#MCHUNGAJI_MASHIMO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
    TUFUATILIE
    ▶︎ Facebook: / geordavietv
    ▶︎ Instagram: / geordavietv
    ▶︎@GeorDavie Maarifa

ความคิดเห็น • 290

  • @rosentikha1572
    @rosentikha1572 ปีที่แล้ว +1

    Ishi milele baba yangu kipenzi mh nabii mkuu dkt GEORDAVIE MUNGU akuepushie mabaya yoooooooote ameen

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 ปีที่แล้ว

    MUNGU wa Ibrahim Isaac na Yakobo Baba Akubariki Sana. Kwa kutuunga mukono kwa KAZI zetu. Sisi Vijana tuko na wewe Baba 5/5🇧🇮🇧🇮 GITEGA

  • @bonifasiacharles1808
    @bonifasiacharles1808 2 ปีที่แล้ว +12

    Mashimo ni mnyenyekevu sana nakumbuka siku moja nikiwa mbezi stend saa 7mchana nilikuwa nimefiwa naenda nyumbani nalia sana lakini aliniombea baraka nikapata faraja na kusafiri salama Nawaheshimu sana watumishi wa Mungu

    • @Nashondaniel
      @Nashondaniel 2 ปีที่แล้ว

      Ameeen

    • @magrethmsuya5542
      @magrethmsuya5542 2 ปีที่แล้ว +1

      mungu akutunze umeonge kwa hekima sana

    • @bonifasiacharles1808
      @bonifasiacharles1808 2 ปีที่แล้ว +1

      @@magrethmsuya5542 Nawaheshimu sana watumishi wa Mungu Naamini Mungu amewachagua kutusaidia kumkumbuka Mwenyezi Mungu

    • @tinamahega9848
      @tinamahega9848 ปีที่แล้ว

      Watumishi wa mungu wananyanyasika na kudharauliwa sana,sababi ya umasikini,mungu uendelee kuwasaidia na kuwanyanyua viwango vya juu zaidi.

  • @davidjacksonofficial5206
    @davidjacksonofficial5206 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ni Mtumishi wa Mungu Baba naomba na mm niombee nipate neema ya kumtumikia Mungu na kusimama Nina huduma ya uimbaji🙏🙏🏼🙏🏼

  • @godfreyamen1135
    @godfreyamen1135 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Nabii mkuu wa Africa,umebaki Nabii peke yako,mm nilikufahamu siku nyingi,karibu iringa

  • @DanielTunduma
    @DanielTunduma ปีที่แล้ว

    Nabii mkuu hakika mungu azidi kukuinua juu zaidi nabarikiwa sana na injili yako hakika mungu akuinue sana

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mchungaji mashimooooo ana roho nzuri sana alipandaga daladala la posta Makumbusho alafu akawalipia nauli abiria wote basi ZIMA

  • @paulbwanana7886
    @paulbwanana7886 2 ปีที่แล้ว

    Hata sijui niseme nini kwaajili yako Nabii mkuu Geor Davie.unanishangaza sana ni mtumishi mkubwa sana lakini umeshuka na kunyenyekea.Mungu akupe kuishi zaidi na zaidi

  • @anahna6788
    @anahna6788 2 ปีที่แล้ว +3

    SHETANI NI BABA WA UWONGO
    NA NJAA NA UMASIKINI VITAWAPELEKA WENGI SANA JEHANAMU YAMKINI HATA WATAUWA DUUUU

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 2 ปีที่แล้ว

      Very true

    • @musokedios8162
      @musokedios8162 2 ปีที่แล้ว

      Acha wafunuliwe tupate kuwajua

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 2 ปีที่แล้ว

      @@musokedios8162 very good. Njia iendayo uzimani ni nyembamba na imesonga sana,waiendeayo ni wachache

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 ปีที่แล้ว

    Mungu wa Nabii Mkuu GeorDavie ndo BABA YANGU. 🇧🇮🇧🇮💯💯

  • @winnersstore9161
    @winnersstore9161 2 ปีที่แล้ว

    Sema hili li-MASHIMO linajua kushukuru sana aisee. Hapo lazima GeorDavie atoboke.

