NABII MKUU GEORDAVIE ALIYEDAIWA KUVUNJA NDOA ya MTU ATOLEWA NDUKI MADHABAHUNI RAIS SAMIA AKIPONGEZWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 189

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 ปีที่แล้ว

    Global online hovyo sana

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 ปีที่แล้ว

    Huyu Mchungaji ni mtu makini sana...

  • @dynamicpreschoolschool434
    @dynamicpreschoolschool434 ปีที่แล้ว

    Asante pastor senny Kwa kusimama na kuongea ..u are a man of God

  • @prettynayally2177
    @prettynayally2177 ปีที่แล้ว +2

    Inallillah wainaillahi rajioun polen snaa hu ndo ule utaubeba msalaba wako alhamdullillah I'm proud to be a Muslim alhamdullillah allihamdullillah

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 ปีที่แล้ว

      Your point is what do you mean??

    • @prettynayally2177
      @prettynayally2177 ปีที่แล้ว

      @@personpeter2221 u don't gerrrrt forget about it......period

    • @emmanuelshayo4703
      @emmanuelshayo4703 ปีที่แล้ว +1

      Whether you are proud of it or not! Who cares! Keep it for you. No one has right to interfere somebody's freedom to what concerns Faith.

  • @myingaone4746
    @myingaone4746 ปีที่แล้ว

    Wewe huna hela na nimchoyo nabii mkuu mimi namkubali hana rohombaya kama wachungaji wengine yeye anaamini akitoa ataongezewa kama unachukua bukubuku ni wewe acha roho mbaya wewe wivu tu mimi nampa 5 mzee Geodevi hongera sana

  • @enocktuza1819
    @enocktuza1819 ปีที่แล้ว

    Nakubaliana nawe mtumishi.

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 ปีที่แล้ว

    Hyu mchungaji saf san! Una roho ya mungu ndan yako ubarikiwe

  • @mathayopapiasi8872
    @mathayopapiasi8872 ปีที่แล้ว +2

    Lazima mungu aonyeshe manabii waungo tuliona live

  • @onesmoroby8848
    @onesmoroby8848 ปีที่แล้ว +3

    We ni mchungaji wa wapi maana atukuelewi kabisa Ngurumo ya upako anasaidia watu wote wanao fika pale naona unatafuta kiki umeanzia kwa mama yetu samia embu kaa kwa kutulia fika kwa Ngurumo na ww uombewe upone

  • @chalessabaya2938
    @chalessabaya2938 ปีที่แล้ว +4

    Sasa Mimi MTU anaeniponda nimpeleke wapi mim namsaidia yule anaenisifia maana ananitia moyo ili nisonge mbele zaidi kwahyo ukisifiwa sifika na wew uonyeshe msaada kwa aliekusfia mbn maandko yako wazi mpeni sifa mtu anaestahili sifa

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda GeorDavir sana

  • @imanuelzakayo7472
    @imanuelzakayo7472 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa mzeee

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 ปีที่แล้ว

    Uyu mchungaji mupotoshaji mwivu

    • @robertempire9542
      @robertempire9542 ปีที่แล้ว

      Hapana huo ndio ukweli Bali watu hawafatilii bible vizuri

  • @musaissa7463
    @musaissa7463 ปีที่แล้ว +3

    Hivi watumishi wa Mungu wakubwa tanzania mko wapiii??????mnashindwaje kumkemea huyu geodavi anapotosha watu namna hii!! Mtahukumiwa kwa uwoga wenu kukemea maovu.

  • @aldeamasuki6196
    @aldeamasuki6196 ปีที่แล้ว

    Mmmm sina chakuongea Mungu wangu

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 ปีที่แล้ว +5

    Ulikoanzia sio,😳labda ulikomalizia

  • @issakisalu9237
    @issakisalu9237 ปีที่แล้ว +1

    Dah huwaga sielewagi kabisa, Nchi haikuwa katika hali nzuri

  • @mwigarleysaid5406
    @mwigarleysaid5406 ปีที่แล้ว +3

    Huna hela ndio maana huwezi kutoa pesa

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen ปีที่แล้ว +2

    Kweli Kabisa Maneno Yako Dunia Hii Tunaona Mengi Na Haya Makanisa Mungu Tusamehe Makosa Yetu.🤲🙏

