Mkuu wa Majeshi wa Kwanza JENERALI SARAKIKYA, Asimulia Alivyoshiriki Kuliunda Jeshi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2022
  • #wizarayaulinzi #jwtz #jkt

ความคิดเห็น • 52

  • @ibrahimmaulid2704
    @ibrahimmaulid2704 2 วันที่ผ่านมา

    Hongera mzze WANGU Sarakikya kwa utumishi uliotukuka nidhsmu ya hali ya juu na ni askari mtiifu hukuunga mkono mapinduzi ya meaka 1964 I salute you Sir thks

  • @user-cy2vl6yh8p
    @user-cy2vl6yh8p ปีที่แล้ว +6

    Babu hongera sana nakupenda sana babu yangu mungu akulinde

  • @ibrahimmaulid2704
    @ibrahimmaulid2704 2 วันที่ผ่านมา

    Hongereni sana na tunajimbo gezs J W T Z ni jeshi imara sana na liko vizuri big up sana bila kumsahau marehemu Brigadier Hashim Mbita ktk ukombozi wa bars la Africa haswaa kusini hongereni sana

  • @user-rt7cj8nj1z
    @user-rt7cj8nj1z 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana baba yangu.Umeupiga mwingi.Najivunia kuwa na baba huyu kwenye familia ya kwetu.

  • @fadhilially8446
    @fadhilially8446 2 ปีที่แล้ว +4

    Asante mzee wetu kwa mchango wako mzuri kwa taifa letu.We proud u and we love our army 💪💪

  • @denismabubu291
    @denismabubu291 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu mbariki huyu mzee afike mwika 100 na wabariki pia viongozi wetu waliopo uzarendo km wa mzee huyu

  • @patrickmarko4467
    @patrickmarko4467 2 ปีที่แล้ว +9

    Hongera Jenerali Kwa kuunda jeshi letu na kuliwekea misingi imara

  • @IBENGM
    @IBENGM 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mzee wetu kwa mchango wako kwa Taifa letu! Mungu akubariki

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว +11

    Hongera Mzee wetu Gen Sarakikya. Mungu akujalie Maisha marefu.

  • @herryshabanimakomberasimba9722
    @herryshabanimakomberasimba9722 2 ปีที่แล้ว +7

    MZEE MRISHO SARAKIKYA MJUKUU WAKO REHEMA .M.SARAKIKYA ALIKUWA MTUKUTU SAANA

  • @rashidnagasangula2032
    @rashidnagasangula2032 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mzee pamoja na umri wake mkubwa akili yake ipo imara sana. Mwenyezi Mungu ampe umri mrefu.

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera mzee Generali Sarakìkya kwa ùzalendo wako ,umesaidia kuweka historia ya Tanzania sawa, wewe ni mojawapo wa wanajeshi muhimu kwa ulinzi wa Taifa letu na msomi mzuri wa jeshi letu, Mungu akupe maisha marefu , ili nchi iendelee kupata mawaidha yako bora ya kizalendo.

  • @ishimwejoe
    @ishimwejoe 2 ปีที่แล้ว +11

    Sandhurst graduate 🔝🙌🏾🔥

  • @andrewlwilla8831
    @andrewlwilla8831 2 ปีที่แล้ว +4

    Big up Mzee Sarakikya, tunakutakia maisha marefu.

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 2 ปีที่แล้ว +3

    Afande ametoa darasa LA kutosha.Mliopo kazini, msikilizeni kwa makini.Tanzania tupo vizuri

  • @abelalpha441
    @abelalpha441 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ibariki African Mungu ibariki Tanzazia Amen

  • @pthegentleman4293
    @pthegentleman4293 ปีที่แล้ว +1

    Thank You General for your Service! ( Hii ni Hazina Kubwa kwa Taifa na Uongozi kiujumla )

  • @maselemasele5959
    @maselemasele5959 2 ปีที่แล้ว +4

    Afande wewe ndio msingi wa Kwanza wa jeshi letu jwtz hongera Sana kwa kwa uzalendo na kujitolea kwa ujenzi wa msingi mkubwa nahuta sahaulika kwa jeshi na Inchi yako

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 2 ปีที่แล้ว +4

    Wazee ni Hazina. Jeshi Imara Ulinzi wa Mipaka yetu Uendelee. Tanzania Imara Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿

  • @alfredcharles8029
    @alfredcharles8029 2 ปีที่แล้ว +3

    Wonderful Jamaa brain yake bado iko intact kabisa ana flow vyema bila kumung'unya neno

