JINSI YA KUONGEA NA MUNGU KAMA RAFIKI - Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • JINSI YA KUONGEA NA MUNGU KAMA RAFIKI - Innocent Morris
    Katika somo hili utajifunza vitu vingi sana vitavyokusaidia katika mahusiano yako na Mungu. Somo hili ni maalum kwa ajili ya kujifunza jinsi ya kujenga mahusiano yako na Mungu.
    Ubarikiwe sana.
    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    TH-cam Link:
    / holyspiritconnect
    #holyspiritconnect #innocentmorris

ความคิดเห็น • 176

  • @modestarantony6964
    @modestarantony6964 20 วันที่ผ่านมา +15

    Ee. YESU nipe neema ya kuwa Rafiki yako siku zote za maisha yangu nikuelezee mambo yangu yote maana wewe ni Rafiki mzuri katika maisha yangu

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  20 วันที่ผ่านมา

      Ameen ameeen

    • @samuelbahati7976
      @samuelbahati7976 18 วันที่ผ่านมา +1

      Amen

    • @RoseKageza
      @RoseKageza 9 วันที่ผ่านมา

      Ee Yesu ,bwana wangu ,nataka uwe rafiki yangu kweli ili unisaidie katika maisha yangu siku zote,nakupenda bwana wangu Yesu Kristo.

  • @josephinamilwano1556
    @josephinamilwano1556 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu wa mbinguni akutunze na kukuinua zaidi somo lako limenibariki sanaaa Naomba Roho Mtakatifu anisaidie kuujenga urafiki na YESU

  • @JeniferShirima
    @JeniferShirima 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu nipe neema ya kuwa Rafiki yako.

  • @jacklineelias3091
    @jacklineelias3091 3 วันที่ผ่านมา

    Amina mtumishi wangu ee mungu naomba baraka juu ya maisha yangu najikabidhisha mikononi mwako

  • @christinamyegeta3527
    @christinamyegeta3527 16 วันที่ผ่านมา +1

    Barikiwa mtumishi kwa mafundisho mazuri tunahuishwa kila siku

  • @MusindoJuma
    @MusindoJuma 5 วันที่ผ่านมา +1

    Asante kwa ujumbe huu Mungu nijalie neema niwe rafiki yako

  • @ChristinaChristianajoinmagari
    @ChristinaChristianajoinmagari 15 วันที่ผ่านมา +1

    Napenda sana kuwa lafiki wa yesu maana alinilipia deni la dhambi

  • @judithisaya016
    @judithisaya016 9 วันที่ผ่านมา

    Amina mtumishi nimependa sana somo hili limenibariki sana!

  • @user-dh3ww2lg3o
    @user-dh3ww2lg3o 3 วันที่ผ่านมา

    Nayakubali mafundisho yako mchungaji Mungu akulinde uendelee kutufundisha tunayostili kuyafanya,Mungu akubariki

  • @kalalambuyumadeleine5050
    @kalalambuyumadeleine5050 14 วันที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe sana mutumishi

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 2 วันที่ผ่านมา

    Ee Yesu rafiki yangu mpenzi, nakukaribisha

  • @angelmyatiro2764
    @angelmyatiro2764 วันที่ผ่านมา

    Thank you Almighty Lord for this blessing of getting to know you through your servant 🙏🏽Asante sana Yesu mwana wa Mungu aliye hai

  • @user-vr1th4vd4b
    @user-vr1th4vd4b 8 วันที่ผ่านมา +1

    Eeh Bwana yesu ninaomba kuanzia leo ww uwe rafiki yangu Baba uniongoze vyema

  • @leonardanzurunipombi2499
    @leonardanzurunipombi2499 12 วันที่ผ่านมา +1

    Asante Yesu rafiki wa Karibu

  • @tullyibrahim8098
    @tullyibrahim8098 8 วันที่ผ่านมา

    Asante Roho mtakatifu kwa kunifundisha kwa lugha nyepesi na rahisii.. YESU kuanzia sasa mimi ni rafiki yako nipokee

  • @NemayaAbedi-lk9lo
    @NemayaAbedi-lk9lo 3 วันที่ผ่านมา

    Asante sana kwasababu sikukuwa na juwa Kama Nina pwasa kumwambia Mungu mambo yangu , Nime shukuru sana kwamafundisho yako.

