TEMBA AUMIZWA NA CHID BENZ ''PESA ALIYOPEWA NA DIAMOND KACHEZEA KAMALIZA HUYU/ WAKATI MGUMU SANA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ธ.ค. 2023
  • Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
    #alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
    #BinaTv #WasafiTv #ManaraTv
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 35

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 6 หลายเดือนก่อน

    Welcome back mr kamiligado

  • @officialjohn5290
    @officialjohn5290 6 หลายเดือนก่อน

    Uko perfect temba

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD 6 หลายเดือนก่อน +6

    Kwann usije na Temba tooth pick😅😅😅😅

    • @user-wt7vf4uf3x
      @user-wt7vf4uf3x 6 หลายเดือนก่อน

      Wazo la kibiashara kbsa Hili bro alichukue alifanyie kazi .

  • @ibbyikh1788
    @ibbyikh1788 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee baba hicho kijiti akitoki mdomoni ata ktk interview kipo kweli brand

  • @user-hs5tb5qq8e
    @user-hs5tb5qq8e 6 หลายเดือนก่อน

    Upo sahihi

  • @TajiriHalisi-ez1tf
    @TajiriHalisi-ez1tf 6 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu mchaga haachagi stik mdomoni 😂😂😂

  • @user-ko7mu1zv8v
    @user-ko7mu1zv8v 6 หลายเดือนก่อน

    .da unaongea maneno mazima Sanaa broo

  • @user-fm8bq4pt9q
    @user-fm8bq4pt9q 6 หลายเดือนก่อน

    Aaah tembaaa

  • @user-xf1xq3ky2w
    @user-xf1xq3ky2w 6 หลายเดือนก่อน

    1:49 ❤📌

  • @fakhichapozoyusuph295
    @fakhichapozoyusuph295 6 หลายเดือนก่อน +1

    Temba tembelee nakubali

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 6 หลายเดือนก่อน

    Msaada apelekwe jela au chumba cha wandawazimu

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kiswahili ni Tatizo. Nauliza hivi:- kapewa au kalipwa!

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 6 หลายเดือนก่อน

      Kaka ni shida hawa watu wameamua kuwa machawa wote kwa kweli.

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli mh.temba umesema vyema.umoja ni nguvu.

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 6 หลายเดือนก่อน

    Temba

  • @SonitajoseDonita-tm5ex
    @SonitajoseDonita-tm5ex 6 หลายเดือนก่อน

    Msaidieni Chidi ili apate stahiki zake ,prsa zake,Nani huyo anyetuma muziki wake kwenye mitandao??

  • @user-bw6qn7nq8e
    @user-bw6qn7nq8e 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nyote wa Moja kiki hazitowarudisha Kwa game

  • @jumasaleiman
    @jumasaleiman 6 หลายเดือนก่อน +5

    Kuwa na akiliii unawaharibia wezio media zao hayoo mambo ya kijijini mdomoni ushamba tena

    • @kelvinfussi5210
      @kelvinfussi5210 6 หลายเดือนก่อน +2

      Acha hasira maisha hayajawahi kuwa na formula. Kuna watu wengi wapo huko unapopaita kijijin na wana maisha mazuri ambayo hata dunia ikianza upya huwez kuwafikia kwa lolote

    • @ricklandennis
      @ricklandennis 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe mjanja una nini😂😂😂

    • @ishirininasita2626
      @ishirininasita2626 6 หลายเดือนก่อน

      bro pole na maisha gumu Usiwe na hasira maisha hayataki hasira 😂😂😂😂

    • @user-xf1xq3ky2w
      @user-xf1xq3ky2w 6 หลายเดือนก่อน

      Akifanya p Diddy utaiga

  • @owenmutale8686
    @owenmutale8686 6 หลายเดือนก่อน +1

    Temba umeongea point mkuu

  • @AllyMohamed-xw6hy
    @AllyMohamed-xw6hy 6 หลายเดือนก่อน

    Oyaaaa temba lile kundi lenu simlirudishe tu

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 6 หลายเดือนก่อน +1

    chid achana nae anawachamba

  • @hakunamatata8065
    @hakunamatata8065 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wachana na mavijiti mdomoni ni ushamba mkubwa

    • @MevsMe001
      @MevsMe001 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @ayk20
      @ayk20 6 หลายเดือนก่อน

      Yaa kwa umri wake hayo mambo yashampita

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 6 หลายเดือนก่อน +1

      Nenda ukamtoe hicho kijiti mdomoni maana naona kimekuuma sana

    • @user-ey7wn4li4i
      @user-ey7wn4li4i 6 หลายเดือนก่อน

      Hakuna mtoto wa temeke mshamba kum wewe

    • @yohanadeusi9084
      @yohanadeusi9084 6 หลายเดือนก่อน

      Fanya wewe