Lowassa alivyowasili mbele ya maelfu ya Watanzania Arusha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 พ.ค. 2015
  • Waziri mkuu wa zamani wa Tanzania na Mbunge wa sasa wa Monduli alitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania 2015 kwenye uwanja wa mpira Arusha mbele ya maelfu ya Watanzania kutoka sehemu mbalimbali.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 84

  • @rahimbukutu6866
    @rahimbukutu6866 5 หลายเดือนก่อน +14

    Tunaoitizama hii video 2024 gonga likes.

  • @prezzoonlinetv9492
    @prezzoonlinetv9492 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Mzee Alipendwa sana na Watu, viongozi wa Dini na Wanasiasa, Apumzike kwa Amani...

  • @filmonpeter7587
    @filmonpeter7587 2 ปีที่แล้ว

    👥🇹🇿☑️ Tunakupenda tena mhe .lowasa .karibu Tanzania .

  • @lawsofsucces5784
    @lawsofsucces5784 7 ปีที่แล้ว +1

    Lowasa Mungu akipenda mwaka 2020 usigombee tena. waachie na wengine

  • @filmonpeter7587
    @filmonpeter7587 2 ปีที่แล้ว

    Very Nice .mhe. Rai's .lowasa 🅰️🥰

  • @manongamanonga2785
    @manongamanonga2785 9 ปีที่แล้ว +1

    Maamuzi magumu ndio yatawezesha wananchi kupata Elimu bora na sawa,afya safi, Maji ,umeme,uongozi makini na ajira kwa wote

  • @kongstrong1938
    @kongstrong1938 9 ปีที่แล้ว

    Wishing Tanzania many blessings!

  • @sixtusmarandu5277
    @sixtusmarandu5277 9 ปีที่แล้ว +2

    mr six toka pande za tarakea mr lowasa ndani ya chuga hamna kitu ana sema bali ni kushabikia nyimbo na kelele zake tuuu bablai chadema ni chama kkubwa

  • @olephilemon1773
    @olephilemon1773 9 ปีที่แล้ว

    Kura yangu unayo Mr Prezda Lowassa

  • @user-ey8bo5iw9y
    @user-ey8bo5iw9y 4 หลายเดือนก่อน

    Alifanyiwa unyama sana

  • @daudilengai7402
    @daudilengai7402 9 ปีที่แล้ว

    Kiongozi in kioo cha wananchi Mzee uko vizuri wengine nendeni shamba

  • @abdulsalammohamed8175
    @abdulsalammohamed8175 9 ปีที่แล้ว

    Nice..

  • @benardyadalala5864
    @benardyadalala5864 9 ปีที่แล้ว +1

    watanzania kazi ipo,fikirini mlikotoka

  • @alphoncedaud147
    @alphoncedaud147 9 ปีที่แล้ว

    Nchi yetu inahitaji kiongozi mwenye historia nzuri ktk uongoz mbalimbali alioupitia sio mtu ulojiuzulu kwa kashfa ya wizi Leo hii unarudi kuomba uongoz wa juu zaid bila hata watz tuamke sio muda wa kulala nakufanywa ss mamburura.

  • @gracesong9851
    @gracesong9851 9 ปีที่แล้ว +1

    Dada waambie coz umalaya utazid,wema unagombea ubunge unataka kuongeza umalaya? Ictoxhe una skendo kibao na hatutaki bora kiongoz tunataka kiongoz bra

  • @oswardbeatus8707
    @oswardbeatus8707 9 ปีที่แล้ว

    Lowasa Chenge, Tibaijuka na Rostam kweli kazi ipo

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 ปีที่แล้ว

    Yaani uchomoe mbele ya CCM ?

  • @arongerald3419
    @arongerald3419 9 ปีที่แล้ว

    take meaning Leadership Organization With Association System Service Adjustment LOWASSA huo ndio msingi wa kauli mbiu iliyoko kichwani na muono wa mwenye jina LOWASSA

  • @user-kp6lz7zs1w
    @user-kp6lz7zs1w 4 หลายเดือนก่อน

    Pumzika baba etu Lowasa

  • @hashimumbaujika5916
    @hashimumbaujika5916 7 ปีที่แล้ว

    mungu Aweke r
    n

  • @MohamedAhmed-yn1lx
    @MohamedAhmed-yn1lx 9 ปีที่แล้ว +1

    Duuh kweli watanzania vipofu

  • @comedy_movies_Tz-05
    @comedy_movies_Tz-05 5 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢😢

  • @richardsifaeli7811
    @richardsifaeli7811 9 ปีที่แล้ว

    kila kipindi na kelele mpya ilikua maisha bora kwa kila mtz saiv ni safari ya matumaini anasema atashhughulikia umaskini na kuinua uchumi,atashughulikia vipi bila kukomesha ufisadi wa kodi za wa tz na ubadhirifu wa rasilimali na mali asili kitu kinachoitafuna tz,bila kuyapa kipaumbele ayo amna cha uchumi wala umaskini deni la taifa litapanda tu na maisha kua magumu

  • @isackjoseph6306
    @isackjoseph6306 9 ปีที่แล้ว

    hapana kitu wapo

  • @daudiabdul3365
    @daudiabdul3365 9 ปีที่แล้ว

    Rais unayemtaka ww unaempinga lowassa wa tz hawamtaki? Jipangeee 2015

  • @kileoally518
    @kileoally518 9 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kwa nini wanatafuta urais kwa gatama kubwa kiasi hiki?nini hatima yake!!!!

  • @onetoanotherglory2024
    @onetoanotherglory2024 9 ปีที่แล้ว +1

    Tuwasikilize wote.
    Tuwapime wote.
    Tumchague mmoja atakayetufaa.

  • @harifumunir6004
    @harifumunir6004 9 ปีที่แล้ว

    Kiukweli Lowasa amejipanga kwa kauli nzuri, vipi lakini yasemwayo yatatekelezwa au ......

  • @nelsonyohana6525
    @nelsonyohana6525 9 ปีที่แล้ว +1

    Jmn uraic sio nguoyakuvaa leonitavaahii keshoile. Tunazifaham sifazaraic watz. Tumkumbukeni babawataifa mwlm nyerere alisemann.

  • @tobosha3236
    @tobosha3236 5 หลายเดือนก่อน

    Mafisadi walimfanyia figisu huyu mzee ili asiwe rais pumzika kwa amani mzee lowasa

  • @onetoanotherglory2024
    @onetoanotherglory2024 9 ปีที่แล้ว

    Tuwasikilize wrote .
    Tuwapime wrote.
    Tumchague atakaye tufaa.

  • @isayaswai
    @isayaswai 4 หลายเดือนก่อน

    Rlp

  • @user-ig5yn4zp2u
    @user-ig5yn4zp2u 5 หลายเดือนก่อน

    Kama kweli duniani kungekuwepo na haki kweli ww ulikuwa unapaswa kuwa raisi wetu.

  • @paulokiruwa9879
    @paulokiruwa9879 ปีที่แล้ว

    Hayo yote uliyoyasema Magufuli aliyafanyia kazi

  • @nicholouskuyenga7607
    @nicholouskuyenga7607 4 ปีที่แล้ว

    Mwandaa hotuba anaweza kukuandalia hotuba yenye maono hata kama mwandaliwa hana maono hayo

  • @erickmweta8215
    @erickmweta8215 9 ปีที่แล้ว +1

    jamaa amejipanga vizuri sana na hawa ndo tunaowataka

  • @nicholousmasunga4029
    @nicholousmasunga4029 9 ปีที่แล้ว

    Ebwana vp ujapata habar za huku kilimanjaro kilichojiri kwenye mazishi ya kisumu

  • @chachamagoti2400
    @chachamagoti2400 5 ปีที่แล้ว

    R.I.P br

  • @mashaurymkilya3168
    @mashaurymkilya3168 4 ปีที่แล้ว

    lowasa

  • @nicholouskuyenga7607
    @nicholouskuyenga7607 4 ปีที่แล้ว

    Moja ya kitu nilichokibaini, Lowasa ni mtu asiyejiamini

  • @manhwakigoma8656
    @manhwakigoma8656 8 ปีที่แล้ว

    gyda

  • @charlesnassary6689
    @charlesnassary6689 3 ปีที่แล้ว

    sitasahau kwakweli hicho kipindi

  • @Kifyasi
    @Kifyasi 6 ปีที่แล้ว

    shati halijanyooshwa

  • @kizitosolo1087
    @kizitosolo1087 7 ปีที่แล้ว

    makomando was tanzania

  • @darmillionaire
    @darmillionaire 9 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa mzima kweli? Naona dakika 1:05 wakati anapanda kwenye ngazi akashindwa kutembea.