  • @godfreyamen1135
    @godfreyamen1135 2 ปีที่แล้ว

    Manabii wengi wanatoa ela kwenye mifuko ya watu,lakini Nabii mkuu anatoa kwenye mfuko wake anawapa wengine,ni mfano wa Yesu mwenyewe,Hiyo ni ngurumo kweli kweli

  • @godfreykitambo6238
    @godfreykitambo6238 2 ปีที่แล้ว

    Nabii mkuu wewe umetumwa na mungu kuwasaidi wanadamu

  • @titoantony3500
    @titoantony3500 2 ปีที่แล้ว +10

    Baba wewe ni wapekee sana katika Tanzania na Dunia Mungu akulinde zaidi na akuongezee umri mrefu kwani ni wengi tutapona

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 ปีที่แล้ว

    Ongera sana Nabii kusaidia wengi japo kuwa wengine wa namdharau

  • @stevenlaizer200
    @stevenlaizer200 2 ปีที่แล้ว +9

    Mh dr na nabii mkuu MUNGU aliyekuleta duniani aendelee kukuinua na kukutumia baba,nakupenda sana na nimependa consistency yako kwenye kumtumikia MUNGU kwa upendo ,uvumilivu ,unyenyekevu na upendo

  • @missk97
    @missk97 2 ปีที่แล้ว +2

    wakristo wengi..hawana YESU wa kwel mioyon mwao....wanaasujudu pastors

  • @ayubukaaya4576
    @ayubukaaya4576 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwenye haki wangu ataishi kwa imani yake

  • @johntesha6007
    @johntesha6007 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki baba yetu nabii mkuu

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 2 ปีที่แล้ว +12

    Much Respect to Our National Senior Prophet Geor Davie.

    • @millicentnyancheramaobe8863
      @millicentnyancheramaobe8863 2 ปีที่แล้ว

      Pastor pls nami pia ninaitaji kukumbukwa tena so uniombee

    • @khuzeimaabdul4275
      @khuzeimaabdul4275 2 ปีที่แล้ว

      Nabii wa kuvaa suti?hahah nani aliyempa huo unabii?mnajua nabii ama ndy wale wale na ww

    • @peteralbert5636
      @peteralbert5636 2 ปีที่แล้ว

      Ulitaka nabii avae bukta ndo ujue ni nabii!acheni roho za kwanini,geordav e ni nabii mkuu na itabakia hivyo,huamini hivyo nenda kanisani kwake ujionee matendo makuu ya Mungu,Mimi natamani angevaa dhahabu tupu ili watu wajifunze yakuwa kumtumikia Mungu sio kuchagua umaskini

  • @mwalongojulius1755
    @mwalongojulius1755 2 ปีที่แล้ว +1

    Unahekima ya ajabu sana ww mtumishi wa yesu alafu unanifanya nione mbali ndani ya yesu kuwa bado kuna watu wa yesu kama wewe bado mpo unafanya vzr sana kuutegemeza ufalme wa yesu nakupenda sana naomba tamka neno kwa ajili ya watumishi sisi tunaona roho ya yesu ipo ndani yako.

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 2 ปีที่แล้ว +6

    Mtumishi wa Mungu GeoDavie,ametoka kwa Mungu.Namkubali sn.Hana wivu wa maendeleo,ona anavyosaport neno la Mungu.

  • @volcanokitomary8941
    @volcanokitomary8941 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmmmmh wewe ni Nabii cjawahi kukutana na wewe ila nakukubali sanaaaa, Mungu akuinue zaidi Baba, kuna ndoto niliyo iyona miaka mingi sanaa juu yako ukiniagiza nifanye jambo flani bado naingojea hiyo ndoto.Mungu akupe maisha marefuu sana

  • @mbokaandbahatitv8509
    @mbokaandbahatitv8509 2 ปีที่แล้ว

    Nimetiwa moyo mtumishi wa Mungu na neno lako hili
    'kama hafai, nani anafaa?
    Looo ni neno kubwa sana, asante Yesu umenipa neema ya kusikia neno hili fupi lakni kubwa sana ndani yangu

  • @isayamwasile3103
    @isayamwasile3103 2 ปีที่แล้ว

    Ainuliwa Mungu wa nabii huyu apaliliaye maono ya watumishi wadogo,Ili kujenga misingi imara ya ufalme wa Mungu duniani

  • @ibenembassy
    @ibenembassy 2 ปีที่แล้ว +4

    Ghai... Mungu asaidie watu wake kwa kikosa maarifa Y
    esu Kristo ndo nabii wa Kweli

  • @kileodonasian6912
    @kileodonasian6912 2 ปีที่แล้ว

    Uishi milele Nabii Mkuu kwa upendo wa kristo ulionao kwa kuwainua watumishi wadogo kutimiza ndoto ya wito wao.Nakuombea maisha Marefu kama Ibrahimu by Pastor khileo.

