DOTTO MAGARI na BOSS WAKE WAIPONDA NYUMBA ya MWIJAKU ILE HAIFIKI MILIONI 200/DIAMOND AMERUDISHA PESA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2024
- East African number one TH-cam channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS
KANUNI NA MUONGOZO
Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
WeAreEverywhere
#entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande #dottomagari - บันเทิง
DOTTO KETU WE LOVE YOU FROM MÜNCHEN GERMANY
DOTTO WETU WE LOVE YOU FROM EUROPE
Hata mia2 milion haifiki mm ni engineer mjenzi
Ww kigamboni unaijua kwel? Au unaongea sawa Nyumba ya Mwijaku B haifik ila kuna nyumba za gharama sana kulko hta huko masaki au oysterbay mnapopasema masaki mbona kuna nyumba za zaman nyng tu
Isa we utakiwi kuongeya we ni boss yisikuume chochote achana na machawa usiwe na tamaa ya mayiki
Ata kama, jibu neno moja tu kumpongeza mwijako
Shkamoo Ditto..Harier matako ya Sungura haha
Mwijaku kavamiwa na dotto na tambuu
Iyo miguu aituri
Upara kaama kipara cha kamari😀😀😀 ebuu doto twambiye makasiriko ya nini ndugu yangu
uyu choko kweli yee mwenyew anaishi kwenye nyumba zakupanga pumbavu.
Boss achana na hayo mambo utapoteza heshima yako
Doto anajitafuta yote anayosema hayatoki kwenye mtima..badae wanaagiziana bia hao..so Dotto mumzoee tu msimchukie bure
Rafiki yangu mm ni Dotto magari,Hawa jamaa tusiwaingilie ni mambo ya mitandaoni wanapendana Hawa
Dotto ana kaa kwaooo!!!
Acha kuingilia aongee hauna adabu kulopoka tu subili
Sasa sisi wa chamazi itakuwaje😊
Oya ndo doto ss unadhani uyo Chawa wa wasanii au uyo mjanja
Gauni.linawaka lina umeme jamani mabinti wa sasa mtakuja.kuwaka.moto nyiee huku mnajiona mtaungua😅😅 sa kwann ushone gauni lina motoo😅😅
Jamani nyumbaa yaa biii sio mchezooo
Kipara kama baraza ya kamari 😂😂😂
doto wee nyumba yako iko wapi acha makasiriko roho mbaya tu huna lolote!,mwenyekiti aonyeshwe icho kibari umrmpa wewe???!.
maskini mnatabu sana.
Hamza na lila boy😂😂😂😂
Ile nyumba ni mil 150,huu ni mzaha wa namna gani?
Badilika doto hatutaki maneno tunataka maendeleo,kuzaliwa mjini au kukaa mjini sio Tija,pambana na wew
Nakubal babu umesema kwel
Dotto tunamtetea ameanza kazi juzi tu na anatafuta bado na tunampenda
Tuachie doto wetu
GSM Amejenga wapi… huyu doto chizi
Hii nyumba mbona inabishaniwa hivi
Namimi sielewi ama ndo bongo walivyo
Sasa mtu wa mjini huwa hana akili za kujenga ni kukaa karibu na choo aibu sanaa akili choo tu hauna lolote jenga acha pumbaa
boya uyu
Nyie mmejenga mjini?
hehehehehe
sina uzoefu wa ujenzi ila ukweli kwa nyumba ile ml 200 ni mzaha wa wazi 😂😂😂
Bro 200m ktk ujenzi ni ntumba ya maana sana, bali Samani za ndani nazo zinachangia nyumba kuongezeka thamani, ni ukweli 100% ile nyumba thaman yake haizidi 200m
Hujui unaona mil 200 ni ndogo
😂😂😂😂 kipara ka lami
Emu acheni Mambo yenu Ata Ajenge shilingi 200/ nikwake2 mbona nyinyi Atuoni nyumba zenu makuma nyinyi rombaya2 zimewajaa
Dogo sawa nikwake lakini asiongopee watu eti nyumba ya B
wanaomponda mwijaku matahira bro,wao wanaishi chumba sebure wanaponda mtu kujenga nyumba kigamboni nyoko zao maskini tu hao ndio shida zao.
jenga nawewe udanganye watu,bro kujenga sio mchezo mtu akijenga ata chumba kimoja muheshimu.@@user-ru1bk1we4g
Mjinga uyo muongo b nyumba ile
Eti mtu wa mjini really? Dunia gani inakusikiliza wewe taahira?
anajambo mnywa smart gin uyu.
😂😂😂😂😂😂
uchawa nao unalipa bhn 😂😂😂😂😂
Muislamu kufaa mslaba✝️ ina maana gani?
Mwachie yeye na Mola
@@BongoPlusTanzania kiki na shillingi hamna dini…Anyway
Hopeless magot, bure kabisa wewe, wapi uliona milioni 150 zikajenga gorofa, mpongeze mwenzako kubali kuwa kakuzidi huto pungukiwa na kitu.