  • @josephluhusa4823
    @josephluhusa4823 9 ปีที่แล้ว

    KAZI UNAYO NA PIA SIFA UNAYO . YETU MACHO TUONE UKITEMBEA MBELE KUIFIKISHA NCHI

  • @williamjonas4123
    @williamjonas4123 8 ปีที่แล้ว

    bona siwaelewi

  • @abdulnuruh4525
    @abdulnuruh4525 9 ปีที่แล้ว

    Hafai fisadi mkubwa

  • @wilsonfrance444
    @wilsonfrance444 9 ปีที่แล้ว

    tunataka mabadiliko##

  • @fadhilimohamedi5714
    @fadhilimohamedi5714 9 ปีที่แล้ว

    Watu kama hawa Nyerere alisema tuwaogope sana hizi pesa atazirudishaje pindi atakapoingia ikulu

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว

    Walikuwa wanamtunishia misuli jk, na akawaonyesha kuwa yeye ni rais

  • @eddieross2581
    @eddieross2581 8 ปีที่แล้ว +1

    Naomba mamlaka ya usafirishaji na ile ya anga,iangalie kwa makini suala la wagombea wa nafasi mbali mbali pamoja na ile ya urais kupitia chama cha chadema,kutuwa helkopta katika umati wa watu,unaweza kuhatarisha maisha ya wananchi pindi itapotokea ajali. maana watu wengi huwa wanasogelea kwa karibu wakati helkopta hiyo inapojaribu kutua.

  • @obeidmakweba8712
    @obeidmakweba8712 9 ปีที่แล้ว

    WATANZANIA alieturoga kisha kufa.......!
    tusha sahau kama jamaa alipiga diri la ma billion sakata la richmond

    • @severinmmassy7627
      @severinmmassy7627 9 ปีที่แล้ว

      Mzeee huna sifaa kaangalie ng'ombe wako porin huko!!!

  • @yunusally9535
    @yunusally9535 9 ปีที่แล้ว +1

    Kura yangu unayo

  • @dct4lif
    @dct4lif 9 ปีที่แล้ว

    Hayo maamuzi magumu yalikuwa wapi wakati wa uwaziri wako ?

    • @madaiincubationcenter4947
      @madaiincubationcenter4947 9 ปีที่แล้ว

      Adnan Kashogi unaonekana humjui alivyokua madarakani km aliyatumia hayo maamuzi magumu au lah ,ukweli hiyo ndo sifa yake inawezekana haukuwahi kufuatilia na comment umeitoa kwa uharaka bila uchunguzi

    • @dct4lif
      @dct4lif 9 ปีที่แล้ว

      Yuda Madai Alikuwa na maamuzi magumu ndio maana wakamtimua uwaziri mkuu. Namjua Lowassa toka akiwa ardhi hakuna wizara amegusa hajaacha ufisadi. Kesi za kuuza viwanja mara mbiili mbili nimeanza kuzisikia Lowassa akiwa waziri wa ardhi mnazi mmoja alijaribu kumuuzia mwindi akakamatwa na kufukuzwa kazi Nyerere akamwita mwizi.

    • @kisshydirector2630
      @kisshydirector2630 8 ปีที่แล้ว

      Vijimbo

  • @arongerald3419
    @arongerald3419 9 ปีที่แล้ว

    M,baya haji kwa kwa kushawishiwa na watu au minongono,Kiatu cha kale ndio kinacho jua njia sio kilichopo dukani,chagua safari buti uone kama utachomwa mwiba acheni kusikia msiyo yajua kwa kuambiwa na wasio jua na hata wenyewe walisikia kwa watu,Tanzania badilikeni kifikra na mtazamo.fanyia kazi akiliyako inagundua nini sio inaambiwa nini

  • @wasafitelevision7619
    @wasafitelevision7619 9 ปีที่แล้ว

    Huyu hatufai kuwa rais

  • @mamahustru
    @mamahustru 6 ปีที่แล้ว

    Imebidi nije kuona Msukuma akiingia uwanjani baada yakuona mahojiano yake na Clouds360. Kibonde na wewe shikamoo. JK shikamoo. Nimeamini CCM sio wamchezomchezo.

  • @thobiasmertaroi2995
    @thobiasmertaroi2995 9 ปีที่แล้ว

    Lowassa hakika wewe,ndie unaestahili kuwa raisi.
    Hoja yako ni ya nguvu na inatekelezeka kwa utekelezaji mathubutu

  • @rehemarashid3551
    @rehemarashid3551 9 ปีที่แล้ว

    Lowasa tunakukubar, enda ukawa au uwe ccm bado wewe ni ww yule, jana leo hata kesho. Piga vita kuu mzee, ipige vita vilivo vikali.