NABII MKUU ATOA MILIONI 10 KWA AMOS PROMOTION NA DOLA 1000 KWA DEBORAH LUKALU - GeorDavie TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 68

  • @geraldmakeremo3578
    @geraldmakeremo3578 ปีที่แล้ว +1

    Hogera Nabii mukuu kwa kweli unasapoti kazi ya mungu sana. Kwa wale ambao hawakujui

  • @neemadickson3975
    @neemadickson3975 ปีที่แล้ว

    Amen inuliwa sana nabii mkuu nakupendaga tu baba na nahasi faraja kubwa ninapo angalia video zako, baba nibariki ktk biashara yangu ya mkaa tar 1 hii jumanne hii mwezi wa kumi na moja

  • @yonajackson9720
    @yonajackson9720 2 ปีที่แล้ว

    Baba niombee Mungu anibalishie maisha yawe mazuri niweze kupata eneo na kujenga nyumba nzuri ya kifahari

  • @angelatarimo1969
    @angelatarimo1969 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante tunakushukuru nabii mkuu mtu wa Mungu mwenye utawala wa nguvu ya Mungu na utawala wa mali.Wonderful dady🙏🙏🙏

    • @hancybeny
      @hancybeny 2 ปีที่แล้ว

      Mungu yupi?

  • @frankbangimoto3462
    @frankbangimoto3462 2 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania watambue kuwa ni watu wacheche mno ambao ni viongozi wa dini ambao wana moyo wa utoaji kwa watu pasipo kubagua. Baba wa watu huyu Geodave hana makuu na amesaidia na anaendelea kusaidia watu wakati wote. Mimi ni Mkatoriki lakini kila napo mfuatilia katika mafundisho yake najifunza kuwa anahubiri watu wafanikiwe na kumtegemea Mungu wakati wote. Big up sana mtumishi wa Mungu. Shalom Shalom kutoka Kilombero, Morogoro Tanzania.

  • @magrethchiwango644
    @magrethchiwango644 2 ปีที่แล้ว

    Napokea napokea tamko toka kwa Dr geordavie yesu oyeeeeeeeeee

  • @frankbangimoto3462
    @frankbangimoto3462 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu. Mungu wa mbinguni aendelee kukupigania na kukupa nguvu wakati wote. Natamani sana siku moja nipate wasaha wa kufika kwenye kanisa lako nami nipokee baraka za Mungu kupitia wewe kiongozi.

  • @braymwakaburufu1130
    @braymwakaburufu1130 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen ubalikiwe,mtumishi wamungu,namimi naomba kufunguliwa kwa jina la yesu.

  • @yonashao1909
    @yonashao1909 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki zaidi Mtumishi wa Mungu,kwa kazi nzuri unayoifanya hapa nchini,imekua msaada kwa wengi hakika

  • @shedrackngaila383
    @shedrackngaila383 2 ปีที่แล้ว +1

    Wala usisumbuke kugeukia camera huyo ni mtu aliye fanikiwa kimwili kiroho na kiakili ndo maana akaitwa mh nabii mkuu Dr geordavie 💋💋💋💋💋 I love you dady although sijawahi kanyaga ngurumo

  • @judithkajuna6833
    @judithkajuna6833 2 ปีที่แล้ว

    Baraka za Mungu wa Ibrahim zidumu milele kwako baba Joe Davie,moyo wako huo na roho ya utoaji iwe ndani yangu daima,nimekataa wewe sio Freemason wewe ni mtumishi halisi wa Mungu wa mbinguni.....Unateka ufalme wa Mungu kwa utoaji sijapata ona mtu mwenyewe moyo Kama wako.....

