Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2017
  • Jumatano ya February 8 2017 mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alitaja mbele vyombo vya habari majina mengine ya wanaotakiwa kuhojiwa siku ya Ijumaa kuhusu tuhuma za dawa za kulevya, katika list hiyo Paul Makonda ametaja jina la mwenyekiti wa Yanga na mfanyabiashara Yusuph Manji.

ความคิดเห็น • 866

  • @JafaryMdeluka
    @JafaryMdeluka หลายเดือนก่อน +12

    Mliokuja baada ya kifo chake tujuane hapa😭

  • @judesammy9643
    @judesammy9643 7 ปีที่แล้ว +25

    Nakubaliana na Yusuf Manji kabisa... ipi njia ya kuwaita watu na kuwahoji,, na ipo tahasisi maalum ya kuwachunguza watu wanaohusika na mihadarati'' lkn alivofanya mkuu wa mkoa c vzr kabisa tena yeye pia achunguzwe na malaya wake wanauza unga... Anatafuta Kura za baadae na umaarufu mwingi kupitia migongo ya watu..

    • @Halimabintmafitah
      @Halimabintmafitah 7 ปีที่แล้ว +2

      Jude Sammy subiri vijukuu vyenu vikikua vianze kubwia maunga ndomtamkumbuka huyo makonda.

  • @sphrb1063
    @sphrb1063 7 ปีที่แล้ว +8

    makonda mwenyezi mungu akutangulia kwa kazi yk

  • @khamyszahor856
    @khamyszahor856 7 ปีที่แล้ว +6

    Makonda kafikia mbali sasa,Na siku zote kupewa sifa nzuri tu hata kama na mabaya unafanya eti usiambiwe basi inajenga tabia mbaya.Makonda ajirekebishe

  • @shuwehaomar6658
    @shuwehaomar6658 7 ปีที่แล้ว +2

    Thanks Milad Ayo kwa habari ndefu kiasi chake

  • @brightvatta284
    @brightvatta284 3 ปีที่แล้ว

    Hii ni kutafuta masifa... this man! Mwenyezi Mungu akuweke hai

  • @shakirarashid9181
    @shakirarashid9181 7 ปีที่แล้ว +23

    mm sikuzote waga na sema watu waupe sio kwenda ukachekiwe akuna cha yanga wala simba Hapa hatuko ki team tuko kikutokomeza madawa ya kulevya munajifanya wasafi wa nguo wachafu moyo

    • @arafangalawa2860
      @arafangalawa2860 7 ปีที่แล้ว +5

      Shakira Rashid mpumbavu uyo anaongea nn uyo mbona hana lakuongea yang ooh msaada ooh alf anajipangiaje mda wa kwenda polis yule Melinda ni mheshimiwa kwako ata km umemzid kiuchumi kwendaaaaa pyeeeeee folen eti awez kupangaa looh

    • @wallacelussingu5820
      @wallacelussingu5820 7 ปีที่แล้ว

      Shakira Rashid y

    • @nassorsaid2331
      @nassorsaid2331 7 ปีที่แล้ว +9

      Arafa Ngalawa wabomgo mnamatatizo na mnakalili sana kwa hiyo kama kiongozi ndo afanye anachojiskia.. the point point ni sheria siyo pesa,au uongozi

    • @maverickcreativesolutions8285
      @maverickcreativesolutions8285 7 ปีที่แล้ว +2

      we ndo kilaza wa mwisho yani

    • @mrsmrshassan7473
      @mrsmrshassan7473 7 ปีที่แล้ว +1

      Shakira Rashid

  • @salimatuyahhaya5772
    @salimatuyahhaya5772 7 ปีที่แล้ว +27

    😂😂😂😂😂manji sitaki sikia kelele mingi Mimi kutoka kwako. Ukifika kituo Cha polic ndo Tutajua mbivu na mbichi

    • @randymontana1521
      @randymontana1521 7 ปีที่แล้ว

      Salimatu yahhaya kituoni watamfanya nini huyu? Unamjua nani kwanza huyu mtu? Hiyo serikali yenu ya ccm inaendeshwa na watu kama hawa! So they can't touch him! Huyo Makonda anataka kiki tu na kuwadhalilisha

    • @ronaldomwacha6098
      @ronaldomwacha6098 7 ปีที่แล้ว

      +Randy Montana ameonewa

    • @salimatuyahhaya5772
      @salimatuyahhaya5772 7 ปีที่แล้ว +1

      Randy Montana Swali la watamfanini.....sheria itafuata kama Kwel anahatia Au makonda kakosea Njia Tutajua Napia SIWEZI kusema chochote Kile kuhukumu MTU Sipendi kudhani Nidhambi kubwa. Na pia Manji simjui na mfahamu2

    • @ronaldomwacha6098
      @ronaldomwacha6098 7 ปีที่แล้ว

      Achunguzwe

    • @asharajabu88
      @asharajabu88 7 ปีที่แล้ว

      tumia akili mdada huyo makonda atafuta kik 2 n keshaipata wakubwa hawataj ataja wat ambao hawapat kiuchum

  • @Richgasule9591
    @Richgasule9591 7 ปีที่แล้ว +6

    Aiseee ishakua ishuu nzito hii shukrani bro Millard

  • @ramadhanurassa2410
    @ramadhanurassa2410 7 ปีที่แล้ว +30

    hapa ndio nilipokua napataka

  • @ritchiexanti9587
    @ritchiexanti9587 7 ปีที่แล้ว +2

    Hahaaa.... Yusuph bna.... Kiswahil kinasumbua lakini naona kabisa kuwa jamaa ka mind kichiz... 😁😁✌. Usiwaze bruh... Yanga wako bega na ww.. 👏👏

