zimia moyo. Hakika wewe ni mwema sana , umemuinua masikini kutoka chini na umempeleka kwenye mwanga. Ni wachache sana, wenye moyo kama wako. Ubarikiwe sana kiroho na kimwili, MUNGU ailinde familia yako, akufanye kichwa, usiwe mkia. Baraka za YESU ziwe ndani yako. Amen
Daaaah.... Yani mtoto hajui kiswahili Safi sana. Anajitahudi kuongea kiswahili lakin automatically Kati kati ya mazungumzo anajikuta anagonga yai... Kazi nzur sana. God bless a boy with his sponsor
Mwl msuya Mungu wa Mbinguni akubariki sana maana mtoto huyo nilimfatilia sana wakati anarumbana sana na baba yake kwamba asiuze shamba alivyokuwa anafanana, kweli Mungu akitaka kukuinua anakutoa mbali. Anthony atafika mbali sana kielimu Mungu azidi kutembea naye.
Mimi naishukuru sana ITV kwa kuzungukia maeneo na hatimaye kumpata mtoto Anthony, lakini kipekee niwashukuru sana mtangazaji na mfadhili kwa moyo mzuri. Mungu awalinde na awabariki!!
Huyu mtoto ndio walee wanakuaga kama raisi magufuli baadae akijaaliwa kuwa kiongozi wa nchi uwa wazalendo na kuleta maendeleo pia nchi ikaendelea kwa kasi kiuchumi yaan kama alivyokuwa hayati magufuli na zaidi wanakuaga wachache sana binaadamu wa jamii hii god bless antony
I have known him since he virally trended at that time.Its amazing, he got a lot of changes so far and the most beautiful part, he can speak good english as well.May God use him accordingly!
Daah hongera sana somo wangu ANTHONY Mungu katenda maajabu yake pia hongereni walimu na ww mwandishi wa habari hizi mnatumia Kalama zenu zilizotumika daaah kama ndoto ANTHONY kuongea ung'eng'e Mungu zaidi kuwasimamia.
Masha'allah Tabarakallah Mwenyeez Mungu atazidi kumfungulia Antony Insha'allah awe na ufaham mara dufu, na mfadhili wake Mwenyeez Mungu amzidishie aweze kufadhili watoto kama hawa na mungu amfungulie kila la kheri insha'allah
Wewe baba Mungu akutunze wewe na uzapo wako, jamani kwa wazazi wa mkoa iliyopo shule Hii wapelekeni watoto hapo, naona huyu baba ana moyo wa kusaidia jamii yake
MUNGU akubariki sana Msuya pamoja huyo mtangazaji, Mr. Msuya wewe ni tunu ya taifa hili, binafusi nakushukuru sana kwa huruma yako kwa wahitaji. Barikiwa sana
millad Ayo Mungu akupe maisha marefu umewekeza kwa huyu mtoto hazina yako iko hujasahaulika kwa muumba wetu lakin pia Nina historia yangu nataka kushare na watanzania ningefurah unihoji japo kwa nusu saa TU kijana wangu tafadhali
Mtangazaji pia unaupendo Sana, Unajitaidi kumfatilia Mungu akubariki Sana, Pia Anaye msomesha Mungu amzidi shie kipato🙏.
Shukrani sana
@@godfreymillardayoripota3002 hakika kaka mkubwa pia upo vzr
@@amour5535 Nashukuru sana ndugu yangu 💪
Biashara hiyo hujui km inatangazwa shule hapo
Nimependa habari zako broo huziachi hewani unafatilia mwanzo mwisho
Hongera sana Antony, Mwenyezi Mungu aendelee kukuneemesha, Ee Mungu Endelea kumbariki Huyu mfadhili uliyemuinulia Antony katika maisha yake.
Aminaarabililala amina.
Hongera sana musuya
MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI, Mkurugenzi wa shule ndg Msuya! Kwa kumlea, kumtunza, kumsomesha! Hakika umeonyesha upendo wa YESU aliotuagiza ( Pendaneni km mimi nilivowapenda ninyi!)
MUNGU AKUPE maisha marefu, Mtangazaji na Ayo tv, mtoto mwenyewe nyote kwa pamoja mbarikiwe!
