SIRI NZITO UTAJIRI WA NABII GEORDAVIE, KIKEKE AFIKA KWENYE JUMBA LAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 346

  • @ikosawamusic
    @ikosawamusic 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Big Dady, Big Boss, Big Knowledge, Big Wisdom 💯💯💯💯💯💯💯💯💯🙏🙏🙏🙏

  • @fidejohn-te1xm
    @fidejohn-te1xm 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    My lovely daddy ❤❤❤

  • @colmanuiso545
    @colmanuiso545 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    This is what God need us to answer some questions when he did all things in our life , I think some pastor (s) should learn 🙏 something from this Interview 💫💯.

  • @colmanuiso545
    @colmanuiso545 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Daaah Nabii Yuko Poa Kabsaa 💯, wengne wangesema walitokewa na Mungu mara Oohh nililiona Jua But this Man Keep a standard of GOD ❤. Msikilize kwa Umakinii utapata kitu

    • @MooKakwamba
      @MooKakwamba 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ktafute mahojiano yake na millard ayo😅😅😅😅

    • @HabilyTech
      @HabilyTech 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hujaiona ile anapewa funguo na Yesu.?

    • @AminiKayanda
      @AminiKayanda 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyu Mzee ni muongo alipoojiwa na milladiayo alisema alitokewa na yesu Leo anasema tofauti

  • @salmampinga4995
    @salmampinga4995 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wow!!!my spiritual father ❤️❤️❤️

  • @LongututiTajiri
    @LongututiTajiri 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Moja kilicho nifrahisha my prophet geodavie anaongea mambo ambayo ya hekima Sana ukimsikilisa Kwa umakini prophet geodavie na pastor Tony Osborn nikwambie iviii mafanikio yako ni makubwa Sana mm nishafanikiwa nasema kweli 💯💯💯

  • @VERROMOLLEL
    @VERROMOLLEL 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Waoooo My Dady love you so much 🙏🙏

  • @nelsonmrutu371
    @nelsonmrutu371 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Man of God GeorDavie 🙏 wewe ni Mwamba 🙌

  • @adamsambo264
    @adamsambo264 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Well said The St. Sr.Grand Prophet of The Equator,ambassador of Peace,The Great Teacher,The super specialist,Maestro geedee,The Spokesman Of The God's Kingdom Government,The Humanitarian,Prof.Dr.(P.h.D) Geordavie we real loves you and your precious Teachings,we pray to Amighty God of our lord Jesus to continue keeping you safe, only Chosen and wise People will continue to Understand your vision,mission and purpose of Prophetic Gospel towards the Church in the World

  • @angelatarimo1969
    @angelatarimo1969 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Msomi hujibu bila kujikaza mana ni kweli anachokisema. Mungu akupe maisha marefu baba nabii mkuu mh.Dr Geordavie. More love dadyy

    • @mackjr5291
      @mackjr5291 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Baba, mheshimiwa,nabii,mkuu, mh Dr😅😅

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂 acha nikae kimya

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@mackjr5291 kumbe na wewe umeziona hizo titles?

    • @donkaloza6985
      @donkaloza6985 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      MUNGU NIFUNDISHE KUNYAMANZA

  • @michaelmurumbe8903
    @michaelmurumbe8903 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Nabii mkuu ana historia ndefu hakuzuka tu ulikua ni mwendo wa mail kwa mail hadi akafika alipo sasa Mungu ampe maisha marefu zaidi ili tuzidi kunufaika na material yake ya viwango vya juu kabisa

  • @rashidhassan8156
    @rashidhassan8156 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Namwelewa sana huyu mwamba

  • @MkaliWenuOriginal
    @MkaliWenuOriginal 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    MY LOVELY DADY❤

    • @tunauzapweza3501
      @tunauzapweza3501 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha uchawa

    • @LizenMaker
      @LizenMaker 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Home boy Nina ndugu Yako anaimba mtoe et.

