🤣🤣🤣 HUYU ☝️☝️JAMAA NI NOMAAH AMEVUNJA MBAVU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 437

  • @Fazza_Jnr
    @Fazza_Jnr ปีที่แล้ว +37

    Moto sana, kenya imekukubali

  • @mbezijumaomar810
    @mbezijumaomar810 ปีที่แล้ว +51

    Oya majid lazima a feel proud na ww😅😅

    • @JustnKgrrk
      @JustnKgrrk 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

  • @dannienimrod8713
    @dannienimrod8713 ปีที่แล้ว +32

    😂😂 huwa si mrahisi kucomment kwenye comedy videos ila huyu jamaa ameniweza leo...we need more comedy videos from him

  • @pennydizzy
    @pennydizzy ปีที่แล้ว +20

    Akiiiii mi nakupenda unavotembea na huo ufupi😆😆😆😂😂😂😂😂

  • @FrankChristopher-no2jm
    @FrankChristopher-no2jm 4 หลายเดือนก่อน +12

    Huyu jamaa anaongea ukwel mtupu🎉🎉🎉

  • @mussagwasa1557
    @mussagwasa1557 10 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mwamba kila siku lazima nichek comedy yake moja😂😂😂😂

  • @CosterMwamasage-ie9lb
    @CosterMwamasage-ie9lb 9 หลายเดือนก่อน +13

    Majidi bhana mtuu wakuferi Sanaa yani😂😂😂😂😂😂😂😂❤

  • @lowasameliyo4027
    @lowasameliyo4027 ปีที่แล้ว +43

    Hahahahaaaa hiii ya mapreading umewahi kunikuta bna Niko advance ikaletwa ya mtaani kwetu, weee Cha kwanz nikaanza kutafuta kwetu, mito ya mitaaa😂😂😂😂😂😂😂😂 umenikumbusha mbaliii sanaaa

  • @ZULFANZELEKELA
    @ZULFANZELEKELA ปีที่แล้ว +5

    😅😅😅ila huyo majid ni noma

  • @KumbukagaBenard-ob8ev
    @KumbukagaBenard-ob8ev ปีที่แล้ว +32

    Njoss boy 2019
    EGM. .....hongera mwanangu unakitu utafika mbali

    • @barakamsanga5686
      @barakamsanga5686 ปีที่แล้ว +2

      Sanaaa toka njoss alikua comedian

    • @samsonsylvester9545
      @samsonsylvester9545 ปีที่แล้ว +1

      Abonaaa moja😂😂😂

    • @laurentchimbirani5990
      @laurentchimbirani5990 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@samsonsylvester9545kumbe Abona ya Tycs bado ipo pale Njoss? sie tulisoma pale 2014-2016

    • @kwangahudispensary7238
      @kwangahudispensary7238 10 หลายเดือนก่อน

      Njombe finest,,,,,njoss nkikaa melinze naiona ileeee pale juu

    • @zhonxheylions9752
      @zhonxheylions9752 10 หลายเดือนก่อน

      Ohyaa MwaNaNgu na wewe njoss Kumbe kaka hahahhaa

  • @lizybabymgaywa8035
    @lizybabymgaywa8035 ปีที่แล้ว +6

    Kweli kabisa kiswahili kigumu sana

  • @JacklineMponela
    @JacklineMponela ปีที่แล้ว +11

    Hehehe wee-wee umetisha sana nimeipenda ruka kinyamwezi Bass ✌️✌️✌️✌️

  • @AmosMbwambo-up3ks
    @AmosMbwambo-up3ks ปีที่แล้ว +3

    Aseee uyu mbna hafananiiiiii na anachokitoaaaa......nmemuona wakawaida mwanzo lakiniiii mhhhhh

  • @CassimRavido-go7lh
    @CassimRavido-go7lh 11 หลายเดือนก่อน +4

    Dah mwana anajua Sana hivi hana vichekesho vingine

  • @AmosHashaka
    @AmosHashaka ปีที่แล้ว +12

    Nzuri talanta imeivaa kabiza 😂

  • @jackson742
    @jackson742 5 วันที่ผ่านมา

    Tanzanian needs to be happy. I'm glad the industry is growing. Love from 🇰🇪

  • @franceKolmban-yq4ww
    @franceKolmban-yq4ww ปีที่แล้ว +4

    So talented Mr Kim jamaa✊✊

  • @felixkilave9171
    @felixkilave9171 ปีที่แล้ว +11

    Mamae .... kijana anabalaa aseh 😂😂

  • @mickdizleponera1191
    @mickdizleponera1191 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa punch zake cyo kali kaiviile,ila jamaa anajua jinc ya kuwasilisha,really talented