Amina.
Hongera sana kwa kumsaidia kijana mungu atakulipa umemfanya kijana abadilike
Naomba like za Mtumishi wa Mungu Msuya
Nilikuwa naisubiri hii interview, Hongera na ubarikiwe sana uliyejitolea kumsomesha huyo mtoto🙏
Mwe Anthony amekua wanaogusa maisha yake mungu awabariki
Hongera Sana mfadhiri wake lkn pia hongera zake kwa sababu anskutia moyo
Baba unayemfadhili MUNGU wa Bwana wetu YESU KRISTO wa NAZARETI akuinue Sana sana
Ameen
Ameen
Ndiye mmiliki wa shule anayosoma
Ameen
@@hamisiharuna3099 ndiyo na Mungu anamtendea kweli kweli, umesikia anasema alikuwa kwenye majengo ya kujipanga na sasa yupo kwenye majengo yake binafsi.
ANTONY is growing, he's intelligent he will save the society big up Musuya
Exactly
Msuya is something ealse
Uyu baba mungu ampe ktu kikubwa sana chenye baraka
Mr Msuya, Mungu akubariki sana kwa kumsaidia mtoto huyu.Mungu aukumbuke uzao wako na asikosekane wakukusaidia wakati wa uhitaji wako wewe pamoja na uzao wako.
AMEN. ASANTE NIMEPOKEA
Amiiina 🤲
Huyu mtoto yuko vizuri sana. Yuko mature sana.Hongera sana ndugu Msuya kwa moyo wako wa huruma. Yaani bila wewe tungempoteza huyu mtoto. Ni potential. Mungu akubariki sana. Tungepara watu kama wewe pengine watoto wengi wasingepotea.Mungu aendelee kukutunza.
🙏🙏🙏🙏tunamuona magufuli wa miaka ijayo mungu azidi kumpa nguvu na maisha marefu Ameen ❤️❤️❤️❤️❤️
Waalimu wa huyu mtoto wanajitahid sana. This school is doing a great job
Hakika
Balikiwa sana mtoa sapoti kwa Antony
Yaaani naiona roho ya uongozi ndani na huyu mtoto. Naiona roho ya utumishi. I see the bright future ya kijana huyu. Mungu amshike mkono azidi kupenya zaid na zaid.
He will be a great man
@@priscillahmbugua3520 yeah actually yes.
Ni kiongozii kabisa
Aisee mungu akuongezee msuya
Huyu jamaa wa shule mungu akubariki sana sana 🎉🎉🎉❤❤❤❤
Daah, aisee,! Hii nzuri sana. Hongera kijana Mungu akujalie, na huyu mfadhili Mungu atakulipa wema wako
Hiii ndo shulee yakupeleka watoto aseee Yani Antony wakusahau Hadi kiswahili Yani unamuona maneno mengine anashindwa kuyafafanua kwa kiswahili mpk atumie kingereza hiii ni Big up Sanaa alafu shule ipo kwenye wilaya yanguu daaah
Highly appreciated to MR MSUYA and very big up to Anthony may God fulfill your dreams young man..
Mr. Isaac Msuya, Mungu akutunze sana wewe na wa nyumbani kwako. Asikupungukie kabisa😢
Msuya mungu akubariki mpare wa kwanza akizaidia
Mr. Msuya ana moyo mkuu sana sana, yaani Aendelee na moyo wa kusaidia jamani, yani anamhudumia kama mwanae wa kumzaa, God bless you in all things you touch Mr Msuya
Asante my dear
Nimefurahi Sana kuona mtoto huyu alisaidiwa na anaendelea vizuri! Blessings Kwa wale wote waliohusika afike hapa wakiwapi team ya Millard Ayo🎉
Tunao amini anthony atakuja kuwa mwalimu mkuu wa hiyo shule kipindi mfadhili akiwa mzee nipeni like zangu
Baba isack ni Mungu tu atakulipa kwa hili ulo mtendea huyu mtoto
MashaAllah mtoto amekuwa mfadhili mungu akubariki baba
Mungu ambriki huyu mzamini na ampamnanie huyu mtoto ana uwezo mkubwa sana🥰
Baba Isaac Msua , Mungu wa Mbinguni akupatiye maisha marefu ya heri , baraka tele kwako , na Huu kijana Anthony kwa kweli huu ni mtuu mkubwa , kiongozi kwa siku zijazo.
