EXCLUSIVE : CHID BENZ AFUNGUKA SABABU ZA KUFUKUZWA WASAFI FESTIVAL / DIAMOND ALINIKOSEA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2023
  • EXCLUSIVE : KWA MARA YA KWANZA MWANA HIP HOP CHID BENZ AFUNGUKA SABABU ZA KUFUKWAZWA WASAFI FESTIVAL AMTAJA DIAMOND TAZAMA HAPA FULL INTERVIEW
    #manaratv #diamondplatnumz #wasafifm #wasafitv #chidbenz #wasafifestival2023
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 422

  • @SalhaSalim-sq7zo
    @SalhaSalim-sq7zo 6 หลายเดือนก่อน +30

    Chidi unaakili sana mungu akujalie maisha marefu

  • @jimmytsenga3425
    @jimmytsenga3425 6 หลายเดือนก่อน +17

    Been a fan of brother Chidi for a long time,apart from his good vibes of music,I admire his personality and the facts his speaks,,on point my G,,real recognise real.mobb love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 6 หลายเดือนก่อน +8

    Hakiri kubwa respect chidi❤ ila kubali usaidiwe unakitu ndani yako na utafika mbali

  • @Doctor_micky072
    @Doctor_micky072 6 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu chid ni mtu noma sana once comes kwenye interview, ana kill kinoma 🔥🔥

    • @Myplusbee
      @Myplusbee 6 หลายเดือนก่อน

      Angekuwa na akili angeachana na uteja na kuanza kuwa responsible na maisha yake!! Acheni kumjaza ujinga, HANA AKILI!!

  • @nesty9740
    @nesty9740 6 หลายเดือนก่อน +24

    Chid ni mtu mwenye akili Sana pia na nimtu mkweli Dully Alisha wahi kusema kuwa tuna mapungufu mengi ila kila mtu anakitu ndani yake wengine ndani mwao Wana chuki,wengine uchoyo, wengine uongo lakin Chidbenz ndani mwake yupo na ukweli. Chid hajamlaumu mtu ila amejaribu kueleza uwalisia wenye ukweli kwa wale ambao wameenza kumfatilia huyu jamaa baada ya kupitia changamoto zake kamwe awawezi muelewa chid, huyu jamaa kwanza amekubali hali alio pitia na anasema ukweli, Chidbenzi ni mtu poa Sana, amewasaidia wengi kwenye muziki, wakina Tundaman,mwana FA, Diamond, mwasiti TUMPE HESHIMA YAKE NA SIO KUMBEZA NA KUMDHARAU MAANA HAKUNA ANAE JUA HATIMA YAKE NI KUOMBA MUNGU TU. Na nyie waandishi wa habari msiojua Ethics za kazi zenu mjaribu kuwa na heshima na familia za watu, zenu mbona mnaficha wazazi wenu wako wapi muwaweke kwenye camera pumbafu kabisa.

  • @yusuphrashidi-dr1kb
    @yusuphrashidi-dr1kb 6 หลายเดือนก่อน +10

    Jamaa yupo sahihi Allah akuongoze kwny njia sahihi lnshaallah

  • @tystanjeepsy4769
    @tystanjeepsy4769 6 หลายเดือนก่อน +15

    In Kenya ,chedi is real maturity🇰🇪🇰🇪💯✨

  • @tusaidiannyatiboy6954
    @tusaidiannyatiboy6954 6 หลายเดือนก่อน +9

    King 👑 ❤ Huna ubaya sikuzote msema ukwelli hawamuelewi 🎉

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 6 หลายเดือนก่อน +19

    Comment nying zakumponda chidi za watoto wakike nikiona mtoto wakiume ameskiliza hii interview akaandika kumlaum chidi ntajua kazaliwa miaka ya 2000 hajui nini maana ya maisha na hela

  • @Dee_76
    @Dee_76 6 หลายเดือนก่อน +114

    Hakuna kitu kizuri maishani kama kutake responsibility and steer your own life,huyu bwana anatupa lawama wakati dhamana ya maisha yake iko mikononi mwake..Allah amfungulie njia zake