  • @kelvinkilale
    @kelvinkilale 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Kikeke, ni professional kabisa kwenye kuuliza maswali, hana maswali mareeefu

    • @rupiaraaj1674
      @rupiaraaj1674 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sawa bwana Geje

  • @meikoking
    @meikoking 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Huyu ni Nabii Mkuu Nabii Wa Mungu kabisa apriciate dady

    • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
      @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Huo ni mutazamo wako siku za mwisho kutakua manabii wa uongo kingine kijana wake wa kiume unajua Nini? Kilimtokea"" watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

  • @mkabesamaashao6805
    @mkabesamaashao6805 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Maneno mazuri na mafunzo mazuri sana ya Nabii

  • @emanuelmusa1419
    @emanuelmusa1419 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hes very smart ❤

  • @rithamallya8556
    @rithamallya8556 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Congratulations my super Daddy

  • @phinjinlin4057
    @phinjinlin4057 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    I remember miaka kama 17 nyuma nilikuwa nimeumia kiganja cha mkono, kulikuwa na children's day kanisani kwake tukaenda n ilikuwa watoto wanapita anawashika mikono. That's was the first time niliexperience a live miracle coz mkono ulikuwa ukiniuma ulipona palepale

    • @abdallahhuseinkabale7534
      @abdallahhuseinkabale7534 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ila wabongo 😂😂

    • @phinjinlin4057
      @phinjinlin4057 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @abdallahhuseinkabale7534 ndio tulivyo.

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @gabrielkiwango1893
    @gabrielkiwango1893 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Keep up with God kingdom Government(Maisha ya mtu wa Mungu lazimaa yawe kwenye standard ya juu coz tumeumbwa tutawale)God bless you our dear Daddy Baba mtakatifu nabii mkuu,Tunaaminii naa sisi tutafikaa ulipo Amen

    • @Kisigino
      @Kisigino 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@gabrielkiwango1893 hajasema God kingdom bali kasema gods kingdom yaani ufalme wa kishetani au

  • @TheBastarrrd
    @TheBastarrrd 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Big up sana Geo Davie 👍 , wenye wivu wajinyongee😂😂

  • @FrankShoo-yi8ez
    @FrankShoo-yi8ez 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mwenyezi Mungu atupe macho ya rohoni hawa wachungaji wengi ni manabii wa uongo hila huyu geodevie akili ainipi kabisa kama ni mchungaji kweli

    • @mohamedkige2535
      @mohamedkige2535 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      uyu wakipiga vizul atasemaaaa vzul iyo nguv anaitiwa wap

  • @SaidAlbanji
    @SaidAlbanji วันที่ผ่านมา +14

    6:32 - Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini?

    • @PFD123
      @PFD123 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hujaandika kitabu nataka nisome vizuri huu Mstari...

    • @KassimLukanza-wp6xn
      @KassimLukanza-wp6xn 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@PFD123hiyo ni aya ya Qur'ani

  • @donkaloza6985
    @donkaloza6985 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    MUNGU NIFUNDISHE KUNYAMANZA🙏🙏

  • @SamwelMollel-br9md
    @SamwelMollel-br9md 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nabii kuu super

  • @nickluca1512
    @nickluca1512 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Part two.......

  • @AlexWilliam-ky6mn
    @AlexWilliam-ky6mn 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Munngu akupe maisha marefu

  • @dc4543
    @dc4543 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Jamaa sijui anajipodoa

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    😂😂😂 walinzi wa yesu walimkata mtu sikio au sijaskia vizur 🙌🙌

    • @genescosmas432
      @genescosmas432 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😅😅Ndio walimkata mtu sikio ipo kwenye biblia

  • @anamesiahmassawe5042
    @anamesiahmassawe5042 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Maelezo ya Mtumishi wa Mungu,yanaeleweka kiwepesi wala hayakanganyi,kuhusu kumjua Mungu,kuisikia sauti ya Mungu na kuyatenda mapenzi yake.
    Ukilinganisha na wale tunaowasoma kwenye Biblia,hakika Mheshimiwa Nabii Mkuu Daktari GeorDavie (Balozi wa Amani)ni mwakilishi wa Serikali tukufu ya Ufalme wa Mungu katika kizazi cha sasa!
    Udhihirisho wa nguvu na uweza wa Kimungu,unaonekana kwenye huduma mbalimbali anazozifanya,ni udhihirisho wa muunganiko wa Agano Mungu alilolifanya naye.

