WANAODAI YAFAA KUWATUMIA MAJINI KATIKA MAMBO MBALIMBALI, SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL ATOA UFAFANUZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • FATAWA ZA SHEIKH SHAREEF ABDUL-QAADIR AL-AHDAL

ความคิดเห็น • 468

  • @pinogreentv4337
    @pinogreentv4337 4 หลายเดือนก่อน +92

    Mimi ni Mlokole Ila huyu shekhe nitavaa kanzu nikaswali kwenye msikiti wake naomba mnambie msikiti wake uko wapi ana roho wa Mungu shekhe Amenyooka

    • @allywaziry6419
      @allywaziry6419 4 หลายเดือนก่อน +2

      Fika temeke maeneo ya mwembe Yanga uliza hapo alhikma..!!!!

    • @sammganga6865
      @sammganga6865 4 หลายเดือนก่อน +6

      Hakuna mlokole wa kufanya hivyo, acha kupumbaza wakristo, pambaneni na ndugu zenu majini

    • @MikidadiHussein-d8m
      @MikidadiHussein-d8m 4 หลายเดือนก่อน

      Hana msikitini

    • @fadhilmandaliabdalla6736
      @fadhilmandaliabdalla6736 4 หลายเดือนก่อน +9

      Karibu katika njia ya haki, Allah akutangulie InshAllah uitamke shahadah

    • @Herson-yw6cn
      @Herson-yw6cn 4 หลายเดือนก่อน +5

      Karibu sana ktk dini ya haki

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 4 หลายเดือนก่อน +32

    Yaa Rabbi tunakuomba utuoneshe hakki tuweze kuifata na batili tuweze kuiepuka, shukran yaa sheykh

    • @Alibaana550
      @Alibaana550  4 หลายเดือนก่อน

      Allaahumma aamiin

    • @salhaali9284
      @salhaali9284 4 หลายเดือนก่อน

      Amin amin amin

    • @MainlandFc-xc3bi
      @MainlandFc-xc3bi 4 หลายเดือนก่อน

      Allaahumma aamiyn

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 4 หลายเดือนก่อน

      Aisha number please muhimu

    • @ISAALMASIHI9823
      @ISAALMASIHI9823 4 หลายเดือนก่อน

      Tumrudie Yesu ndiye njia ya kweli ndg zangu

  • @mohamedalirachidi380
    @mohamedalirachidi380 4 หลายเดือนก่อน +15

    shekhe sharif mashaa allah , Mwenyezimungu akuhifadh ina alihifadhi na sisi, umeongea kielimu zaidi na zaidi

  • @husseinhaji9550
    @husseinhaji9550 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mashallah Allah akulinde Sheikh wetu

  • @RiyadhTvOnlineZnz
    @RiyadhTvOnlineZnz 4 หลายเดือนก่อน +3

    Masha ALLAH shk Shukran sana kwa ilmu na hongera kwa shk Suleiman kwa kazi kubwa ALLAH akubaarik

    • @Alibaana550
      @Alibaana550  4 หลายเดือนก่อน

      Allaahumma aamiin

  • @TamimuMshare
    @TamimuMshare 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mashaalah jazzakallahu haira mwenyezimungu amjalie kheri huyu shehe Yuko vizuri sana

  • @maulidimaden8374
    @maulidimaden8374 4 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdulillah Rabbil Aalamiin. Allah aendelee kukutunza kukubariki kukullinda na kukuongoza ili tuendelee kunufaika nawe Sheikh wetu AbdulQaadir

    • @hasnakid
      @hasnakid 4 หลายเดือนก่อน +1

      Aameen

  • @abdullahijma2073
    @abdullahijma2073 4 หลายเดือนก่อน +12

    Mufti wa TZ should make a statement on this issue...its very disturbing.

    • @waziriboy9941
      @waziriboy9941 4 หลายเดือนก่อน

      Sheikh si huyo tayari keshamaliza, Kwa mufti Mbali saana

    • @IbrahimSuleyman-j8n
      @IbrahimSuleyman-j8n 4 หลายเดือนก่อน

      May be he knows nothing in this matter,

    • @SaidiMaulidi-d4l
      @SaidiMaulidi-d4l 4 หลายเดือนก่อน +3

      Mmmh Viongozi wa dini walio serikalini tz hatuwaoni kwenye mambo ya dini kama haya tunawaona kwenye maulid tu na kuandama kwa mwezi

    • @amaroo1220
      @amaroo1220 4 หลายเดือนก่อน

      It is not a Mufti Problem. The first word in Islam is "Read" and not "Mufti Read". Mufti already has enough on his plate.

