KIMENUKA; DUDU BAYA AFICHUA SIRI SHOW YA DIAMOND KUKOSA WATU AFRO NATION ILI UPATE WATU LAZIMA UF...

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 69

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 2 วันที่ผ่านมา +2

    Yupo sahihi kuna mzungu nilimkuta ulaya ana cd ya remmy ongala nilishangaa sana didnt expect it hakika remmy is a legend

  • @alsam4881
    @alsam4881 4 วันที่ผ่านมา +5

    Ni kweli kabisa ayasemayo hayo Dudu baya.👍

  • @nazirjorgedasilva
    @nazirjorgedasilva 4 วันที่ผ่านมา +4

    Salute kwa Dudu baya 🇲🇿

  • @mwibelechekahuka7314
    @mwibelechekahuka7314 4 วันที่ผ่านมา +9

    Ndomana wa bongo hakuna upendo mnashidwa kuhelewa kama hile shwo diamond hajalihanda limehandaliwa kwahiyo apate watu akose watu haijalishi.

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 3 วันที่ผ่านมา

      Tatizo ni uongo mwingi tunaojazwaga uku.
      Mtazame yule mtoto wa South africa Tyler alivyo piga gep kubwa ila mdada wa watu hana makuu

    • @edwinoduor2421
      @edwinoduor2421 2 วันที่ผ่านมา

      Sasa kusema watu hawakuwepo pia n kosa?

  • @BraveMajaliwa-gf7ru
    @BraveMajaliwa-gf7ru 4 วันที่ผ่านมา +5

    Mimi nipo marekani maeneo ya Ohio Cleveland dudu baya yupo sahii 💯%

  • @givenhappy__bu1
    @givenhappy__bu1 3 วันที่ผ่านมา +1

    Bujumbura burundi 🇧🇮 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @AlexanderNimbona-lj4ln
    @AlexanderNimbona-lj4ln 4 วันที่ผ่านมา +2

    Legend👑👑👑

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 4 วันที่ผ่านมา +5

    Chris br analipwa pesa nyingi akicheza dakika 1.ile ni biashara sio mzuka fungueni macho watanzania

  • @SikituYusuph-fr7rj
    @SikituYusuph-fr7rj 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ww dudu bya ndo maana yalikushida kwann wabong mnakuwa wanafiki sana

  • @dankingmaterial9569
    @dankingmaterial9569 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mamba mamba 2 , you never fail bravo

  • @Official_Gustave
    @Official_Gustave 2 วันที่ผ่านมา

    Nipeni like zangu 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @namukwayamweshihange8866
    @namukwayamweshihange8866 2 วันที่ผ่านมา +1

    Akuna watu wanafiki kama tz. Wabongo niwauwaji. Diamond napinwa vipi nakila mtu. Sijuwi kafanyanini. Wivu mkubwa sana sijuwi arikiba Sijuwi rayvany Sijuwi hamo. Basi munawe atakumua. Sijuwi pimbi Sijuwi muhijaku. Sijuwi ostazi juma. Jamani. Musichokia Diamond analinwa namungu sana. Namupa pole sana mama yake. 😢😢😢

  • @suntzu8959
    @suntzu8959 3 วันที่ผ่านมา +2

    Akili kubwa

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 3 วันที่ผ่านมา +1

    MTAONGEA MENGI SANA WATU WANGU ILA LUGHA YA MUZIKI NDO CHANGAMOTO KWA KAKA YENU.....JINA ANALO KUBWA TU AKUNA MTU ATABISHA

  • @ShakillaSaid
    @ShakillaSaid 2 วันที่ผ่านมา +1

    Jinga sana hili jamaa

  • @ThabisoMbhele-oj7zd
    @ThabisoMbhele-oj7zd 4 วันที่ผ่านมา +5

    Loho mbaya dudu baya

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 3 วันที่ผ่านมา

      Mtu akisema ukweli inakua ni roho mbaya,au huo ndivyo hivyo akili yako hua inang'amua mambo?