  • @rashidiwaiti6686
    @rashidiwaiti6686 3 ปีที่แล้ว +1

    Waliendeshaa nchii hii kwa visasi na ubabee munguu kafanya yakee hukuu somoo big up aallllaah

  • @joycemichaellovelove2221
    @joycemichaellovelove2221 7 ปีที่แล้ว +10

    kama move vile part 2 sjui lin 😀😀😀 big up Makonda ita oteee bila kujar cheo yao ilimrad uwe unataarifa zao za kutosha hapa kaz tuuu

    • @bintirashidantybaby8146
      @bintirashidantybaby8146 7 ปีที่แล้ว +5

      joyce michael love love ama vipi muhimu tarfa za ukweli tu

    • @saidwilson6529
      @saidwilson6529 7 ปีที่แล้ว +6

      huyu makonda mshamba kama chobanga tuuu.....

    • @joshuakwelimoto6494
      @joshuakwelimoto6494 7 ปีที่แล้ว

      +said wilson huyu kiongozi wa mkoa simuelewi

    • @EmmanuelLupoja
      @EmmanuelLupoja 25 วันที่ผ่านมา

      Ishapita hiyo

  • @shuwehaomar6658
    @shuwehaomar6658 7 ปีที่แล้ว +30

    makonda anataka sifa tu au amechanganyikia baada ya watu kusema anakamata watumiaji anaacha wasambazaji sasa anataja tu had I manji hadi mbowe kweli makonda anataka ajiweke sehem nzuri ajeagombee urais sio bure unachafuachafua tu watu

    • @jasminesamir8504
      @jasminesamir8504 7 ปีที่แล้ว +3

      Shuweha Omar makonda mpuuzi

    • @athanaselisha1617
      @athanaselisha1617 7 ปีที่แล้ว +6

      Shuweha Omar makonda strong sana!!!muone huyu anavyotudharau mpaka kumwita kiongozi wetu mpumbavu!!!!

    • @jahrean-tc8561
      @jahrean-tc8561 7 ปีที่แล้ว +1

      jamaa angalia maneno hayo hawakawii kukutafutia kosa

    • @jamesmtangi8025
      @jamesmtangi8025 7 ปีที่แล้ว

      akili butu naww....fikiria vizur bhana,,,

    • @moodybite
      @moodybite 7 ปีที่แล้ว +2

      umzani aye siye usiemzania ndiye

  • @renaldakamugishazeramulake940
    @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว +22

    Mr.manji basi yaishe.kesho nenda msamehe baba.

  • @rizikialmas4877
    @rizikialmas4877 7 ปีที่แล้ว +4

    Asante millard ayo kwa taarifa muhimu kama hizi... Keep it up

    • @stellandoromi3141
      @stellandoromi3141 7 ปีที่แล้ว +2

      tena anasifa uyo mkomeshe tu anaushaidi gani kwaza

  • @ashahaji4936
    @ashahaji4936 7 ปีที่แล้ว

    Hafidhi uko xawa my broo
    mm sesoma ila naona mapya ila hii list lazima ipo muda ila xaxa imepata msemaji ok Allah bless Tanzania

  • @alfanmuruwa5601
    @alfanmuruwa5601 7 ปีที่แล้ว +6

    veve manji acha kelele bana kama nausa unga makonda asiseme makonda iko na evdence bana tafungia veve jela bana au nausa unga original hata ulaya uwezi pata kabisa

  • @sophiamaembe8373
    @sophiamaembe8373 7 ปีที่แล้ว

    ur soooo trueee manji....

  • @emmanueldavid6367
    @emmanueldavid6367 4 ปีที่แล้ว

    2020

  • @msemalufunga3876
    @msemalufunga3876 7 ปีที่แล้ว +45

    watanzania bwana mbona mnachekeshaaaaa!!? mwanzoni ooooh anataja vidagaaa Leo mapapa hayooo ooh zipo njia mbona vigeugeu jamani???? mwacheni makonda afanye kazi yakeee!!!

    • @arafangalawa2860
      @arafangalawa2860 7 ปีที่แล้ว +6

      MSEMA LUFUNGA nashangaaa na mm jmn duh wa tz hawana mcmamo walizani atawaogopa wakubwa matajir ss kawataja washeanza oooh makonda kaingia choo cha kikee waache kutapatapaa na yule mbunge alokua anaropoka bungen aropoke tenaaa tumckie walisemakina wema wameonewa wameachwa wahuska wametajwa wahucka tena bado lawama mh makonda fanya kaz ucckize figisu figisu za wafa majiiiiii

    • @MM-pb7fw
      @MM-pb7fw 7 ปีที่แล้ว +3

      wabongo wanashida kwenye ufahamu aisee

    • @moodybite
      @moodybite 7 ปีที่แล้ว +1

      ndio kaka

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 7 ปีที่แล้ว

      Asante ndugu, uko sawa

    • @raphaelraphael4557
      @raphaelraphael4557 7 ปีที่แล้ว

      MSEMA LUFUNGA waite wote hata haibu kwa watu ni tiba

  • @hactivist9076
    @hactivist9076 7 ปีที่แล้ว +34

    This guy yupo sahihi kupigania public image yake maana if you want to summon someone then use the official means sio kutangaza kwennye media, kama mtu asipo showup utamlaumu kwa lipi maana anaweza sema kuwa hafatilii news wala nini na hatrust unofficial means. Wapo Tanzanians ambao hawatosupport the means liyotumia ila sio makosa yao ni kosa la kutojua law, na ndo maana haki itakuwa ngumu kuipata in this country, tusome kisha tutetee point kwa hoja na si kwa mkumbo, wake up people.