    • @MultiSamrich
      @MultiSamrich 4 หลายเดือนก่อน

      Yeye mwenyew anavaa pete za majini

  • @AltamimSoud
    @AltamimSoud 4 หลายเดือนก่อน +7

    Asalaam Alaykum mie nachukuwa fursa hii kumpongeza sana alieuliza suali la maana sana na Sheikh umetuoa elmu ya hali ya juu Allah akuhifadhi yaana hawa viongozi wwngine wa dini wanajisahau kwemye elmu lazima kabla hujasema kitu kama hukijui basi soma kwanza ukizia kwanza usipoteshe umma tu Dr Sule jitafakari ssna kwenye hoja zako unawapa waislamu mkanganyiko kwa maneno yako

    • @ahz6907
      @ahz6907 4 หลายเดือนก่อน +1

      Yule yupo kwenye harakati za kutafuta rizki.hamna sheikh pale.

    • @alawiali3475
      @alawiali3475 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@ahz6907kuna shehena tu.

  • @HasaniJuma-ew2kw
    @HasaniJuma-ew2kw 4 หลายเดือนก่อน +8

    Hekma ya sheikh ni kubwa sana na huu ni muongozo mzur wa elimu

  • @yussuphsultan1400
    @yussuphsultan1400 4 หลายเดือนก่อน +10

    Maamuma Allah sw atupe ilman nafiya, warzuqna fahma!

    • @YusuphRashidi-b1j
      @YusuphRashidi-b1j 4 หลายเดือนก่อน

      Na ww maamuma ni kwenye swala tu

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 4 หลายเดือนก่อน

      @@YusuphRashidi-b1j una maanishaje! Huenda kwenye hili pia ni maamuma! Nielimishe

    • @JoshuaSalimu
      @JoshuaSalimu 4 หลายเดือนก่อน

      Km nabii alishafanya sio haramu kutumia majini bado hujaeleweka

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 4 หลายเดือนก่อน

      We nae kayatumie sasa​@@JoshuaSalimu

    • @JoshuaSalimu
      @JoshuaSalimu 4 หลายเดือนก่อน

      @@aminasaid6555 mie sio muislamu

  • @NurdeenMuhina
    @NurdeenMuhina 4 หลายเดือนก่อน +1

    Maashaa Allaah tabaarakallaah majibu mazuri Sheikh wetu Allaah akuongoze kwenye kheri

  • @faridmnyamike556
    @faridmnyamike556 4 หลายเดือนก่อน +10

    Sisi Waislamu kiigizo chetu ni Mtume wetu Muhammad Swalla llahu Alayhi Wassalaam, Dr. Sulle aliwahi kusikia Mtume Muhammad katumia majini kuendesha maisha yake, Laa Hasha Mtume Muhammad Swalla llahu Alyhi Wassalaam hajawahi kutumia majini wa aina yoyote katika maisha yake yote, Dr. Sulle umeteleza muombe Msamaha Allah, Sisi binaadamu hatujakamilika kila siku tunakosea, hakika Sheikh huyu amekupa nasaha njema, kujikwaa si kuanguka.

    • @salamanyale2226
      @salamanyale2226 4 หลายเดือนก่อน

      Mmmh ww nenda kasome mtume amesaidiwa n majini mpka kujenga mskiti ukaitwa masjidl jin uliza km hujui

    • @khalifamahondo191
      @khalifamahondo191 4 หลายเดือนก่อน

      kwani huo msikiti ni wa Mtume

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@salamanyale2226 Nilipokua Makka huo msikiti niliuona, na una jina hilo, ila si kwamba majini waliujenga, umejengwa na wanadam, hapo kihistoria ndio pale Mtume anasoma Quran majini wakapita na kuambizana, Hebu tunyamaze tusikilize.
      Kisha wakaondoka kuenda kwa wenzao kuwapa taarifa walivyoisikia Quran ya ajabu.

    • @abuuhassani497
      @abuuhassani497 4 หลายเดือนก่อน

      Ushahidi gani

  • @Nily-kz3db
    @Nily-kz3db 4 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah,Allahu Akbar, Shekhe wallah Allah. Akulpe Ujraa Mwema,kw Kutoa Fatua Ya Maneno yk Mazur Tena Maneno ya Allah Uloyatoa Quran,Allah Akuhfadh na Elmu Yk hyo,Hamdullah MashaAllah,Hta Bna Adam Anaweza Akakutendea Wema Kumbe Nafsn Mwke yupo na Roho Dhaifu,Amekosea Dr Sule,Ht Majin Huwajui Nasfs yeo ipojee,Allah Peke,Lait Allah Angetufunulia Nafs tukaziona Huyu na yule wallah Ndugu zangun Tungekmbianaaa,Turejeen Kw Allah ,Hakika Shetwan Aduiw Mubin🙏🥲,Wamaghalakatu Jinni Walinsi Ilaa Liayaabud ,Hakumba Majin na Bnaadam ,Icpokua Waje Kumuabudu Allah Bc ,inatosha ,cc Bina Adam Na Majin Tumeletwa Lengo Kuja Abudu Allah na Kufanya Yalo Kher,Anaeombwa Utajr Risk N Allah Pekee,Hana Mshrkaa

  • @nejjadmatumla2699
    @nejjadmatumla2699 4 หลายเดือนก่อน +4

    Sheikh Sulle kazingua arudi tu kwa ALLAH.
    Anatupa mashaka hata upatikanaji wa mali zake

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 4 หลายเดือนก่อน +9

    Huyo dkt sule anajifanya na bii kwasababu ya jina lake anajifananisha na nabii suleyman ,hiyo ni shirk.mungu amuongoze

  • @SureBoy-o2t
    @SureBoy-o2t 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashalla

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 4 หลายเดือนก่อน

    Mash Allah tabarak Allahu ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri kwa jibu zuri shekhe wetu Mola akulipe mema inshaallah.