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli Nabii mkuu nimefurahishwa sana na msaada wako kwa mch.mashimo anahubiri sana tena kwajuhudi lakn Leo mungu amemuona kupitia wewe usimuache

  • @josiahsimon5333
    @josiahsimon5333 2 ปีที่แล้ว

    Nabii Mkuu umegusa allocative efficiency ya kiroho kusema ufunguo sahihi upo na akili sana Nabii Mkuu You are great Farther

  • @motoulao3036
    @motoulao3036 2 ปีที่แล้ว +2

    Naitwa pastor Vincent, nakupongeza Sana nabii mkuu kwa jema ulilolifanya kwa mchungaji Mashimo kwa kuinua kazi ya Mungu anayoifanya, Mungu akupe maisha marefu na akawe adui wa adui zako.

  • @esthermwaibasa4778
    @esthermwaibasa4778 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubarki sana sana mtumishi wa Mungu kwa kusapport watumishi chipukizi ukweli kazi yako ni njema sana,Hii dunia watumishi wengi wamekuwa wabinafsi sana,wanapende wao wenyewe waonekane wamefanikiwa lakini hata kuwabariki watumishi wenzao nieshida na hata kuwasaidia waumini wao wasio na uwezo ni tabu,nimependa sana utumishi wako wa matendo tupendane na kuinuana maana wote sisi tunafanya kazi ya baba yetu mmoja,Ubarikiwe sana

  • @marthawaithera8602
    @marthawaithera8602 2 ปีที่แล้ว +3

    May God remember me too, in Jesus Mighty Name the Son of the Living Most High God.

  • @peteralbert5636
    @peteralbert5636 2 ปีที่แล้ว +5

    Walimpinga nabii mkuu Leo Mungu anawarejesha wote

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Wasio na mbele na Nyuma mie hawezi kunipata

  • @joycekelvin5434
    @joycekelvin5434 2 ปีที่แล้ว +4

    Sijaelewa hapo anamusujudu huyu jamaa au vipi, Mungu Anawez kufanikish a kazi yke kwa njia yoyote, hata Elia alipomkimbia yule mfalme Ahabu na kuelekea jangwan Mungu alimletea chakula kupitia kunguru, Mungu wenyew huwa anajipingania

    • @victoriajulius5072
      @victoriajulius5072 2 ปีที่แล้ว +1

      Yeye alilia na mungu na mungu akamtendea kupitia nabii na mm naiman amsujudii nabii bal anamsujudia mungu aliendan ya nabii

    • @joycekelvin5434
      @joycekelvin5434 2 ปีที่แล้ว +2

      Sawa Mungu ameleta Msaada kupitia yy lkn akutakiwa kumuaniamia ivyo huk utukufu na heshima angemrusdishia Mungu aliyafanikish kazi yke, ujui shetani Ana mbinu nying san za kuabuduniwa

    • @noahlomayani1193
      @noahlomayani1193 2 ปีที่แล้ว +2

      Ulikuwa unataka uabudiwe wewe au hujaelewa bado wew baki na ujinga wak

    • @joycekelvin5434
      @joycekelvin5434 2 ปีที่แล้ว

      Ww ndio mpumbav wa mwisho na ww nenda ukamuabudu maan ni mungu wko matako ww

    • @denisharris2889
      @denisharris2889 2 ปีที่แล้ว +2

      @@joycekelvin5434 Yohana 17:22
      "Nami UTUKUFU ule ulionipa nimewapa WAO; ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja."
      Uwe unasoma Maandiko kabla ya kuhukumu. Mungu yupo Kila mahali lakini Ukombozi wa Kila mtu hauko Kila mahali. Ndio maana Yesu anatuasa tuombeane sisi Kwa sisi. Muda ni Mwalimu Mzuri..Tafakari..