    • @hafidhsuleiman804
      @hafidhsuleiman804 7 ปีที่แล้ว +6

      Hactivist 90 uko sahihi mkuu! kuna mtu alinambia maisha ni kucheka kidogo na kulia sana...usifurahie kudhalilishwa kwa mwenzako, leo analia yeye...kesho utalia wewe! Huu utaratibu wake ni kinyume na sheria...

    • @sammymchuma3579
      @sammymchuma3579 7 ปีที่แล้ว +1

      Hactivist 90 umesema kweli

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 7 ปีที่แล้ว

      WANUFAIKA MKO WENGI SANA

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 7 ปีที่แล้ว +3

      UMELALA PEKE YAKO KWA KUNUFAIKA NA UCHAFU WA UNGA UKITETEA UKO SAHIHI! KIPO UNACHOPEWA SI BURE

    • @masudikingwiti5425
      @masudikingwiti5425 7 ปีที่แล้ว

      Masudi

  • @augastineboma508
    @augastineboma508 7 ปีที่แล้ว

    u spoke well mzee big up

  • @hassankayla4076
    @hassankayla4076 7 ปีที่แล้ว +1

    Intermission yaan kama movie la kihindi hahahahhaha #MANJI we nenda tu mkuu kama hakuna ushaidi wa kutosha basi dai haki yako ila #PAULMAKONDA mwacheni afanye kazi yake. Ahsante Millard kwa taarifa. #AYOTV

  • @allyhassani4978
    @allyhassani4978 7 ปีที่แล้ว +4

    ur right bloody....mana kila mtu anahadhiyake sasa kuitwa kwa kashifa kama hiyo sidhan kama kunabusara....ilaa neenda ijuma then utafufia hakiyako

    • @aminalyoba6520
      @aminalyoba6520 7 ปีที่แล้ว

      makonda komaa na hao wauza unga maana wanaaribu ndugu zetu

    • @aminalyoba6520
      @aminalyoba6520 7 ปีที่แล้ว

      ondoka hata leo kwani wewe ukiondoka yanga ndio yanga itakuwa imekufa

  • @iddiewazeer9300
    @iddiewazeer9300 7 ปีที่แล้ว +3

    watanzania wengi hatuna elimu na hatujaelimika white pipo wapo makini sana wanasoma katiba kujua haki zao ktk jamii ila black pipo humu tunashabikia tu wakat haki zetu kisheria hatuzijui hata katiba yetu hatujaipitia ila tuna mcriticiz mtu anaetetea haki yke kwa mujib wa katiba...shame on us

  • @jonaselias7729
    @jonaselias7729 7 ปีที่แล้ว

    ahsante boss

  • @hythamjamal8981
    @hythamjamal8981 7 ปีที่แล้ว +2

    Manji yuko wrt kabisaVery gud

  • @mentythegemini405
    @mentythegemini405 7 ปีที่แล้ว +9

    too much clever uyu mtu

  • @codingwithtosby
    @codingwithtosby 7 ปีที่แล้ว

    He seams so shaken

  • @sabrinamohammed1371
    @sabrinamohammed1371 7 ปีที่แล้ว +12

    hii manji iko uza madawa bhana ,haki kaombe india unatutesa na na ma mall yako ya bei kubwa kisa wewe muuza unga kafanye iyoo kazi india siyo hapa ukitaka kutokukubali utarudi india kwa miguu tena umeniuzi alafu unaleta jeuli kama hii nchi ulikuwepo enzi za nyerere kama unauza madawa utaitwa tu polis

    • @merinamasawa1180
      @merinamasawa1180 7 ปีที่แล้ว +2

      Sabrina Mohammed we ulikuwepo enzi za Nyerere??

    • @hilalhilal7198
      @hilalhilal7198 7 ปีที่แล้ว

      Merina Masawa mulize vizuri atujibu yy alikuwepo wakati huo

    • @sabrinamohammed1371
      @sabrinamohammed1371 7 ปีที่แล้ว +1

      Merina Masawa hapa kazi tu

    • @sabrinamohammed1371
      @sabrinamohammed1371 7 ปีที่แล้ว +1

      Merina Masawa hapa kazi tuuu

    • @mkude
      @mkude 7 ปีที่แล้ว +2

      sabrina jina lako zuri lakini haluendani na tabia yako,manji ameitwa akahojiwe,wewe unamtuhumu moja kwa moja,halafu na ubaguzi juu,ubaguzi ni mbaya dadaangu

  • @abelmirwatu19
    @abelmirwatu19 7 ปีที่แล้ว +1

    Ninavyo helewa mimi duniani kote wauza unga siyo watu maarufu, kwa sababu wakijulikana ni rahisi kukamatwa siyo watu wamitandao nikama kaka kuona vile maisha yao jinsi walivyo..Mna mjua mwana music wa rap duniani Curtis jackson or 50 cen't alikua muuza unga mzuri sanaa alipo toka ktk lile genge walitaka kumuua na walimpiga risasi 9, lakini akapona kipindi hicho alikuwa siyo maarufu alipo pona ndiyo akaanza biashara ya music dunia nzima leo ina mjua. Kwaiyo hili swala si jepesi tushilikiane na raisi wetu kutokomeza madawa ya kulevya ndg zangu.

