Ila nyinyi vijana mngekuwa Mnajua Nabiii ninani Msingejieleza mpaka mnachemka ,mkijua office yakinabii Hainaga porojo Nyingi sema tu njaaaa mbaya, Baba Asante kwakuwaunaona in dip
MUNGU ni mwema wakati WOTE. Anazijua Roho zote, yy ndiye muumbaji WETU ALIYE juu SANA. Eee Mola wangu nibariki nami. Utukufu wa MUNGU ndani ya MTU HAUZUILIKI. Amen.
Baba shikamoo shaloom baba nataman siku moja nije arusha unishike ata mkono maana ninapitia changamoto kubwa za kimaisha baba mm nipo bukoba na ninakufatilia sanaaa
Huyu Ni nabii wa 😈😈😈 sema watu washapumbazwa hawajui hawasikii, huyu anajua anayemhuubir na kumtumikia Kuna siku ntaelewa hawa wote wamepewa pesa ili kuwadanganya watu, haya makanisa inabidi yafungwe maana yashakuwa vigenge vya 😈 na wachumia tumbo! Huyu Ni nabii wa mungu giza mfuatiliani vzr
@@barakawilliam3993 nimesoma Biblia sioni,naomba kifungu au vifungu. Nijuavyo Mimi nabii wakuu walikuwepo wanne na nabii wadogo walikuwepo kumi na wawili. Huyu anayejiita nabii mkuu hilo jina katoa wapi? Au ninyi ndo wale waumini wa "ndiyo Mzee" hamruhusiwi kusema kinyume na mkuu wenu wala hamruhusiwi japo kuuliza swali ili awape ufafanuzi?
Dr Geordevie Nabii Mkuu!
Naitaji Kufanya Kazi Za Mungu...
Ila nyinyi vijana mngekuwa Mnajua Nabiii ninani Msingejieleza mpaka mnachemka ,mkijua office yakinabii Hainaga porojo Nyingi sema tu njaaaa mbaya, Baba Asante kwakuwaunaona in dip
Waefeso 1:17
Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa utukufu, awape ninyi roho ya hekima na ya ufunuo katika kumjua yeye.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa Yesu wafungue fahamu zao
Wajinga ndio waliwao
Wewe ilikwisha funguliwa fahamu zako ungefungua kanisan uwasaidie ambao bado
@@mbarikiwaolestas7800 wanjua kuigiza
AA inatisha kwakweli
Yheaa ww ndio nimekuon uko right ✅ kuliko wote
Ujue kuna mtu anadanganya unamwona tuu sema Mungu awasaidie Sana 🙏🙏🙏🙏 nabii mkuu Mungu aibaliki Sana huduma yako.
Baba nabii mkuu Dr Geordevie Mungu akuzidishe kwa moyo wako wa kuwasaidia watu.
Natamani sana nimuone live, Abarikiwe zaidi Mungu amlinde zaidi, huduma yake isambae Dunia nzima. Natamani aje dar.
AMINA BABA napokea kwa jina la YESU christo
Nabii unatisha sana naomba unisaidie niweze kupanua huduma
MUNGU ni mwema wakati WOTE. Anazijua Roho zote, yy ndiye muumbaji WETU ALIYE juu SANA. Eee Mola wangu nibariki nami. Utukufu wa MUNGU ndani ya MTU HAUZUILIKI. Amen.
Haleruya ngurumo ni sehemu ya kujidahi bhna. hii ni uduma ya kipekee sana nduniani na mataifa yoteeh🔥🔥💪💪
Hallelujah 🙏🙏🙏amani ya mungu iwabariki
Yote sawa yetu macho tumuachie mungu Amina
Àsante sana Baba kwa utoaji wako
Hakika huyu ndio nabii wa kweli natamani nifike kwenye madhabahu yako
Ikizidi sana wapi nduruu weeeeeeuwee🗣️🗣️🗣️ weeeeeeeuweee
Its really a comedy from Komando wa Yesu
Baba nabii nahitahi baraka zako ,nimekuona usiku hakika una mungu namuhitaji
Hallelujah 🙏 utukufu kwa mungu
MUNGU azidi kukutumia na kukuinua katika huduma njema aliyoweka ndani yako Nabii Mkuu. Umejaa unyenyekevu na upendo mkubwa kwa wengi.
Duuuh si ungeomba gari moja kwa moja tuu ????daaah eeh Mungu nibariki nikutukuzwe kwa kuwa utukufu wako hugawani na sanamu wala na binadamu....
Mungu anakuona
Hakika Mungu ni mwema sana
Mungu anatenda asante nabii mkuu kwa Kuwawezesha vijana
Mungu wanabiii mkuu jmn daah
Àsante sana Baba yetu Hakuna wakufanana nawewe baba
Katubu
@@kefajoseph158 tena akatubu kwa machozi maana wamempa huyo mwanadamu utukufu
Kweli umewakamata, hata neno la Mungu hawasomi,wanataka miujiza yako,ngoja tumuite pascal
Hahahaha PASCHAL CASSIAN
Na Atatoa nyimbo muda si mrefu
Shuhida zingine njaa ndo sababu
Kwakweli nimecheka sana
Pesa Ina nguvu jaman tutafute hela siyo mchezo
Mmmh
Mtafika mbinguni mukiwa mmechoka sana,,,,!!