    • @geraldgeorge88
      @geraldgeorge88 6 หลายเดือนก่อน +17

      Adui wa chidi ni Chidi mwenyewe,hataki kutake responsibility of his own damn life

    • @abiboseleman1649
      @abiboseleman1649 6 หลายเดือนก่อน +2

      Unajua uongeacho

    • @Tripo7unLocked7000
      @Tripo7unLocked7000 6 หลายเดือนก่อน +4

      True,hata tukisaidia tusingoje shukurani.mtu kurudisha shukuran ni yeye mwenyewe kutaka.chidi afocasi maisha yake.awajibike juu ya maisha yake na si kilaumu laumu watu

    • @abdull_hafidh
      @abdull_hafidh 6 หลายเดือนก่อน +1

      On pwent

    • @jaymwadzi6856
      @jaymwadzi6856 6 หลายเดือนก่อน

      @@Tripo7unLocked7000
      tuache kujadili kihisia! chidi hajalaumu mtu na ameongea maneno mazito sana

  • @jaymwadzi6856
    @jaymwadzi6856 6 หลายเดือนก่อน +20

    This guy is a LEGEND💪Wakenya tunakukubali CHIDI!

  • @raphaelchuche6281
    @raphaelchuche6281 6 หลายเดือนก่อน +8

    Harmonize angepiga ngoma na mwamba chid ingekuw ya moto sanaaaa

  • @Derevamkongwe6864
    @Derevamkongwe6864 6 หลายเดือนก่อน +27

    Chidy ana akili nyingi sana, wenye upeo ndio wanaomuelewa lakini vilaza, lazima wa comment ujinga tu

  • @shebbypro
    @shebbypro 6 หลายเดือนก่อน +6

    Kikubwa sana🙌🙌 Salute Rashid Makwiro big bro

  • @yohanamsagara1999
    @yohanamsagara1999 6 หลายเดือนก่อน +9

    leo ameongea point sana chid 🎉🎉

    • @marafikistation
      @marafikistation 6 หลายเดือนก่อน

      Sikuile alikua kalewa

  • @grahamnangi1817
    @grahamnangi1817 6 หลายเดือนก่อน +13

    DARESALAM STAND UUPP !!! 🙌🏾

  • @IssaMgeta-ej6ue
    @IssaMgeta-ej6ue 6 หลายเดือนก่อน +5

    Daaah, Asee Leo ndo nimetambua Chid ni Mmoja tu, Hakika Leo Umeonesha Kiakili upo Sawa, Nakuombea kwa MUNGU Uendelee hvyo hvyo....

  • @jaymwadzi6856
    @jaymwadzi6856 6 หลายเดือนก่อน +26

    Chidi yuko na point 100% na wenye wanamdis huyu jamaa hawapimi maneno yake kwa usawa! consent inaweza kukufunga. muache kumdharau mwamba kwa maisha yaliopita, tambua hujafa hujaumbika.

    • @saidchombo5952
      @saidchombo5952 6 หลายเดือนก่อน +1

      Jamaa yupo poa sana mi huwa namuelewa kinoma

    • @flacskillz3411
      @flacskillz3411 6 หลายเดือนก่อน

      U talk real

    • @ulimbombonaulindi5088
      @ulimbombonaulindi5088 6 หลายเดือนก่อน

      Consent kwenye lipi labda? Hapo kwenye mama unahitaji ruksa ya mama mwenyewe tu kuongea naye, maana yeye ni mtu mzima wa umri na afya ya akili, hauhitaji ruksa ya mtoto wake kuongea na mama.

    • @user-jc8el6je5e
      @user-jc8el6je5e 6 หลายเดือนก่อน

      Safi .

  • @user-lk9rj7ws3e
    @user-lk9rj7ws3e 6 หลายเดือนก่อน +5

    chid kaka mungu akupe maisha malefu...