  • @mclone8234
    @mclone8234 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    The True Definition ot the MAN OF GOD 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @nickalreadyknows
      @nickalreadyknows 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyo ni man of God dah haya bhn

    • @shadrackwilfred2606
      @shadrackwilfred2606 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@nickalreadyknows SHETANI NDIO mungu wake

  • @choggysly3541
    @choggysly3541 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dah maisha haya..yaani watu kabisa wanamuamini huyu ...amakweli omba sana akili na maarifa

  • @Leonard-jl8gt
    @Leonard-jl8gt 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tb joshua ujawahi kumjua ,nakushauri upokee moyo wa unyenyekevu umsikilize nakuhakikishia utanikumbuka,usijaribu kabisa kumsema vibaya kwa kuwa Unafata mkumbo,Tb joshua usimseme nakushauri na ata hawa wengine waombee huna mamlaka ya kunena uchafu Mungu akusaidie

  • @LAMECKSHEDRACK
    @LAMECKSHEDRACK 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Hapa naenda na kikeke lakin kwa nabii hapana. Niseme ukwel

  • @oscarmshana1951
    @oscarmshana1951 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Man of God

  • @athuman7480
    @athuman7480 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Huyu si alisema alikaa kikao na mungu kwaiyo ndugu zetu wakristo mnaamuamini kweli alikaa kikao na mungu.

    • @fahadfahmy
      @fahadfahmy 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      hakuna kitu kamahicho

  • @josephmolle
    @josephmolle วันที่ผ่านมา +2

    Shalom

  • @hamudseif
    @hamudseif 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Kikeke najua anajisemea “Huyu mzee muongo sana” sema Afrika()

    • @viktamade
      @viktamade 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Je ni nini alichoongea cha uongo kulingana na ulichozungumza hapa?

    • @angelatarimo1969
      @angelatarimo1969 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Africa si wanaamini vya wazungu! Ila sisi tylimtambua na kumuelewa nabii mkuu hatutaki vya nje tena tushapata chakwetu

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hii Ngoma ngumu sanaa

    • @mohamedkige2535
      @mohamedkige2535 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂😂

  • @IreneFrank-t7h
    @IreneFrank-t7h 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Baba Nabii mkuu Dr Geordavie Balozi wa Amani,My lovely Daddy Uishii Miaka mingi sana Sanaa.......Baba ♥️❤

    • @ValerianMtowe
      @ValerianMtowe 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nyie ni shida sana

    • @Don-q5u
      @Don-q5u 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ila wanawake Mungu awasimamie tu

  • @annastziatimotheo2160
    @annastziatimotheo2160 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HONGERA SANA BABA 🙌🏻

  • @ZaliyatuGateka-iw1ek
    @ZaliyatuGateka-iw1ek 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baba 💋💋♥️

  • @mosestrendingospel
    @mosestrendingospel 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Point

  • @JewsJews-c8w
    @JewsJews-c8w วันที่ผ่านมา +1

    Ulisikiaje

  • @kobelochande6669
    @kobelochande6669 วันที่ผ่านมา +1

    Good

  • @JoselineGoodluck
    @JoselineGoodluck 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    My beloved Dadie❤❤❤❤

  • @brownjulius8514
    @brownjulius8514 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Daah viti vizuri atari

    • @williamsangiwa9923
      @williamsangiwa9923 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Brown umeona vt tuuu kijana
      😁😁😁😁😁

  • @mnenemakweta8871
    @mnenemakweta8871 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    BIBLICAL GENIUS ,MAJIBU YANAYO JENGA

  • @choggysly3541
    @choggysly3541 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Muogopeni Mungu fungueni macho yenu acheni mikumbo

  • @angela-kd2iz
    @angela-kd2iz 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Wanaomsema vibaya hapa wajue tu huyu ni Nabii wa kweli kabisa na Kila kitu anachosema ni kweli kabisa akitoa unabii unapita pale pale mi binafsi namuamini nampenda na ninajua ni Nabii wa kweli mungu amtunze huyu baba yangu Aishi miaka mingiiiiiiii tunampenda sana

    • @isaackchambo2642
      @isaackchambo2642 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mmm unakipimo gani kinachokuthibitishia kuwa huyo ni nabii na Mungu anamtumia?