  • @nayomikwambonayomi1508
    @nayomikwambonayomi1508 7 ปีที่แล้ว

    SAFI SANA KAKA WAMEZOEA WALE WANAFKI TUU YEYE NA RAISI WAKE WAMESHAZOEA KUTUFANYA SISI WATANZANIA WAPUMBAVU ATUNA AKILI WANATAFUTA KIKI AMTAJE MASOGANGE BASI AMBAE NA USHAHIDI UPO KUHUSU YEYE MBONA HAMTAJI.

  • @bashiruhamad4898
    @bashiruhamad4898 3 ปีที่แล้ว +1

    Life is gon on

  • @ruthshayo1305
    @ruthshayo1305 7 ปีที่แล้ว

    kwani mapovu ya mini manji usikatae wito kataa maneno ndio ww mwenyekiti wa yanga hatukatai kwa hiyo ikibainika unamakosa usiulizwe au kushtakiwa kisa mwenyekiti rudi nyuma kwenye kauli ya mh Rais amesema asiangaliwe nani na ana cheo gani .so makonda yupo sawa tunajua anawakati mgumu kwa sasa matusi yote ni take lkn anapambania nguvu kazi za badae .....alutaaaà continue baba makonda.

  • @mjakajuma5574
    @mjakajuma5574 4 ปีที่แล้ว

    Pole sn kak mungu atakulipia

  • @bilalmatola2660
    @bilalmatola2660 7 ปีที่แล้ว +1

    kuhusu kuwaita watu Na kuwahoji Makonda angewaita bila kutangaza kwenye vyombo vya habari
    alaf baada ya mahojiano Na wenye hatia kupatikana angetangaza lakin ivyo ni kutafuta Kiki kwa pombe
    unapomweka mtu mwenye carrier kubwa Na heshima Na kumtangaza kama suspect hata ukimkuta hana hatia tayar umeharibu carrier ya MTU
    wake up makonda work in silence success will make noise......

  • @Allyhujjat
    @Allyhujjat 15 วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo si nn manji ama wakonda wamesema tatizo ni jinsi gani wote walivo sema

  • @jacquelinemaritim8674
    @jacquelinemaritim8674 7 ปีที่แล้ว

    I was more like waiting to see someone like you brother, to stand tall concerning this BS going on in Dar er salam.
    This government is probably growing rapidly with crooks forcing for attention from people in the name of being senior!!!
    What is senior by the way? We all deserve the respect Makonda...get rid of that bro!

  • @mimifulani948
    @mimifulani948 7 ปีที่แล้ว +11

    acha kujifanya unakaz ya maana dar wewee MAKONDA EE HAWA MACHIZ NDO WANATAKIWA usimuogope ati watu 65 na yy awepo unataka uitwe kiboss hakuna hapa😏😏😏😏😏

    • @asharajabu88
      @asharajabu88 7 ปีที่แล้ว +4

      na huyo makonda wako pia ajitaje n huyo malaya wake wa huko xouth

    • @Royalcakespoint
      @Royalcakespoint 7 ปีที่แล้ว +3

      SOFY OMARY hasikitiki hadhi yake na hao wrngine waliotajwa ila anachokiongelea hapa ni katiba ya nchi inavoeleza kipengele cha sheria ya haki yake...na katiba nikitabu kinachomlinda kila mMoja wetu

    • @greonpeter6984
      @greonpeter6984 7 ปีที่แล้ว +5

      SOFY OMARY utajiri wa huyo jamaa ni wa kurithi sio waku boost

    • @mkude
      @mkude 7 ปีที่แล้ว

      sofy mambo

    • @ericlowasa3097
      @ericlowasa3097 7 ปีที่แล้ว +1

      Hivi we mwanamke wanakusaga nn wenzio maana unaongea utumbo ati hivi anachokilalamikia manji umekielewa au na ww unakulupuka kama huyo madereva fara w manji anazungumzia katiba ya nchi inasema nini yeye akiwa kama raia na ze way inavyomprotect kumchafua mtu without evidence hilo tiyari ni kosa kisheria ikithibitika mtu huyu kosa hana basi anauwezo wakukufungulia kesi na kukushitaki umelewa w msagwaji

  • @halimasali.8081
    @halimasali.8081 7 ปีที่แล้ว +3

    narusha jiwe gizani atakae sema yalaaaaaaaaaa limempataa!!nimekuelwa yusuph iko njia kweli yakuita watu na kuwahoji lakini sikutangaza watu public na huna uhakika nao......niko hapa lawyer wako....tukutane ijumaa police station

  • @donaldmanyama7717
    @donaldmanyama7717 7 ปีที่แล้ว

    Daaah Mungu Ibariki Tanzania.

