MABEYO AONGEA KWA UCHUNGU, ATOA KAULI NZITO KWA RAIS SAMIA, "WANAHANGAIKIA AJIRA, WAMEKOSA MWELEKEO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 มิ.ย. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 229

  • @GeorgeNtauka
    @GeorgeNtauka 3 วันที่ผ่านมา +2

    Best is best ever ,be blessed mabeyo umesema facts sana na kiongozi imara mara zote daima.

  • @cefr.1gstat621
    @cefr.1gstat621 15 วันที่ผ่านมา +5

    Kweli yaani mtu kila siku unakuta unaenda kuangalia taarifa ya habari labda kuna ajira, unanunua bando kila siku upo mtandaoni labda kuna Updates za ajira ila wapi,God bless you 💪 Generali mstaafu Mabeyo

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 17 วันที่ผ่านมา +40

    Huwezi tengeneza ajiri huku ukibinafsisha na kukodisha na kuuza maliasili tulizo nazo......lasilimali ndizo huzalisha ajira nyingi....ziko wapi lasilimali zilizo mikononi mwa nchi na wazawa sasa....ni ndoto kufanya mageuzi ya kiuchumi na ajira kwa fikra za kukaribisha wawekezaji wakwapuaji

    • @eddynaeem6708
      @eddynaeem6708 15 วันที่ผ่านมา

      a hapo bado sijaona jipya

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 15 วันที่ผ่านมา

      kweli ila kama una miaka 40+ hauna haki ya kuhoji kitu hii nchi kwasababu umeshaona marais wote na kama hatuna pesa tutulie by Chalamila.

    • @salehothman6144
      @salehothman6144 14 วันที่ผ่านมา +1

      Akili yako bado haijapevuka au bado una umri mdogo hufahamu mtizamo wa ubinafsishaji!

    • @AbdulRahmanAliy-sr7gw
      @AbdulRahmanAliy-sr7gw 13 วันที่ผ่านมา

      Shida haipo apo kaka
      Niboresha mfumo wa elumu tu bc tukisha kua na uelewa mzur kila ktu tutaweza kukifanya kwa ubora

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 11 วันที่ผ่านมา

      @@salehothman6144 😢😢😢

  • @ThomasMcha-jk5yt
    @ThomasMcha-jk5yt 17 วันที่ผ่านมา +19

    Very Softly/Politely Spoken BUT The Message delivered is Very Strong!!...You can feel the Silence & Attention from the Audience.

    • @geey7893
      @geey7893 16 วันที่ผ่านมา +2

      Best Boy in Tanzania. General VSM

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 16 วันที่ผ่านมา

      He is not a boy he's a Man​@@geey7893

    • @jacobd.kasofu2204
      @jacobd.kasofu2204 15 วันที่ผ่านมา +1

      Abusolutely....This Man is A Gentleman❤❤❤

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mh. Mabeyo umestaafu umefanya kazi zako vizuri lkn ongea ukweli nchi sahiz iko ovyo hakuna chamageuzi wakati nchi inaizwa hiii

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 17 วันที่ผ่านมา +12

    Haya ndio maneno sasa

  • @obedmghase5238
    @obedmghase5238 16 วันที่ผ่านมา +2

    Yupo vizuri sana,Mungu azidi kukuoigania

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 16 วันที่ผ่านมา +5

    Mabeyo once again 💯

  • @agastokissatu2667
    @agastokissatu2667 15 วันที่ผ่านมา +7

    ........tunataka fomu mbili za uchaguzi ndani ya cCm ya afande na mama wa bandari

    • @David-if6nk
      @David-if6nk 7 วันที่ผ่านมา

      Afande atamgaragaza traveller hadi huruma. Matokeo yatakuwa kama ifwatavyo;
      Afande 98.9%
      Traveller 1.1%

  • @user-ig6pg6oz9i
    @user-ig6pg6oz9i 16 วันที่ผ่านมา +10

    Uko vizuri sana ungefaa kuwa raisi wa tz tungekua vizuri sana tugenenepa

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 14 วันที่ผ่านมา +1

      Hayo ni mawazo yako .