    • @edwinkajuna7207
      @edwinkajuna7207 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ww Ndo unasema ni Nabii lkn Nabii siyo jambo dogo

    • @edwinkajuna7207
      @edwinkajuna7207 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sijaona akitoa rejea yoyote kwenye biblia

  • @mathayowasulo569
    @mathayowasulo569 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nabii enzi hizi unabii wako ni wa nini unatabili ujio wa YESU mara ya pili? YESU hakuwa na walinzi alikuwa na wanafunzi kwa sababu hakuwa mfalme wa Dunia.

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mm napakumbuka mjini mwa Daudi tuliigia shimoni mwaka 2010 hadi 2014 nimesahau nilienda Arusha kule kisongo nikapata kuona mahali penye historia ambapo nabii alitokewa.

  • @florahjohn-jz9br
    @florahjohn-jz9br 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    That is very true daddy love you so much ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @chiefmwamakula234
    @chiefmwamakula234 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Achilia Part 2 😅

  • @jameschali6023
    @jameschali6023 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mbona hapo kuna makopo ya mafuta kama ua PD 😂😂😂😂😂😂😂

  • @SaidAlbanji
    @SaidAlbanji วันที่ผ่านมา +4

    21:16 - Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyo baina yao kwa mchezo

    • @SaidAlbanji
      @SaidAlbanji วันที่ผ่านมา +2

      21:17 - Kama tungeli taka kufanya mchezo tunge jifanyia Sisi wenyewe, lau kwamba tungeli kuwa ni wafanyao mchezo.

    • @SaidAlbanji
      @SaidAlbanji วันที่ผ่านมา +2

      21:18 - Bali tunaitupa kweli juu ya uwongo ikauvunja na mara ukatoweka. Na ole wenu kwa mnayo yazua.

    • @shabanimasoud9151
      @shabanimasoud9151 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wafundishe sheikh wng hawajui chochote hawa ndugu zetu

  • @kinjekitilew
    @kinjekitilew วันที่ผ่านมา +1

    Asante salim kikeke baba wa habari africa napenda hii

  • @ayoubluizpizzaro8735
    @ayoubluizpizzaro8735 วันที่ผ่านมา +2

    Kikeke mitano Tena ur the best kwenye hiz kazi

  • @JumaMuhhamad
    @JumaMuhhamad 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Njia za kupiga pesa Bongo :
    Imba Nyimbo za mapenzi,
    Au Ujiite Nabii

  • @chacha-255
    @chacha-255 วันที่ผ่านมา +11

    Gharama zake za kuombewa mwaka 2014... Kufungua njia 500,000, Kufungua mlango 1,000,000 na kufungua geti nimesahau ila ilikuwa gharama zaidi

    • @janethelly4986
      @janethelly4986 วันที่ผ่านมา +1

      Looh muogope Mungu we mkakaaa😂

    • @eliudhezron181
      @eliudhezron181 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂​@@janethelly4986

    • @BetyFrancis
      @BetyFrancis 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Heeeee jmn

    • @charlescosmas6730
      @charlescosmas6730 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      MATHAYO 10:8...Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu,wajinga kweli ndo waliwao

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu kampa nabii mkuu kibarili na malaka yakweli matendo yake na mafundisho yake niyapeke sana pamoja na kusaidia watu wengi kuliko watumishi wengi kazi yao nikupokea kuliko kutowa kwa watu wene witaji

  • @Ibramoref
    @Ibramoref 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yesu shuka tu baba😅😅😅😅😅😅😅

  • @mathsmeme-tv6576
    @mathsmeme-tv6576 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    The great Daddy of mine!! Akili ya Baba yetu ipo smart mno