    • @ziggertv3185
      @ziggertv3185 2 วันที่ผ่านมา

      Kasema kweliii

  • @DelightfulFish-ps8ny
    @DelightfulFish-ps8ny 4 วันที่ผ่านมา +1

    True that konki

  • @karlschrader4026
    @karlschrader4026 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Skujua ziwa Victoria lina Mamba😮

  • @Secy-y5g
    @Secy-y5g 3 วันที่ผ่านมา

    Yuko sana dudu

  • @sundaysenga7608
    @sundaysenga7608 4 วันที่ผ่านมา +2

    JUZI NILISIKIA SINGLE AGAIN IMEPIGWA REDIONI UK I WAS SO HAPPY BIG UP KONDE BOY

  • @stevenckanumba7
    @stevenckanumba7 4 วันที่ผ่านมา +1

    True 🙏🙏

  • @user-ow4vj2lw8r
    @user-ow4vj2lw8r วันที่ผ่านมา

    Mama @Maneja Ding'ano aka kudinywa

  • @Azkingogkaka
    @Azkingogkaka 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ahuna akili wewe baba na wewe ni mjinga sana

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wabongo wengi waliokwenda ulaya wanaishi maisha kujifichaficha

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 3 วันที่ผ่านมา

      Siyo wabongo tu,sisi kama wanavyotuita watu weusi Ulaya siyo rahisi sana.Labda mtu awe amesomea kule au ameshasoma toka Africa

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 วันที่ผ่านมา

    Kumbe ndo mambo ylivyo😧🤔

  • @LatifaHashim-rn1ip
    @LatifaHashim-rn1ip 4 วันที่ผ่านมา +1

    Nampendaga

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 วันที่ผ่านมา

      Mimi nakupenda latifa

  • @kibwananordeen3
    @kibwananordeen3 วันที่ผ่านมา

    Konki master

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 วันที่ผ่านมา

    Mamba mzee wa fact😂😂😂

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 วันที่ผ่านมา

    Kumbe dudubaya anetembea🤔

  • @osmundmtavangu
    @osmundmtavangu 4 วันที่ผ่านมา +1

    Haya Waandishi mabumunda mmesikia?😅😅😅😅😅😅

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 วันที่ผ่านมา

    Ila kiukweli wanaijeria linapokuja kwenye nchi yao wana umoja balaaa

  • @angenyalusischmidt2321
    @angenyalusischmidt2321 3 วันที่ผ่านมา +2

    ILIKUWA SOUND CHECK.. KAPIGA USIKU.. MIMI NI PROMOTER ..HUU WOTE MNAUSIKIA KUHUSU ULAYA NI UONGO

  • @RichVoicetz-z9r
    @RichVoicetz-z9r 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ahaaaaaaaaaaa eti najulikana Africa mashariki Nan anakujua bwabwa ww

  • @suntzu8959
    @suntzu8959 3 วันที่ผ่านมา

    They are 4million Ethiopians in USA

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 4 วันที่ผ่านมา +3

    Na ndo maana wasianze kwennda uko mana hakuna anaye wajuwa

  • @AlexanderNimbona-lj4ln
    @AlexanderNimbona-lj4ln 4 วันที่ผ่านมา +1

    Dudubay

  • @user-xc5or1ph8x
    @user-xc5or1ph8x 3 วันที่ผ่านมา +2

    wanasifia ili wapate ulaji kaka sasa upo wasafi media utamtangaza vibaya kwel boss wao

  • @leonardmwayeya13
    @leonardmwayeya13 2 วันที่ผ่านมา

    Kiukweri watanzania kazikubwa nikupondana nakukatishana tamaa dudu baya nikweri nimbaya watanzania uraya niwachache wenzetu wanaija niwengi nirazima kue nautifauti mond usiwazikiraze wario tanguria kutawaza nipo wakajisaidia nirazima watatoka nakinyesi hawo

  • @SikituYusuph-fr7rj
    @SikituYusuph-fr7rj 3 วันที่ผ่านมา +1

    Dudu mby ndo maana yalikushida muache simba afanye mambo yake ww tafuta ya kusema