  • @HouseofClassTailors
    @HouseofClassTailors 6 หลายเดือนก่อน +10

    King Kong speaking his mind . He's castigating those of who don't mean well. Let's support him . He's a gem. Tz 🇹🇿 wake up

    • @MultiKenyana
      @MultiKenyana 6 หลายเดือนก่อน

      Translate for your people bro 😂😂

  • @GeraldGspack
    @GeraldGspack 6 หลายเดือนก่อน +2

    I remember when he was kicking with Nonini and they did remix of kadhaa.. he's one artist i respect alot, Kenya chidi anakubalika

  • @-KINKAU
    @-KINKAU 6 หลายเดือนก่อน +23

    Huyu jamaa ana akili nyingi sanaaa god bless u CHIDI benzi

    • @ikramalmas7039
      @ikramalmas7039 6 หลายเดือนก่อน

      Anakili sawa lakini abebwe Vp?

    • @ramsojimmykelly3379
      @ramsojimmykelly3379 6 หลายเดือนก่อน

      Watu kama nyinyi ndio mnamfanya azidi kupotea kwenye mihadarati

    • @jaymwadzi6856
      @jaymwadzi6856 6 หลายเดือนก่อน

      @@ramsojimmykelly3379
      kama unaona miadarati kwa hii interview ata wewe umelewa!

    • @VIPSwahili
      @VIPSwahili 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@ramsojimmykelly3379Kakosea nini kwenye mahojiano haya?

    • @ramsojimmykelly3379
      @ramsojimmykelly3379 6 หลายเดือนก่อน

      @@VIPSwahili angekuwa yuko sawa angeachana na madawa kwanz

  • @merinadaimon425
    @merinadaimon425 6 หลายเดือนก่อน +14

    Natamani watu wamsaidie Chid bila kuwaza faida😢

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 6 หลายเดือนก่อน +25

    Sijawahi kumsikiliza kwenye interview....this guy in spite of being an X addict his IQ is very high...really smart guy with fat memory, good orater and very debatable mind.... Aki smart sana

    • @danielmwita2136
      @danielmwita2136 6 หลายเดือนก่อน +4

      Hatumii tena hivyo vitu aisee, anakunywa bia na pombe nyingine tu. Achana na wambea man.. Kama hapa si unaona walivyom violate kwenda kwa mama.

    • @user-wy6tv5uq5c
      @user-wy6tv5uq5c 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@danielmwita2136kweli

  • @piusdeo9380
    @piusdeo9380 6 หลายเดือนก่อน +9

    Leo umeongea point mama kweli wamegusa pabaya

  • @mamsamohamedy9032
    @mamsamohamedy9032 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chidi atabaki kuwa Chidi tu the living legend ✊🏽✊🏽

  • @waltergodwin2529
    @waltergodwin2529 5 หลายเดือนก่อน

    Chid mara zote yupo very transparent, very frankly person. naanajiamnin

  • @tomsijohni
    @tomsijohni 6 หลายเดือนก่อน +5

    Perfect you said brother

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chid chibenzino 🖐🏾💯💥🎶🎵🔝🎤📽️🔊 Nomà Saana aisee Akili mingi 💪👊

  • @perfectoit-master4040
    @perfectoit-master4040 6 หลายเดือนก่อน +2

    Atarudi 😢kwenye njia hiyo ni mapito tu anapitishwa ili wengine tujifunze kupitia yeye but trust jamaa anajua na Atarudi kwenye njia Mungu amfanyie wepesi 2

  • @francismwakiokimburi7068
    @francismwakiokimburi7068 6 หลายเดือนก่อน +2

    Chidi is a genius. Once you listen to him you get to understand the truth of the matter

  • @kelvinomondi8515
    @kelvinomondi8515 6 หลายเดือนก่อน +3

    You are a wise man Chidi 👊👊

  • @michaelmatonange630
    @michaelmatonange630 6 หลายเดือนก่อน +6

    Nilitaka kuskip lakini nimejikuta naangalia mpaka mwisho na bado natamani aendelee kuongea dah! Akili kubwa sana uyu mwamba sikujua😮

    • @amour7693
      @amour7693 6 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅 mm pia

  • @sportstartv3781
    @sportstartv3781 6 หลายเดือนก่อน +4

    Chid kaongea vizuri sana leo

  • @matumokimatumoki6424
    @matumokimatumoki6424 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli chi2 dar stand up nomaaaass tuko pamoja mwanetu 💕💕

