Isha Mashauzi - Hirizi Mzigo (Offical Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2024
- #IshaMashauzi #Hirizimzigo #Taraab #SlideDigital #trending
SUBSCRIBE TO OUR CHANNEL
/ @ishamashauzi
Listen & Download Music Worldwide
ffm.to/mashauzi
Follow:
/ ishamashauzioriginal
Channel Administered by Slide Digital
/ ishamashauzioriginal - เพลง
Mtegemea Munguu....daima haalibikiwii...mtegemea majunguu na wala hafanikiwii
Jaman hanifa maulidi akupe2 maua Yako hakuwez ant yang mwenye kipaji chako nakupend sanaaaa ❤❤❤❤❤ halafu ngoma ni motoooooooo
Umependeza sana ngoma Kali Kila kitu Kiko mwaaa❤❤
Isha mambo yako makubwa makubwa na hii pia kali 🔥🔥🔥
Nampenda Sana ❤❤❤❤
Shabik No1.. wa Mashauzii
Unapendwa namm ❤️❤️❤️
Umeshindikana Mamaa 🙌🙌🙌
Ila bi star nampenda bure tu❤ huyu mama maan anavimbwanga😂
Mi nampenda mpaka naumwa bi star
😂😂Achoshi ukimtazama
Haya ndio mambo tunayoyapenda dada toa ngoma bwana gem ichangamke
Jeshi la mtu mmoja , Jike la simba queen of the best melodyyy umeua mamaaaa, washabiki hatutaki maneno tunataka kazi , kazi kama hiii uko juuu mama!!!!! Kimya ukitoa uanatoa kombora❤❤❤❤❤❤❤💯
Mama la mama lao weyeee waongesheeeee🥰🥰🥰🥰 maujuzi hawajuiiih🤗
Video Kali Sana mambo ni 🔥🔥🔥🔥 weee ishaaa umepigaje hapooooo
Hongera sana DDA Esha nyimbozako zote nzr.
makopa kwa wingi much luv
Yani nakupenda mashauz dada angu mwepesi sana kucheza nanaunajua jamani da!!! ❤❤❤❤
Tupe raha isha weee 🔥🔥🔥🔥💃💃💃
❤❤❤🎉🎉🎉Quen tha best melody mambo motooo
Hongera kwako Queen of the best melody na kwa director pia,video Kali👌👌
Yani uyu dada kanifanya nizipende tarabu ❤
Ishaa n mmoja t❤
Namkubali sana isha,huyo nikoboko
Isha wàngu jamani Hadi mwili wangu umesisimka nakupenda buree💖💖🙏
Namubali Isha mashauz yuko vizur kuimba sauti
Hongera wajina sina roho ya kwann pambania yako ndoto makasiliko ya nn mbona pambe tuu❤❤❤❤❤
Wapiiiiii mamasemeniii wa jua kaliiii
Bi star kaendana na uhalisia nice choice Sana
Safi sana isha ume nipa furaha sana imekaza sawa kabisa
My love ❤❤❤❤❤❤❤ Mungu akuweke we Isha .mapenzi toka kenya
Nyimbo tamu mpaka tamu Tena
Umetisha sana dada yangu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mambo ni moto
Queen kama queen 👸 chukua crown 👑 yako🥳🥳🥳🥳
Bi star umeuwa love it
❤❤❤❤❤❤❤❤ hongera zake nyimbo ikopowa
Nimeangalia mpk mwisho nyimbo hii ipewe mauwa yakeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤ Nimeirudia mara nne
I am from Los angels i don't know swahili ,but uyu isha anajua kinoma 😊😊😊❤❤❤
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 tunainjoi tuu hasidi hana hasara🌹🌹🌹✌️✌️✌️
Kali sanaa
Huu ndio mziki jamani , dada you nailed it ❤❤❤❤
❤❤❤❤❤nyimbo tamuuu sanaa
Nakpenda bureee❤❤❤❤❤
Jisongi tamu sana dada Isha umetisha
Nyimbo kari san hongera isha ww noma san ❤
Fire fire❤
Wajina upo vizuri sana ❤❤❤❤
isha weeeeeee nakupenda sio kitoto
Video nzur sana jmn unaenjoy kuangalia
Kwa mara ya kwanza nimeingia u tube kwa ajili ya taarabu kwaajili ya huyu dada
Ila taarabu tam hii aswaaa za shoga yangu Maana wewe ndio mwenye mziki wako kucheza pembe hatar
Nampenda sana dada Isha mashauzi
Hii ndio taarab halisi. Kazi njema ishaa ❤❤
umependeza sana mashaallah umevunja kabati
Mashauzi on top👌👌
Nakupenda Isha sana unajua
Ipewe mauwa yake jamn nyimbo kali❤❤❤
Video tamu adi raha yani isha una baya kwangu kukupenda tuuu❤❤❤
Sana dad isha pend sana
Queen of the best melody ujawai kumuacha mtu salama😂😂😂😂 weweeeee
❤❤❤❤❤Big video uko juu mashauzi
Hirizi mzigo ipo vizuri sana ISHA umeshinda bila vita dada
Kweli👌👌👌💕💕💕from Rwanda
❤❤❤❤nakupenda ishaaaa unavyo cheza
Nyimbo tamu clear video ❤mob love from Kenya
Video tamu atariiiii❤
Nimeipenda hii 😍😍
Kiukweli nampenda sana hu dada jaman
Mwamba ndio huyu sasa penda ww mpaka basi uko juu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ pambeee t nyimbo yke
Umetishaaaa 🙌🙌
Nyimbo nzuli❤
Namkubali kinoma ❤
Isha umepigajeee hapoooo❤️❤️❤️❤️❤️
Jike la simba haujawah kukosea 🔥🔥🔥🔥🔥
🌹🌹🌹🌹nimekupa maua Yako isha
Wakwanza nipeni like kama zote namkubali sana isha❤
❤❤❤
Ume nipeweni chakweli.
Snaa
Wueh!kazi ipoh,Huna baya mama
Queen safi sana irudishe tarabu
Isha anadamu ya nguo mashallah ❤
Best melody kama yeye 🎉❤pendeza sana isha
Mashauzi❤
Imeelewek iyoooooooooo❤❤❤
Nampnd san uy dada yet kin isha ❤❤❤
❤❤❤jeke la simba sathaaa
Mashallah ❤❤❤❤❤ wanipunga sana swahiba natokea Kenya💪💪💪💪💪
Dada nimeipenda safi
Nampenda huyu dada ❤
❤❤❤❤❤ nlmis sana ulud huku
Napenda nyimbo zako kipenz ❤❤❤
uwiiiiiii my sweet love penda sana wewe..unahangaika kwawaganga lakini sie tuna mungu weweyaaaaaaa imeenda hio
Mashallah 💃💃💃🕺🕺🕺🎸🎸🎸
Mwana muzik wangu uliyebaki kwenye taarifa Maana nyimbo zako zote nipo zako kipenzi changu zinapa nguvu za kupambana uku
Mungu akubariki sana na akuzidishie kila la heri maishani mwako Amin ❤❤❤🎉🎉🎉
Nnavyompenda isha hakose ❤❤❤❤
Goma mpya moto 🔥🔥
Dude la Kwendaaa ❤🔥🔥🔥🔥🔥
fundiiiii anajuaaa
Big up nyimbo pambeeee❤❤❤❤❤
Hii video 🎉🎉🎉🎉🎉 Iko juu wimbo 🎉🎉🎉🎉 like hpa twende
Isha namkubali sana fanya ujetena kilwa
❤upo vzr sauti nzuli nyimbo zuli
Jiiike la Siiiimba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