  • @aljalilatiba9873
    @aljalilatiba9873 4 หลายเดือนก่อน +7

    MASHALLAH MASWALA YAMEJIBIWA KIELIMU

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 4 หลายเดือนก่อน

      Wamejibiwa kuwa wewe una jini Karin na Kila Mwislamu anaye

    • @mkude
      @mkude 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@paulmushi2428hata wewe unae huyo ndo anaekuamrisha mabaya ndo maana hutaki unaona ugumu kuja kwenye haki kwenye uislamu,emu mshinde huyo jini njoo kwenye Uislamu

    • @LastdayJesu4153
      @LastdayJesu4153 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@paulmushi2428😅😅😅 Paulo mgonvi wewe

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@paulmushi2428mtu yoyote,sio muiislam tu usijitoe fahamu

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@LastdayJesu4153unafki

  • @HarSal-yg3uq
    @HarSal-yg3uq 3 หลายเดือนก่อน

    AllahuAkbar.. njia iliyo nyooka ndio hii.. islam 100%

  • @ShaabanSaid-g4f
    @ShaabanSaid-g4f 4 หลายเดือนก่อน +6

    Kupenda dunia ndio kichwa cha maasi yote

  • @AmadHassanRashid
    @AmadHassanRashid 2 หลายเดือนก่อน

    Allah hakupe kherry kwa helimu lnshaalla

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah atuepushe na atulinde kwa uwezo wake

  • @saidmuhd611
    @saidmuhd611 4 หลายเดือนก่อน +19

    Nampenda sana Sheikh Abdulqadir, Allah azidi kutunufaisha Kwa maarifa na hikma yako

  • @GhaniaRashid-p4n
    @GhaniaRashid-p4n 4 หลายเดือนก่อน +2

    Majibu mazuri sheikh Mashallah

  • @LatifaMwandu
    @LatifaMwandu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah umeongea kwa akili kubwa sana.allah akubariki huu ndio uislam bwana .siku moja nataraji kuona tanzania tunaswali idd pamoja mwezi wa kimataifa sioni km inapendeza

  • @Alqurankareem611
    @Alqurankareem611 4 หลายเดือนก่อน

    Maashàa Allah baaraka llaahu fyka yaa sheykh

  • @ummyhawaaweis3867
    @ummyhawaaweis3867 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah sheikh Al Ahdal

  • @binfarhan879
    @binfarhan879 4 หลายเดือนก่อน +3

    Shekhe Maasha Allah umeeleza vizur sana, ila waliowashirikina watakuja na waseme haujajib kitu kwan walishapata fursa Sasa wajaiondoa.
    Wengine watadai ata mwanadam muovu haumjui ili pia la ajab tofauti ya Jinni haumuoni ila mwanadam nakuona ukiwa unashirik,unalewa,unaiba na inazini halafu ww iwe nana?
    Je Jinni akofanya ayo unamuona?
    Kua haujaeleza kitu ni madai ya Washirkina!

  • @AbooHaarith
    @AbooHaarith 4 หลายเดือนก่อน +1

    TabarakaAllaah

  • @Arkhamz_95
    @Arkhamz_95 4 หลายเดือนก่อน +2

    Na jee utajiri na pesa anaotoa jinni anapata wap kam sio kudhulumu kwa wanadam ndipo ampelekee yeye mfuga majini na hiyo ni dhulma ya wazi...

  • @arafashedie7846
    @arafashedie7846 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah majibu mazuri ust barakakallah

  • @NassraBurhan
    @NassraBurhan 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah jazakkallah kheir asante

  • @faridbinjumaonlinetv9258
    @faridbinjumaonlinetv9258 4 หลายเดือนก่อน

    Aahh sheikh wlh maneno yananikosha

  • @DULLASHABASHI
    @DULLASHABASHI 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah ❤❤

  • @rashidmsita6588
    @rashidmsita6588 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna mwanadam ana elmu ya kufahamu jini m baya na jini mzuri,
    Ila jini ana maarifa hayo so manake jini ana ujuzi zaidi ya binadam,
    Hii inatosha sana kujua hawa Ma sheikh waganga wa mitandaoni ni wapiga deals tu wapate pesa.

  • @issufodaude1766
    @issufodaude1766 4 หลายเดือนก่อน

    Swadakt ya shekh

  • @ALIFAAMADE
    @ALIFAAMADE 3 หลายเดือนก่อน

    Asalamu alaykum warehmatunlah wabarakatuh mashekh lakini mungu si amesema yeyote atakae nitukuza kwa siri mimi nitamtukuza kwa dhahiri na atakae nihasi kwa siri mimi nitamdhalilisha kwa dhahiri kabla ya kukutwa na umauti kwahiyo hiyo ndio kazi ya Mw. Mungu acheni tuyadhihishe yale tunayoyafanya ya siri.