  • @idrissajuma7308
    @idrissajuma7308 6 หลายเดือนก่อน +15

    La familia for real ❤❤❤

    • @chigosolid3579
      @chigosolid3579 6 หลายเดือนก่อน +1

      Pua😂😂😂

    • @tensotv
      @tensotv 6 หลายเดือนก่อน

      Rap familia

  • @AIInsights23
    @AIInsights23 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mshkaji anakili nyingi saana pure love hana noma na mtu huyu OG mdar es salaam

  • @Yegon254
    @Yegon254 6 หลายเดือนก่อน

    Mad respect kwa Rashidi. Wengi hawataki kumwelewa kwa sababu anazungumza facts. Walichokifanya wasafi ni kubaribia brand Chidi hata kama anamapungufu hakuna haja ya kutangaza.

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 6 หลายเดือนก่อน +5

    Kumbe Chidi kaongea vizuri sana kule Clauds walimuhoji akiwa kapiga tungi ndio mana

    • @Sarah-tq2vc
      @Sarah-tq2vc 6 หลายเดือนก่อน

      Yh n kweli ata mamake alisema hivyo juu hapa anaongea vizur tu

    • @ikabako2454
      @ikabako2454 6 หลายเดือนก่อน

      Itakuwa alikuwa kapiga Konyagi ya kutosha siku ile sio bure 😅

  • @alexmdam7461
    @alexmdam7461 6 หลายเดือนก่อน +4

    Chidi very tarent Sana

    • @timmahbee
      @timmahbee 6 หลายเดือนก่อน

      Andika tu kiswahil😂

  • @ayk20
    @ayk20 6 หลายเดือนก่อน +5

    Sema jamaa kaongea ukweli maisha ya msanii yabaki kwa msanii kama yy hakutaka kumuingiza mama yke kwenye maswala yake binafsi kwa nn muende kumuhoji bila kupitia au kufanya mawasiliano na msanii husika?bila ya chid huyo mama mgemjua vp? Wakati chid yuko vizuri kwenya mziki hamkuwah kumuhoji mama yke leo ndo anatafutwa mama sio jambo zuri sana

    • @jaymwadzi6856
      @jaymwadzi6856 6 หลายเดือนก่อน

      true... unaenda kumuhoji mamangu ww kama nani! wamemchukulia Chidi poa kwa maisha yake ya saivi! kupiga picha mtu bila utaratibu husika anaweza kufunga! leo hii unatafuta pesa kupitia mamake mtu! inauma sana shame on them

  • @gun60jgt40
    @gun60jgt40 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa yuko sawa ❤

  • @IbrahimUwesu-vq3df
    @IbrahimUwesu-vq3df 6 หลายเดือนก่อน +4

    Genius ☀️☀️☀️🙌

  • @frosttgp1510
    @frosttgp1510 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kilichopo watu tu wanataka kumtumia huyu mchizi ila hawampi msaada wa dhati na wala hana matatizo he is real.

  • @paulkifuku9730
    @paulkifuku9730 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu akusaidie kwenye mapambano

  • @ramadhanjuma9244
    @ramadhanjuma9244 6 หลายเดือนก่อน +4

    Imenigusa sana ya mama chidi

  • @danielmwita2136
    @danielmwita2136 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nilijua tu kwa kuangalia ile interview kuwa Chid hajashirikishwa na atawa mind.

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 6 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂 kigomaa 😂😂 much ❤ chid

  • @boyclassc919
    @boyclassc919 6 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu mwamba siku akipata mtu wakumsimamiwa kwe kazi alafu na yeye atulize akili bongo hii hakina msanii wakumkalisha wala kumwambia kitu

    • @dullahsalum1229
      @dullahsalum1229 6 หลายเดือนก่อน +1

      ni kweli kabisa tunaujuwa uwezo wake

  • @Ayyub_Semtawa
    @Ayyub_Semtawa 6 หลายเดือนก่อน +5

    Chidiiiiiii....His deminor is so natural....ila hapo kwenye "Samaki anawakaanga na sukari dah!!!...😂😂😂 Bless up Chidi Man

    • @cendrillonnam4549
      @cendrillonnam4549 6 หลายเดือนก่อน

      Apo kwa kutafuna godoro🤣🤣🤣🤣

  • @ammaherman3391
    @ammaherman3391 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nisaidie nipate pesa ili nimpe support huyu mwamba Chidi Benz.

