Hongera sana kaka yangu Chris.Nafurahia uwepo wako.ulivyokuwa zamani ndivyo ulivyo hujabadirila.mcheshi,mpenda watu,mwenye huruma.Ngwembe kama Ngwembe Mungu akutunze.
Hii ni big up kwa kweli safi nimependa upambanaji wake kuacha kazi na kufanya biashara watu huwa wanaona kama ajabu, kitu nikuamua tu safi sana kaka umeniongezea sivi ya kuendelea kupambana waoo
Hongera sana broo kwakwel umenifumbua macho niongeze bidii ya kupambana kwenye biashara yang kwakwel waliomsikiliza broo wetu naamn hawatokata tamaa ameamsha watu weng walioanza kukata tamaa asante sana nakushukr sana napia nawashukuru wote mulioamn kiiman mung awabariki🙏🙏
Nimemuelewa sn na nimejifunza sn na kanipa nguvu mara mbili ya kupambana yuko vzr interview yenye faida sn kwangu mb zimeenda kwa faida Asante sn Millard 💕
Big up brother na big up kwa Ayo TV Ayo TV inapambana kuonyesha chachu ya maisha kuliko kukata tamaa na kujibweteka vijana tupambane tuache kupoteza muda muda nimali sana usikubali kuwa mzigo au tegemezi tumia vyema nafasi yako ulipo kuweza fika utakapo kila kitu hakikosi kikwazo
Ni kweli kabisa ,hakuna asiyetaka ueekezaji shida ni aina ya mikataba. Kila mtu anapenda uwekezaji wa kuboresha. Hata wahindi walioichukua Railways TRC walikuwa wawekezaji.
Kweli kabisa. Ukifanya kazi huwezi kushindwa kutoboa. Tatizo wabongo tunataka tuanze na mtaji wa mamilionina hatuna uvumilivu wa kuanzia chini tukainuka taratibu
Naongezea hapo tatizo wabongo tukitoboa starehe zinakuwa nyingi sana. Angalia huyu kaka ni mfano wa kuigwa katengana na mke wake lakini anaijali familia yake bado. Ndo maana kafika mbali na ataendelea kufika mbali
Kujiamini, kuthubutu na juhudi ktk kazi na iman ktk unachokifanya, hard working pay hongera kila mt kazaliwa mtupu, yot ni kutafuta na nidhamu ya kazi, big up sana unatia hamasa kwa hawa vijana wet bongo wamelegea mwili mpk akili 😂😂, wakikutana na maboss wanaweza kuwafunilia mik*ndu ili tu waoate pesa. Mung awasameh kwakwel awape maarifa waamke wafanye kazi.
We are proooud of you mnyalukolo, tell'm what we are made of, diasporans are disciplined, no chawas or viroboto, when we mean it, we mean it. That's why huwa hatuwaelewi viongozi wetu wapowapo tu, sio kwa wananchi but kula bata tu. Kazi kazi tu.
Hongera sana brother wewe ni mpambanaji , acha kabisa life la ubaguzi lipo , Ila unavyokomaa ndivyo unavyopenya kwa neema tu. Nilbaguliwa darasani uko UK lakini niliibuka Kama best student
HII SIMULIZI NI NZURI INAJENGA NA KUMTIA MTU MOYO KWA KUMPA UJASILI MTU MWINGINE. HONGERA SANA KAKA TOKA ISANGA JIRANI NA ILEMI HAPO. HUJATUANGUSHA KABISA.
Ongera sana kaka yangu uvumilivu ni kitu kizuri katika utafutaji nina shida kidogo mume wangu anahitaji kazi nisaidie yupo Tanzania kazi yeyote anafanya napitia wakati mgumu
Hongera sana kaka yangu Chris.Nafurahia uwepo wako.ulivyokuwa zamani ndivyo ulivyo hujabadirila.mcheshi,mpenda watu,mwenye huruma.Ngwembe kama Ngwembe Mungu akutunze.
Kama ukikomaa, sehemu yoyote, ukikomaa. Lazima utatoboa tuu. Asante sana @Chriss
Hii ni big up kwa kweli safi nimependa upambanaji wake kuacha kazi na kufanya biashara watu huwa wanaona kama ajabu, kitu nikuamua tu safi sana kaka umeniongezea sivi ya kuendelea kupambana waoo
Yes...mnyalu mwenye akili nyingi, HONGERA SANA KAKA..