  • @user-dh3ww2lg3o
    @user-dh3ww2lg3o 3 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi nimempokea Bwana Yesu kwa moyo wangu

  • @TediSadoki
    @TediSadoki 7 วันที่ผ่านมา +1

    Hakika umenisaidi zaidinaitaji kuwa rafiki wa yesu na yesu awe rafiki yangu wakunijurisha siku zote zamaisha yangu

  • @gracejonh4022
    @gracejonh4022 7 วันที่ผ่านมา

    Asante yesu asante sn ww ni rafk mwema

  • @BiataDule
    @BiataDule 14 วันที่ผ่านมา

    Asante mtumixhi mungu akubaliki umenifnza kitu kizuri kuanzia sasa yesu ni lafiki yangu mzuri nampenda sana

  • @ChristineEketo
    @ChristineEketo 16 วันที่ผ่านมา +1

    Nimempokeya bwana yesu

  • @eliudfelician5057
    @eliudfelician5057 15 วันที่ผ่านมา +2

    Asante BWANA YESU wewe ni rafiki yangu siku zote Ninapenda sana Rafiki wa Moyo wangu naomba ukae kwangu nami ndani yako milele

  • @oman5875
    @oman5875 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ee Rafiki yangu kipenzi changu wa maisha yangu nitakupenda siku zangu zote za maisha yangu ninaomba ukawe nami daima milele na milele 🙏🏿🧎

  • @MilkahsimiyuMilkah
    @MilkahsimiyuMilkah 19 วันที่ผ่านมา

    Asante sana mtumishi wa mungu na mungu akuinue zaidi umenijenga kiroho

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu 19 วันที่ผ่านมา +1

    God bless you 🙏👏god is my friend

  • @Nazareth-p4p
    @Nazareth-p4p 16 วันที่ผ่านมา +1

    Amina Amina

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 7 วันที่ผ่านมา

    Nimekupenda bure Mungu awe nawe katika kila jambo

  • @christinechambuni9060
    @christinechambuni9060 10 วันที่ผ่านมา

    Amen And Amen Yesu ni rafiki wa kweli

  • @warshatissa7128
    @warshatissa7128 18 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana yesu tembea nasi. Kaa Nami uniongoze katika maisha Yangu yote ameen

  • @veronicachuwa4064
    @veronicachuwa4064 16 วันที่ผ่านมา

    😢Amina mtumishi wa mungu ubarikiwe sana

  • @NivessKomba
    @NivessKomba 17 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi wa Mungu Asante sana kwa mafundisho mazuri.

  • @CHW191
    @CHW191 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akuongezee siku nyingi za kuishi ili kwa kinywa chako mtumishi tuzidi kupata maarifa ya ki mungu Amen

  • @GiftJohnson-e5t
    @GiftJohnson-e5t 19 วันที่ผ่านมา +1

    Amina

  • @SarahKadafu-ps1xk
    @SarahKadafu-ps1xk 15 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba Yesu uwe rafiki wa kweli kwenye maisha yangu nakuamini sana kwamba wew ni rafiki wa pekee kwangu🙏🙏

  • @queenmwanzia3283
    @queenmwanzia3283 วันที่ผ่านมา

    Yesu rafiki yangu mzuri

  • @adelphinagallet9331
    @adelphinagallet9331 17 วันที่ผ่านมา

    Pastor ahsante Sana kwa somo zuri

  • @queenmwanzia3283
    @queenmwanzia3283 วันที่ผ่านมา

    Kutana na maitaji yangu masaaa haya eeeeh mungu wangu

  • @samuelbahati7976
    @samuelbahati7976 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ee Jehova nakusihi uwe rafiki yangu daima na milele Amen.