  • @Shabanikhafanikhafani
    @Shabanikhafanikhafani 4 หลายเดือนก่อน

    Allahuakbaru

  • @rajabumsuya-hg8jd
    @rajabumsuya-hg8jd 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa ndio watu wakusikiliza sasa

  • @AbdallahMnyiwe-he2zu
    @AbdallahMnyiwe-he2zu 3 หลายเดือนก่อน

    Jibu swali

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tunahitaji maelezo ya hoja na siomaoni tu ya Akili

  • @Elecovid
    @Elecovid 4 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 4 หลายเดือนก่อน

    Allah ni mjuzi wawa juzi

  • @athumanichamzuri3844
    @athumanichamzuri3844 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna elimu kubwa sana katika ulimwengu wa jini...

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 4 หลายเดือนก่อน

    Kwanza kuna aya gani ya Quran inayokataza kutowatuma Majini ama Hadithi gani ya Mtume inayokataza kutowatuma Majini?

    • @amirbalali6483
      @amirbalali6483 4 หลายเดือนก่อน

      Soma surat jinniy utajua ndugu

  • @hassanjr5318
    @hassanjr5318 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Sheikh ndio amemaliza kila kitu Alhamdulilah
    Wengi walikua hawajibu mambo za Dr Sule kwa Hoja

  • @MfaumeYahyaMfaume
    @MfaumeYahyaMfaume 3 หลายเดือนก่อน

    Nyie amufaamu dokt sure akujifananifa nanabibii

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 4 หลายเดือนก่อน +1

    🥺🥺

  • @NurdinBihame-oh4zx
    @NurdinBihame-oh4zx 4 หลายเดือนก่อน

    Mashekh sikilizeni maelezo ya sulle vizur

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 4 หลายเดือนก่อน +1

    Misajamuelewa hapa naona anamung' unya tuu, kiswahili kidogo bado hakija kaa vzr

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 4 หลายเดือนก่อน

      Sikiliza kwa umakini utaelewa

    • @datiisaid5947
      @datiisaid5947 4 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli sisi pia n waswahili na tunamuelewa

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim 4 หลายเดือนก่อน +1

      Labda wewe ni mkurya ndo maana huelewi

    • @mkude
      @mkude 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe unashida ya ewelewa au unajifanya hujaelewa unasupport mambo ya sulle. ALLAH ATUONGOZE

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 หลายเดือนก่อน

      @@datiisaid5947 nielekeze ww mpendwa huenda nitakueewa vzr nisaidie kunifafanulia hapo

  • @MariamUmande
    @MariamUmande 4 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wa maulid ndio wanapenda kutuniya majini au kutumika na majini

    • @wardalwena5846
      @wardalwena5846 4 หลายเดือนก่อน

      Maulid yanahusika vp hapo acha uzwazwa na akili mbilikimo

  • @ExcitedCave-cx9rx
    @ExcitedCave-cx9rx 4 หลายเดือนก่อน +1

    DR SULE YUPO SAWA KABISAAAA HAKUNA MUSHIKELI WOWOTE LABDA HAWA MASARAFO ELIM HOYO HAWANA ,MAJINI WANAONEKANA NA WANATUMIKA ,VZR TU

    • @KhalfanMakota
      @KhalfanMakota 4 หลายเดือนก่อน +3

      Tpfaut ya dini yetu kaka c kutamka tu kwa vile ujuavyo wew una dalil acha maneno ...dalil ya mtu kumtumikisha jini unayo

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 4 หลายเดือนก่อน +2

      Yinyi ni washirikina

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim 4 หลายเดือนก่อน

      We kafiri nyamaza

    • @KhalfanMakota
      @KhalfanMakota 4 หลายเดือนก่อน

      @@SoudShuraim unajihita saud shureim ...mwenzio shureim ni dr katika dini ya uislam ni mwanasheria lkn pia vice imam haramain...wew kalia kukufurisha watu

    • @Putin331
      @Putin331 4 หลายเดือนก่อน

      @@abuubilal2646ntakufira nkuuwe kumaamako

  • @hassanmambomambo8442
    @hassanmambomambo8442 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe baada yakuuliza wa hukuna kuwa anaupaka matope mara anachafua uisilamu sio uwezi kumuona sema elimu yako imeishia apo jini unaweza kumuona na kumtumia bila ya shirki wala nini elimu ni bahari kama kitu ukijui sema sijui sio aibu elimu nibahari jamani

    • @AliHamad-xl2mm
      @AliHamad-xl2mm 4 หลายเดือนก่อน

      Ww mjinga kasome usipotwezwe na docter sule

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 4 หลายเดือนก่อน

      nakuambia sulle kachafua khari ya hewa mtandaoni, anasema kutumia majini kwa manufaa eti sio haramu, bila kusoma maandiko yanasema nini subhanahu!!
      Al Quran: Al-An'am/6:128
      ---
      وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ
      Translations:
      ---
      Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua.
      -- Ali Muhsin Barwani .