  • @dontheo4671
    @dontheo4671 2 ปีที่แล้ว +1

    This is Powerful Jamani., Mungu akubariki Sana Baba , unafanya mambo yanatisha .

  • @alfasaidiofficial5800
    @alfasaidiofficial5800 2 ปีที่แล้ว

    Unaomba Neea kwa mwanadamu Duh Mmmmh kwaiyoo mmeshindwa kumtafuta Mungu na kushidudia watu mch mashimo Una matatizo wewe kwa kwel Yesu amemuacha Una Muabudi Nabii mkuu ana Nabii mkuu Duniani akuna kazi mnayo wana wa Giza

    • @ngwanafabian4612
      @ngwanafabian4612 2 ปีที่แล้ว

      Kwa njaa hii shetani anaweza kufagia wachungaji na watumishi wote wanaopitia changamoto mbalimbali. Mungu haangalii moyo tu anaangalia na nje pia.

  • @frankjulius7978
    @frankjulius7978 2 ปีที่แล้ว +1

    Wame kusema vibaya wengi lakini sas wanaona kwa macho yao kazi unayo fanya kumtumikia Mungu

  • @prophetemanuelpaul8405
    @prophetemanuelpaul8405 2 ปีที่แล้ว

    Baba yetu Nabii Mkuu umekuwa baraka kubwa Sana kwangu na kwa watumishi wadogo wadogo mpaka machozi huwa yananitoka!

  • @coolzeddy_official9216
    @coolzeddy_official9216 2 ปีที่แล้ว +2

    So happy to be with Dad Geordaviour

  • @rosemaryikamba5288
    @rosemaryikamba5288 2 ปีที่แล้ว +2

    BABA YANGU NABII MKUU GEORDAVIE wewe ni WA Thamani Sana katika Maisha yetu MUNGU Azidi kukuifadhi na Kukutunza Maana hubagui huchagui unamuhudumia yeyote
    Asante Kwa kunithaminisha nimeheshimika na kukubalika katikati ya Mataifa 🙏🏾!!

    • @elizabethsingili8576
      @elizabethsingili8576 2 ปีที่แล้ว

      Rose samahani nisaidie namba ya huyu nabii

    • @bonifacebeatrice3981
      @bonifacebeatrice3981 2 ปีที่แล้ว

      Mungu a no atukumbusha ukikuta mpendwa au mshirika mwenzako Kroho anauhitaji na mwingne si mshirika nawe msaidie Kwanza mshika mwenzako ndipo umpe na yule mwingine ,Amen,GoeDev God bless you 🙏❤️🔥🔥🤝💪

  • @neemadickson3975
    @neemadickson3975 2 ปีที่แล้ว

    Amen barikiwa sana Nabii, napokea uponyaji kupitia madhabau hii

  • @samwelnuru6571
    @samwelnuru6571 2 ปีที่แล้ว +1

    Nabii mkuu mm Ni kituguu kwako kiroho nimezaliwa na nabii Ernesti Zakaria ambaye Ni mjukuu wako tunamtukuza mungu kwaajili yako unatupa moyo Sana baba

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 2 ปีที่แล้ว +6

    Hallelujah Amen 🙏

  • @prophetemanuelpaul8405
    @prophetemanuelpaul8405 2 ปีที่แล้ว

    huwa sichoki kusema umetumwa na Mungu kweli kweli Baba yetu Nabii Mkuu

  • @harriethngaiza9863
    @harriethngaiza9863 2 ปีที่แล้ว

    Bwana yesu asifiwe baba nami napokea kwa jina la yesu

  • @godlistendiah3563
    @godlistendiah3563 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe Sana Nabii Mkuu

  • @shedrackmmary9724
    @shedrackmmary9724 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mno mno nabii wa Mungu!!