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 14 วันที่ผ่านมา +1

      Akili Huna wewe,kila anayeongea vizuri kwako anafaa kuwa rais

    • @hemed4064
      @hemed4064 12 วันที่ผ่านมา

      Nae akiwa rais mtamlaumu kuliko samia

  • @agastokissatu2667
    @agastokissatu2667 15 วันที่ผ่านมา

    .... well said bro afande

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 16 วันที่ผ่านมา +4

    Safi sana nchi yangu/yetu.Safi sana mhe Rais mama yangu/yetu.Hongera sana mkuu mstaafu(Mabeyo)Afande Mabeyo kwa speech nzuri.

    • @abdulhakeem959
      @abdulhakeem959 15 วันที่ผ่านมา

      Ni mama yako sio mama yetu.mm nina mama yangu anaitwa Mariath sio samia

    • @jogoomohamed2652
      @jogoomohamed2652 15 วันที่ผ่านมา +1

      Bro mi mama yangu,coz kanitangulia kuzaliwa napia kiongozi wa nchi yangu.So nampenda napia namuheshimu sana kwenye maisha yangu.

  • @EnockKisigo
    @EnockKisigo 4 วันที่ผ่านมา

    Mkuu wetu wa Chuo Mungu Akubariki Amen

  • @barakamusapolekidoti957
    @barakamusapolekidoti957 17 วันที่ผ่านมา +2

    💪

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu ibariki tanzania huwa naumia Sana inchi inakila kitu lakini watu wake wanaishi maisha magumu Sana

    • @gloryshayo9966
      @gloryshayo9966 14 วันที่ผ่านมา

      Yaani sijui mwisho wa haya mateso ni lini??

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 14 วันที่ผ่านมา

      Kafanye kazi,Acha kulalamika hutatoboa

    • @lucaschisamalo2852
      @lucaschisamalo2852 14 วันที่ผ่านมา

      @@walidmgonja3644 sawa mwenye Kazi

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 17 วันที่ผ่านมา +40

    Tamko zito kutoka kwa Generali Mstaafu Mabeho, "Tz ibadirike iendane na mabadiliko ya Kimataifa ya Dunia ya Kiuchumi, tusifanye kimazoea...". Kumbuka Generali Mabeho amenukuu mwanafalsa mwanajeshi wa Kichina, ambayo nchi yake (China) ndio inaongoza kwa sasa Kiuchumi Duniani. Hivyo Generali Mabeho anaishauri Tz (kupitia Rais Samia), kubadilika na kuachana na kukumbatia Mashirika ya fedha ya Kimagharibi ya IMF na WB.

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 17 วันที่ผ่านมา +2

      Ahh!! kumbe na G. Mabeyo naye ameongea

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 17 วันที่ผ่านมา +3

      Wenzie ndo wanapata ulaji humo, hiyo misaada na mikopo inakuwaga accounted for? Huyo cig huwa anakagua hiyo mikopo na misaada? Huko ndo raisi na mawaziri husika wanakula hela tena wanazipiga kweli kweli.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 17 วันที่ผ่านมา +1