  • @deeh7322
    @deeh7322 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ila huyu jamaa kanikumbusha mbali sana 😂😂😂 mambo ya Geography

  • @juliusjacob2590
    @juliusjacob2590 ปีที่แล้ว +100

    Wakati anaanza nilimwona wa kawaida kumbe wa moto 😂😂😂😂

    • @minabuelysee8
      @minabuelysee8 ปีที่แล้ว +9

      Ata mimi

    • @MarkAmson
      @MarkAmson ปีที่แล้ว +6

      Kweli

    • @giddy1242
      @giddy1242 ปีที่แล้ว +7

      Nimesoma nae njoss balaha lae so dogo

    • @nalley1962
      @nalley1962 9 หลายเดือนก่อน +3

      Alafu ana chekesh kisomi 😂😂😂

    • @samwelkitinx588
      @samwelkitinx588 8 หลายเดือนก่อน +1

      Amini 😂😂

  • @michaelmwembezi
    @michaelmwembezi 11 หลายเดือนก่อน +9

    Huyu mwamba kwer anajuwa life ilotokea shule na bado linatokeaa aisee duuu

  • @JenyMhando
    @JenyMhando ปีที่แล้ว +12

    Jamanii ametoleaa mfanoo. WA walimuu kwelii 😂😂😂 yanii huyuuu tumesomaa wotee maghare sec😂😂😂😂

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 ปีที่แล้ว +3

    Oya huyu jamaa anajuwa sana😂😂😂

  • @user-zp3tn3el4b
    @user-zp3tn3el4b 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mbwa anajua ni balaah..😂😂

  • @loyceakuku6019
    @loyceakuku6019 ปีที่แล้ว +31

    Tanzania most talented 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @VioletNamz-tq4tg
    @VioletNamz-tq4tg ปีที่แล้ว +14

    Simple by looking but taff in action.congrastion dear.

  • @ramadhanimwendapole8265
    @ramadhanimwendapole8265 ปีที่แล้ว +35

    huyu ni mwanafunzi wa Deogratius kabisaaaa😂👌

    • @tonyi6807
      @tonyi6807 10 หลายเดือนก่อน +1

      kwa nini mzee Baba

    • @msakagroup1695
      @msakagroup1695 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kile n kichwa

  • @barnabasmarsel3876
    @barnabasmarsel3876 15 วันที่ผ่านมา

    Kimjamaa anachekesha sana😂😂😂anavotembea hapo stejinii😂🙌

  • @joelnyanja7234
    @joelnyanja7234 10 หลายเดือนก่อน +3

    Very talented....very talented

  • @noelamtesigwa6819
    @noelamtesigwa6819 ปีที่แล้ว +8

    Kim Jamaal 😂😂😂igweee🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 ปีที่แล้ว +13

    Mwana katisha sana sana sanaaaa😂😂😂

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 ปีที่แล้ว +4

    Watu Baki imeshawapoteza Cheka Tu

  • @dicksonmadembwemadembwe6753
    @dicksonmadembwemadembwe6753 ปีที่แล้ว +8

    Watu wangu wa Nguvu🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @SaidiGarama
    @SaidiGarama 2 หลายเดือนก่อน

    mwenyezi mungu akubariki aisee uko na kipaji

  • @JoyceChilongani
    @JoyceChilongani 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kitabu hakuna pichaa sasa mwandishii kamchoraje😂😅😂😅😂😅😂

  • @moodykassim4029
    @moodykassim4029 ปีที่แล้ว +4

    Jamaa noma dadek

  • @CharlesNdeni-m8b
    @CharlesNdeni-m8b 11 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh huyu jamaa ni hatari sana😂😂

  • @ndoipoemanueldavid9539
    @ndoipoemanueldavid9539 ปีที่แล้ว +5

    Halloo!!! Huyu kijana ni mtata aiseee......

  • @cryptokona
    @cryptokona 6 หลายเดือนก่อน +1

    Upo vizuri mkuu. Hongera sana

  • @MtamilahShuntah
    @MtamilahShuntah 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa ni wa moto sana,, lakini sikuti clips zake nyingi huku U-tube,, kwanini!!?

