MZEE YUSSUF : SIACHI TENA TAARAB MPAKA KUFA KUZIKANA, TUNALEGEZA MIKONO NA VIUNO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2024
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 44

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 7 วันที่ผ่านมา +7

    We ni ndugu yetu muislam usifany hivyo sawa yot maisha ila haya maneno siachi mpaka kufa ni kibri na Allah hawapendi wanaofanya kibri

  • @bokasa5150
    @bokasa5150 8 วันที่ผ่านมา +5

    Mungu hachezewi

  • @GreysonMdee-wm8tn
    @GreysonMdee-wm8tn 16 วันที่ผ่านมา +8

    Inalillah Waina ilayh rajuun

  • @user-vd8ud7pm5x
    @user-vd8ud7pm5x 16 วันที่ผ่านมา +6

    Astaghfirullah 😢😢

  • @hassanjuamchipua9384
    @hassanjuamchipua9384 7 วันที่ผ่านมา +5

    Mtihani wa njaa ni mbaya usiombeee

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim 5 วันที่ผ่านมา +1

    Al haji mzee yussuf

  • @user-vd8ud7pm5x
    @user-vd8ud7pm5x 16 วันที่ผ่านมา +5

    Innalillahi waina ilaihi rajiun

  • @actionclips9931
    @actionclips9931 6 วันที่ผ่านมา +1

    Allah atuongoze sisi sote na ndugu zetu wote waislamu

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 14 วันที่ผ่านมา +4

    Inna lillah wainna ilayhi raj'un

  • @Nassor2377
    @Nassor2377 14 วันที่ผ่านมา +9

    Allah akuongoze ...ipo siku utakuja juta

    • @sadikjuma5519
      @sadikjuma5519 13 วันที่ผ่านมา

      Tulia

    • @hassanjuamchipua9384
      @hassanjuamchipua9384 7 วันที่ผ่านมา +2

      Huyu kashakua shetani sai hata umwambie nn

    • @salimfaraj5509
      @salimfaraj5509 6 วันที่ผ่านมา +1

      Hata umuadhinie sikioni haelewi

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJI'UN

  • @kamalmukaddam1521
    @kamalmukaddam1521 11 วันที่ผ่านมา +2

    Haijawa hiii dunia ila ni mapambo tu yenye kuhadaa the world is a beautiful lie

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 7 วันที่ผ่านมา +2

    Kipo kitakachokiachisha,ugonjwa tu wakoo😂

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 14 วันที่ผ่านมา +2

    Umechezea hela ya kwenda Makkah bure..
    Shetani kakuteka ila kaburini utaingia mwenyewe
    Hii dunia wengi wamefanya kama wewe lakini wameshakufa siku nyingi

  • @Bittertruth-u4n
    @Bittertruth-u4n 16 วันที่ผ่านมา +2

    Subhnaallah

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbuka dhambi kubwa iliyomfanya ibilis alaaniwe ni kibri so usimsaidie shaitan akhy nakuusia ndugu hata kama unafanya biashara hii kharam na ndio kipato chako ila usiseme siachi hadi kufa

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 14 วันที่ผ่านมา +2

    uyo sio yeye😊....muombeeni dua...na zile clip zake anazojiliza liza kinafki kwenye mihadhara ya kiislamu na kwenye ma intview zipo youtube

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 10 วันที่ผ่านมา

      Mtihan sana huyu mtuu

  • @faridbinjumaonlinetv9258
    @faridbinjumaonlinetv9258 5 วันที่ผ่านมา

    Na kwa mungu akapige na kiuno na mkono ndio uko pia asisahsu Kuna kongamano

  • @muhseenmakpel5043
    @muhseenmakpel5043 14 วันที่ผ่านมา +2

    Uyu mzee kama anavuta bangi mdomo mweusi au ndo kahawa nyingi

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 3 วันที่ผ่านมา

    masikini na sijda yake kaamua kumtumikia shetani haswaaa 😢
    hatari sana
    aya tumuachie Allah ndiye mjuzi

  • @fadhilimbotela1049
    @fadhilimbotela1049 11 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji uko vzr unauliza point na unampa mtu namna ya kujitengenezea mashabik nimependa endelea hivo hivo umemtengeneza yusuph ashindwe yeye tu kutoa ngoma💥

    • @hamzachum2953
      @hamzachum2953 3 วันที่ผ่านมา

      Hakika ya binadam yupo kwenye hasara

  • @Akramamkaku
    @Akramamkaku 3 วันที่ผ่านมา +2

    Dhahiri shahiri umejivika kiburi na kiburi ni vazi la m/mungu
    Chunga mdomo wako kaka jua kuna kufa na ni nani atakaye kuzika??

    • @FathiyaAlshidhani
      @FathiyaAlshidhani 3 วันที่ผ่านมา +1

      Huyu nadhani ana uhusiano na firaun

    • @Akramamkaku
      @Akramamkaku 2 วันที่ผ่านมา

      @@FathiyaAlshidhani kabisa 😏

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 14 วันที่ผ่านมา +2

    Sigda ya kulazimisha😅😅😅

  • @MohamedMalik-g6d
    @MohamedMalik-g6d 13 วันที่ผ่านมา +2

    Kuna kufa tu

  • @stonetown578
    @stonetown578 14 วันที่ผ่านมา +1

    Hata Issa Matona alisema hayo hayo

  • @HassanHassan-vh6pc
    @HassanHassan-vh6pc 13 วันที่ผ่านมา +1

    Ww si umerd mjn.
    Endelea kabla hujrd shamba

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 13 วันที่ผ่านมา +2

    Mpuuzi huyu

  • @salumseyf9783
    @salumseyf9783 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ana sijda au nini hichi ...

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 13 วันที่ผ่านมา +1

    Skio la kufa halisiki dawa

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 3 วันที่ผ่านมา

    Ukifa utaacha unafikiri utaishi milele

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 13 วันที่ผ่านมา

    Kwani unamkomoa na si nafsi YAKO mwenyewe mwehu wewe.ila majuto yapo

  • @faridbinjumaonlinetv9258
    @faridbinjumaonlinetv9258 5 วันที่ผ่านมา

    Narudia tena pale akiulizwa na mungu na Mimi niwepo ntakipiga mie kiuno kaka akuna shida

    • @hamzachum2953
      @hamzachum2953 3 วันที่ผ่านมา

      Utapiga ww kiuno ili iwejee mbona binadam tunachupa mikapa kwa hururi ya dunia ila ipo siku ya majuto

    • @faridbinjumaonlinetv9258
      @faridbinjumaonlinetv9258 3 วันที่ผ่านมา

      @@hamzachum2953 Kaka hujanielewa nimesema ntakua shahid wa huyu bwana kwa kustaghfiru alaf akarud kwa shetani soma coment vzuri kaka

    • @hamzachum2953
      @hamzachum2953 วันที่ผ่านมา

      @@faridbinjumaonlinetv9258 sawa samahan sana tupo pamoja sheikh wangu

  • @saidali-xv8yh
    @saidali-xv8yh 2 วันที่ผ่านมา

    Kumbuka mauti hayana miadi.