  • @clintztravellah3237
    @clintztravellah3237 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chidi ameongea FACTS kabisa..

  • @geofreybukwali9611
    @geofreybukwali9611 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu amsaidie

  • @Adrext
    @Adrext 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa anaongea point Sana

  • @JJ-sx7ne
    @JJ-sx7ne 6 หลายเดือนก่อน +1

    Baby Kabaya anapaswa kumuomba msamaha Chidi, kamkosea sana kwenda kumuhoji mama bila kumshirikisha

  • @piusdeo9380
    @piusdeo9380 6 หลายเดือนก่อน +8

    Ila chidi mwamba nakukubali mbona leo uko seriazi

    • @marafikistation
      @marafikistation 6 หลายเดือนก่อน

      Sikuile alilewa afu wao wakaenda muhoji ili wapate content watu waangalie wengi

  • @aliuali4690
    @aliuali4690 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mfalme wa ilala pure fact!!

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 6 หลายเดือนก่อน +1

    Muje na kwangu wapenzi ❤

  • @RashidyChillah
    @RashidyChillah 5 หลายเดือนก่อน

    Bro anaongea point sana

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 6 หลายเดือนก่อน +1

    All in all Chid anahitaji msaada wa kwenda “rehab” ! Anajifanya yupo sawa lakini hayupo sawa hata kidogo.

  • @BrownLaizer
    @BrownLaizer 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chid benzi one ❤️

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 6 หลายเดือนก่อน

    Good point 👊👊👊

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 6 หลายเดือนก่อน +10

    Chid BEBEBENZIIIIE AUNA ISHI BHANA MAISHA YAKO MAANA UMEFUNGUKA KISAWASAWA LEO NIMEKUELEWA ASWAAA

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 6 หลายเดือนก่อน +4

    Apo kwenye madem kugongana nimeipenda kidume 😂 ila kaka uko fresh akili sana ❤❤❤❤

  • @norascomulenzi222
    @norascomulenzi222 6 หลายเดือนก่อน +11

    Maisha jamani, unamlaumu mtu juu ya maisha yako binafsi.

    • @cuulkidd
      @cuulkidd 6 หลายเดือนก่อน +1

      Uyu jamaa anataka awe anasaidiwa yeye tuu

    • @jonijjoo
      @jonijjoo 6 หลายเดือนก่อน

      Hamna wamezingua aisee hata ingekuwa ww lazima ungejisika viba

    • @axaakheiryaxaakheiry4574
      @axaakheiryaxaakheiry4574 6 หลายเดือนก่อน

      Skiliza alafu chmbua ach ku comments tu

    • @jimmycatamollel8217
      @jimmycatamollel8217 6 หลายเดือนก่อน +1

      Chid yupo smart

    • @cuulkidd
      @cuulkidd 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kuhusu mamaake ni kweli hata mm nipo upande wake ila anavokazana kwny interviews nyingine uko kua wampe Hela apana aisee wako wasanii kibao wanaitaj msaada ila hawadeki kama huyu jamaa 😆

  • @user-it6zi7zw8y
    @user-it6zi7zw8y 4 หลายเดือนก่อน +1

    tatizo wasani wa tz mwambino anawatumia kiakili wao bila kujua sababu kaona sasa hivi Hana show za nje awajiulizi zamani mbona alikua afanyi nao colabo kwanini sasa hivi sababu kaona harmonize wasani wanamkubali jinsi anavyo fanya nao colabo akaona abadirishe tabia zake na kuringa chid yupo really