  • @thesonofapostle1009
    @thesonofapostle1009 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana Baba kwakutuona Vijana na kukithamini tulichokibeba Tuna haja ya kujifunza kutoka Kwako katika Maisha yetu na Huduma Zamu Yangu inakuja

  • @danfordmahumi232
    @danfordmahumi232 2 ปีที่แล้ว

    Asante Nabii mkuu kwa upendo mkuu

  • @joelyjoely7827
    @joelyjoely7827 2 ปีที่แล้ว +2

    MANABII BABA LAO

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Pesa ina sauti tayari Mashomo katekwa sababu ya umasikini,Watakuja wengi tu

  • @venancjoseph1498
    @venancjoseph1498 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nipo msumbiji naona kazi zako nabii mkuu .ubarikiwe

  • @mkamamkengeji4240
    @mkamamkengeji4240 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa kama Mungu kakutuma kweli uwe nabii lakini kama sio Mungu atuwezi kujua mengi zaidi

  • @venancjoseph1498
    @venancjoseph1498 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana . moyo huwa ni tofauti na wanabii wengine mtumishi amen,,,

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 2 ปีที่แล้ว +2

    Binafsi nimekukubali sana sana kumsaidia mashimo Ili asiwe omba omba.ameni ameni ameni.mungu

  • @aminakupila3079
    @aminakupila3079 2 ปีที่แล้ว +3

    Hallelujah 🥰🥰🥰🔥🔥🔥🙏🙏🙏

  • @nehemiakahangwa1091
    @nehemiakahangwa1091 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha malefu nimaombi yangu mungu ametuinulia nabii katika taifa ili

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Njaa hiyo Mashimo,Kumbe si Wa Mungu

  • @LydiaOnesmo
    @LydiaOnesmo 2 ปีที่แล้ว

    Amina Mungu anatenda

  • @shiojoseph1761
    @shiojoseph1761 2 ปีที่แล้ว

    Na biii munguuu akupee miakamingi naomba msadaa wa uruma yamungu ninamaisha magu sana mchungaji

  • @felisterligazio9925
    @felisterligazio9925 2 ปีที่แล้ว

    Amina baba Nabii, napenda sana nikipata neema nifike huko Arusha nikuone live, maana nahitaji Sana neema ya Mungu

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 2 ปีที่แล้ว +1

    Prophet keep blessing servants of God, your work speaks louder than words, you are a blessing to our nation

  • @vicentkweka8619
    @vicentkweka8619 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi

  • @patricktarimo2699
    @patricktarimo2699 2 ปีที่แล้ว

    Natamani sana na mimi siku moja nikanyage madhabahu ya nabii mkuu

  • @kaijagepaulmungunisaidie2598
    @kaijagepaulmungunisaidie2598 2 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe munguu akuongeze miaka 10000🙏🙏

  • @dennismurunga1656
    @dennismurunga1656 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba nabi Mukuu wacha Mungu abariki maubiri yako

  • @mwanahamisbwanga1184
    @mwanahamisbwanga1184 2 ปีที่แล้ว

    Babaaa Geordev barikiwa sanaaa 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @pastorypatrick9472
    @pastorypatrick9472 2 ปีที่แล้ว

    Mch Mashimo nilikuwa namchukulia kawaida sana ila nimemuheshimu kwa kuwa ametumia hekima na kupangilia maneno yanayostahili pahala fulani kwa wakati uliopo.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Anatafuta msaada ndiyo maana amecuchumaa

  • @davidwashe1194
    @davidwashe1194 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏

  • @ignaspius
    @ignaspius 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏amina

  • @mashiassenga8849
    @mashiassenga8849 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 mtumishi naomba ata mm Mungu anikumbuke amen 🙏

  • @meshackngao4311
    @meshackngao4311 2 ปีที่แล้ว

    Amina mungu Akupe Miaka Mingi

  • @brightonanold4535
    @brightonanold4535 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe baba

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu.

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว +2

    Hapa Ndo nimeamini Wanaume wanapenda misifa saana,Mashimo una akili saana umempa sifa amekutimizia shida zako japo Kwa Yesu Kristo byee byee

  • @chalessabaya2938
    @chalessabaya2938 2 ปีที่แล้ว

    Baba wasipo kuelewa Yesu Kristo aliekuita anakuelewa na sisi pia tunakuelewa

  • @peterlucas2461
    @peterlucas2461 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen baba 🙏

  • @mwalimuselemankasangani2074
    @mwalimuselemankasangani2074 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana baba

  • @ilungasalle
    @ilungasalle 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu pekee ndiye astailiye kusujudiwa

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Wanadamu acha tu Kumuona Mungu itakuwa ni kazi nzito