  • @reganzawadi4965
    @reganzawadi4965 3 ปีที่แล้ว

    Tumekuelewaaa Boss,, Ilitaka sifa yakijingaaa

  • @veronicalucas580
    @veronicalucas580 7 ปีที่แล้ว

    good song jitahid sana dogo

  • @happybraysoni7373
    @happybraysoni7373 7 ปีที่แล้ว +1

    Dah

  • @SamwelNyangala
    @SamwelNyangala 7 ปีที่แล้ว +9

    kama napata hisia za huyu tajiri..... atavunja mtu taya........SHubaaamiti

    • @saimonimloka4221
      @saimonimloka4221 7 ปีที่แล้ว +1

      Samwel Nyangala 😂😂😂😂😂🔥

  • @providencentibakazi5031
    @providencentibakazi5031 7 ปีที่แล้ว +3

    salute to Makonda Dsm bila madawa ya kulevya inawezekana

    • @tareqhilal6750
      @tareqhilal6750 3 ปีที่แล้ว

      Leo umejua kuwa ulikuwa hujui

  • @sifacycy_bby8827
    @sifacycy_bby8827 7 ปีที่แล้ว

    Mh! poleni san walio tajwa ila nadhani #Makonda angefanya kuita umoja umoja kwa sim eti ju mnajuana asinge wamaliza Ila kupitia kitangaz hiv sio vibaya ww unafika tu ukikutwa huna kosa unarudi home ukikutwa unakosa unalijua moja. .....😷😎. shukran #Ayo tv.

  • @athumanfundisalimu5798
    @athumanfundisalimu5798 3 ปีที่แล้ว

    Da shukuru munguuu San

  • @bahatijoseph8763
    @bahatijoseph8763 3 ปีที่แล้ว

    2021
    Manji Ndani

  • @mwanabori2830
    @mwanabori2830 7 ปีที่แล้ว

    daaah hii vita hakimu mungu tu mwenyezimungu niwekeee nione the end

  • @Musa-wr8vk
    @Musa-wr8vk 7 ปีที่แล้ว +17

    sijawahi kuona kiongozi mpumbavu kama makonda !

    • @alphonseisumba6326
      @alphonseisumba6326 7 ปีที่แล้ว

      je vigogo wa chama hawapo au mizengwe?

    • @salehemkala7775
      @salehemkala7775 7 ปีที่แล้ว

      Musa Msira wewe naona alija kugusa ndio mana unamlaumu makonda mimi naona sawa wawo wanasambaza sumu kwa watoto wa wenzao wanaona uzuri wacha waumbuke

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว +2

      Musa Msira bora ukuu wa mkoa apewe Harmolapa mpaka home atakuwa anafagia barabara as kariakoo so umeona anavomsaidia mpenzi wake home. MAKONDA NI HARMOLAPA KABISA

    • @goldendesertmrgolden5976
      @goldendesertmrgolden5976 7 ปีที่แล้ว

      Salehe Mkala he? wewe ukitajwa kuwa umeiba Itakuwa? au kunautaratibu wakufwatwa eliejulikane kama kweri ww umeiba au laah kwahiyo huwezi kumtaja mtu kama anahusika nakitu furani wakati huna ushahidi watazania amukeni kuweni na akiri msipendekuamini kila kitu mnachosikia kunasheria na utaratibu

  • @stephenbarnaba5061
    @stephenbarnaba5061 7 ปีที่แล้ว +1

    Acha afanye kazi Rc bhn.....

  • @mariamjuma8038
    @mariamjuma8038 7 ปีที่แล้ว

    manji uko sawa hebu tutafakari hivi vyombo vya habari kabla ya ushahid na uhakika utamtangazaje MTU pia anasema aende kutoa msaada msaada gani huo wakutangazana vyombo vya habari hebu serikali iliangalie hili swala na utafiti wa kuwakamata hawa watu

  • @kfastak
    @kfastak 7 ปีที่แล้ว +3

    Manji Kwanza hataki ukaka na Mh.Makonda kabisaa. kuda da da daaa dekii

  • @sadiqsleemz6311
    @sadiqsleemz6311 7 ปีที่แล้ว

    tru man says truth like yusuph

  • @hamiduchilumba2352
    @hamiduchilumba2352 7 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa MAKONDA fanya kweli tupo nyuma yako sisi wapenda maendeleo mema,hata mungu pia yupo name,mkono wa mungu una nguvu kuliko.Hapa tunazungumzia maslahi ya taifa sio taasisi ya wachache.MUNGU BABA MTIE NGUVU MPE ULINZI WA JESHI LAKO,MHESHIMIWA MKUU WA MKOA PAUL MAKONDA.Mimi binafsi nimempa cheo changu cha MKUU WA WAKUUU WA MIKOA TANZANIA.

  • @juliusfrancis6586
    @juliusfrancis6586 7 ปีที่แล้ว +3

    safi sana manji

  • @wilsonkahamba8806
    @wilsonkahamba8806 3 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @faysalmahmuddidar7135
    @faysalmahmuddidar7135 7 ปีที่แล้ว +3

    mungu-akupe-maisha-malefu-manji-nimependa-sana-kauli-zako-ubalikiwe

  • @abdallahally2767
    @abdallahally2767 2 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @samirymickdady8131
    @samirymickdady8131 7 ปีที่แล้ว

    sizon sasa imefikia patam episode ya 3 sijui itakuwaje 😁😁😁😁😁 MA 🚌🚌🚌 kayakanyaga kwa watengeneza 💰 💰 💰

  • @cheupemwanga3326
    @cheupemwanga3326 3 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @Ishengoma1
    @Ishengoma1 7 ปีที่แล้ว

    Jamani hapa patamu sana. Na kule umekosea jina la kwanza la mbowe sijui ni mbowe gani ataenda central Ijumaa. Huu mwaka umeanza bila pesa lakini mziki ndo unachezwa sasa hivi. Huku Makonda kashasema part 3 inakuja, uwiii huu mwaka ni filamu tu

  • @halimambwego8287
    @halimambwego8287 7 ปีที่แล้ว +9

    Eee mungu kuwa kiongozi kwa hili zoezi maana ni mtihani kwa kweli

    • @mariamk1488
      @mariamk1488 7 ปีที่แล้ว +1

      Halima Mbwego AMEEN HASBIN ALLAH WANEMAL WAKILI........