  • @mhochibiliclintony8625
    @mhochibiliclintony8625 ปีที่แล้ว +2

    Ofcoz huyu kamanda yuko very bright by nature

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 2 ปีที่แล้ว +4

    Kweli tumetokea mbali aise,Mungu ashukuriwe sana!♥️🙏

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 2 ปีที่แล้ว +2

    General. Ssrakiky. Nakupenda. Kwa. Ukatmu. Wako

  • @jumannerizimbura6750
    @jumannerizimbura6750 2 ปีที่แล้ว +4

    Madini tupu, mzee MUNGU AKULINDE TUNAKUHITAJI SAAANA

  • @abelsariko1788
    @abelsariko1788 2 ปีที่แล้ว +5

    Imekatikia njiani....tunaomba ndugu zetu wa ulinzi channel mtuletee muendelezo wake. Afande Sarakikya ni hazina kubwa sana kwataifa letu na historia. Tuendelee kufaidi kwake kwa kumshirikisha katika vipindi mbalimbali

    • @isaacngomuo5586
      @isaacngomuo5586 2 ปีที่แล้ว +1

      Naunga. mkono huyu babu Generali mstaafu vyombo vya habari vimtumie kuchimba mambo mazuri ya zama I.

  • @alphonceephulaim1274
    @alphonceephulaim1274 2 ปีที่แล้ว +2

    Father nimekusikiriza vizuri hapa lwaha tatizo lahuyu nikutengeneza picha lenyegarama kubwa harafu halinafaida siborakutama picha ya mr.maganga dar to Lagos et Loyola laninisasa

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 2 ปีที่แล้ว +3

    Longlive mzee sarakikya

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 2 ปีที่แล้ว +3

    Hawa watu wapo hamuwahoji watupe madini....mpo bize na kina baba Revo na Hamp Rappa

  • @sdeshnjwetr6707
    @sdeshnjwetr6707 2 ปีที่แล้ว +3

    VIVA TANZANIA ♥️🇹🇿♥️♥️♥️💪🇹🇿♥️🇹🇿

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 2 ปีที่แล้ว +2

    Aliongoza Jeshi akiwa kijana na Mdogo kwa Gen Musuguri ingawa alifuata baadae yy ana enda 100 yrs

  • @ngosicheleso5745
    @ngosicheleso5745 2 ปีที่แล้ว +3

    Good news keep it up

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 ปีที่แล้ว +1

    Salute

  • @abdillahchikota4303
    @abdillahchikota4303 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulipe kila la kheli

  • @michaelobunde753
    @michaelobunde753 2 ปีที่แล้ว +1

    Yule aliyeongoza Vita kagera ndio nguli haswaaa

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo kamishna alikuwa na makosa,kumnyima general chuo,hajui jeshi ndo uti wa mgongo wa taifa hili?

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 2 ปีที่แล้ว +2

    Anenepa, alikuwa mwembambaaa

  • @mkizercypher125
    @mkizercypher125 2 ปีที่แล้ว +1

    Saf mike

  • @khalidbelhasa2137
    @khalidbelhasa2137 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu sio mkuu wa majeshi wa kwanza Tanzania, baada ya uhuru

  • @kelvinalex9982
    @kelvinalex9982 2 ปีที่แล้ว +2

    General Wa Kwanza Si Abdallah Twalipo Sio

    • @patrickmarko4467
      @patrickmarko4467 2 ปีที่แล้ว +2

      Lkn Sarakikya ndio mkuu wa majeshi wa kwanza wa TPDF

    • @williamdetkvant1313
      @williamdetkvant1313 2 ปีที่แล้ว +2

      Ni hyu bro

    • @williamdetkvant1313
      @williamdetkvant1313 2 ปีที่แล้ว +2

      Hyo ndiye mkuu WA majeshi wa kwanza bro ndie akafuata Twalipo,na ndio mkuu wa majeshi aliyekuwa mdogo

    • @binahmedjuma8681
      @binahmedjuma8681 2 ปีที่แล้ว +1

      Mzee huyu ndio wa kwanza, Abdallah Twalipo ni wa pili.

    • @patricknyiti5303
      @patricknyiti5303 ปีที่แล้ว +2

      Huyu alichelewa sana kua General...Ila Cha kushangaza ndio mkuu wa Jeshi wa kwanza

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 2 ปีที่แล้ว +3

    Hivi huyo ndo WA Kwanza?
    Msuguri ni wangapi

    • @rashidnagasangula2032
      @rashidnagasangula2032 2 ปีที่แล้ว +2

      General Musuguri alikuwa wa tatu baada ya General Abdallah Twalipo

    • @salvatorymtunga2802
      @salvatorymtunga2802 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyo ni mkuu wa majeshi wa kwanza TZ.

    • @vicentelias491
      @vicentelias491 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa lugha nyepesi yeye ndie alieliunda jeshi la wananchi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว

    .