Kwenye kila maneno 10, dogo anamtaja Mungu hakika anampenda na kumwamini Mungu mbarikiwe sana ayotv
Mungu akubaliki sana msuya mungu akupe liziki usiku na mchana. Msuya unaroho nzuri sana .
Hongera sana kaka izacki msuya aka bey🎉🎉🎉
Mfadhili
Mungu akubariki
hongera sana mr msuya hapo ulipoongea kuhusu kuingiza somo la kichina umeona mbali
Jaman Jaman huyu mtoto wow! Mwenyezi Mungu amtimizie ndoto zake Inshallah! Tunaomba Millard atoe mchango wake kwenye Maisha ya huyu mtoto jaman soo clever❤
Wow Mungu akubariki baba, natamani nimlete mdogo wangu shuleni kwako. Nimeona ufaulu wa Antony, ndiye aliyepata wastani wa A, bila makandokando. Full "A" Mungu azidi kumwinua kwa viwango vikubwa zaidi. 🙏🙏. Pia tungejua maendeleo ya familia yake ingependeza zaidi yamkini yupo mtu atabarikiwa kuzidi kuisapoti.
Karibu sana. Tutakupa nafaasi
Mungu katenda makuu mno mno,Mungu akutunze Antony,na Msuya Mungu akutunze kila iitwapo leo
❤❤❤❤❤❤❤ nmefurahi sanaaa mungu akulinde usome kwa bidii sanaa
Watangazaji Millard ayo wako vizuri wakihoji wametulia wako makini sana bigup 👍 sana nawapenda sana
hongela sanaaaa Antony jishilikilie ulipo shikwa ng'ang'ania
Mr Msuya una kiti chako kwenye ufalme wa Mungu, uinuliwe zaidi. Antony keep it high son😊
Mungu atakulipa wewe baba na waliyo mrusha Antony kwani walikuwa na nia ya kumsaidia mungu nae akaitika kika penye njia Pana njia "hii shule inaonyesha Iko vizuri sana Kwa tulivyo muona Antony na Sasa hivi tofauti kabisa kiakili na maadili pia Asante baba Kwa msaada wako
Asante mungu nimeona ukuu wako kwa huyu mtoto
Ukweli hata Mimi Nina shuhudu kuona vile Antony anaendelea
Mr Msuya MUNGU akubariki sana, upendo ulionao ni upendo wa agape. MUNGU atakulipa usipo zimia moyo. Hakika wewe ni mwema sana , umemuinua masikini kutoka chini na umempeleka kwenye mwanga. Ni wachache sana, wenye moyo kama wako. Ubarikiwe sana kiroho na kimwili, MUNGU ailinde familia yako, akufanye kichwa, usiwe mkia. Baraka za YESU ziwe ndani yako. Amen
Glory Sungura....asante nimepokea.
Anthony kapiga hatua Hongera Sana Msuya
Mungu akusaidie mdgo wangu ufike mbali zad nazaid inshaallah
Daaaah.... Yani mtoto hajui kiswahili Safi sana.
Anajitahudi kuongea kiswahili lakin automatically Kati kati ya mazungumzo anajikuta anagonga yai... Kazi nzur sana. God bless a boy with his sponsor
Mwenyezi Mungu ambariki sana Mr. Msuya kwa kujitoa kwake kwa Mtoto Anthony.
Wow wow Amen Amen mungu ni mwema ninapo ona huyu kijana amekuwa kijana wakati ule alikuwa mfogo 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Msuya MUNGU Akubariki Sana na wote wanaonyesha Nia njema
Mungu aendelee kumtia nguvu mtoto Antoni na pia Mungu aendelee kumtia nguvu mfadhili
Hakika Mungu ni Mwema Mungu azidi kuwabariki nyote mlio mfadhili mtoto Antony ❤
Mungu amlinde anaemsomesha ampe miaka mingi
Mungu akiamua kukupaa hatua za haraka hakuna mwanadamu wa kuzuia.