      Wanataka kusikia kilichopo moyoni mwake

    • @mekajamtv9603
      @mekajamtv9603 16 วันที่ผ่านมา +1

      unahuakika na ulisemalo😮

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 16 วันที่ผ่านมา +1

      Mabeyo hana kitu kipya zaidi kumsifia Rais na kufurahiya nafasi aliyopewa. Mashirika gani anayosema yapo vizuri? Zaidi ya sasa wamepewa nafasi ya kuiba. CIG anasema mashirika fedha zinapotea hata shirika la ndege ambalo limenunuliwa ndege za kutosha ambazo zimekuwa za kupanda viongozi. Hawa viongozi walikuwa wazalendo wakati wa Magufuri kwa sababu ilikuwa lazima upewi nafasi. Sasa hivi kigezo ni kumsifu Rais na kumshauri vizuri. Kama tumasema hatuwezi hata kuendesha bandari tunawezaje kuendana na mabadiliko ya kidunia ambayo mabeyo anasema? Yanayotoka moyoni huitaji kuandika kwenye kalatasi mabeyo amepewa kalatasi asome ili watudanganye. Sio mabeyo yupo kwenye bodi au kamati ya kuamisha na kuandaa wamasai bandia kusema wamasai wamekubali kuamishwa wakati sio kweli? Maneno hayatudanganyi wakati matendo tunayaona.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 17 วันที่ผ่านมา +19

    Ameuza mali za Inchi ya Tanganyika mnasifu nini? Mnasifu ili muendelee kuwa wenye viti vya board. Acheni kutufanya watumwa wenu. Inchi hii ni yetu wote.

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 16 วันที่ผ่านมา +5

      Kunyamaza ni hekima, ukiona mtu analalamika saana ujue anakwepa majukumu yake, fanya kazi Kijana acha Malalamiko, Bakharesa amepewa hela na nani? Familia ya MO dewji wamepewa hela na Serikali? Acha hizo kuwa serious na maisha

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 16 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@ndukulusudikucho_we ni mpumbav kabisa, mnaturudisha kwenye utumwa

    • @jesusiscoming237
      @jesusiscoming237 16 วันที่ผ่านมา

      Duu

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 16 วันที่ผ่านมา

      ​@@ndukulusudikucho_kweli aisee😂😂😂❤❤❤

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 15 วันที่ผ่านมา +1

      @@ndukulusudikucho_ Unaongea usenge

  • @MasumbukoNgata
    @MasumbukoNgata 16 วันที่ผ่านมา +19

    Asante mabeo nyinyi ndo wazarendo awamu hii haitaki wazarendo

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 16 วันที่ผ่านมา +17

    Bandari zimeuzwa, misitu imeuzwa, unasema nini Gereli😢😢😢watu wananyanyaswa kwenye ardhi zao wanafukuzwa kwenye ardhi yao😥😥😥

    • @pembafresh6872
      @pembafresh6872 14 วันที่ผ่านมา

      Nyiebado hamjauzwa kwani,

    • @user-qr7et3vl5z
      @user-qr7et3vl5z 12 วันที่ผ่านมา

      Acha upinzani wewe hatukuelewi kabisaa

    • @dilludillu2747
      @dilludillu2747 12 วันที่ผ่านมา

      Wauze tu

  • @simonphabiano9050
    @simonphabiano9050 15 วันที่ผ่านมา +2

    He speaks like Philip Mpango

  • @halimakhalid134
    @halimakhalid134 4 วันที่ผ่านมา

    Wanakua howi kweli wasaidie mkuu nimefulahi kuona umepewa nafas mkuu wetu good you

  • @joelgabrieljuma1906
    @joelgabrieljuma1906 16 วันที่ผ่านมา

    Point muhimu

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu akutunze baba padre, Amen sana.

  • @frankalfredy4991
    @frankalfredy4991 16 วันที่ผ่านมา

    Great

  • @daudibukwimba4226
    @daudibukwimba4226 16 วันที่ผ่านมา

    Plan is key to success

  • @kakamau0384
    @kakamau0384 3 วันที่ผ่านมา

    Kuna mda kwa uchache wa akili yangu ninahisi kama UZARENDO upo JESHINI je ni mimi tu au hata nyinyi wenzangu???? Maana huyu jamaa anaongea point lkn kwa upole na utii wa hali ya juu

  • @MPOYOLAFILMS
    @MPOYOLAFILMS 14 วันที่ผ่านมา

    I love you my father...