  • @felixnyamache5677
    @felixnyamache5677 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mwamba hatari.kutoka Kenya twasema hongera

  • @WinfridaGikatsi
    @WinfridaGikatsi 4 หลายเดือนก่อน +2

    6:42 huyu mwamba hatarisana

  • @kelvinkimaro4333
    @kelvinkimaro4333 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kama huna D mbili huwezi mwelewa jamaa😂😂😂😂 umetisha sana👊🏼

  • @mbezijumaomar810
    @mbezijumaomar810 ปีที่แล้ว +2

    Hii tayar sioo🤣🤣 ukaharibu kazi😂. Sema unajua sanaa mwanangu

  • @kibinda
    @kibinda ปีที่แล้ว +7

    Anajua sana huyu msimbe

  • @BRAYTONFREDINA
    @BRAYTONFREDINA ปีที่แล้ว +7

    😅😅😅jamaa anajua hata mm ilinitesa saña enzii enzoo

  • @mwljuliuskiwovele
    @mwljuliuskiwovele ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa mbona anatoa siri

  • @sheylahamour9544
    @sheylahamour9544 ปีที่แล้ว +5

    Yupo vizuri🔥🔥

  • @Fazza_Jnr
    @Fazza_Jnr ปีที่แล้ว +3

    Wenye hawacheki hawaelewi kizungu, base ni ya jaba, haipo kwa ramani kamwe

  • @Mercy-i5g
    @Mercy-i5g 3 หลายเดือนก่อน

    hongeraa unaweza saana yaan umenivunja mbavu saana 😂😂😂

  • @OkeshuLekitka
    @OkeshuLekitka 9 หลายเดือนก่อน +5

    Tulio Soma ndo watacheka hapa mpo kanikumbusha mbali sanas

  • @nacetsiringa1334
    @nacetsiringa1334 หลายเดือนก่อน

    Dah mwanangu umeuwaaaaa 🎉🎉🎉

  • @HumphreyMchau
    @HumphreyMchau ปีที่แล้ว +10

    Ametisha sana nwamba😂😂😂😂😂

  • @NickoMwilafi-br6vx
    @NickoMwilafi-br6vx ปีที่แล้ว +3

    Nataman tufanye Kaz ote Kwan ata mwenyewe Nina vitu vya ziada br

  • @mcmamtoni4576
    @mcmamtoni4576 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂😂😂😂😂 huyu mwambaaa

  • @bdmacrame254
    @bdmacrame254 14 วันที่ผ่านมา

    Hii Nafunga nayo mwaka 2024🎉 haijawahi chuja mwamba katumia madini OG

  • @paulmathias6882
    @paulmathias6882 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nimecheka sanaaa😂😂😂superstition believes 😂😂

    • @JeniAlex-e4v
      @JeniAlex-e4v 24 วันที่ผ่านมา +1

      Una uakika unachosema

  • @ritamutoka7768
    @ritamutoka7768 3 หลายเดือนก่อน +1

    Superstitious activity 🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣 wewe kijana wewe nikikumata wewe !! 😅🤣

  • @KomboD
    @KomboD 7 หลายเดือนก่อน +5

    HUYU msenge wa motooooo

  • @issaadinaniissa6487
    @issaadinaniissa6487 2 หลายเดือนก่อน

    Hiii ndio best standup comedy of the all time

  • @LowasaSanare
    @LowasaSanare 2 หลายเดือนก่อน

    Hahahaha 😅😅😅 yaan umenimaliza hapo kweny map reading 😅😅😅 yaan nilipokua advance tukaletewa ramani wa mtaa wa kwetu
    Yaan Cha kwanza ni kutafuta kwetu na kanisa niliokua nasali acha Sasa maswali yaan nmeenda chakaa kinyama hatari sanaaa umenikumbusha mbali sana

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 ปีที่แล้ว +7

    Huyu jamaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @albertoevaristo2643
    @albertoevaristo2643 ปีที่แล้ว +7

    Você é melhor meu irmão 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Nazomeya
    @Nazomeya 3 หลายเดือนก่อน

    This is pure talent,,,,,this guy is rly talented

  • @ManisaboSifa
    @ManisaboSifa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Eeewewe kaka jamani🎉🎉🎉🎉❤

