KESI ILIYOKUWA MAHAKAMANI KUTUPILIWA MBALI | ALIPIWA DENI NA RAIS | - GeorDavie TV
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ธ.ค. 2021
- SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa
Jmn baba Mungu akutunze akupe umri mrefu akutunze mnooo
Mungu akuinue zaidi na zaidi amen
Napokea ushidi kwa kesi ja kuonelewa kushinda niliyo singiziwa Nakuonewa muita yangu ingare mambo yangu yaende Sawa Amina mtumishi Mungu akutie Nguvu Uwe Na maisha marefu.
Mungu akubariki baba
Amen 🙏🙏
You are an amazing man of God.
You have a good heart. God bless you
Mtumishi nipo dar natamani sana kuja hapo naomba uniombee nina matatizo mengi sana mtumishi naona msaada wako nakufuatilia sana mtumishi mungu akubariki
Nabii ni moto🔥🔥🔥 wakuotea mbali
Ndoa iyo inaonyesha awapendani
Alleluia Jesus is the way
Mungu akubari kwa kumsidia huyo baba
Amina❤❤🙏
amen
Napokea kufunguliwa kwajina layesu
Namama yangu anakesi tangu mwanka 2013 pakasasaivi
Nabii mkuu mama yangu mgojwa tagu 2008 adi sasa muombee
Hiii ibada nilkuwepo
Naomba Sana kuwapata mlipo ninakesi Leo miaka 5 mtumishi naomba Sana kukutana na wewe
Fika Arusha mjini panda Haisi za kisongo shukia kisongo ulizia hemani kwa Geor Davie.
Ameen.🙏🙏🙏