  • @stanmasnon5152
    @stanmasnon5152 16 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa maneno mazuri mheshimiwa maana kauli MBIU ya kupata ajira wasema nasafi za kazi vigezo uwe na uzoefu wa miaka mitatu sasa vijana wamesomea kazi husika badala ya kupewa nafasi wanaambiwa uzoefu miaka mitatu je uzoefu huo unapatikana wapi

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akupe maisha marefu Mabeyo🎉🎉🎉🎉

  • @MtamboMovies
    @MtamboMovies 15 วันที่ผ่านมา

    Movie mpya

  • @Mpapyrizy
    @Mpapyrizy 16 วันที่ผ่านมา +1

    👀

  • @josiahlwakatare3701
    @josiahlwakatare3701 17 วันที่ผ่านมา +1

    na mleta roboti😂😂

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue 17 วันที่ผ่านมา +12

    Na tatizo la watu wengi hawataki kustafu wanangangania madalaka wao vijana hawatapata ajira kamwe

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 16 วันที่ผ่านมา +2

      Wewe kwa mtazamo wako, wazee gani waondoke, na vijana gani ambao wewe unaona wana faa kuchukua hizo nafasi unazozisema? Baada ya kulaumu toa Ushauri.

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 15 วันที่ผ่านมา

    Asante mzee mimi sikusoma sana lakini nimekuelewa sanaaa,

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 17 วันที่ผ่านมา +3

    Tanzaniaaaa korongoniiiii

  • @HappyMsuya-og7ok
    @HappyMsuya-og7ok 14 วันที่ผ่านมา

    Mmm tunamwitaji Mungu

  • @deohaule8161
    @deohaule8161 17 วันที่ผ่านมา +3

    Mkutano wa gawio, je nikiasi gani kina gharimu serikali na wananchi kuandaa mikutano kama hii? Na matokeo yake kunyima maendeleo kwa watanzania walio wengi

  • @MarksevenTz
    @MarksevenTz 13 วันที่ผ่านมา

    Points mbili MUHIMU
    1. Ajira
    2. Namna ya kupata wajumbe wa Bodi
    Lakini MHUSIKA hajaelewa japo Amejitahidi kupiga makofi

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 15 วันที่ผ่านมา

    Hapo kazi ni kusifiana tu hakuna laziada

  • @temekepamoja2757
    @temekepamoja2757 17 วันที่ผ่านมา

    Wezo ao

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 16 วันที่ผ่านมา +1

    Tukutane 2025 ,,hii nchi inahitaji mabadiriko

  • @modrikabdallah
    @modrikabdallah 14 วันที่ผ่านมา +1

    MMi ni mzalendo wa tanzania kutoka Tanga tanzania 2sije tukaungana na NATO wala kufanya biashara yeyote ile maana wzungu wanatunyonyasan wa africa sana Haswa haoo wmarecani na Engeland 2sikubali watutawale kivyovyote vile 2kiamua Tanzania 2naweza ASANTE, 8:56 iv

  • @williamkavuta8066
    @williamkavuta8066 15 วันที่ผ่านมา +2

    Yan ivi hawez kugombea urais....hawa ndo u magufuli....tumekatishwa...tunataka mtu atakaendeleza ideas za Magu. Ila Mama anajitahid sana ku balance maendeleo na democrasia

    • @David-if6nk
      @David-if6nk 7 วันที่ผ่านมา

      Mama ni wa hovyo sana

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 15 วันที่ผ่านมา

    Pamoja na kujiamini lakini umejaliwa unyenyevu nakupendaga sana mkuu venance mungu akutunze na ikimpendeza natamani siku mona uwe rais wa Tanzania 🙏🙏

  • @user-sr4ig4sl8y
    @user-sr4ig4sl8y 17 วันที่ผ่านมา +15

    Mzee ushauri wako nizuri sana tuige kwa kaka wa bukinafaso sisi ni matajir tupambanie nchibyetu

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 17 วันที่ผ่านมา +6

    Ndugai Mungu akubariki popote ulipo, Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa.