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim 4 หลายเดือนก่อน

      Kajibu wewe...

    • @Putin331
      @Putin331 4 หลายเดือนก่อน

      Nkufira nkuuwe kumaamako

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 4 หลายเดือนก่อน

      Allah anasema katika Quran majini wanatuona sisi, ila sisi wanadamu hatuwezi kuwaona majini.
      Ukisikia mtu kamuona jini, huyo si jini, itakua kamuona mchawi, kajigeuza jibwa kajtia jiti la nyuma kama mkia, ama itakua umemuhisi na kuguswa na shetani aliyelaaniwa, mwenye kusumbua mwanadam.
      Jini hana habari ya kuonana na mwanadamu.

  • @SurprisedDachshund-rc2fw
    @SurprisedDachshund-rc2fw 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jifundishe kiswahili ww yemen

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 4 หลายเดือนก่อน

    Haki imekuja na uongo umejitenga hakika (batili) uongo ni wenye kujitenga na kutoweka ikija haki, uongo ni giza na haki ni nuru

  • @ExcitedCave-cx9rx
    @ExcitedCave-cx9rx 4 หลายเดือนก่อน +2

    Shekhe suleiman alawi alikuwa na darsa la binadam na majini na akiwatuma wengine kuchumia karafuu, ,mwingine sharifu omary bin sumeyt alikuwa akiwatuma majini wengine wakienda kwake kusoma

    • @coyancodavao4004
      @coyancodavao4004 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe ulikuwepo?

    • @Yusuphmazohany
      @Yusuphmazohany 4 หลายเดือนก่อน

      Hawa maswalaf awana elimu izo ila elim izo zipo

    • @user13375
      @user13375 4 หลายเดือนก่อน

      Uislam ni shida

    • @jabirkasunzu6841
      @jabirkasunzu6841 4 หลายเดือนก่อน

      Dr. Sule ni mtume Suleimani au?

    • @antarsangali4456
      @antarsangali4456 4 หลายเดือนก่อน

      Alaarham Sheikh Suleiman Alwi wa Zanzibar amewatumia sana majini kwa kumfanyia kazi zake kadha wa kadha.
      Hapa kuna utata wa kiilmu na upana katika ufafanuzi juu majini. Majini wapo na wanamilikiwa na binadamu

  • @ISAALMASIHI9823
    @ISAALMASIHI9823 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni muislamu kwa hali hii nimeamua kuwa mkristo, wakristo naomba msaada wenu
    Niende kanisa gani lililo sahihi, namuhitaji Isa al masihi

    • @haroubhbm5728
      @haroubhbm5728 4 หลายเดือนก่อน +5

      Wewe tokea mwanzo ni mkiristo usidanganye watu na kama ulikuwa muislamu basi ni muislamu jina au ulikuwa muishi lamuu na sio muislam

    • @ISAALMASIHI9823
      @ISAALMASIHI9823 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@haroubhbm5728 Ndugu yangu nimeamua kumwamini masihi Isa rasulullah naona hana jini hata Moja ila huyu mtume wetu kumbe kasilimisha majini

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 4 หลายเดือนก่อน

      Tubaijua hii😂

    • @ISAALMASIHI9823
      @ISAALMASIHI9823 4 หลายเดือนก่อน

      @@aminasaid6555 🤣🤣Yesu nimekukiri naomba uniondolee majini Karin na majini yote yanayomiliki uislamu, Asante Yesu amina

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 4 หลายเดือนก่อน

      Nenda ukaolewe ndoa jinsia moja, wenzio huko kwenye imani hiyo wamo kwenye mchakato waowane dume kwa dume.
      Nenda ukaolewe tu.

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 4 หลายเดือนก่อน

    Halafu anatokea Mtu huko anawatusi Kina Fulani ni mawahabi.
    Huku huyo aliyesema Ndio yupo upande wa Dr.Sule na Sharifu Majini na wengneo....Na Anakwambia Hawa wana Makaraama...Na wao wanaona Ushirikina ni Mtu kuabudu Sanamu tu ya kuchonga.

  • @drsaeedherbs
    @drsaeedherbs 4 หลายเดือนก่อน

    Alafu mambo msiyoyajua kaeni kimya mawahabi ninyi mnazingua sana dini hii ingepita mikononi mwenu watu tungekwisha kabisa

    • @East_Africa_120
      @East_Africa_120 4 หลายเดือนก่อน

      Na wewe ni mshirikina

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama ni dhambi Allah atanihukumu. Mimi nawatumia Majini na sio Mashetani

  • @husseinchaka1821
    @husseinchaka1821 4 หลายเดือนก่อน

    Binadamu tuko mara mbili spirit na mwili,na tukumbuke ilimu NI bahari ,tutakufa Hadi bado hatujamaliza kuijua na tukumbuke kwamba kila siku mungu humchangua mja wake kuendeleza uvumbuzi wake.Quran iko wazi,na imesema tunapima jambo kwa kima cha faida zake