Mungu akubariki sana mzee msuya.
Hongera Sana mtoto Antony kwa bidii
Mwenyezi Mungu amtunze Antoni .kupata mtoto kama Antoni mjini .ni ndoto .tumedekeza watoto sana .tumevuna mabua
MR AIZACK MSUYA utalipwa na MUNGU hiyo ndo sadaka ya kweli au matendo ya huruma imenitoa machozi big up.ayo tv hizi ndo habari tunazotaka kuzisikia.
Katoboa uyu dogo mungu azidishe baraka kwa Mr msuya❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️nimeipenda iyo lugha ya watu
Maashallah maashallah amekuwa mwenyezi mungu amjalie kila lakheli yaarabi ameen
Mr God Ayo tv 📺 mungu akulinde sana mwamba.
Kwa hili la Anthony Mtangazaji nakupa big up
Mungu akubariki mnooo mpaka ushangae mlezi wa huyu mtoto. Natamani mwanangu aje kusomanm hapo
Mwl msuya Mungu wa Mbinguni akubariki sana maana mtoto huyo nilimfatilia sana wakati anarumbana sana na baba yake kwamba asiuze shamba alivyokuwa anafanana, kweli Mungu akitaka kukuinua anakutoa mbali. Anthony atafika mbali sana kielimu Mungu azidi kutembea naye.
Kweli pesa za huyo baba kumsomesha dogo hazipotea mtoto ana kichwa Sana Mungu akubariki baba etu kujitolea
Ndo ujue umaskini unaua Ndoto na vipaji vya watoto wengi sana
Wow..I follow this story from the beginning..im really proud of him.. bravo AYO
Mungu akujaalie sana unayemsomeshà huyo kijana mungu atàkulipa wewe na kizazi chako. Maana huo ndiyo ubinadamu na uzalendo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe unayemsomesha huyo mtoto
Hongera Kwa kumuombea mema na wewe Mungu Akubariki Sanaa
@@faza4023 Amen
Amina
Hongera sana bwana Msuya kwa kujitolea kusaidia Antony. Mungu wa mbinguni akuinue zaidi
dah safi sana Mungu akubariki mmiliki wa shule
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mashaa allah nakupenda Antoni wangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mungu ni mwema nakupenda saana Mdg wetu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ allah kareem ❤
sahihi Allah kareem kbc na mim nakupnd saaaan wew
Mimi naishukuru sana ITV kwa kuzungukia maeneo na hatimaye kumpata mtoto Anthony, lakini kipekee niwashukuru sana mtangazaji na mfadhili kwa moyo mzuri. Mungu awalinde na awabariki!!
Hio Amani Hills hata mimi nikiwa na mtoto nitatamani asome hapo. Mwenye shule ni mlezi mzuri saaana. God bless.
Karibu sana Doroth.
Wapo vzri lol hutokaa ujute kumpeleka mwanao
Hongera sana baba Msuya,hakika ada yako inaenda vizuri,Mungu akubariki sana baba Msuya
Mungu akutimizie hitaji la moyo wako mtoto Anthony Amen 🙏
How lovely Hongera sana unaemsaidia Mungu asikupungukie ,
Mtumishi Isack ubarikiwe sana. Mungu ainue taasisi yako na kukufanikisha zaidi kupitia sadaka yako hii
Aminaa....asante Man of God. Nimepokea dua yako kwa unyenyekevu
Mfazili MUNGU akupe maisha malefu afya nauzima vikatawale kwako MUNGU afungue balaka kwenye familia yako 🙏
Am from kenya ,,, Huyu kijana ana akili nyingi sana big up ! ,,,,,,Baba isaac mungu akuzidishie
Congratulations boy,and you Mr Msuya be blessed 🙌 🙏
Asante MUNGU,asante mfadhiri,asante hayo tv na asante mtoto Antony kwa kuwapa kipaumbele viongozi wako mbarikiwe sana Mwenyezi MUNGU awatunze daima.