  • @johariyahaya8794
    @johariyahaya8794 6 หลายเดือนก่อน

    pole sana bro, bt keep it up

  • @DicksonMwita-lo6sw
    @DicksonMwita-lo6sw 6 หลายเดือนก่อน

    Chid bezz 🔥🔥🔥🔥

  • @grandpa7720
    @grandpa7720 6 หลายเดือนก่อน

    Ana vitu very very SENSITIVE ambavyo anaviongelea ukituliza kichwa ndo unamuelewa

  • @adamabdallah1242
    @adamabdallah1242 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chid is very genius

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 6 หลายเดือนก่อน

    Chidi benz legend❤❤❤🎉🎉🎉

  • @user-js7gu8hg6j
    @user-js7gu8hg6j 6 หลายเดือนก่อน +2

    Sawa kweli Ana akili ndiyo hata mie namkubali,shida huyu brother anatakiwa ajitambue nikiwa na maana kwamba unapopata deal's lazima uwe na adabu,ustaarabu na mambo ya kipuuzi hayana maana kabisa,sasa Leo analeta lawama kwa mdogo wake ifike hatua aconcetrate na maisha yake siyo hadithi Mara ohh ,bado kipaji anacho Sana Tena kikubwa ,shida ulevi kumisbehave yaani utovu wa nidhamu

  • @Rubytrendingtv255
    @Rubytrendingtv255 6 หลายเดือนก่อน +1

    Rekebisha Caption mkuu

  • @AlwiFauziAhmed
    @AlwiFauziAhmed 6 หลายเดือนก่อน

    Daaah guy has spoken too much sense wow

  • @inocentlema5574
    @inocentlema5574 6 หลายเดือนก่อน +6

    Ivo vitu unavotaka watu wakufanyie utawalaumu sn chid. Fight for your life u don’t need to fear 😢

    • @user-wy6tv5uq5c
      @user-wy6tv5uq5c 6 หลายเดือนก่อน +1

      Uyu mtu anakazi zake alifanya na zipo kunapesa anatakiwa apate ila wakuu wa mziki wanakula wao ilo jambo linamumiza

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 6 หลายเดือนก่อน

      Sasa siande basata akajieleze kuliko kujidhuru

    • @makondejohn8188
      @makondejohn8188 6 หลายเดือนก่อน

      Yeye hajaomba watu wamfanyie kitu, ila kwann hawamuheshimu? Kwann ukamuhoji mama vitu vyake na usiende kumuhoji yeye

  • @thomasmcfadden7181
    @thomasmcfadden7181 6 หลายเดือนก่อน +2

    Asiwalaumu watu he has to fight for his life no body should be blamed lazima ajitahidi kuwa na nidhamu na maisha yake ataheshimika ataweza kulipwa vizuri vinginevyo ataendelea kulipwa hizo kumi kumi za kete

    • @makondejohn8188
      @makondejohn8188 6 หลายเดือนก่อน +1

      Yeye ashasema ela sio kipaumbele kwake kama unavowaza na ndo maana yeye huwa hampangii mtu kiwango wewe yoyote ulonayo anafanya show, na pia kasema kama unaona kwenye show labda alilewa sio kwenda kumtangaza muite kaa nae chini mchane ukweli ili asirudie kosa

    • @misscall7814
      @misscall7814 6 หลายเดือนก่อน

      Kijana mtu mzima umeisikiliza kweli maelezo ya Chiddi au unawengee?

  • @BarakaJoseph-es7tx
    @BarakaJoseph-es7tx 5 หลายเดือนก่อน

    Nakubali sana chidi umenyooka sana aiseee

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 6 หลายเดือนก่อน +4

    Puwa kaziiii anaoooo😂😂😂😂😂

  • @rasmissionary7518
    @rasmissionary7518 6 หลายเดือนก่อน

    Gov Joho angekua yupo 001 bado I'm sure angesaidia hyu legend

  • @GdollerMan
    @GdollerMan 5 หลายเดือนก่อน

    Chidi ni level nyingine basi tu watu wanashindwa kumpa heshima yake

  • @mathayongwallo5880
    @mathayongwallo5880 6 หลายเดือนก่อน

    daah kiiing kooooong CHID BENZ mwamba wewe noma sana wasamehe tu: dah inauma sana chid hanakili sana tu