Mzee wa madungujeshi,kazi ni kipimo Cha UTU...
Mzee wa Ndugu zanguni ndani ya Millard ayo tv 😂 huyu baba ananispire sana mm kama kijana siku moja na mm nitafika alipo inshallaAllah🙏🏽
Hongera sana broo kwakwel umenifumbua macho niongeze bidii ya kupambana kwenye biashara yang kwakwel waliomsikiliza broo wetu naamn hawatokata tamaa ameamsha watu weng walioanza kukata tamaa asante sana nakushukr sana napia nawashukuru wote mulioamn kiiman mung awabariki🙏🙏
I must say meet him in person he’s such a good person and an inspiration n a serious man
Ungera mkuuu
Hongera sana fighter nakubali sana kupiga kaz hasa biashara utumishi wa kuajiliwa serikalin siukubali kabisa
Nimemuelewa sn na nimejifunza sn na kanipa nguvu mara mbili ya kupambana yuko vzr interview yenye faida sn kwangu mb zimeenda kwa faida Asante sn Millard 💕
Bado sijaiskiliza poa, but kabisa millard ayo, angefanya ii kitu mwenyewe bwana uyu brother ni mtu mzito. Ana tu inspire vijana wengi, Salute kwake.
Kaka hii interview imenipa elimu kubwa sana, na imefanya niwejasiri zaidi nitakapopitia changamoto Big up sana bro kwa kujibu maswali Kwa uzuri sana
Me too my mom always says don't Quit 😢
Anne Njeje njoo humu Kuna kk yako wa Isanga Mbeya,akipe Range Mokooo💃💃💃💋
Good story it touches life! You are hero Son of Africa keep it up! You have made it happen
Best nimefurahi sana,nimepata mwanga mkubwa kukuona hapa Naomba usikume kuonesha watanzania hata,Tena waeleze mateso yako,yanageuka kua inspiration
Yaani huku ulaya ubaguzi wa rangi sio mchezo hongera sana my brother KC umevuka mnoo one love Asante kwa kutia moyo tusikate tamaa❤❤❤❤❤❤💋💋💋
Hongera kwakutambua kaziya uporisi Niya unyanyasaji mungu Aibariki kaziyako go bress you
Big up brother na big up kwa Ayo TV Ayo TV inapambana kuonyesha chachu ya maisha kuliko kukata tamaa na kujibweteka vijana tupambane tuache kupoteza muda muda nimali sana usikubali kuwa mzigo au tegemezi tumia vyema nafasi yako ulipo kuweza fika utakapo kila kitu hakikosi kikwazo
Nimejifunza kitu kizuri hapa. Salute kaka❤
Ni kweli kabisa ,hakuna asiyetaka ueekezaji shida ni aina ya mikataba. Kila mtu anapenda uwekezaji wa kuboresha. Hata wahindi walioichukua Railways TRC walikuwa wawekezaji.
Kutoka nje kufanya kazi hakikisha unajinyima na Kujifunza Kwa watu wengine
Hongera kaka Mungu aendelee kukutetea na kukupigania
Niliagiza Gari kwake 2018 na Likanifikia kwa Wakati huyu Jamaa yuko Humble sana. Jamaa Hana Baya kiukweli
Kweli kabisa. Ukifanya kazi huwezi kushindwa kutoboa. Tatizo wabongo tunataka tuanze na mtaji wa mamilionina hatuna uvumilivu wa kuanzia chini tukainuka taratibu
Naongezea hapo tatizo wabongo tukitoboa starehe zinakuwa nyingi sana. Angalia huyu kaka ni mfano wa kuigwa katengana na mke wake lakini anaijali familia yake bado. Ndo maana kafika mbali na ataendelea kufika mbali
Hongera sana nasary kwa kupewa sifa ya smartness na smart person
Kweli huyu broo wetu Nassary katuwakilisha, kaskazin hatokag fala
Hapo kwa mwenyezi mungu ndio kila kitu big up
Kwanza Hongera Sana Bro, Ubaguzi Kweli Upo Katika nchi za wazungu, Lakini Wengine Walikua Sio wabaguzi Bali Walikua Hawakuamini.