    • @sistymbombo1616
      @sistymbombo1616 ปีที่แล้ว +1

      Wote ni makahaba ingekuwa ni Kyle kwetu uarabuni wangepigwa mawe kufa

    • @sebonikegobi6244
      @sebonikegobi6244 ปีที่แล้ว

      Wateule tuwe macho hizi ni siku za mwisho tumtafute Mungu sana wapendwa

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen ปีที่แล้ว +1

      @@sebonikegobi6244 Sio kwa haya Hata Nyumbani Ukisali Peke yako Mungu Anakusikia Zaidi ya Makanisa Kama Haya🤦🏾

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 ปีที่แล้ว +18

    Maisha nje na uislamu ni shida sana namshukuru mungu kuniongoza kwenye njia ya haki uislamu embu ndugu zangu mliopo bado kwenye ukristo sio kwa ubaya embu usomeni uislamu japo kidogo tu sio hata kuingia uislamu ila kupata kilichopo ndani ya uislamu kuna vitu vingi mtavijua

    • @musaissa7463
      @musaissa7463 ปีที่แล้ว +5

      Hebu tuambie niwapi tupasome kwenye quran?au niwapi wakristo wanakosea tukuelewe

    • @williamsenkoro2210
      @williamsenkoro2210 ปีที่แล้ว +1

      Uslamu pia Kuna uongo mwingi. Fatialia kwenye you tube jina Christian price uone anavyofundisha uijue islamu ya kweli.

    • @gh7naa
      @gh7naa ปีที่แล้ว +3

      Mmungu kakupenda ibrahim pekee anaonyesha uislam ndio alie uleta kwa kuvunja masanam na kujenga alkaba leo ndio mji mkuu je bilal ndio muadhini wa kwanza ni
      Muafrica meusi hao wazungu hawana mana bee wote ni wa mashariki wa kati na isa ni na bee wa Allah wametokana na ibrahim uislam ndio dini ya mitume woteeeee

    • @justinendizeye714
      @justinendizeye714 ปีที่แล้ว +9

      Uislamu ni njiya ya uongo na dhiki tu

    • @justinendizeye714
      @justinendizeye714 ปีที่แล้ว +2

      Uwovu na jalous

  • @ruu6592
    @ruu6592 ปีที่แล้ว

    Amesema kweli ila atachukiwa

  • @BenjaminHenry
    @BenjaminHenry ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa ni ukahaba

  • @YINDIMAKUCHICHANEL-DOM
    @YINDIMAKUCHICHANEL-DOM ปีที่แล้ว

    Hubir wew wacha siaza za dini

  • @emmanuelemmanuel3047
    @emmanuelemmanuel3047 ปีที่แล้ว +1

    Acheni unafki unaongea uwazi gan wewe sadukayo nabii Mkuu namba moja Tanzania

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 ปีที่แล้ว

    Sioni kosa la Nabii Mkuuu, kwanza halikuwa hamjui huyu mama, tuhubur injili jamani. Tusianze kushambulia watu kwenye huduma zao.

  • @elvismtai84
    @elvismtai84 ปีที่แล้ว +1

    Pambana na Hali yako baba,huyo unashindana nae katoka mbali,huwezi kushinana na neema iliyo juu yake,,hata Yesu alipompokea kahaba Yule kuigusa miguu yake alionekana sio wa kiroho.acha kukosoa wengine Jenga mnara wako

  • @gmavoice1893
    @gmavoice1893 ปีที่แล้ว

    wewe kama hauna hela pambana na haliyako mzee acha neno lake lizidi kufika mbali kama unazo hela saidia watu tatizo hakili imesha filisika tafuta hela tafuta helaaa 🤩🤩🤩🤩

  • @danielimusa7601
    @danielimusa7601 ปีที่แล้ว

    Umeongea kweli nakushukuru sana mtumishi wa Mungu.