    • @alikurran150
      @alikurran150 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe elimu yako yasemaje

  • @elbattawy2864
    @elbattawy2864 4 หลายเดือนก่อน

    Mashekhe wa bara wengi wanaganga njaa, Dr sule hii habari ya majini na pete ni katika biashara zake ndio mambo yanayomueka mjini

    • @vitalcool9266
      @vitalcool9266 3 หลายเดือนก่อน

      Wengi watakupinga sababu ni wapiga Dili,ila ndo ukweli

  • @AdamPaulo-x2k
    @AdamPaulo-x2k 3 หลายเดือนก่อน

    Msidanganyane yote ni uongo dini hii ya uislamu ndo dini ya mpinga kristo

  • @saidkipalo4427
    @saidkipalo4427 4 หลายเดือนก่อน

    Uliza swali Acha maneno mengi kwa Shekh

  • @kidasichambeo3062
    @kidasichambeo3062 หลายเดือนก่อน

    Dr sule anatoa elimu yake wapi

  • @MialanoMoussa-dr5be
    @MialanoMoussa-dr5be 4 หลายเดือนก่อน

    ndio mana mtume (sw)alitutowa shaka juu yaviumbe hawa majini wa islam kuwa ni ndugu zetu tunahaki ya kuwafa yale tulio amrishwa na Allah nawao pia nihivo hivo

  • @yusufsati8324
    @yusufsati8324 4 หลายเดือนก่อน

    kweli.onaona .mimi.nimetomali.lakini.siomaaliyangusukukabiziwa.niklimtu.mzufi.anapedwa.najini.mzurimimi.naogea.nikwelihuyu.shehbado.hajakota.nawo.jiwazu.wanapenda.kuka.nawewe.na.mmmiiskitini.pianiulizeminmi.jitakuhibumpa.wankusaidiailmundugo. huyu.sheh.haelezi. vizurimungu.ampe.toqik

  • @MuhammadMkoka
    @MuhammadMkoka 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sule shekhe wa watu majaahil sule mala utamuona kwenye siasa za demo krasia mala kwenye dini sa shekhe gani ilo

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 4 หลายเดือนก่อน

    Adam na wanawe hawakuweza kumsilimisha shetani akawa mwislamu ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa mwislamu

  • @jumaalhadi4274
    @jumaalhadi4274 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh amejitahidi kama alivyojitahidi sule bado hatujapata jibu la kutushibisha...sheikh amejaribu kuunganisha aya na aya akachanganya na ufaham wake kama alivyofanya sule kuhalalisha hoja yake..ila mm nashauri anayekubali kwamba yafaa kutumia majini atueleze pia faida na hasara na anayesema haifai pia atueleze faida na hasara...asili ya kila kitu ni halali mpaka allah alipokuja kutuwekea mipaka ya kuharamisha baadhi ya vitu na hakutuharamishia kutumia kitu isipokua kitu hicho kina hasara kwetu

    • @maryamtanzania9743
      @maryamtanzania9743 4 หลายเดือนก่อน

      Kamsikilize bachu alifafanua vizuri hata mimi huyu sijamuelewa huenda anajua ila kumukinaisha mtu na hoja ndo hajui

    • @Nily-kz3db
      @Nily-kz3db 4 หลายเดือนก่อน

      Yye Hajahalalsha juma faham,alchosema Yye n kupnga kua Hakuna Bnaadam kutumlia majn,km nhvyo tutakufur bure,,lkn Allah Amemleta Nabii kua Kiongoz na vyeo vyao,lkn wafuac Wa Huyo Nabii Allah hawakuwafunukia upeo Wa Elmu Zaid,Ndio mna Allah kaumba Majin na Bnaadam Waje Muabud ,Sasa ikiwa Tumeletwa Lengo n Moja Muomba risk Nan atakua ,Lazma mtafakar na nyny aklzenu

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 4 หลายเดือนก่อน

    Anakosea anaposema MAJINI awaonekani ,MAJINI wanao ekana ila kwa maumbile tofaut tofaut

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo unapingana na qauli ya Allah

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 4 หลายเดือนก่อน

      Kuna swahaba aliua nyoka naye akafa taarifa ilipofika kwa mtume akasema kaua jini na majini wenzie wakamuua

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim 4 หลายเดือนก่อน

      Quran imesema hatuwaoni

    • @faiditv5535
      @faiditv5535 4 หลายเดือนก่อน

      Kunayofauti kuwajua nakuwaona sio atuwaoni tunawaona ila kuwajua Sasa angesema hivyo SHIDA ukiwa mweupe unatoka uwarabuni unaonekana unajua pumbavu

  • @athumanichamzuri3844
    @athumanichamzuri3844 4 หลายเดือนก่อน

    Sheikhe kuna vitu hata wewe hujui kuna watu wanasomeshwa dini na masheikhe wa kijini alafu ndo ushindwe kujua huyu jini ni mbaya au mzuri... hata wew bado kapige goti usome