  • @lameckadamu1198
    @lameckadamu1198 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante mtumishi yaani najisikia amani uwepo wako baba watanzania wenzangu tujifunze kushuru watu wanaojitoa kwaajili yetu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ambariki sana nabii geodavie kwa kutoa misaada yake mingi sanaaaa kwa viumbe wa aina zote mungu amfungulie milango ya ridhiki palipopungua mungu akuongezee wewe ni nabii wa pekee hao wengine ni mafremason waumini wao wanawafanya chuma ulete na wajinga ndiyo waliwao

  • @ayubusamwel5337
    @ayubusamwel5337 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akuinue sana sana sana Nabii Mkuu ni maombi yangu kwa Allla Mungu akufanye Tajiri namba moja Duniani kwa sababu una Sifa ya kuwa Tajiri Wewe ni Rais Wetu ktk Ufalme wa Mungu hakika hakika hakika hakika

  • @magrethchiwango644
    @magrethchiwango644 2 ปีที่แล้ว

    Napokea napokeea unabii toka kwako baba ,,,kweli baba tuambie waimbaji naomba mungu anisaidie niweze kanyaga madhabahu ya ngurumo ya upako ,,,,yesu yupo Na anatenda ....
    Ehhhh yesu ulivyotenda kwa waimbaji wengine ukatende Na kwangu ehhhh yesu .....tenda mungu wa geordavie ....Mimi Na familia yangu tunakukubali baba

  • @rizikirobert4596
    @rizikirobert4596 2 ปีที่แล้ว

    Mungu Azid kukupa uwezo mkubwa Nabiii nakuamin na ninakupendaa Baba,🙏🙏

  • @enizetv5196
    @enizetv5196 2 ปีที่แล้ว

    àsante sana Baba
    Baba ,Baba umeonge kweli Baba yangu umesema kweli sana San tunapata tabu sana Baba namna yakutoka kila mtu anajipambania mwenyewe alafu tunajikuta hatuwezi maana hatuna nguvu wenyewe hatuwezi tunashidwa alafu hatupendani huo ndoo ukweli mtu hatamani mwenzie atoke au amzidi anataka abaki yeye Kama yeye daaa mhaaa BABA MSAADA wako ,🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Mariejo123-g2x
    @Mariejo123-g2x 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wa nabii mkuu ni mungu wa matendo.mungu akuongezee pale ulipotoa.

  • @johanamwegoha4779
    @johanamwegoha4779 2 ปีที่แล้ว

    Nabii mkuu Mimi nilekodi CD za nyimbo za injili tangu 2009 nikawa naiimba lakini siuzi kabida

  • @janenkata6290
    @janenkata6290 ปีที่แล้ว

    Ameen Nabii mkuu

  • @raysonngowi4679
    @raysonngowi4679 ปีที่แล้ว

    Geor Davie ni level nyingine

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 2 ปีที่แล้ว

    Kwelii Mzee kwa kutowa upo vizuri jamani cjawahi ona mimi uyu na bii nixhida sanaaaa

  • @peterphilipo4152
    @peterphilipo4152 2 ปีที่แล้ว +2

    Hichi nikutuo cha watoto yatima sio kanisa mana hapa watu wanafata pesa sio kumuomba mungu

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyujamaa nijiraniyangu Arusha,anapesa yakufamtu

  • @amasichefwalo3787
    @amasichefwalo3787 2 ปีที่แล้ว

    Hongera nabiii una roho nzur sana

  • @janethkinabo3486
    @janethkinabo3486 ปีที่แล้ว

    Baba naomba unikumbuke na Mimi , kweli baba wazazi walokuzaa wanajivunia mno.

  • @rev.pasteuraimablebaobabt.v.
    @rev.pasteuraimablebaobabt.v. ปีที่แล้ว

    Courage ♥️♥️♥️

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 2 ปีที่แล้ว

    Be Blessed Daddy Prophet Nabii Mkuu

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 ปีที่แล้ว

    Kutoa nimoyo siutajiri Mungu azidi kukulinda nabii

  • @justineonline6556
    @justineonline6556 2 ปีที่แล้ว

    Baba uishi milele hakika umekua msahada mkubwa sana kwa Taifa hili la Tanzania na nchi zengine ....

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 2 ปีที่แล้ว

    True True Daddy Nabii Mkuu

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 2 ปีที่แล้ว

    Glory Glory Glory Hallelujah

  • @johanamwegoha4779
    @johanamwegoha4779 2 ปีที่แล้ว

    Sasa sasa kabisa tuwe na mfumo moja

  • @johanamwegoha4779
    @johanamwegoha4779 2 ปีที่แล้ว

    Nabii mkuu hongela sana

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 2 ปีที่แล้ว

    Glory to Jehovah shalom

  • @shedrackmnyanduli6509
    @shedrackmnyanduli6509 2 ปีที่แล้ว

    Jaman mm naomba namba ya nabii mkuu mm mchungaji mnisaidie

  • @tymmohdaimer4075
    @tymmohdaimer4075 2 ปีที่แล้ว

    Kweli!