  • @RobbyMedia572
    @RobbyMedia572 2 ปีที่แล้ว

    mwenyez mungu nkumbuke

  • @nellykitenge2768
    @nellykitenge2768 2 ปีที่แล้ว

    Kweli baba mungu anaangaliya tu moyo tu baba

  • @ashurakiswamba7085
    @ashurakiswamba7085 2 ปีที่แล้ว

    Nabii nibariki na. Mombo yangu

  • @magrethmollel1078
    @magrethmollel1078 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani nyie watumishi ambao hamjaitwa mna kazi yaani unaenda kumuomba mwanadamu mwenzio akupandishe uwezo wa kumtumikia Mungu sielewi hii imekaaje

  • @priscajohn6090
    @priscajohn6090 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akuinuwe zaidi baba' Napenda kwa sapoti yako kwa watu

  • @prophetmusasimon9281
    @prophetmusasimon9281 2 ปีที่แล้ว

    Amen Dady

  • @lukaqwendo4792
    @lukaqwendo4792 2 ปีที่แล้ว

    Naomba nabii mkuu

  • @missk97
    @missk97 2 ปีที่แล้ว

    kupenda fame sana...

  • @nehemiakahangwa1091
    @nehemiakahangwa1091 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa

  • @masterlasway4853
    @masterlasway4853 2 ปีที่แล้ว

    Nataman siku mungu anijalie uzima nifike kanisan kwako baba ata nikushike mkono tu nakufuatilia sana vipindi vyako

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Wahi na lile joka tu siku hiyo hiyo litakupenyw

  • @fadhilishabani4368
    @fadhilishabani4368 2 ปีที่แล้ว

    I Admire ✊✊✊

  • @mugema9813
    @mugema9813 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashimo ni msanii kama wasanii wengine

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa alijua atapata msaada kumtaja Geodavi

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki kuwatia moyo watumishi wadogo

  • @isackmoris1927
    @isackmoris1927 2 ปีที่แล้ว +5

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hakika mwisho ukaribu

    • @paulkale4934
      @paulkale4934 2 ปีที่แล้ว

      Kwahyo

    • @joycekelvin5434
      @joycekelvin5434 2 ปีที่แล้ว +2

      Unakumbusha tu uamuz ni wko

    • @patrickmligo9335
      @patrickmligo9335 2 ปีที่แล้ว

      Kwahio ulikuwa unasemaje kama bado hujitambui muache Nabii Mkuu afanye kazi yake tunamhitaji Mtumishi wa MUNGU kama huyu kwa wakati huu katika Taifa la Tanzania na Africa

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 2 ปีที่แล้ว

      @@paulkale4934 pumzika

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Mwisho umekaribia,asomaye na aelewe mashimo kayafanya makusudi

  • @frankjulius7978
    @frankjulius7978 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki kwa huduma hii ya kuwa saidia vijana. Mungu akutunze

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 2 ปีที่แล้ว

    Mungu qkubariki mtumishi

  • @ezekieljob8679
    @ezekieljob8679 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana prophet

  • @jumagubert5552
    @jumagubert5552 2 ปีที่แล้ว

    Baba nikumbuke na mimi

  • @neemadickson4068
    @neemadickson4068 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana

  • @juliussuleiman3999
    @juliussuleiman3999 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana, Mungu wetu ni mwema cku zote

  • @yodoshatv5537
    @yodoshatv5537 2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi Naitwa Yona ni mchungaji nipo Arusha Kikatiti. Kuna jambo ambalo walio wengi hawalioni kwa mtumishi huyo G. Devi. Napenda kusema kuwa huyu ni mtumixhi wa kipekee sana Tanzania maana nimekuwa namfwatilia sana na nimegundua kuwa anapenda kuangalia shida na matatizo ya watu na kushughulika nayo kuliko kawaida. NAMPENDA SANA Anaongea machache anatenda makubwa!. Mungu ambariki

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Kusaidia watu si Lazima umjue Mungu,Hata wasiookoka wanafanya hivyo hiyo isikupe Headache,Je anaitangaza kweli ya Mungu hata kama anatoa magari na pesa??

  • @jerryjuma1339
    @jerryjuma1339 2 ปีที่แล้ว +5

    huyo nabii mnaemuita eti nabii mkuu binafsi hajapata kibali moyoni mwangu, namaanisha huyu ndugu sijaamini kwamba nimtumishi wa Mungu wa kweli