    • @hashimabdulqadir4984
      @hashimabdulqadir4984 4 หลายเดือนก่อน

      hamna mahusiano baina ya jini na bindamu hata awe jini anaswali na kufanya mema jini wao wakokivyao na sisi tuko kivyetu

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 4 หลายเดือนก่อน

    Swali simple tu lakini kujibu unahangaika nyoosha maelezo ueleweke

    • @mkude
      @mkude 4 หลายเดือนก่อน

      Kama hujamuelewa wewe sio mzima.unatabu ya kumuelewa labda nimusaidie,kwanza amejibu kwamba huwezi kumjua huyu jini mzuri au mbaya.wewe utatumia njia ya kumuita jini jini akaja kwako kukudanganya yeye mzuri kumbe waongo,halafu amemjibu sifa ya kutolea mfano nabii Suleiman kumiliki majini ni sifa yake pekee nabii Suleiman aliyomuomba mwenyeezi mungu na katoa ushahidi mpaka Kwa mtume s a w kuhusu nabiii Suleiman ni kipaji chake pekee.sasa ulitaka ajibi nini ili umuelewe

    • @jumakhamis226
      @jumakhamis226 4 หลายเดือนก่อน

      😅😅Hawez kujibu kwasabb hana utaalam

    • @mkude
      @mkude 4 หลายเดือนก่อน

      @@jumakhamis226 mnamasikia lakini hamusikii mnamacho lakini hamuoni

    • @jamalijamali6820
      @jamalijamali6820 4 หลายเดือนก่อน

      We hebu jihishimu japo kidogo mbona huna Adabu weye

    • @abasmwika3432
      @abasmwika3432 4 หลายเดือนก่อน

      @@jumakhamis226 ana ruka ruka tu

  • @YusuphRashidi-b1j
    @YusuphRashidi-b1j 4 หลายเดือนก่อน

    (SASA hapa ndio elimu inapanda kwa uisilamu ulikua ubinafsi wa nabii suleimani tu aliwatumia kama jeshi ndio maana uisilamu unachezewa yeye suleimani alikuwa m'binafsi mungu hajahalamisha bali shetani anaamrisha maovu kama utaenda kinyume na qur'aan elimu halali ya kutumia majini na malaika bado haijapatikana sasa elimu ya kitu chochote ipo ktk qur'aan isha'allah elimu ya ghaibu inapanda kidogo kidogo

    • @mussamtupa
      @mussamtupa 4 หลายเดือนก่อน

      One hundred percent.kweli kabisa

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 4 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Sule yuajikoroga

  • @AbdallahMnyiwe-he2zu
    @AbdallahMnyiwe-he2zu 3 หลายเดือนก่อน

    Hujajibu bado

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 4 หลายเดือนก่อน

    Kwahio ,Doctor Sule anatumia mashetani ,wala sio majini ,Maana jinni ni viumbe na vya Allaah na hawaonekani,wakwake Doctor Sule madamu anawaona hao ni mashetani wa kujitengezea mwenyewe

  • @MialanoMoussa-dr5be
    @MialanoMoussa-dr5be 4 หลายเดือนก่อน

    hukmu ya kumtumiya jini nikama hukmu ya kumtumiya mwaadam

  • @husseinchaka1821
    @husseinchaka1821 4 หลายเดือนก่อน

    Kama wako wahuni wanaotumia majini wabaya katika uvumbuzi mbona wasiweko watu wema wanaotumia majini Kwa mambo mema wakati tunajua fika kwamba Allah kaumba kila kitu katika uwili.

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 4 หลายเดือนก่อน

    Watu wanafeli kupata pesa kwa njia ya halal wanakuja na story za majini kazikweli

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu bado ajui kitu mnamuuliza TU

    • @IbrahimSuleyman-j8n
      @IbrahimSuleyman-j8n 4 หลายเดือนก่อน

      We unajua Nini, hata kuchamba hujui

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t 4 หลายเดือนก่อน

      Anajua sana tu ila hatak kuwafungulia mlango huo man walo wengi sio wajuz wat watapotoka san .ndio man anakwepa kwenda huko.

  • @AbduSumwa
    @AbduSumwa 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo dini ya majini, pambaneni na majini yenu hayo.

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo jamaa anaedai hayo ni mganga wakienyeji na ni sio shekh matapei tu hao

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc 4 หลายเดือนก่อน

    Sule kapotea asitudanganye Sisi atutaki uchawa kwenye uislsmu wetu

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa nyunyi mnamsikiliza Mpuuzi Mmoja asojitambua,Yeye nu Mchawi mtu anajisifia wanawake wanamtongoza huyo unsmuona yuko sawa??!Msameheni kama mlivyo msamehe Harmonize asemalo halijui Nae amekuwa Mpenda KIKI ya Mitandaoni,