  • @angiringalyimo365
    @angiringalyimo365 ปีที่แล้ว +2

    mafundisho ya uongo walio wengi ndo wanayapenda

  • @mwana3887
    @mwana3887 ปีที่แล้ว

    Hakuna jipya Mwanzo mlimshindwa Kwa kumsingisia mambo ya uongo mara freemason,mara anavinyoka,mara anaenda Nigeria kuchukua nguvu, sasa hivi ni kuvunja ndoa ya mtu .Ukichunguza vizuri Utagundua kuwa ni uadui binafsi au wivu kutokana na Hawa wachungaji kutokua na alichonacho huyu nabii(mafanikio +Nguvu ya Mungu)

  • @agathasungura5047
    @agathasungura5047 ปีที่แล้ว +1

    HAO WEZ WA NAFS ZA WATU MUNGU ATAWAFREKELEA MBALI

  • @lwicheworkshoplimited305
    @lwicheworkshoplimited305 ปีที่แล้ว +2

    Halafu watumishi!! Kuweni makini!!

  • @reganshao
    @reganshao ปีที่แล้ว

    Waandishi wa Tanzania tetu hii wengi wao ni hovyo sana ,,kichwa cha habar kilivyo na habari ilivyo ,

  • @ibunikalikenya9219
    @ibunikalikenya9219 ปีที่แล้ว

    Tusome mambo ya marawi 19:28

  • @respeacemgawe7387
    @respeacemgawe7387 ปีที่แล้ว

    UISLAMU HAUCHEZEWI HIVI KIJINGA KIJINGA.... wenzetu wana msimamo na IMANI YAO. Ingefanyika kwenye Uislamu, viongozi wa dini ya Kiislamu wangemwita na kumuhoji, na kumkataza MARA MOJA.

  • @claritypmetalssales8121
    @claritypmetalssales8121 ปีที่แล้ว

    Wivu tuuuuuuuu

  • @jacksonmartin8485
    @jacksonmartin8485 ปีที่แล้ว +1

    Wewe pambana na yako achana na mwenzako wewe huna pesa 😂😂

  • @jofreymsigwa85
    @jofreymsigwa85 ปีที่แล้ว

    Utukufu wa mungu

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 ปีที่แล้ว

    Aaah

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 ปีที่แล้ว +2

    Anajizalilisha sana huyu mama aisee alafu mtu mzimaaaaa nyie nyie mange njo hapaa utupe ukwel kuhusu hii kitu

  • @japhetjairos7693
    @japhetjairos7693 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mchungaji alicho nikela kumsifia mama samia wakati Hali ya nchi tunaiona

    • @edwinmandela5658
      @edwinmandela5658 ปีที่แล้ว +5

      watumishi walio wengi njaa ndo zinawasumbua na wivu

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 ปีที่แล้ว +2

      Hapo hata Mimi nimeshangaa 😳😳😳😳😳

  • @jeremiapeter683
    @jeremiapeter683 ปีที่แล้ว

    Dawa zao Zina chemka.. IPO siku wata fichuliwa uovu.
    wao..wa kipepo..

  • @pericykiko6198
    @pericykiko6198 ปีที่แล้ว

    Iko hivi ;ktk vitu ni tishio ktk ulimwengu wa giza ni watumishi wa Mungu waliosimama vizuri na kazi ya Mungu dini zote hasa wale wakubwa wa hizo dini wanajua ukilitaja jina la Yesu kwenye ulimwengu wa Roho ni hatari sana ndio maana kuzimu inapambana kuhakikisha wanawaangusha , Biblia imetuonya nyakati za mwisho zitakuwa za hatari watatokea manabii wa uongo , ko iluminat freemason na vyama vingi vya siri huwa wanatuma ma agent kwenda makanisa ya hao watumishi kuna namna usipokuwa vizuri na roho mt utatekwa maana ma agent hao huwa ni watoaji wazuri wa sadaka wakisha kuteka utajikita hauwezi kuhubiri tena kweli ya Mungu maana ndani yao uko mfumo umeingizwa kwa kutokufuata maelekezo ya roho mt, so baada ya kuwateka watumishi hao watakuwa na mvuto na watu wengi wataenda kusali hapo wakishaona wengi wameangukia kwa mikono ya hao manabii wanaanza kuonesha makucha yao ya uovu wa huyo mtumishi ambayo hafanyi kwa utashi wake na sasa watu wengi kukata tamaa ya kusali lkn neno linasema tuzipime hizo roho