😅😅😅walikuwa hawamuamini
Ubaguzi c nje hata hapa nyumbani hata ktk familia kikubwa Kila mtu apambane kuzishinda changamoto.
Kujiamini, kuthubutu na juhudi ktk kazi na iman ktk unachokifanya, hard working pay hongera kila mt kazaliwa mtupu, yot ni kutafuta na nidhamu ya kazi, big up sana unatia hamasa kwa hawa vijana wet bongo wamelegea mwili mpk akili 😂😂, wakikutana na maboss wanaweza kuwafunilia mik*ndu ili tu waoate pesa. Mung awasameh kwakwel awape maarifa waamke wafanye kazi.
Haha Yan kwenye kulegea miili na akili hapo umetisha
Big up mzungu mweusi Mungu akuongezee zaidi
Hii interview ni kubwa Sana kwenye maisha yangu Daa!! Yuko positive sana
Oh!dear Lord i give all praise,honor and glory for us🙏🙏❤❤
Uko smart sn kaka, Umenitia nguvu ya kuchapa kazi🙏
Masha Allah ukijituma mungu atakupa tu kwani alishasema jisaidie nikusaidie
Well said.
Hakuna fungu km Hilo kwny bibilia.jisaidie nikusaidie
Hivi huo mstari nasikiaga sana unapatikana kwenye kitabu gani?
Kwenye bible hakuna andiko kama hilo
@@zawadichalale4047 kwenye bible hakuna andiko kama hilo hayo ni maneno ya dunia tu
Hongera sana kwa mafanikio,lkn hii interview angeifanya sky bundala aiseee tungepata madini mengi sana kutoka kwa huyu mwamba
Kweli kbsaa
This geneous should be protected
Ndio wanao tunza Ajira za watu wengi.
Hongera sana ninakufaham pale isanga kona kwa mama lukosi hongera sana,!
Namkubari sana lukosi anafanya kazi kiulafiki pia ni mtani sana..
Mungu hamtupi mja wake anaonekana ni mcha Mungu sana
Huyu jamaa kwa kweli anastahili pongezi
so far huyu jamaa anakitu kikubwa cha kuinspire vijana wengi wanaojitafuta.. big up sana kwake na kwa AYO TV
Aisee mkuu uko vizuri, umenipa nguvu zaidi ya kusaka chambi, 🎉 bravo bro, umeni inspire sana!! Tuchape kazi vijana
Una hamasa sana mkuuu, hongera unatupa nguvu ya kuendelea kupambana sisi vijana.
We are proooud of you mnyalukolo, tell'm what we are made of, diasporans are disciplined, no chawas or viroboto, when we mean it, we mean it. That's why huwa hatuwaelewi viongozi wetu wapowapo tu, sio kwa wananchi but kula bata tu. Kazi kazi tu.
Hongera sana jamaa ana nidhamu sana
Wapo vizuri sana.Hongereni .Nikipata hela nitawatafuta mnabei nzuri
It's an exclusive Inspiration mashallah 👌💯🔥🔥🔥✅🔥 congratulations buddy ukija Kenya boss tucheki
Bg up
respect sanaa mkuu, umenimotivate sana,
mbeya city on top
Hongera sana brother wewe ni mpambanaji , acha kabisa life la ubaguzi lipo , Ila unavyokomaa ndivyo unavyopenya kwa neema tu. Nilbaguliwa darasani uko UK lakini niliibuka Kama best student
Naona Madungu jeshi naMinada mingi sana East Africa ukiacha Tanzania, Mungu akusimamie
Mwandishi bana unataka kujua kiwango Cha pesa MTU ana kwambia anaingia zaidi ya makontena 20🙌🙌😃😃
Mtu pekee sana anatu inspire Mungu akuinue zaidi
Kazi ni kipimo cha utu👏👏👏👏
Na mm sikati tamaa namini iko siku insha'allah ntafanikiwa
Duh! huyu jamaa kweli amekaa ki Polisi Polisi, ongela mzee.