  • @silassaitoti7689
    @silassaitoti7689 4 หลายเดือนก่อน

    Bado kuna kitu kinafichwa hapo kama una uelewa vizuri😊

    • @mohamedsalat1066
      @mohamedsalat1066 4 หลายเดือนก่อน

      Kitu gani ndugu

    • @mohamedsalat1066
      @mohamedsalat1066 4 หลายเดือนก่อน

      Hamna kitu inafichwa kama iko niambiye saitoti

  • @ABDULSWAIBU-qu2vw
    @ABDULSWAIBU-qu2vw 4 หลายเดือนก่อน

    Ukwelidoktasuleamekosea anashindwanasisiwanafunzi hatakulhuwallahuahadu inatoshakutomshilikishamungunachochote kwelikilamtuangalienjiayake

  • @SadaMohammad-xd4qf
    @SadaMohammad-xd4qf 4 หลายเดือนก่อน

    Shekhe kazungumza vizuri ila bado hajajibu swali , swala la kutomjua jini kama ni wa heri au wa shari na hata binadamu wapo hivyo ndio maana watu wanasema usimdharau mtu usiemjua

    • @dhahiranassor71
      @dhahiranassor71 4 หลายเดือนก่อน

      Ndio maana kasema haifai

  • @drsaeedherbs
    @drsaeedherbs 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa mazungumzo yake ukiyatizama ndani nimtu ambae Hana elimu nahayo Mimi sitaki mjadala nawala nisitafutwe namtu

  • @IbrahimKadabla-h2e
    @IbrahimKadabla-h2e 4 หลายเดือนก่อน

    dr sule anadhalilisha uislam

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 4 หลายเดือนก่อน +1

      Haudhalilishi uislam bali anajidhalilisha mwenyewe na tumemjua yeye ni mshirikina

  • @HassanJabir-g2e
    @HassanJabir-g2e 4 หลายเดือนก่อน

    Dokta sule kweli anaelimu ila Kuna wakati ukimskiliza kama vile inamfanya ajione ni mtu flani

  • @MialanoMoussa-dr5be
    @MialanoMoussa-dr5be 4 หลายเดือนก่อน

    hoja sikwamba hawaonekani hiyo nielimu ambayo hauna njoo upige gotu tukupe elimu

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 4 หลายเดือนก่อน

    MI ATA SIELEWI

  • @MusaRamadhani-wj2dw
    @MusaRamadhani-wj2dw 4 หลายเดือนก่อน

    Sule anatafuta pesa huo ndio ukweli na pia kuongea mambo bila kua na elimu nayo

  • @mohammedabdulshakur8162
    @mohammedabdulshakur8162 4 หลายเดือนก่อน

    Swali liko hapa jinii mwema amekuelekeza njia nzuri na bin Adam akuelekeza njia nzuri kosa liko wapi? Ama Kwa sababu Mimi Ni bin Adam na yeye Ni jinni ? Kwani bin adamu haezi kukuekekeza Kwa mambo machafu? So yeye atakua sheitwan kiumbe ndio mbaya zaidi .. kinao Poteza MTU Ni hawaaa nafs Yale matamanio au hawaaa ndio ukafata but jinni yeye atakushawishi Kama vile bin adamu .. ndio siku ya hisabu yule iblis atakanusha .. atasema Kwani hamukuambiwa kuwa mm Ni mpotevu? Quran ishasema Kwa nn umenifata ? Sasa Iyo Ni hawaaa yako umeskiza mwenyewe..nafs amaaratu suu.. imaa hadainahu imaa shaakiran WA imaa kafuraaa.. ama Aya ingine yasema ..Alam najaalau aineen walisaana washafateein wahadeinahuu najdein . Sura ya laa uqsimu..

    • @YusuphRashidi-b1j
      @YusuphRashidi-b1j 4 หลายเดือนก่อน

      Maelekezo yapo ktk qur'aan na sunna sio ktk jini

    • @mohammedabdulshakur8162
      @mohammedabdulshakur8162 4 หลายเดือนก่อน

      @@YusuphRashidi-b1j ndio nimeyatoa Kwa Qur'an hayo

  • @ahamadially8351
    @ahamadially8351 4 หลายเดือนก่อน

    Tatizo watu wanahamaki vitu havina msingi kama yeye anatumia majini nyie si mumtumie mnachoamini? Maana kila mtu na hukumu yake

  • @AbdalahMtambuka-rh1dp
    @AbdalahMtambuka-rh1dp 4 หลายเดือนก่อน

    musi seme waislam wanaluusu majini tu ayo mambo yapo atamakanisan yapo makani yanaitwa kanisa lasheitwan Mombasa lipo pia wapo atawaklsto wentekutumia ayo mambo sijupeleki mbali nenda mbea nenda msumbiji kaio iyo nitabia zawashilikina tu sio waislam atawaklsto wapo tembeen Dunian muone

  • @isaackmlayy6228
    @isaackmlayy6228 4 หลายเดือนก่อน

    bado hamsema majini nindugu zenu kwa mujibu wa hicho kitabu chenu ndio maana waganga wengi ni maustaz😂😂😂

  • @chamyluna8030
    @chamyluna8030 4 หลายเดือนก่อน

    Unauliza swali wakati ushaanza kutoa majibu yako