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 ปีที่แล้ว

    Jmn huku tunakula mlo mmoja

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 ปีที่แล้ว +1

    KWELI KABISA ET ANAGAWA MAGARI KUNA JAMBO HAPO

  • @shadrachkelvin4300
    @shadrachkelvin4300 ปีที่แล้ว +1

    Njaa mbaya sana mnaumia nini sasa ... Kama hauna hela tafta pesa

  • @Upendowakristoassembliesofgod
    @Upendowakristoassembliesofgod ปีที่แล้ว

    Njaa tu zinamsumbua huyo anenae na wala so mchungaji Ni mchunguliaji so mchungaji

  • @elibarikmafie7490
    @elibarikmafie7490 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa mzee wangu

  • @ZAMYLFILM
    @ZAMYLFILM ปีที่แล้ว

    Tafuta njia yako yakupafa hela kuhusu kumuongelea mwenzako upatikanaji wake hela huo ni uchinga tafuta ya kwako sio kila tajiri amepata utajiri wake kihalali waulize hao matajiri, acha kumchafua mwenzako ilihali wewe mwenyewe hujijui kama ni msafi, acheni kuwachanganya waumini,

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 ปีที่แล้ว +6

    Wafuatilieni kwenye u tube watu kama ahmed deedant khalid yasin yusuf esten na zakir naziz kweli mtajifunza mambo mengi sana tatizo ni elimu nilichojifunza kwa uislamu ni kwamba watu wanapewa elimu kwanza then kuamini baadae upande mwingine watu wanapewa imani tu elimu silazima kuna shida na kusomewa biblia utamaduni wa kusoma biblia wenyewe ni shida

    • @annehk8185
      @annehk8185 ปีที่แล้ว +2

      Una safari ndefu sana. Kila mmoja ana uhuru wa kuabudu anachoamini na kila mtu ana akili zake ktk kuamini..
      Fainali ni huko mbele za Mungu aliyetuumba kwamba ni ukristo au uislamu utamfikisha mtu ama la maandiko ya vitabu vyote yanaeleweka kama kuna anayesubiri kusomewa au kutafsiriwa ni upoyoyo wake.

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 ปีที่แล้ว

      @@annehk8185 mathayo 7:15

    • @aishasarumujuma1606
      @aishasarumujuma1606 ปีที่แล้ว

      We choko unawivu pumbavu ww

    • @annehk8185
      @annehk8185 ปีที่แล้ว +1

      Jesus paid it all..and He is the 'only' way😍. Period.

    • @nantaembanusurupia5674
      @nantaembanusurupia5674 ปีที่แล้ว

      @@aishasarumujuma1606 matusi hayasaidii

  • @estinomkinga1260
    @estinomkinga1260 ปีที่แล้ว

    Oyaa ee, Mapenzi pesa, hata ukawa na dini kubwa bila pesa, mapepo yatakudharau. mwacheni nabii mkuu awezeshe watu.

  • @florencerichard5787
    @florencerichard5787 ปีที่แล้ว +2

    Hubiri neno litawaweka huru siyo kumwongelea mtu unajichelewesha

  • @eliudijustinyindi5939
    @eliudijustinyindi5939 ปีที่แล้ว

    Ukweli usemwe etii nabii kiukweli baadhi ya wakubwawetu wanaotuongoza wakristo mnatupeleka pabaya

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 ปีที่แล้ว +1

    Jifunzeni zaidi maana ya freemason na msijifunze kishabiki, hivyo Kun makundi kwenye jamii Yana malengo kwa macho ya nyama ni mazuri lakini kwa macho ya ndani ni mabaya na hayo makundi yametapakaa kwenye jamii duniani kwa njia ya dini

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

      Yes Ila MUNGU AFANYE NJIA PASIPO NJIA MAANA watu wa MUNGU wanaangamia

  • @kerencikuru6039
    @kerencikuru6039 ปีที่แล้ว

    Postor ubiri watu neno la Mungu, acha ku poteza Muda na ma comment ivi aujuwe kama tuna elekeya siku za mwisho?