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 2 ปีที่แล้ว

    Nabii mkuu juu Sana daima

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 2 ปีที่แล้ว

    Yeeeeeeeeeeeeees indeed

  • @cutemamy9602
    @cutemamy9602 2 ปีที่แล้ว

    Tunaye nanii Ibrahim tz

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @swaibusukigwa7867
    @swaibusukigwa7867 2 ปีที่แล้ว

    Shidayangu nambayako mimi

  • @johanamwegoha4779
    @johanamwegoha4779 2 ปีที่แล้ว +1

    Itasaidi kufiwa hata waimbaji wadogo

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 2 ปีที่แล้ว

    True True True Trueeeeeee

  • @barakananunuaki2681
    @barakananunuaki2681 2 ปีที่แล้ว

    Lakini yesu kristo ndiye mkuu

  • @dottoamos2902
    @dottoamos2902 2 ปีที่แล้ว

    Nimeeaza kufwatilia baada ya kuwasikia hao mkali wenu jalibu na kumwita diamond na harmonize na alikiba bila kubagua wewe ni mtumishi wa MUNGU watapata watu wengine zaidi ata injee ya inchi wanamo julikana zaidi ili watu wakujue kupitia nguvu ya MUNGU

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 2 ปีที่แล้ว

    God is good all the time

    • @felisteralias4405
      @felisteralias4405 ปีที่แล้ว

      asante mungu kwakutupa nabii wakweli Tanzania nikumbuke na mimi baba

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 2 ปีที่แล้ว

    Haleluyaaaaaaaaa

  • @venancjoseph1498
    @venancjoseph1498 2 ปีที่แล้ว +1

    Niko Mozambique nakupata mkuu wa manabii

    • @venancjoseph1498
      @venancjoseph1498 2 ปีที่แล้ว

      Nakuomba Nabii mkuu uniombee nipate kufunguliwa njia katika maisha yangu nikiwa huku Mozambique ,Sina jinsi Niko mbali Sana maisha yangu bado ni tatizo

  • @vivianavivy3656
    @vivianavivy3656 2 ปีที่แล้ว +1

    Zumaridi

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 2 ปีที่แล้ว

    Mil kumi kupata mchezo hata kuongea huwez maans hujaamin kupata

  • @johanamwegoha4779
    @johanamwegoha4779 2 ปีที่แล้ว

    Ukanitamkua neno ndiyo nikaanza kuuza inamaana nisingefika ngulumo ninekua siuzi mpaka leo

  • @justineonline6556
    @justineonline6556 2 ปีที่แล้ว

    🔥

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 2 ปีที่แล้ว

    Àmina baba

  • @yusuphmbewe8039
    @yusuphmbewe8039 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ni mungu wa pili

  • @johanamwegoha4779
    @johanamwegoha4779 2 ปีที่แล้ว

    Nimepokea ushauli nabii mkuu

  • @patrinussanga3081
    @patrinussanga3081 2 ปีที่แล้ว

    Mchungaji anayetoa Hela kwa watu wenye uhitaji aisee huyu mchungaji kiboko

  • @godfreymitoko2497
    @godfreymitoko2497 ปีที่แล้ว

    pm

  • @ismailsimonmhilu5986
    @ismailsimonmhilu5986 2 ปีที่แล้ว

    Na mm mwimbaji mnishike na mm niko morgoro

  • @elishalusinde4509
    @elishalusinde4509 2 ปีที่แล้ว

    Tubuni kwakuw ufalme wa mbinguni umekaribia,

  • @johanamwegoha4779
    @johanamwegoha4779 2 ปีที่แล้ว

    Uliponukalibisha kuimbwa kwenye uzinduzi wa ledio

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 2 ปีที่แล้ว

    Honqera amosi kwaijasiri ulionao