    • @halimambwego8287
      @halimambwego8287 7 ปีที่แล้ว

      🙇🙇

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว +1

      Halima Mbwego hakuna cha mtihahani wala weekly test makonda anakurupuka sijui kalishwa nyama ya kasuku! ukiambiwa mmeo au mkeo anatembea n.a. fulani. chunguza upate ukweli. muite chumbani mueleze.ndio uite wazee kisha tangaza hadharani. anapotangaza majina.tayari kaharibu upelelezi.wataficha.hutowakamatamakonda sijui wamekulea vp. huyu mungu wako ni mungu wa lema n.a. mungu wa tundu lisu mdomo umewapeleka pabaya taratibu kakangu familia n.a. wazazi wanakutegemea ACHA KUWA UNAKURUPUKA UMELISHWA NINI?

    • @mutenyoshadia6093
      @mutenyoshadia6093 7 ปีที่แล้ว

      +Renalda Kamugisha Zeramula Kemil yaan majanga me napita tu

    • @raphaelraphael4557
      @raphaelraphael4557 7 ปีที่แล้ว +1

      Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe kumbe kuleta dawa au dawa za kulevya sio bali kuwaita ndo kosa,pili makonda lengo lake ni zuri ni kumaliza dawa za kulevya sio kujaza gereza

  • @AnzuDimpo
    @AnzuDimpo 7 ปีที่แล้ว +4

    Muheshimiwa Yusufu Manji yupo Sawa👏👏👏

  • @kibibifaraji8440
    @kibibifaraji8440 7 ปีที่แล้ว +11

    kweli manji alivyosema njia aliyotumia sio sahii yakuwataja watu kwenye tv bila ushaidi wowte ul kam vanessa amemwalibia mtoto wa watu jina kwakweli bila kithibitosho choche yani manji amnyooshe uyu Mr misifa

    • @athanaselisha1617
      @athanaselisha1617 7 ปีที่แล้ว

      Kibibi Faraji hizo njia za kimnya kimnya zilifeli ngoja watajwe tu na liwalo na liwe sasa.

    • @estherwangare9759
      @estherwangare9759 7 ปีที่แล้ว

      Kibibi Faraji yeah hata nchi zingine zitakataa kufanya kazi nao...wema anavutia wengi na movie na shepu yake...V money katoto kazuri na venye kanaleta heshima tz juu ya mzikii saizi amerudishwa nyuma

    • @kibibifaraji8440
      @kibibifaraji8440 7 ปีที่แล้ว

      athanas elisha my dear angewaita tu unavyomtaja mtu kwenye video all Word wanangalia kwa sabb anakithibitisho ambacho amewakuta nacho anafanya vitu kam ameishia lasaba

    • @fafi9092
      @fafi9092 7 ปีที่แล้ว +3

      Kibibi Faraji Ushahid upo wanaukamatwa zaid ya kumi wanataja manji mbona awakutaja diamond achen kutete ujinga bn

    • @jecktonenashon9555
      @jecktonenashon9555 7 ปีที่แล้ว +1

      mmmh

  • @latifahissa1114
    @latifahissa1114 7 ปีที่แล้ว +1

    Mmh!! mungu wangu hii vita hii isije ikapelekea pabaya nchi yetu mana binafsi naona chachandu imepaaliwa makaa 😨😨😨

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 2 ปีที่แล้ว +1

    Anaeangalia hii clip 2021 anipe like yake apa

  • @marymayeye7947
    @marymayeye7947 7 ปีที่แล้ว +2

    hatukatai madawa yakulevi ni mapoya, lakini njia wanao itumia ni mboya. nikama hawakwanda shule .poleni wa tanzania.poleni kisomo kina saindia.

  • @henrystanley4077
    @henrystanley4077 3 ปีที่แล้ว

    Hahahaha kweli maisha ubadili aiseee...makonda alitakiwa asaidiwe na watu hawa sasa kawatukana sijui atasaidiwa na nani na sasa yupo chini...safi sana Manji...walikua hawajui kama kuna maisha baada ya madaraka

  • @rashidijulius6511
    @rashidijulius6511 7 ปีที่แล้ว +8

    japo kiswahili ni kigum. lkn umeeleka kaka.

  • @haidarimsigwa1833
    @haidarimsigwa1833 7 ปีที่แล้ว +1

    Everything has its way of handling. If you think ur above the law since ur a leader then ur wrong and u r not feet to be a leader. Even if what ur doing is right and has good benefit to the community umless u do it rihgt then its not right it is wrong as what ur trying to correct. Lets learn how to respect people and there rights and by respecting the rull of law.