Ni muda nimsikie Anton kwenye vyombo habari .napenda kuwashukuru wote walohusika kumuendeleza Anton mungu awajalie
Mpaka kuna time anasahau kuongea kiswahili anataka kuongea KIDHUNGU tuuu😂🔥🔥🫶 APOSTOOOO 🙌 baba zidi kutenda miujiza🙏
Huyu mtoto ndio walee wanakuaga kama raisi magufuli baadae akijaaliwa kuwa kiongozi wa nchi uwa wazalendo na kuleta maendeleo pia nchi ikaendelea kwa kasi kiuchumi yaan kama alivyokuwa hayati magufuli na zaidi wanakuaga wachache sana binaadamu wa jamii hii god bless antony
Kweli kabisa na hawapendi makuu hata yey ataka awe teacher tuu yaan anatamani kusaidia wengine sio tamaa ya pesa
Mungu akubariki Sana uliejitoa na kumfadhili huyu mtoto anton
I have known him since he virally trended at that time.Its amazing, he got a lot of changes so far and the most beautiful part, he can speak good english as well.May God use him accordingly!
Nikama kiswahili kimehanza kumtoka kichwani kingeraza kimeingia sana. Ninacho mshauri nikwamba asi saau ruga ya nyumba TZ😊 ila ongera sana 🔥 ❤
Wallah adi machozi yanitoka cjui kwann ila mungu akubariki mfaziri wake 😢😢
Wow hongera sn mtt mzuri … Wasimamizi wake wamusihi sana Asimuache Mungu
Anaakili sana uyo mtoto mwenywezi Mungu amsimamie 🙌
Daah hongera sana somo wangu ANTHONY Mungu katenda maajabu yake pia hongereni walimu na ww mwandishi wa habari hizi mnatumia Kalama zenu zilizotumika daaah kama ndoto ANTHONY kuongea ung'eng'e Mungu zaidi kuwasimamia.
Kaka Isaac msuya hongera sana Bwana akubariki (Huo ndo ucha mungu wa kweli)
Be blessed Mr Msuya
Masha'allah Tabarakallah Mwenyeez Mungu atazidi kumfungulia Antony Insha'allah awe na ufaham mara dufu, na mfadhili wake Mwenyeez Mungu amzidishie aweze kufadhili watoto kama hawa na mungu amfungulie kila la kheri insha'allah
Woooooooow im so proud of this young Man.
Ppp
Mungu amzidishie kipaji zaidi yaapo
Wewe baba Mungu akutunze wewe na uzapo wako, jamani kwa wazazi wa mkoa iliyopo shule Hii wapelekeni watoto hapo, naona huyu baba ana moyo wa kusaidia jamii yake
Wow that's awesome ❤❤❤ Antony Mungu aendelee kukubariki
Ooooooh 😭😭😭😭😭😭😭SO AMAZING GOD IS ALIVE
MUNGU akubariki sana Msuya pamoja huyo mtangazaji, Mr. Msuya wewe ni tunu ya taifa hili, binafusi nakushukuru sana kwa huruma yako kwa wahitaji. Barikiwa sana
❤❤what a lovely boy, stay blessed msuya
Safi ameongeza maarifa, pongez kwa walimu na mfadhili mnafanya kazi ya mitume,God bless you
Shukrani sana kaka moyo huo (msuya)
Wow amekuwa jamani wewe baba mungu akubariki naakuzidishie Baraka tele🙏🏽
millad Ayo Mungu akupe maisha marefu umewekeza kwa huyu mtoto hazina yako iko hujasahaulika kwa muumba wetu lakin pia Nina historia yangu nataka kushare na watanzania ningefurah unihoji japo kwa nusu saa TU kijana wangu tafadhali
Keep it up mr MSUYA MUNGU akubariki zaidi mshike sana huyo kijana wako
Aisee mungu akubariki sanaa mfadhiri wa huyo kijana tunajua kuna watu wana pesa kukuzidi ila hawana moyo kama wako kusaidia wengine
Wa Tanzania mna myoyo mzuri ya kusaidiana,mungu awabaliki,❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤nimefurahi sana jmn uwiii nyie mungu ni mwaminifu