  • @user-xv4dz6vj1h
    @user-xv4dz6vj1h 20 วันที่ผ่านมา +2

    MTUMISHI ASANTE SANA

  • @EvahTendwa
    @EvahTendwa 17 วันที่ผ่านมา +1

    Amina kubwa mtumish mungu azidi kkbariki, na kuendelea kkpa maarifa zaidi ili tuzizi kuelimishwa. 5:22

  • @NivessKomba
    @NivessKomba 17 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana YESU naomba uwe Rafiki yangu wa kweli ktk maisha yangu na uzao wangu.

  • @beatricenyiro5913
    @beatricenyiro5913 16 วันที่ผ่านมา +1

    Amen and Amen 🙏

  • @portershouseconsult
    @portershouseconsult 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akutunze nakuombea katka jna la YESU ❤❤❤

  • @eliudfelician5057
    @eliudfelician5057 15 วันที่ผ่านมา

    Asante Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana

  • @AngelJerome-k6x
    @AngelJerome-k6x 16 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe pastor umenifungua

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 16 วันที่ผ่านมา

    Yesu naenda na wewe

  • @user-yh5ds8ck1e
    @user-yh5ds8ck1e 4 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi nimempokea bwana yesu

  • @kalalambuyumadeleine5050
    @kalalambuyumadeleine5050 14 วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @HappyBuffalo-yt7wf
    @HappyBuffalo-yt7wf 8 วันที่ผ่านมา

    Mimi nataka kujua unapatikana wapi haya ndiyo mafundishooo
    Mungu akubariki sana

  • @niymaedwin4297
    @niymaedwin4297 20 วันที่ผ่านมา +2

    Nimtoe wapi rafiki wa kweli kama Yesu Eeeh Roho mtakatifu naomba unifanye 1 kati ya rafiki zako nakupenda 🙏❤️🎉

  • @Suleimanhakimu
    @Suleimanhakimu 12 วันที่ผ่านมา

    Amina amina amina kweli kweli umenivusha umeniongezea hatua kwenye safari yangu ya imani ktk Kristo yesu umenigusa ndani ya kilindi cha moyo wangu asilimia kubwa nashindwa kuelezea hisia kwa kadiri nilivyoguswa na somo hili zuri mno❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.ahsante bwana mungu ktk kristo,pia imeandikwa japo sipo nanyi lakini nipo nanyi kiroho naamini nimeeleweka vyema ktk kristo yesu.

  • @evelynmbeyu8309
    @evelynmbeyu8309 20 วันที่ผ่านมา +4

    Ewe Mwenyezi Mungu ninakuomba uwe Rafiki yangu wa kweli katika jina la Yesu Kristo Amen Amen 🙏 🙏 Amen Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 and Ameeeeen

  • @KamiyattiNamusisi
    @KamiyattiNamusisi 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ee rafiki yangu,
    Mamayangu
    Babayangu
    Baba wayatima nijaze imani
    Nibariki na unisaidie nikumbuke baba naharibu mno nimechoka

  • @deosteriahamisi9950
    @deosteriahamisi9950 18 วันที่ผ่านมา

    Ahsante Bwana YESU kwa kunipenda hata ukaruhusu nisikie na kujifunza somo hili zuri

  • @PauloShemzize
    @PauloShemzize 11 วันที่ผ่านมา

    Sawa mtumwa wa kristo nimekuelewa

  • @MarianaMajenga-uu2wj
    @MarianaMajenga-uu2wj 20 วันที่ผ่านมา +1

    Asante mtumishi kwa neno la kujenga mahusianona Yesu ambaye ni rafiki wa kweli.Mungu niwezeshe Nitshill kama neno linavyonena nwe rafiki wa kweli wa Bwana Yesu ,Amena.