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 7 ปีที่แล้ว +12

    kinachonishangaza mie ni kimoja tuu.
    wale wamiliki wa makasino waliitwa kimya kimya wakafanya yao wakarudi majumbani kwao.
    Majizo amekamatwa kimya kimya na hajapigwa pic wala kuonyeshwa popote.
    #Watanzaniatutambuehakizetubilahivyotheygonnafuckupallofus😔😔😔

    • @mauwahusseiny682
      @mauwahusseiny682 7 ปีที่แล้ว

      Mwanahamisi Hella hatamimi nashanga kumbe tz yenu sawasawa na Burundi?😂😂😂 inabidi nyinyi muwekama laiya warundi makonda utakufa haraka. kama ADOLFE hatakuzikwa ikawatabu kwakuwa amepandisha jiuli naubaya mwingi kama wewe pole makonda kwakaziyako kuwa mkweli

    • @mwanahella9650
      @mwanahella9650 7 ปีที่แล้ว

      mauwa hussein Y 😆😆😆😆niko nabadilisha uraia vry soon nahitaji kuwa munyarwanda😃😃

    • @mauwahusseiny682
      @mauwahusseiny682 7 ปีที่แล้ว +1

      Mwanahamisi Hella 😂😂😂😂nihataree Rwanda kunashelia hakuna ujinga huyo kagame nijeshi inchi ikosawa mambohayo yakuvamia mtuhamnaa

    • @mwanahella9650
      @mwanahella9650 7 ปีที่แล้ว

      mauwa hussein Y 😅😅😅😅haya niwekee nafasi bc huko kwenu🙈🙈 (sijui upo wapi mweeh)
      alafu nadhani Makonda atakua SIMBA ndo mana hehehe😃😃😃

    • @mauwahusseiny682
      @mauwahusseiny682 7 ปีที่แล้ว

      Mwanahamisi Hella mimi siko afric mpaka niludi hm

  • @imamumponda276
    @imamumponda276 7 ปีที่แล้ว +1

    makonda muacheni afanye kazi yake kwani jmn tulikua hatuoni watu walivyokuwa wanakula unga mpaka vituo vya daladala but katazame asa hivi mateja wamefyata na hao maboss wao ndio nawaombea muheshimiwa makonda aendelee kuwataja hivo hivo tuwajue tiwe na tahadhari nao maana haina maana wee kwa faida za watu wachache wengi wanaharibikiwa ndio nini !!!! makonda watajeeeeeeeeeee

  • @godlema6104
    @godlema6104 3 ปีที่แล้ว +4

    tulioangalia video 2021 tujuane

  • @rukiahussein9737
    @rukiahussein9737 7 ปีที่แล้ว +15

    Asaaaaaaante Imefika patamu

    • @ummyissa4622
      @ummyissa4622 7 ปีที่แล้ว +1

      saaana😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌

    • @rashidijulius6511
      @rashidijulius6511 7 ปีที่แล้ว +10

      Rukia Hussein bado muvi inaendelea. usitoke kwenye tv

    • @winieramadan9857
      @winieramadan9857 7 ปีที่แล้ว +2

      ummy issa mambo vpi mwaya😂😂😂😂😂😂

  • @zenaally2395
    @zenaally2395 7 ปีที่แล้ว

    kazi ipo

  • @filbertabdallahmdee2676
    @filbertabdallahmdee2676 3 ปีที่แล้ว +4

    Walikuonea tu rudi home tunakusubir mungu atakusimamia na mungu yana ubaguziii na yupo na ww mda wowote kwe haki yako rudi tunakupenda

  • @Blackie_blackie9327
    @Blackie_blackie9327 7 ปีที่แล้ว

    jamani!

  • @aminayasin2906
    @aminayasin2906 7 ปีที่แล้ว +2

    fanya baba ametuchosha huyu ghabia asieelewa maana ya kaz yake kwnza yy ni mwndishi wa habar anaekaa kwnyw vyombo vya habar kuwadharirsha watu atumie cheo chake vizr na kwanza hii kaz c yake ni IGP yy kaz yk kuwapa muongozo mbona wengine anawachuku bila kuwatangaza acha zko we makonda fnya kaz ili uinufaishe nchi sio we upate ujiko

  • @hawawezidianakukushusha756
    @hawawezidianakukushusha756 7 ปีที่แล้ว +1

    kwenye makosa hakuangalii wewe ni nani kwanza binadamu wt ni sawa kwani we man hi nani au kwakua tajili ila tambua kwa mungu hakuna matabaka wewe ni raia kama wengne acha kujikweza na kujiona wewe ni mbora nenda baba itikia wito acha porojo

  • @mariamjuma8038
    @mariamjuma8038 7 ปีที่แล้ว +1

    in kweli makonda anafanya kazi nzur ila tusio ngee kwa sababu tunamidomo na sauti ila kisheria hata huyu manji yuko sawa maana kuitwa polis kwa kutumia vyombo vya habar bila ushahidi na akikutwa hana atakua kamshushia heshima yake inatakiwA mtu atangazwe akiwa kapatikana na ushahidi fikirien kwanza

  • @kigambontv9748
    @kigambontv9748 7 ปีที่แล้ว +11

    Hahahaaaaa kma naliona hili picha la andhakanon au ISIDINGO wacha movi iendelee

    • @shinatamar1492
      @shinatamar1492 7 ปีที่แล้ว +2

      Ziliatan Humud umeona kumbe katafuta kivumbi akiona anasidia madawa huyo ajitafutia vikesi nachuki nawatu