  • @Raynat-u1k
    @Raynat-u1k ปีที่แล้ว +5

    Hii imeendaaaa 😂😂🤣🤣

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 ปีที่แล้ว +5

    Hatariiiiiii sana Mwambaaaaaaa kauasana

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 2 หลายเดือนก่อน

    Oya Majidi Majidi ni yeye nimemuona dada Tunu Hassan Shenkome wa Efm amefrahi sannaaaa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tonyi6807
    @tonyi6807 10 หลายเดือนก่อน +1

    jamaa ni talented kiukweli

  • @johntogoro6191
    @johntogoro6191 4 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana jamaa, nakufatilia sana

  • @esquaredoublee2497
    @esquaredoublee2497 หลายเดือนก่อน +1

    Kila nikiichapa ni kama mpapai vile

  • @OsbonMusa
    @OsbonMusa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mh kwa sisi ambao hatujasoma kucheka haiwezekani

  • @khalifatz7007
    @khalifatz7007 ปีที่แล้ว +6

    Namuona Tunu Hassan 🎉

  • @emmanuelingohamwende5309
    @emmanuelingohamwende5309 ปีที่แล้ว +3

    Ila kwel Raman na uhalisia Huwa ni jau mpaka tunazingua geography

  • @Saadan_Tv
    @Saadan_Tv 8 หลายเดือนก่อน +1

    Big up sana mwanangu KIMJAMAA from Kigamboni✌💯

  • @_s.a.r.i.n.i
    @_s.a.r.i.n.i 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️This guy is maaaaaaaaaaaadd

  • @ChrisWamulonda
    @ChrisWamulonda 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu hapa cheka tu yamuhusu!

  • @gracegalus1027
    @gracegalus1027 ปีที่แล้ว +3

    Anajua mpaka anajua tena

  • @byClever
    @byClever ปีที่แล้ว +2

    Mwamba katisha san😂😂😂

  • @bakariomari24omar21
    @bakariomari24omar21 หลายเดือนก่อน

    Yashanikuta haya yakuvaa gwanda la jeshi dah yaani mungu tu katokea jeahi kanisaidia kasema mm mdogo wake

  • @bambakhan4003
    @bambakhan4003 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mwamba fundi

  • @janethjustin5256
    @janethjustin5256 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimecheka sana wallah😂😂😂😂😂

  • @eudaudingadu2509
    @eudaudingadu2509 2 หลายเดือนก่อน

    Kichekesho kizima nimemwona uyo mdada wa vidimpo tuuuuu wallah

  • @agreysonkazen6808
    @agreysonkazen6808 ปีที่แล้ว +10

    Jamaa anajua sana🔥🔥😂

  • @theplanetoffootballtv5342
    @theplanetoffootballtv5342 ปีที่แล้ว +7

    Njoss Moja 👏👏👏👏👏

  • @bushboi6601
    @bushboi6601 22 วันที่ผ่านมา

    Uyu jamaa genious snlana 😂😂

  • @bablayboy803
    @bablayboy803 ปีที่แล้ว +4

    Nakubali blood

  • @KenethMkinga-p9c
    @KenethMkinga-p9c ปีที่แล้ว +4

    Njoss boy EGM mojaa abonaa

  • @GodyKaywanga
    @GodyKaywanga 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa hanabaya

  • @denismingo8989
    @denismingo8989 6 หลายเดือนก่อน +1

    hahahahahahahahaahah, mtaanikwenu unapajua

  • @nathanjustine3973
    @nathanjustine3973 ปีที่แล้ว +8

    Oya Majid😂

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 4 หลายเดือนก่อน

    Hii comedy sichok kuiangalia mana huwa nacheka!!😂😂😂

  • @JumaNassoro-k4y
    @JumaNassoro-k4y 3 หลายเดือนก่อน

    umaweza kaka😅😂😂😂😂😂

  • @majiddaud5058
    @majiddaud5058 2 หลายเดือนก่อน

    Nmepaishwa sana humu 😂😂😂

  • @mr.bakari3205
    @mr.bakari3205 17 วันที่ผ่านมา

    The best comedy ever👊

  • @sirajichambali8409
    @sirajichambali8409 ปีที่แล้ว +8

    Njoss boys I see you men

  • @erickmawala9566
    @erickmawala9566 19 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂ila wewe unabalaaa

  • @NasibuKaboma-ml5kz
    @NasibuKaboma-ml5kz ปีที่แล้ว +5

    Hiii imeenda, hiiii imeeendaaaa,

  • @KanBank
    @KanBank 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka wewe noma sana