  • @NiyonkuruSalehe
    @NiyonkuruSalehe 10 วันที่ผ่านมา

    Hivi kusema ukwer watumishi wote wa Mungu wangekua watufundisha yalio sahihi kama haya kwer tungefika mbinguni bila kuchoka sana ubarikiw sana Mtu wa Mungu kwer ningejua uliko nikukununulia ka soda basi maana umeufariji moyo wangu ni yesu ameongea kupitia wew❤

  • @rachelmurianga7261
    @rachelmurianga7261 12 วันที่ผ่านมา

    Ee Mungu wangu naomba uwe rafiki yangu wa karibu sana uwe mwandani wangu wa karibu sana ,

  • @Bahati-ho3zv
    @Bahati-ho3zv 20 วันที่ผ่านมา +2

    Ee YESU nipe Neema ya kuwa Rafiki yangu siku zote.

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 16 วันที่ผ่านมา

    Asante YESU

  • @KyondwaBrigitte
    @KyondwaBrigitte 15 วันที่ผ่านมา

    Nakupenda Yesu na uniongoze ili nipate kuongeya na wewe kama rafiki maishani mwangu.

  • @HejJsj-hv5it
    @HejJsj-hv5it 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu nifanye kuwa rafiki yako wa karibu I love you Jesus

  • @leahtitiha2445
    @leahtitiha2445 20 วันที่ผ่านมา

    Amen Mchungaji, barikiwa sana kwa ujumbe huu wa mafunzo ya kutujenga kwa maisha yetu ya kiroho!!
    🙏🙏🙏

  • @doreenjane3215
    @doreenjane3215 18 วันที่ผ่านมา

    Nimeshuku sana Leo juu nimejua vile utakuwa rafiki yangu ya kweli nimeshuru sana kutoka Leo mpaka siku sote za maisha yangu ,yesu utakuwa rafiki wangu 🙏🙏🙏

  • @alizakayo3963
    @alizakayo3963 13 วันที่ผ่านมา

    Very true God is a good friend 🙏🙏🙏🙏

  • @yvettemamdogo2289
    @yvettemamdogo2289 20 วันที่ผ่านมา +1

    Yes na penda uwe rafikiya yangu wa kweli , Amen 🙏🏾

  • @AnnaSamwel-ww6nk
    @AnnaSamwel-ww6nk 20 วันที่ผ่านมา +1

    Nakupenda yesu wewe rafiki wa kweli, natamani nikupende zaidi na nikijue nikumimbilie na nidumu ktk pendo lako😊

  • @NellyKombe
    @NellyKombe 20 วันที่ผ่านมา +1

    Amina MUNGU akubariki mtumishi kwa kweli nimepata kitu

  • @EsterYohani-l3h
    @EsterYohani-l3h 4 วันที่ผ่านมา

    Amina, barikiw

  • @graysonkatunzi5950
    @graysonkatunzi5950 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu wa mbinguni naomba unifanye kuwa rafiki yako wa milele

  • @OliviaNdosi-hr8wx
    @OliviaNdosi-hr8wx 20 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu nipe NEEMA ya kuwa rafiki na wewe

  • @warshatissa7128
    @warshatissa7128 18 วันที่ผ่านมา

    Hakika bwana yesu wewe ni rafiki mwema naomba nikuelezee mambo Yangu Leo. Nakupenda yesu

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 20 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu wambinguni wewe ndo rafiki wa kweri na familia yangu kazi yangu Amen

  • @annegunga3738
    @annegunga3738 19 วันที่ผ่านมา

    Ee Mungu ninakuamini sana,naomba uwe rafiki yangu milele

  • @elkanamange5245
    @elkanamange5245 16 วันที่ผ่านมา

    Amen ,,,,Yesu nifanye kuwa rafiki wa maisha yang yote

  • @annadadi3427
    @annadadi3427 20 วันที่ผ่านมา +1

    ❤Naomba unifanye kuwa Rafiki wa karibu nawe Yesu

  • @dainesykalinga7133
    @dainesykalinga7133 20 วันที่ผ่านมา +1

    Amina AMINA NAOMBA KUKUJUA ZAIDI YESU

  • @neemalety5600
    @neemalety5600 19 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen 🙏🙏

