Maombi ya Urejesho 2021 by Innocent Morris
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- Maombi ya Urejesho 2021 by Innocent Morris
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
TH-cam Link:
/ holyspiritconnect
Bwana yesu nimekuja mbele yako nkiwa na imani yakwamba nitarejeshewa kipawa changu ..Mtumishi barikiwa sana kwa hii mafundisho hadi maombi
Naomba nirejeshewe vyote vilivyoibiwa katika jina la Yesu amen
Namba urejesho wa kila nilichoibiwa kwangu kwa jina la Yesu na kwa damu ya Yesu kristo!
Eeh YESU 👏👏naomba unipe kibali na neema Cha urejesho wa Kila eneo la maisha yangu Imani yangu na matendo pia👏yapate kibali mbele ya uso wakoo...unisaidie Mungu kunipa kusudi la mahitaji ya Maombi yangu na wengine pia wenye Tumain kwako🙏🙏👏👏👏
Baba naomba urejesho kwa kir kila kitu kiricho kiricho potea kwa Jina Yesu Asa nte Mungu
Asante bwanayesu kunipa urejesho kwa kila eneo la maisha yangu Ameen
Bwana yesu naomb urejesh wa ndoa ya na biashara yang
Eee MUNGU baba naomba unirejeshee vilivyoibiwa na shetani katika jina la Yesu amen
Yesu naomba nirejeshee vyote vilivoibiwa kutoka kwangu
ASANTE SANA BWANA YESU KUNIREJESHEA VYOTE VILIVYOIBIWA.NAPOKEA UREJESHO KWA IMANI NAME. NA KWA DAMU DAMU AZIZI YA YESU . KRISTO AMEEN.BARIKIWA SANA PASTOR.
Wewe umekuwa wa baraka tele kwa mafunzo yako mchungaji, Mungu akuzidishie neema.
Ahsante Bwana Yesu Kwa kua unerejesha kila kilichopotea katika maisha yangu.
Ameeeeeeeen thank you dear lord kwa kurudisha vitu zangu ambazo ulibiwa leo kwenye ndoto na nyewele zangu ambazo pia zilinyolewa leo kwa ndoto nashukuru kwa sababu na amini zimerudishiwa
Kwa jina la Yesu kristo Yesu tunakutukuza
Naomba urejesho wa afya yangu,urejesho ktk upendo wa familia,
Amina naamini naomba kibali Cha kulejeshewa mme wngu na kiwanja cha mwanangu
Asante Mungu kwa zawadi ya Mapendo na baraka zako nakushuru
Amina mtumishi mungu akubariki mno kwa hili ninauona mkono wa bwana
Thank you Barikiwa kwa neno Nzuri shidi na kutuombea
Ameen
Nashukur bwana yesu A sante kwayote unayo tenda
Hio ni kweli shetani uaza kidogo kidogo
Asante Bwana Yesu, Asante Bwana Yesu umenirejeshea vyote Ameeen
Mungu wangu ahsante Kwa urejesho huu
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa maombi mazuri sana, yamenibariki sana. Long live
Naomba urejesho katika maisha yangu,, katika Kazi yangu katika uhusiano wangu in Jesus mighty name 🙏🙏🙏
Amen amen. Mungu nakushukuru kwa urejesho wa kila kilichokuwa kimepotea kwenye maisha yangu. Mungu akubariki sana Innocent.
Amen
Powerful prayer god bless you
GOD not god servant of GOD☺️
Amen, ahsante Bwana Yesu kwa urejesho na kibali kwenye kila eneo la maisha yangu🙏🙏🙏
Kupitia hii channel nimekuwa sana kiimani pia kiroho sifa na utukufu kwake ee bwana
Ahsante mtumishi kwa mafundisho yako, nafunuliwa mengi kupitia wewe. Mungu azidi kukutumia jinsi anavyopenda. Your teachings are unique and so blessing 🙏🏽
Ninaomba urejesha wa ndoa yangu ...mme wangu afunguke kuja kwenye inchi yangu
Nashukuru Sana kwa maombi haya bwana akika anatenda🙏🙏🙏
Man of God, the most High God Jesus Christ..thank you. Nimefatilia maombi hadi mwisho na kusema ukweli nahisi kua mwepesi.. Mungu amenifungua.. praise and glory to God. Asante sana mtumishi wa Mungu alie hai na uzidi kubarikiwa. Kenyan....Following from Qatar
Ameen
Hallelujah asante mungu pekee kufundisha neno lakn qaswida damu ya yesu god bless you asante sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥
Amen
MUNGU siyo mungu
Na YESU siyo yesu
Asante YESU kwa kurejesha kila kilicho changu
Naomba urejesho was vitu vyangu vyote vilivyoibiwa kwa jina La yesu aliye haii
To Jesus be the Glory always
Ameen
Eeh Mungu ninaomba urejesho Katika maisha yangu
Amen
Thanks bro jah bless ❤
Ninaomba Urejesho Kwenye Kazi yangu 🙏
Amen
Nanaomba urejesho wakukubalika watu sahihi na fahamu za watt wangu darasan
Katika Jina laYESU KRISTO narejesha kila kitu nilichoibiwa, nyanganywa katika jina la YESU KRISTO
Amen
Amen
Amen🙏
"NITAKURUDISHIA" Amen🙌
Amen
Ameeen ubarikiwe mtumishi
Amen
Asante kwa urejesho katika kila eneo la maisha yangu , na naomba mawasiliano ya simu moja kwa moja
AMEN. GLORY TO THE HOLY GHOST
Asante Yesu this week I’m going to receive all my blocked mails in the mighty Name of Jesus Christ
Amen
Asante MUNGU AKUBARIKI SANA
Ameen
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Ameeen🙌
Naombaabariyasamianaulemtotowasikutatu
🤣🤣Pepo zinataka kumsaidia Mungu kazi😂😂
Mtumishi ntumie namba yako mume wangu anaiomba sasa mwaka wa tatu nakufatilia umefanyika baraka katika maisha yetu namba ya sadaka
Ameeeeen
Ameeen👏👏
Amen
@@holyspiritconnect amen
Ameen
Amen
Amen
Mungu naomba virejeshwe vyote vilivyo ibiwa katika jina la yesu na jua nivingi sana idadi unaijua wewe mungu wangu
Amen
Amen
Amen