Popote pale mlipo Wana MBEYA/IRINGA wote Salute kwenu! Mmeumbwa kuwa Majasiri 💪🏽
Waliokulia isanga mbeya hamna garasa tujuane hapa Kwa like watoto wa green city💥💥
Tupo
Tupo baba
@@rebeccampeta6650 inapendeza
Kwetu kyela
Tupo wengi sana wa isanga
Asante sana kaka umenijenga sana na kidogo nilichonacho
Excellent aiseee
UBARIKIWE zaidi 🙏🤝
❤❤❤👏👏👏👍🏼👍🏼
Asante sana my brother Kwa ushauri wako mzuri sana
Anachokisema chriss kuhusu maisha ya Ulaya kama Stamp 2 dah n ngumu sana yan ngumu noma sana
Big up sana kwa huyu Mnyakyusa/Mnyalukolo
Mhehe aliezaliwa Mbeya
this guy is so inspiring 🙌🏾
Hongera sn ukianguka nyanyuka usikate tamaa
Hongera sana.
I wish ningeendelea. Woga unatukwamisha sana.
Safi sana baza , maisha ni vita ,hakika umepigana na umeshinda
Mungu akupe maisha marefu uendelee kujengea heshima Tanzania
Umeni inspire sana bro,Much respect to you.
Hongera sana Mwalukosi
Mashaallah najipanga nikipata pesa nakuja kuchukua gari
Aminia father naomba namna yako,ahsante
Hongera kwa historia yako umetoka mbali
HII SIMULIZI NI NZURI INAJENGA NA KUMTIA MTU MOYO KWA KUMPA UJASILI MTU MWINGINE. HONGERA SANA KAKA TOKA ISANGA JIRANI NA ILEMI HAPO. HUJATUANGUSHA KABISA.
Mmoja wa watu aliyeni inspire nitoke mageton nkatafte ulaya 🎉
Hongera sana,.. keep up the good work!
N.B kwenye biashara yoyote kuwa competative ws bei, wanaofanikiwaa sana ni wale wanaokusanya faida ndogo ndogo pesa izunguke
Apart from business man, this guy is a comedian tho😂😂😂😂 #madungujeshi #babydungu😂😂😂😂
Boss hongera sana
Weraaaaa. from Isanga to Ayo TV. Hardwork pays. We are Prouuud. Na bado game ndio kwanza inaanza.
I can see your hard work
Hongera sana uko vizuri.
Nakubari mupambanaji Sana du ape kazi dufanye kazzzi naomba iniajiri sinakazi nabo reka uku sauzi wanaduteza wafurika wenzetu
Touching and powerful message . Kc team big up
Chris anajieleza vizuri na ana sound kama vunja bei.
wote wa nyanda zaa juu za kusini
Huyu alitakiwq ahojiwe na mirad Ayo
Hongela mjomba mungu akubakiki
Wahehe OG safi sana ❤
great inspiration
Hongera sana brother ❤
Kuanzia leo ayo
Marenji ntayaita madungu jeshi
Leo umeongea vzl sana mwanangu
Kwa kutuletea elimu ya mabandari
Shida mikataba jamaa kaongea,serikali angalieni mikata ya kuua nchi haifai,uwekezaji kwanza ulio na tija siyo wakiboya
Kaka Mungu akubariki. Namba za simu
huyu mwamba nouma sana nakubali kc mzee wa madungu jeshi
Afu hivi kwanin matajiri wengi waliofanikiwa hawajafika mbali sana kielimu 🤔
Ndugu zanguni, Hongera Mr. Lukosi
Safi sana Mungu akulinde
Wooow🔥🔥🔥umeniinspire balaa
Nakubali boss🎉wa kalenga
Mtangazaji ongeza uwezo wa kufanya mahojiano, hasa maswali kwa mtu unayehojiana naye.
Ongera sana kaka yangu uvumilivu ni kitu kizuri katika utafutaji nina shida kidogo mume wangu anahitaji kazi nisaidie yupo Tanzania kazi yeyote anafanya napitia wakati mgumu
Nice nimeipenda
Hongera sn kaka.
I Can See Your Hard Work Brother!!
uyo mjuba mzee wa madungu namkubari sana anasaidia vijana wengu kupata gari kwa bei cheeeeeeee
😅😅anatumia jina gan mtandaoni ili kumpata
@@lampadshigonko3006 CHRISS LUKOSI