  • @kendramartin3707
    @kendramartin3707 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Nyie mnaoteseka na rangi rangi Nabii hata kwa muonekano anatangaza habari njema kwa hiyo hata rangi yake ni kwa ajili ya Mataifa mbalimbali kupokea habari njema...rangi yake inatangaza kuwafikia mataifa mbalimbali 🎉🎉si wa kwetu tu

  • @KhadijaMwenda
    @KhadijaMwenda วันที่ผ่านมา +1

    Leo kaongea vizur sana

  • @VipodoziKariakoo
    @VipodoziKariakoo 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    "Huku kwetu watu wanaamini kitu chochote, ila Marekani watu wanahoji(reason) kwahiyo lazima uwe na akili, kiufupi kichwani ziwemo" Hapo nime-paraphrase maneno muhimu sana ya huyu mwamba. Hakikisha kama mtu mweusi huamini kila unaloambiwa, ndivyo nilivyo mimi.

  • @Liquidityconsuption-01
    @Liquidityconsuption-01 วันที่ผ่านมา +1

    ivii hii interview imeishia apa tu natamani hiendeleh Geordavie ni smat sana
    \

  • @mohdmood9726
    @mohdmood9726 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kikeke anajua sana kazi yake

  • @talentedboys-tv1507
    @talentedboys-tv1507 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥GeorDavie

  • @pena_tz
    @pena_tz 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    kwamba nabii wako akikuombea akiwa hana kitu itabidi imani yako kwa Mungu iwe kubwa kuliko yeye !!!! 🤣🤣🤣

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Vp kuhusu kutokewa na Yesu Kristo ana kwa ana 😂😂😂😂😂🙌

    • @blessingcharles-lc1rr
      @blessingcharles-lc1rr 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Ni wewe yesu anawatokea wengi tu ni wewe tu hajakutokea inabidi ukaze buti lazim na wew akutokee mwaka huu

    • @mrfantastic8364
      @mrfantastic8364 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@blessingcharles-lc1rrMbona kama unajibu kwa mihemko

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Yesu ambaye hujawahi kumwona anakutokeaje na ukamtambua ?

    • @choggysly3541
      @choggysly3541 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mmweeh​@@blessingcharles-lc1rr

    • @khalfanikimanta6663
      @khalfanikimanta6663 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@blessingcharles-lc1rr Watu washasahau daaah!! leo sijaisikia namke nilikuwa naisubiri hiyo ya ana kwa ana labda mwisho wa interview tuendelee kuskiiza 😄

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Platform 😢

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wacha uwongo wewe nabii wa wapi 😂😂😂 nabii anamustachi 🤣🤣🤣🤣

    • @tinejuxfrancis729
      @tinejuxfrancis729 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Usihukumu kwa macho.. We mwamini Mungu tu inatosha

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @tinejuxfrancis729 hatuna upumbavu huo

    • @tospend
      @tospend 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Daah hii ndio akili ya mbongo kwel bongo akili

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @tospend sasa na wewe huyo ni mtume hebu nikuulize? Mtadanganywa saana nyie watu

  • @alphadreammedia
    @alphadreammedia 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumekucha tena

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watu weupe 😂😂

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Sioo mweupee huyuu chekii mikono

  • @rmmedia3288
    @rmmedia3288 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hii ndio raha ya kuwa na Yesu moyoni, akili kichwani na pesa mfukoni!! Nabii mkuu ana akili nyingi sana

  • @Marjeby
    @Marjeby วันที่ผ่านมา +2

    Mtu wa mungu mkorogo unahusika pale kati 😂

    • @damsonwilson5202
      @damsonwilson5202 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We ni taira tu

  • @YonaRajabu
    @YonaRajabu 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Blaa blaaa

  • @Kisigino
    @Kisigino 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Huenda ulikua wito wa Mungu ila kwa sasa unamtumikia shetani kwa kujua au bila kujua ila mzee kwa Sasa umepotoka na shetani

    • @marcelinkamuntu
      @marcelinkamuntu 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mzee msafi sana, ana saidiya watu, ongera Mzee.