Hakika waache wakomae
Amen Amen Amen 🙏
Njaa mbaya jamani! Mungu atusaidie
Sana
Baba shikamoo shaloom baba nataman siku moja nije arusha unishike ata mkono maana ninapitia changamoto kubwa za kimaisha baba mm nipo bukoba na ninakufatilia sanaaa
Njambo mtumishi wamungu
Amen I received
Haleluya haleluya🙏🙏
Jamaa anatembelea magari ya kifahari halafu waumini wana vaa yebo jamani
Njia ya kwenda Mbinguni ni nyembamba sana watakaoenda ni wachache
Hallelujah hallelujah 🔥
Wamekosa kazi
Huyu Ni nabii wa 😈😈😈 sema watu washapumbazwa hawajui hawasikii, huyu anajua anayemhuubir na kumtumikia Kuna siku ntaelewa hawa wote wamepewa pesa ili kuwadanganya watu, haya makanisa inabidi yafungwe maana yashakuwa vigenge vya 😈 na wachumia tumbo! Huyu Ni nabii wa mungu giza mfuatiliani vzr
yani anapigiwa magot Ee Yesu wangu ,
Mmmmh kazi IPO na MUNGU ATUSAIDIE SS NA WATOTO WETU
EEE MUNGU WA IBRAHU. ISAKA NA YAKOBO UTUREHEMU SISI WANADAMI WAKO AMENI
Yesu yupi jamani
MUINUENI YESU NA YESU PEKEE.
God General
Kazi Iendelee
Huyu komandoo wa mchongo anaturingia na huo mzigo wake anajukunguta hatari🤣🤣🤸♀️
Njaa mbaya hao wote wanataka pesa
Kweli njaa ni mbaya ilisababisha Esau kuhuza haki ya kuzaliwa
Esau hakuiuza haki yake, Bali ilitwaliwa,,,, kasome vizuri biblia
Amen
Haleluya
Mzee wanakupiga Sound hao
😂😂😂😂😂😂wanajua kuwa wanavuta mpunga apo sound nying
😂😂😂
Washaona wengne wamepewa magari na pesa now wameshaona dili
😅🤣😂😂
Zidi kuishi babangu
Mwngne 2015leo ndo unakuja mzee hawa watu ni wapigaji
Huyo ndio Mungu wenu
Hahaaa mtihani
Ndiyo
Smartboy commando ,,,,saaaafiiiikabsaaaa
Jamani nimetaman ningekuepo na mm
Sijapenda
Hv watu wanasoma biblia vzr kweli au ni njaa tu
Uyu jamaa ni comando wa jeshi gani asee
Nimekusikia vizuri kwa masikio ya nje na ya ndani, huyo ndiye nabii mkuu. 😃😃😃
Mmmmh na MUNGU Anihurumie mm mwenye dhambi
Hakika wewe ni nabii mwenye huruma unasaidia wanyonge
@@sebastianzongoro8915 huyo mganga mkuu
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Maigizo tu hayo
Mmmmh kazi KWELI dhambi zinasumbua DUNIA Ila wahubili Ni wachache na MUNGU ATUSAIDIE
Ni gani haya?hatushiki
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.Watu wanajuwa kuigiza aiseeee!!!!
Ujue umefikaje/alaf papo hapo ulisema ladhma ufike
Commando kanifurarisha sana
Whaaooo
Hahahaaa mnanifurahisha
Hivi "nabii mkuu" hivi hilo jina ulipewa na nani au ulijiita mwenyewe?
Hahaaaa kajitungiatu
Soma biblia
@@barakawilliam3993 nimesoma Biblia sioni,naomba kifungu au vifungu. Nijuavyo Mimi nabii wakuu walikuwepo wanne na nabii wadogo walikuwepo kumi na wawili. Huyu anayejiita nabii mkuu hilo jina katoa wapi? Au ninyi ndo wale waumini wa "ndiyo Mzee" hamruhusiwi kusema kinyume na mkuu wenu wala hamruhusiwi japo kuuliza swali ili awape ufafanuzi?
@@josephmusagasa5566 hao unaowajua walipewa na nani huo ukuu 🤸🤸
@@chalessabaya2938 walipewa na Mungu funuo nyingi na kubwa. Sasa huyo funuo zake nyingi na kubwa ni zipi? Jibu lako litoke ktk Biblia tafadhali
Àmina baba
Nabii wa Mungu wakweli analindwa na Jeshi la Bwana , wa Mabwana Sasa huyu nabii hamshitki enyi wenye shingo ngumu??
Ni KWELI kabisa TUNALINDWA na nguvu za MUNGU KWA njia ya Imani na Sio hao WANADAMU wamulinde mtu
Hahahahhahaa duh laana hizo kumwabudu mwanadamu
😂😂😂😂😂😂😂punguza makasiriko
Mtihani Sana sijui inakuaje kufika hivi
Siku hz manabii au wachungaji wanataka kuzidiana maarifa Mana wapo wengi Sana wanaokuja kwa kas Sasa kila mtu anakuja na mapya kila siku n stail mpya😆
Mchonganishi mkubwa ww commando" huyo mch mashimo alikuja hapo kanisan na akapewa pesa na gar😆
Nani aliyewaloga? Enyi watu was MUNGU!
Ni KWELI kabisa shetani katuloga TU na MUNGU ATUSAIDIE SS na WATOTO wetu