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 17 วันที่ผ่านมา

      Kampe na mkundu

    • @emanuelleopod3949
      @emanuelleopod3949 16 วันที่ผ่านมา

      ​@@Mumewangu ukimpa wewe inatosha

    • @user-sl1ko9me7u
      @user-sl1ko9me7u 16 วันที่ผ่านมา

      AIBU NA FEDHEHA KUTOA MATUSI...MDOMO MCHAFU!

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 16 วันที่ผ่านมา

      @@emanuelleopod3949 wewe ndie shoga manake unampenda mwanaume mwenzako na kumsifia

  • @user-uo9kk7kn9z
    @user-uo9kk7kn9z 16 วันที่ผ่านมา +2

    Bukina Faso ndo ina uongozii Bora majeshii ndo Kila kitu

    • @user-jn2qj5wf6c
      @user-jn2qj5wf6c 16 วันที่ผ่านมา +2

      Idd Amin hakuwa mwanajesh Nkurunzinza hakuwa mwanajesh Kabira hakuwa mwanajesh Mzee kikwete hakuwa mwanajesh Mzee mseven sio mwanajesh hacha kukalili

    • @David-if6nk
      @David-if6nk 7 วันที่ผ่านมา

      Ni bora wajeshi kuliko hawa raia wapuuzipuuzi

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 16 วันที่ผ่านมา +1

    Dar ni karibu na Zanzibar, heheeee, Dodoma oyeeeee, DP World oyeeeee, musukuma oyeeeee!

  • @sawegasper9670
    @sawegasper9670 16 วันที่ผ่านมา

    “Natumaini umeelewa vyema”😂

  • @amonimbalya2779
    @amonimbalya2779 12 วันที่ผ่านมา

    Mabeyo hoyeeeeeeee

  • @susanndanshau1185
    @susanndanshau1185 15 วันที่ผ่านมา

    Hapo muhusika hata hajakuelewa. Woiiiiii😢😢😢

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ferry Tu pale kigamboni serikali pana pesa nyingi panahitaji utendaji thabiti

  • @RubenGodfrey-mf6hk
    @RubenGodfrey-mf6hk 7 วันที่ผ่านมา

    Mama alimstaafisha kijanja maana anajua huyu ni mzalendo hataki makando kando

  • @MaridadiRashidilikwesoLikweso
    @MaridadiRashidilikwesoLikweso 9 วันที่ผ่านมา

    nchi ya ahadi 😭😭📞💔
    duuh

  • @Antelius-ew6it
    @Antelius-ew6it 16 วันที่ผ่านมา

    Hii inachekesha sana

  • @user-qi5ii4pq5m
    @user-qi5ii4pq5m 14 วันที่ผ่านมา

    Hakika , vijana wengi tushapotea , hatuoni umuhimu wa elimu ,zaidi ya maumivu tu ya kusota na makaratasi ya vyeti😢🇹🇿🙌

  • @BoniphasLukas
    @BoniphasLukas 15 วันที่ผ่านมา

    Duh!yan mung tusaidie umechkua wazalendo umetuachia majambazi yanauza nchi kwafaida zao wenyew

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 16 วันที่ผ่านมา

    Peter alitoka jela kwa kuhujumu uchumi akapewa board member Reli mpya, hiyo inakuwaje. Nchi imeoza

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 17 วันที่ผ่านมา +1

    Jiji la biashara.