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakuna nguvu ya Mungu hapo.

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 วันที่ผ่านมา +5

    Yesu alikua na walinzi tena wenye sime, mhm nabii apa umetupiga et mtu kaongea tu neno kakatwa sikio, et Mimi sijafika uko, kwaiyo wewe ni mungwana kuliko Yesu 😮

    • @nyerere1259
      @nyerere1259 วันที่ผ่านมา +1

      Hajafikia ukubwa wa Yesu

    • @williamsofia7372
      @williamsofia7372 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Kwani si kweli.. Unadhani yesu ulikuwa unamfikia kirahisi kabla Petro hajakupiga ngwaraa haaaa haaa soma tu biblia

    • @josiacharles2778
      @josiacharles2778 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@williamsofia7372 Petro alichaguliwa na Yesu Kwa lengo la kumlinda Yesu?
      Yule mama aliekua akitokwa damu aliegusa Yesu wakati anamgusa Petro alikua wapi?
      Aliekatwa na Petro alikua askari aliekuja kumkamata Yesu nasiyo kila mtu alietaka kumsogelea.

    • @williamsofia7372
      @williamsofia7372 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @josiacharles2778 kasome. Kisaa cha huyo mama vizuri jinsi ilivyokuwa ngumu kumfikia yesu...

    • @iantussa9064
      @iantussa9064 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@williamsofia7372 mtu ambae hasomi biblia huwa anabisha kila kitu.mi hata kama simkubali mtu ila siwez mwandikoa comment mbaya

  • @jemmylove100
    @jemmylove100 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nilichojifunza elimu(be it formal or non formal) na exposure ni kitu muhimu sana! Mzee ni wazi anapenda elimu

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nabii w ki digital 😁

  • @QasammaMachibya
    @QasammaMachibya 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    izingu ndani ya afrika,hiyo dr,niyaheshoma au nikitabu?naombakujua

  • @justineswai5885
    @justineswai5885 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ulianza ktk roho ,unamaliza ktk mwili

  • @abuu-bakarshaaban6246
    @abuu-bakarshaaban6246 วันที่ผ่านมา +3

    Hamna kitu

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md วันที่ผ่านมา +1

      Hiyo niwifu inakusumbuwa ,ulikuwa unatakaje

  • @ApolinaryBiyengo
    @ApolinaryBiyengo 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mbona mnazunmzia kidevu heti kamaliza ndevu zote ,wengi mikono nyeusi, mstachi hayo ni mambo binafsi hacha wivu anapendeza, nyie zungumzieni kazi yake,shuhudieni kama mliwai kuona anateda dhambi kama siyo, Mungu aonae sirini ndiye ajuaye acheni mipakazo na wivu.

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimejaribu kupata usahihi wa huo upako nimeona hakuna tofauti na yale ya Samunge ...

  • @HopefulFlower-sn4kg
    @HopefulFlower-sn4kg 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    BABA NABII MKUU ULIYETUFUNDISHA YESU KRISTO KWA USAHIHI ZAIDI
    "BABA NABII MKUU UISHI MILELE"

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kicheko gani hicho cha kinafki , cheka vzr

    • @PrinceBonnyTz8
      @PrinceBonnyTz8 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂Na ndio maana jina lako la kujirudia

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 วันที่ผ่านมา +3

    Mbona nabii vidole vyeusi ukilinganisha uso wake, au mkorogo?😂😂😂

    • @broumaiyyah8018
      @broumaiyyah8018 วันที่ผ่านมา +1

      Upako😂

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 วันที่ผ่านมา

      Anapiga pushapu bwana

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md วันที่ผ่านมา +1

      Endeleya kupanuwa matako hapo vidolevyake vinakuusu nini,au unataka akuingisiye matakoni ili utulise umalaya ww,😅

    • @achirafisaid4322
      @achirafisaid4322 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unauliza tarabu pemba😂

    • @josiacharles2778
      @josiacharles2778 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@SamwelMollel-br9md namna unavotumia nguvu kumtete inaonesha wazi ulivyo Wala hujajificha

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baba Leo kaongea vizuri

  • @piusdp7328
    @piusdp7328 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    King kikeke

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnamjua mungu kweli

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Funga hiyo mkundu wako naona unajamba jamba,

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kumbe ile huduma inayo endeshwa na Kathryn Krick ya Five Fold Church ya Marekani ni ya kwako?