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 ปีที่แล้ว +1

    Uchawa mbaya Sana! Yaan hata hao unaowahubiria wanakushangaa! Cjui Mungu gan unayemtukuza na kulazimisha watu kupiga makofi! Yaan hata wivu unao, na ww waambie waumini wako wakuchore! Kwan tatuu Ina shida gan? Mahaba kwa akili yako ya uzinzi umelenga kwenye ukahaba! Subir na ww usifiwe ndipo utowe

  • @frankmshana1331
    @frankmshana1331 ปีที่แล้ว

    MUNGU ATALIPA

  • @respiciusmugezi8645
    @respiciusmugezi8645 ปีที่แล้ว +1

    Nchi ilikuwa na shidagani wewe mtumishi?

    • @reganshao
      @reganshao ปีที่แล้ว

      Hapa kaniboa sana yan ,, nae mpuuzi kama wapuuzi wengine tu hadi anaomba kupigiwa makof

  • @shanelmbunga1301
    @shanelmbunga1301 ปีที่แล้ว +1

    Na wewe n mnafiki

  • @tatumwakitwange8369
    @tatumwakitwange8369 ปีที่แล้ว +1

    Mashimo nae kahamia huko kwa nabii mkuu

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 ปีที่แล้ว

      Anafuata pesa,maana kaona huko wanagawa sana

  • @meikoking
    @meikoking ปีที่แล้ว

    Hivi wewe kwahivyo mti mishii Una Akuli Kweli??

  • @milley7185
    @milley7185 ปีที่แล้ว

    Anatoa mkopo

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 ปีที่แล้ว +2

    Mfamo injili ya luka 1 :1 ukisoma utaona ninachokisema luka anasema watu wametunga kwa taratibu naye anasema amejitafutia usahihi na yeye akatunga kwa utararibu quran sivyo hivyo kila mara mtume muhammad anapo waletea watu aya za mungu ananza kwa kusema mfano Sema mungu ni mmoja kwa elimu unaelewa kuna maagizo anapewa kuwambia watu sasa huyo anayemsemeza ni malaika jibril

    • @lupakisyopeter2009
      @lupakisyopeter2009 ปีที่แล้ว +1

      Wewe dumu katika Imani uliyoipokea. Wenye ukristo WETU, tunaomwabudu Mungu ktk roho na kweli mtuache.

    • @marthamanasseh4237
      @marthamanasseh4237 ปีที่แล้ว +1

      Nakuambia wewe uliyehamia huko hukulijua Neno ndio maana ulihama. Yesu ndiye njia kweli na uzima. Mtu yoyote hawezi kuurithi uzima wa milele asipomwamini huyu Mfalme wa Wafalme. Yesu wa Nazareti. madhaifu, uovu wa baadhi ya watu ktk Ukristo haubadili kweli kwamba Yesu Krsto ni njia.

  • @japhetjairos7693
    @japhetjairos7693 ปีที่แล้ว

    Musiingilie siasa wachungaj

  • @cloudykusundwa6766
    @cloudykusundwa6766 ปีที่แล้ว

    Wewe ni linafiki, huna lolote, njaa tu iliyokufanya uweke Kijiwe hapo wala siyo kanisa hilo, na watakusambaa wote.

  • @enocktuza1819
    @enocktuza1819 ปีที่แล้ว

    Hekima ni ya muhimu sana. Labda hujui Tafsiri ya neno mahaba. Madhabahuni sio pa mizaha. Atubu halafu amber msamaha umma.

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 ปีที่แล้ว +1

    HUYU MAMA NI DANGA HANA NDOA ...HATA MUME ALIYEKUWA NAYE SIYO YAKE NA HATA HUYO MWENYE MAHABA SIYO WAKE...HATA MWANAUME ALIYEZAA WATOTO WATATU NAYE SIYO WAKE.....SO HUYU MAMA MWEUPE NI DANGA....MDANGAJI

  • @joycekaphevemba7215
    @joycekaphevemba7215 ปีที่แล้ว

    Hivi inamaana alitimuliwa kweli ama ni masihara ya watangazaji tuu

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 ปีที่แล้ว +3

    Najua kuna watu watapuuza ninayoyasema ila ni ushauri tu natoa maana kina aya ndani ya quran mungu anasema ewe mtume muhammad utawapelekea watu aya zetu baadhi watakata na kukuambia sisi tunafwata tuliyowakuta baba zetu wakifwata mungu akasema kama baba zao walikuwa kwenye njia ya upotofu na wao watakubali kupotea hii aya inamana kubwa sana sana