  • @allenjohn4328
    @allenjohn4328 20 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana Yesu nifanye niwe rafiki wako wa karibu

  • @AsilaKagambo-uv2ff
    @AsilaKagambo-uv2ff 14 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu nifanye Mimi kuwa rafiki yako Mimi na watoto wangu

  • @monicamamati3135
    @monicamamati3135 20 วันที่ผ่านมา +1

    Eeh mungu naomba uwe rafiki wangu wakaribu tena sana niwe nakuambia siri ya moyo wangu yote

  • @innocentkituma2714
    @innocentkituma2714 20 วันที่ผ่านมา +1

    Amen Amen Amen Asante Yesu kwa Neno hill

  • @annadadi3427
    @annadadi3427 20 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba nifanye kuwa rafiki wa Karibu nawe Mungu❤

  • @JosephinaMjema
    @JosephinaMjema 19 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa mtumishi ,Yesu ni rafiki yangu

  • @FridahFridahcent-qk8hw
    @FridahFridahcent-qk8hw 20 วันที่ผ่านมา +1

    Amen, nimependa hii barikiwa sana mtumishi wa MUNGU

  • @daniellamamiro8388
    @daniellamamiro8388 19 วันที่ผ่านมา

    Amen, hili somo limenijia wakati muafaka

  • @RenidaMassawe
    @RenidaMassawe 14 วันที่ผ่านมา

    Asante Yesu kwa kuwa wewew ni rafiki wa kweli

  • @rosemshana1712
    @rosemshana1712 11 วันที่ผ่านมา

    Yesu Kristo wewe ni rafiki wangu wa kweli.

  • @EUNICERATEMO-fq3ri
    @EUNICERATEMO-fq3ri 20 วันที่ผ่านมา +1

    Halleluya halleluya rafiki wa kweli n yes tu

  • @KarolinaOman
    @KarolinaOman 19 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi nimempokea bwana yesu katika maisha yangu yote

  • @rhabrhab1797
    @rhabrhab1797 15 วันที่ผ่านมา

    Amen eemungu nisaidie naunipe kiu ya kukujua wewe ili niwe Rafiki uako

  • @KennedyOdari-nc6mw
    @KennedyOdari-nc6mw 19 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏

  • @GomelliaNgoie
    @GomelliaNgoie 17 วันที่ผ่านมา

    Namupenda yesu kiuwa rafiki yangukila siku yamaisha yangu

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 20 วันที่ผ่านมา +1

    Uwe kila kitu kwangu Ee YESU wangu. Nisikufiche jambo lolote kwa kuwa uu rafiki mwema

  • @JaneMajula
    @JaneMajula 20 วันที่ผ่านมา +2

    Amee

  • @user-cm7np5up3t
    @user-cm7np5up3t 16 วันที่ผ่านมา

    Naomba emanuel akawe rafiki wa yesu

  • @fridalyanguka1733
    @fridalyanguka1733 9 วันที่ผ่านมา

    Yesu ameundwa kaka hajawahi kuwepo huo ni uzushi wa Waandishi Yer 8:8

  • @user-pq9be8re6i
    @user-pq9be8re6i 20 วันที่ผ่านมา +1

    Rafiki mwema siku zote

  • @user-lz2tp4il5v
    @user-lz2tp4il5v 19 วันที่ผ่านมา

    Mimi naitaji maombi naniwe karibu na Mungu awe rafiki yangu milele🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️

  • @GraceSambula
    @GraceSambula 20 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana yesu nisaitie nikue rafiki yako sikuzote