    • @talentedboys-tv1507
      @talentedboys-tv1507 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      kwan huoni wamarekani wanavompiga vita GD na kathrrine😂😂.. huyu mzee ni noma jmaangu bax ty sisi tunamchukulia easy

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @talentedboys-tv1507 Ni kweli wamarekani huwa wanampiga sana vita Kathryn Krick na Geordavie, lakini sasa cha kushangaza Huduma ya Kathryn ndo inazidi kuwa kubwa kadri inavyopigwa vita

    • @talentedboys-tv1507
      @talentedboys-tv1507 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@edwinalexander1170 ndo pale tunasema... kty cha mungu ww huna cha kufanya paka uizuieee.... kwan miaka ile ya 1999/2004 GD si ndo alkua kweny kilele cha vita yake😂na ndo kanisa ake ikawa kubwa zaid na kila mahal Tz wakawa wanamuongelea mty wasiyemjua hta sura

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@talentedboys-tv1507 Mim namkumbuka enzi zile akiwa ameweka rasta, anapiga gitaa na kipindi alikuwa alichana nywele zake kwa kwenda nyuma akipiga sana gitaa na kuimba nyimbo za Mungu, ila huyu bwana anajua sana kuimba aisee dah. Kipindi hicho anaitwa George Daivid Kasambala, sijui kwanini nowdays Geordavie.

  • @amisibikyeombe6160
    @amisibikyeombe6160 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu mzee ni muongo 💯%

  • @danielmwaipopo8042
    @danielmwaipopo8042 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimependa amejibu maswali vizuri na kwa ufasaha.

  • @juniorwiseprophet1240
    @juniorwiseprophet1240 วันที่ผ่านมา +6

    Mmeona mikono yake ilivyo ? Ni tofauti na rangi ya mwili

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md วันที่ผ่านมา

      Pungunza unzenge kwani inausiana nini, mikono namaisha yake,

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md วันที่ผ่านมา

      Kwani mikono yake inakusu nini ,pambana naumasikini wako hapo ulipo endeleya kupanuwa matako hapo,

    • @asserymfinanga3163
      @asserymfinanga3163 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Limejicream

    • @AdrienOscar
      @AdrienOscar 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Majitu mengine bwana yani katika vitu vyote amezungumza we umeona rangi ya mikono na sura 😮

  • @benmabebajr.6551
    @benmabebajr.6551 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Color ya mikono ya mtumishi mbona ni tofauti sana na face yake? Just curious 🤭🤔

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ulikuwa sifanane namkundu wako au,sivanane namkundu wakewako malaya,ww

    • @EvelyneEdward-s2e
      @EvelyneEdward-s2e 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@SamwelMollel-br9mdmbona matusi jamani😅😅😅😅 nimecheka sana khaaa

  • @Broodingchicks
    @Broodingchicks 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kikeke anajua kinoma

  • @kivuswahilitv6833
    @kivuswahilitv6833 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kama kuna mtumishi wa Mungu Tanzania basi huyu ana timiza vigezo vya kua mchungaji
    Sijawahi sikia miujiza kwake bali ana saidia watu wengi amhachagui dini au kabila au uraia hana promotion kwenye tv za Tanzania hauzi mafuta wala maji kwakweli ata kuongea kwake utagundua ni mtu anae mtumikia mungu

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mimi NIPO TANGA ILA HUYO NABII NAMUAMINI SANA NAMUAMINI KWA SABABU ANAFANYA VITU VINAONEKANA NA ANA MSAADA MKUBWA SANA KWA JAMII INAYO MZUNGUKA WATU WA ARUSHA MNAMJUA VIZURI VIJANA WANA AJIRA WENGI KWA SABABU YAKE