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 3 วันที่ผ่านมา +1

      Anasema ukweli,sisi tupo nnje tunayaona hayo

  • @user-it6zi7zw8y
    @user-it6zi7zw8y 4 วันที่ผ่านมา +4

    sehem za nje kibao akienda kufanya show hapata watu maana yake mziki wake mdogo sana kwa nchi za nje 😅😅😅😅😅

  • @venancengunda3879
    @venancengunda3879 3 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅😅😅😅😅 asee bongoo mavii sanas🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 2 วันที่ผ่านมา +1

    Yupo sahihi dudubaya

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mtangazaji kutokuzingatiya tofauti kati ya herufi L na R inapoteza ladha ya matamshi mazuri inapoteya

  • @BraveMajaliwa-gf7ru
    @BraveMajaliwa-gf7ru 4 วันที่ผ่านมา +4

    Upo sahii brother Tanzania 🇹🇿 ina promote mziki wa diamond 💎 komasava Wakati ni nyimbo mbovu 😂wimbo unapewa promo kubwa Wakati ni sururi

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 3 วันที่ผ่านมา

    Dudu 😂

  • @VitusEmmanuel-pe3yi
    @VitusEmmanuel-pe3yi 4 วันที่ผ่านมา +2

    Me niliwambia diamond nimxani wa kawaida xema TU media ndo zinampa kichwa lakin ukwel ndo huo

    • @Mwamba-hc1jy
      @Mwamba-hc1jy 4 วันที่ผ่านมา +1

      Msanii mkubwa ww

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@Mwamba-hc1jy
      Hana ukubwa huo

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 3 วันที่ผ่านมา

      @@Mwamba-hc1jy
      Ndio ila east africa

  • @Secy-y5g
    @Secy-y5g 3 วันที่ผ่านมา

    Anacho ongea dudu Yuko sawa sana huyu jamaa anaujua mzk

  • @user-it6zi7zw8y
    @user-it6zi7zw8y 4 วันที่ผ่านมา +2

    😅😅😅😅ongea kua iyo show ya mwambino kapiga Bure kama alikua Hana furaha sababu anajua kua iyo show sio yake ni Wanaijeria wasafi wenyewe walikua wanapost anavyoimba mwambino kuzungusha camera ukumbi wote hamna watu Kala zakichwa kwamba maana yake zile show alikua anafanya zamani zilikua za uwongo ana edit kumbe sasa uwo ndo ukweli kua bado msani mdogo kwa nje msani mkubwa kwa Tanzania sio mda alie pangiwa mda wa show hata kama angefanya show mwenyewe pekeake asingepata watu hapo nahao wengine wamekuja sababu ya kuona show ya wasani wa naijeria

    • @nashnene6326
      @nashnene6326 4 วันที่ผ่านมา +1

      Siku Diamond akifa ndio mtakapojua kuwa tunu ya taifa imeondoka

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 4 วันที่ผ่านมา

      Yan kwer mti wenye matunda lazm upigwe mawe😢​@@nashnene6326

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 3 วันที่ผ่านมา

      Yeye ni nani mshamba tuu,tunu ya taifa kwa wewe mwenye kichwa kibovu.Mtoto mdogo​@@nashnene6326

  • @HijaJuma-ip7xj
    @HijaJuma-ip7xj 2 วันที่ผ่านมา

    Dudu baya anaongea ukweli mm nipo south Africa sijawahi kuona TV wala radio za huku zikiuzungumzia mziki wa Tanzania

  • @Abby_Shawn_KE
    @Abby_Shawn_KE 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂Msema kweli DUDU BAYA,. Ureno nani anajua Swahili tukitoa waafrica wanaoishi mle? Nao unakuta hawana nafasi ya kwenda hapo kutokana na ubize

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 วันที่ผ่านมา

    Dudu acha ushamba njoo usafini

  • @AlexanderNimbona-lj4ln
    @AlexanderNimbona-lj4ln 4 วันที่ผ่านมา +1

    Dudubay

  • @Secy-y5g
    @Secy-y5g 3 วันที่ผ่านมา

    Yuko sana dudu