    • @kigambontv9748
      @kigambontv9748 7 ปีที่แล้ว +1

      shina tamar Eeeh apo kma kweli anasimamia haki ndio tutaona hapo mana kma mwaga mbogo manji anataka kumwaga ugali kazi juu ya kazi

    • @marryhancy5987
      @marryhancy5987 7 ปีที่แล้ว

      we acha tuuu yetu m achooo

  • @officialmologa
    @officialmologa 7 ปีที่แล้ว +3

    nasomaga comment za watanzania wenzangu baadhi zinasikitisha sana. Najua hatuna elimu na mfumo bora basi angalau tusome sana akili zifunguke kupitia kiwango cha elim tuliyo nayo,watu wanacomment hoja za ajabu ajabu kwenye masuala makini ,naombeni tusome kama hatujapata nafasi kusoma basi tuhimize watoto wetu kusoma ili angalau fikra zifunguke katika kujenga hoja

  • @babuuclassic
    @babuuclassic 7 ปีที่แล้ว +2

    Makonda amezidi aisee

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 7 ปีที่แล้ว +3

    well done Yusuph

    • @francisngafumika2180
      @francisngafumika2180 7 ปีที่แล้ว +1

      pole brother hii ndio bongo sasa badili jezi ya yanga iwe ya kaki halafu sema peoples

  • @japhetlaisangai8682
    @japhetlaisangai8682 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana mkuu

  • @ombenivasha7361
    @ombenivasha7361 7 ปีที่แล้ว

    safi sana manji ayo yakweli kasa nenda nae mpaka kieleweke

  • @hildakaaya6924
    @hildakaaya6924 7 ปีที่แล้ว

    ukimsikiliza manji utamuelewa sanaaaa kweli walotangazwa hadharani kusaidia kwenye hilo si sahihi walipaswa wawaite private and wakishapata ushahidi wa kutosha ndo wangetangaza; binafsi sijapenda

  • @ellymaduhu8668
    @ellymaduhu8668 7 ปีที่แล้ว

    Pole sana mr. manj soon these will end

  • @mariamhadija7236
    @mariamhadija7236 7 ปีที่แล้ว +12

    Wew unapesa na Makonda ndy serikari sas tunataka kuona nani?? Zaidi weweeeeee oyaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😉

    • @abdallahsaid9732
      @abdallahsaid9732 7 ปีที่แล้ว

      Duh cmchezo aisee eee!!!!

    • @halimambwego8287
      @halimambwego8287 7 ปีที่แล้ว +1

      Kijipu uchungu bhana ni shida

    • @Royalcakespoint
      @Royalcakespoint 7 ปีที่แล้ว +8

      Mariam Hadija muhim katetea haki yake haongelii pesa...na wakipelekana mahakamani nijuu ya polisi kuangalia uzito WA jambo hili...

    • @greonpeter6984
      @greonpeter6984 7 ปีที่แล้ว +1

      Mariam Hadija pesa

    • @shinatamar1492
      @shinatamar1492 7 ปีที่แล้ว +2

      Mariam Hadija kumbuka yuko nahaki yake kupitia nakatiba ya inche n.a. kuaribiwa jina ata awe niserikali bado miaka itaisha nakama bado anachuki na watu watamfungulia mashitaka

  • @officialdullastar1070
    @officialdullastar1070 7 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa kasoma sio mjinga kupelekwa pelekwa tu. Anajua haki yake akuna ubabe

  • @user-mm9qr7em8k
    @user-mm9qr7em8k 26 วันที่ผ่านมา

    Hii Dunia sio llt jmn
    Ll salama manjii .mtaniwangu.

  • @emiliehortensia5189
    @emiliehortensia5189 7 ปีที่แล้ว

    safi sana Manji

  • @anthonysaki5186
    @anthonysaki5186 7 ปีที่แล้ว

    !!!

  • @joycemichaellovelove2221
    @joycemichaellovelove2221 7 ปีที่แล้ว +3

    Asanteee Ayo Tv 😀😀😀tunasubir part 2 ya kesho alaf kuna mwingne nae nasubir na alivyombish sipat jibu nn itakuwa😂😂😂

    • @mutuwetu8974
      @mutuwetu8974 7 ปีที่แล้ว

      joyce michael love love yule ndio kichaa atamtaja had yeye kama alikuwa anauza halafu akaacha

    • @joycemichaellovelove2221
      @joycemichaellovelove2221 7 ปีที่แล้ว

      #Mutu Wetu 😂😂😂😂😂

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว +2

      joyce michael love love GWjima huyo ndo mbishi yuko anakemea akifika polisi wote wataanza kuimba kesi kwisha.hapana chezea MUNGU wa Gwajima

    • @joycemichaellovelove2221
      @joycemichaellovelove2221 7 ปีที่แล้ว

      Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @issasuleiman9198
    @issasuleiman9198 7 ปีที่แล้ว +1

    mashehe mpaka leo wako ndani wanatseka tena niwashtakiwa Wa kesi iso naushahidi nataka nimuone nahuyo gwajima akiwekwa ndani kama kweli kuna haki lkn naamini hata kama watamkuta nahatia wahayo madawa bc patapita figisufigisu nawala hatofanywa chochote

  • @kpetres2872
    @kpetres2872 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole Manji Ni changamoto. Nimerudi kuona mlivyoumizwa🙏

  • @charitythegolden729
    @charitythegolden729 7 ปีที่แล้ว +3

    Makonda doesn't know that intelligence overloads intelligent to the downfall