  • @juliethsarwatt4346
    @juliethsarwatt4346 ปีที่แล้ว

    Umejaa wivu na unafki tu

  • @rahma6189
    @rahma6189 ปีที่แล้ว +1

    Manabii wauongo utawajuatu huyo mungu unayemtukuza niyupi labuda umrukuze umevurugwa wewe sio Mungu uwahukumwatu

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 ปีที่แล้ว +1

    Manabii wa uongo ivi mungu alikuchagueni muda gn, vitabu vitakatifu vimesema watakuja manabii wa uongo ndo nyinyi nyote

  • @JstvTanzania
    @JstvTanzania ปีที่แล้ว

    Huna hela ndio maana unaongea ujinga maik yenyewe unayo tumia ni elfu 50000 nahilo nikwavile huna hela na utakuwaje na hela nawakat waumini wenyewe niwakuhesabu

  • @issanasir3583
    @issanasir3583 ปีที่แล้ว

    Huyo Mama taahira Yani anabwata et anapitia mengi mzee wake kamuacha kisa kuchora jina la mwanaume...kahaba huyo

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว

    Weupee ndo nn?unwexa kuwa kweupe hafumbaya.

  • @unknownsasha8383
    @unknownsasha8383 ปีที่แล้ว

    Chanzo cha imani nikusikia ogopa kitu imani unavyoiamini dini yako do ilivyo imani ya mtu mwingine anavyoisamini

  • @aminasembe8981
    @aminasembe8981 ปีที่แล้ว

    Tattoo ni dhambi kwa uwelewa wangu

  • @jaysonongata8197
    @jaysonongata8197 ปีที่แล้ว

    Tattoo inaleta million tano dah! Nashangaa Mungu wangu fungua watu wako majo ya kiroho

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 ปีที่แล้ว

    Kwani nyie mnataka nini kwanabii mkuu.nanyie pambaneni na Hari zenu.acheni wivu.mwenzenu anasaidia watu mlitaka afanyeje??? Hovyoooooo.

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 ปีที่แล้ว +2

    Na kingine lazma tujue biblia na quran ni vitabu vya mungu au watu wameandika kwa maono yao mfano quran ni ufunuo au wahai aliteremshiwa mtume muhammad na malaika jibril au Gabriel kutoka kwa mwenyezi mungu sio maneno ya mwanadamu hapana ni revelation kutoka kwa mungu

    • @marymwapiya1274
      @marymwapiya1274 ปีที่แล้ว

      Si kweli kuna ushuhuda wa dada mmoja alikuwa muisilamu alifunuliwa na Yesu Kristo kuhusu uisilamu na jinsi shetani alivyo mpa Ufunuo wa quran Muhammad na sehemu aliyopewa na alifunuliwa na maji ya zamuzamu yanatokana na kinyonga mkubwa ambaye ni pepo na pale wanapopaita kaba mle ndani mnajoka ambaye ni shetani ,mnadanganywa tu ukitaka huo ushuhuda nakutumia kama unataka kujua zaidi

    • @abdulhamid9593
      @abdulhamid9593 ปีที่แล้ว

      mashalla

  • @chazy7ya216
    @chazy7ya216 ปีที่แล้ว +1

    Atakuchora tattoo ni dhambi kubwasana

  • @menovicmushy1032
    @menovicmushy1032 ปีที่แล้ว +2

    watatambulika kwa matunda yao

  • @florianakhweso5749
    @florianakhweso5749 ปีที่แล้ว

    😀😀😁😁😁😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama kweli mnaye Mungu nyie mnaojiita watumishi WA kweli SASA si mkamuombe Mungu awafutilie mbali hao mnaosema ni waongo au Mungu wenu hawezi?? Mnatueleza sisi tufanyeje??