  • @MoBunsen.001
    @MoBunsen.001 6 หลายเดือนก่อน

    Chidy is real and is talking real

  • @matumokimatumoki6424
    @matumokimatumoki6424 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwaanaaaa

  • @suleimannanda9299
    @suleimannanda9299 6 หลายเดือนก่อน

    King Kong it's so straight talking my brother

  • @mustafaosman1838
    @mustafaosman1838 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chidy nimekuelewa uko sawa

  • @ayoubomary9336
    @ayoubomary9336 6 หลายเดือนก่อน +1

    Umenyooka salute

  • @Sarah-tq2vc
    @Sarah-tq2vc 6 หลายเดือนก่อน

    Chidy yupo vizur sanaa huyu jaman wasanii wamsaidie bila kuhoji hali yake binadamu hujafa hujaumbia kupanda na kushuka n kawaida ya sisi binadam

  • @JumanneMungula
    @JumanneMungula 6 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wote nao-comment na ku-support maelezo ya CHIDI lazima mjue maisha yanavyo kwenda hyyu chidi alifanikiwa tayari kimaisha akayachezea saa hii ni kutaka kubebesha lawama watu wengine hakuna aliyechukua madawa na kumlazimisha ayatumie ni maamuzi yake mwenyewe watu wanajitahidi kumsaidia anarudi humohumo na wajinga wachache wanam-support acheni kumuangamiza acheni ku-support ujinga msaidieni mwambieni ukweli anakosea jamii inayomzunguka mnamwangamiza kwa ku-support ujinga hatoweza kurudi katika hali ya kawaida kwa support zenu zisizo kuwa na faida

  • @mp3543
    @mp3543 6 หลายเดือนก่อน

    King🎉

  • @saidamanzi4923
    @saidamanzi4923 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa uyu alie ongea leo ndo yule Rashid nasio chid benzi

  • @ismailabbas4197
    @ismailabbas4197 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hilo goma Dar Stand-up aisee nimoja ya goma langu pendwa sio siri. Hata kama haujawahi kuliskia basi likigongwa lazma usimame na u_dance...

  • @user-fr4dz4dl5y
    @user-fr4dz4dl5y 6 หลายเดือนก่อน +3

    Sema hawajamtemdea haki kumhoj mzaz wake bila kumpa taarifa

  • @dottomsuya6597
    @dottomsuya6597 6 หลายเดือนก่อน +3

    Cloud wamezingua sanaaa

    • @allymanzi2000
      @allymanzi2000 6 หลายเดือนก่อน

      Wamezingua nn sasa

  • @chekakizenjyzanzibar4153
    @chekakizenjyzanzibar4153 6 หลายเดือนก่อน

    The point is chidi anachongea kua yey aliwasaidia kama ndugu zake sababu yeye hana ndugu wengne kama sio wao lakin now hawatak kumsadia wakat yy aliwasaidia wao wakiwa chini so sion kma akilalmik anakosea he is right na anaongelea reality ya maish yetu watz wanaume tunakuf san kw kubeb mazito vfuan vyetu ila tukiongea tunambiw tumekua kma wamama😮‍💨

  • @user-jr7mh1rf3l
    @user-jr7mh1rf3l 6 หลายเดือนก่อน

    Respect

  • @amour7693
    @amour7693 6 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅😅😅😅😅iyo goma ya dar es salaam ata miaka buku bro ngoma ya tz

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 6 หลายเดือนก่อน +2

    Chid ameongea vizuri sana.

  • @dullahsalum1229
    @dullahsalum1229 6 หลายเดือนก่อน +2

    Siku msanii wowote mkubwa atakae fanya ngoma na huyu mwamba kazi itakuwa kubwa sana kwasababu tuna muamini yupo .

  • @emanho-kps
    @emanho-kps 6 หลายเดือนก่อน

    God bless chid

  • @salimmwabundu958
    @salimmwabundu958 6 หลายเดือนก่อน

    Hpo kwa Mama kaongea point sanaaaa