  • @ishipalemypasco2567
    @ishipalemypasco2567 ปีที่แล้ว

    Pumbavu zako nchi ilikua sio shwali kivipi nyoko wewe kwendraaa

  • @florianakhweso5749
    @florianakhweso5749 ปีที่แล้ว

    Acha Mawazo mabaya na ushamba.tafuta maana nzima ya mahaba au kama vp kufa huko na uchoyo na umaskini wako Kwa sababu huna moyo WA kutoa

  • @elesgambi9191
    @elesgambi9191 ปีที่แล้ว

    Wewe kama waumini WAKO nimasikin usfananishe na mtumishi wa Mungu wewe unawafundisha waumini WAKO kutoa 1000 Yani wewe kwako hakuna asubuhi unahukumu anatoa wapi Hela kwasababu Mungu WAKO niwa 1000 wenzio Mungu wao ni bilionea anawapa kama apendavyo we MZEE VIpi kama umeishiwa hekima uombe mtumishi huyo mtumishi nimtoaji ndiyomaana hapungukiwi kwa kadri anavyotoa ndivyoanavyoongezeka wevip kama yamwilin yanakushinda utayajulia wap yaRohon

    • @elesgambi9191
      @elesgambi9191 ปีที่แล้ว

      Mzee sikiliza mtu yoyote aliesimama kwenye misingi ya utoaji wewe usijifananishe nae utakwama kwa sanabu mwanzilishi wa kutoa ni Mungu huyu mtumishi Yuko ndan mwake sikwamba ni akili yake Ili asifiwe na watu kama unavofikiri mzeee jifunze kusapot jambo jema alofanya mtumishi mwenzako Kisha kama kunajambo lakukosoa lifate umejaa wivu na fitina hata hujui unachokiongea

    • @elesgambi9191
      @elesgambi9191 ปีที่แล้ว

      Usiseme sisi watumishi tuna mambo mengi useme wewe ndo unavijimambo unaonekana unahekima kumbe ovyooo

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 ปีที่แล้ว

    Wivu wewe

  • @himidijenga535
    @himidijenga535 ปีที่แล้ว

    Zungungumzia mambo Yako acha kusengenya mtu. Hiyo nayo ni zambi pia

  • @mahembajulius7036
    @mahembajulius7036 ปีที่แล้ว

    Mahaba = ukahaba mmh.....

  • @imhotepheru436
    @imhotepheru436 ปีที่แล้ว

    PLEASE MUWAMBIE MANABII WAONGO KUWA TATTOOS NI HARAM KWA BIBLE NA KWA UISLAMU. REF,, BIBLE LEVITICUS 29:28... SAHIH MUSLIM BOOK 24, NUMBER 5301

  • @shanelmbunga1301
    @shanelmbunga1301 ปีที่แล้ว

    Na wewe ni mnafiki

  • @umalqasimalhamhami6707
    @umalqasimalhamhami6707 ปีที่แล้ว

    Aman hipo wap wanyonge kila siku wanalia yeye amekaatu

  • @jacksonwilson5772
    @jacksonwilson5772 ปีที่แล้ว

    Uyu mchungaji hana akili kabisa. Hubiri habari njema watu waokolewe acha kupitia milango ya watu. Wewe ni mtumishi wa Mungu, fanya kazi yako, vyanzo vya mtu vya mapato wew havikuhusu mtumishi.😂

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 ปีที่แล้ว

    Tafsiri ndio tatizo.tuache wivu.kila mtu na yake.kupendwa ndio shida au kuna jambo lingine?.tusiharibu waumini kwa kupiga wengine kiwango chako sio cha mwingine tuache wivu

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Ninamahaba nawewe unaeongeya

  • @robertempire9542
    @robertempire9542 ปีที่แล้ว

    Mtumishi umeongea vitu muhimu Sana ktk history ya bible ambavyo vinefichwa na havielezwi wazi ktk bible

  • @sirimediatanzania
    @sirimediatanzania ปีที่แล้ว

    HakikA wachungaji wote wange kuwa kama huyu

  • @fazanaftaly8107
    @fazanaftaly8107 ปีที่แล้ว

    we sema hutoi sababu huna na kama unazo bas uchoyo nao unachangia... Wahenga walisema pilipili usio ila inakuwasha nn.. Fanya kazi ulioitiwa kufanya kama hujaitwa mashamba n mengi mzee nenda kalime hata bangi maana inalipa... Hata mm napenda kanisa linalogawa hela sio kila siku michango tuuuuuuuuu.. Bora nitoe sadaka hata laki moja ila ckumoja napata zaidi

  • @tatumwakitwange8369
    @tatumwakitwange8369 ปีที่แล้ว

    Mashimo nae kahamia huko kwa nabii mkuu