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 17 วันที่ผ่านมา +2

    Nakusifu ndugu Mabeyo kwa kuwa mkweli ingawa umekuwa too polite katika risala yako. Ungekuwa more direct kusudi Raisi apate picha kamili na mazito uliyoyasema. Raisi kazi hikes na watu wengi ambao hawapo serious na maisha ya Watanzania. Hawajaisoma dunia ni wapi inaelekea na nini au vipi tutumie raslimali zetu kuboresha maisha ya watanzania. Raisi umetukosea sana kuwapa mataifa ya nje raslimali zetu kuu na wazichukue burebure kwao na wakazichakate huko. Ungepigilia msumari tujenge viwanda Tanganyika, tuongeze thamani ya maligafi yetu badala ya kuwaruhusu wakachakate kwao na kukosesha Watanganyika wengi ajira nchini hasa vijana wa Somali a kazi. Kuwafukuza Wamasai na kupora ardhi na mifugo yao na kuwaruhusu wageni kuchukua ardhi zetu na kuwekeza huko. Hızı na haya maeneo ambayo ni Prime nchini kiuchumi ni makosa makubwa sana sana bila hata kuwahusisha wamasai ambao ndizo ardhi zao ni ki yüme cha sheria kikatiba ya nchi yetu na ningeshauri zirudishwe kwa Wamasai. Tumetoa raslimali kuu zote na bado hatuna dola na hii haieleweki hata kidogo.
    Mungu ibariki Tanzania. Wabariki viongozi wetu wakuu na kuheshimu madaraka yao na kufanya maamuzi magumu wakimtumainia Mungu kwa manufaa ya watanzania kwanza kabla ya mtu meingine yeyote. Mungu wabariki watanzania , uwalinde na kuwaongoza vyema.
    Amina.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 15 วันที่ผ่านมา

    Na hilo gaiwo ni kwa kila mtanzaniaa au ni kwe nyinyi wenyewe wenye nnchi.

  • @Sakina-pr3ly
    @Sakina-pr3ly 13 วันที่ผ่านมา

    Sana mwamba umeupiga mwinga umewambiliapo

  • @Kelvinjoseph-jz7kq
    @Kelvinjoseph-jz7kq 16 วันที่ผ่านมา +1

    Kilichobaki rubani apoteze ndeg2 muishie,,,Kam wenzen wak kenya,malaw,iran,,,,

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 16 วันที่ผ่านมา +1

    Chistine.Rais kaiza nini lete ushahidi hapa acha maneno yasio na utafiti.Tofautisha kuuza na kiwwkeza

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 14 วันที่ผ่านมา

      We una faidka ndio mana walewalee

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 16 วันที่ผ่านมา +1

    Vijana wengi hawana ajira, wengi wao hasa wa kiume wamekuwa walevi na watumiaji wa madawa ya kulevya na wa kike wamekuwa wakitumia miili yao kwa njia ambazo siyo sahihi kujiingizia kipato. Tutafakari kwa kina kesho ya taifa letu na vijana hao.

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mabeo ni muhujumu wa jeshi hakupandisha wanajeshi vyoo na alikuwa anapendelea jamaa zake tu tunamkumbuka Gen Mwamnyange

    • @user-jn2qj5wf6c
      @user-jn2qj5wf6c 16 วันที่ผ่านมา

      Wew ni mwanajesh? Na je kama ndio kwa nn ukwenda kamat za jesh kulalamika? Kama sio unalalamikia vip vyeo vya jesh na wewe ukiwa na shughr nyingne??

    • @emanuelleopod3949
      @emanuelleopod3949 16 วันที่ผ่านมา

      Apandishe Vyoo gani tena ndugu

    • @user-jn2qj5wf6c
      @user-jn2qj5wf6c 16 วันที่ผ่านมา

      @@emanuelleopod3949 soma vizur utaona niliye mjibu Mzee

  • @mejjalomayan9792
    @mejjalomayan9792 16 วันที่ผ่านมา

    Uzeni hii nchi yote mrizike washenzi

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 16 วันที่ผ่านมา

    Ubinafsishaji wa rasilimali za nchi ni tatizo Moja kubwa kwasababu Rushwa ndio huchukua mkondo hapo, Mzee mkapa alijaribu kufanya hivyo na kwenye kitabu cha maisha yake alichokiandika alikiri alifanya makosa makubwa kuruhusu ubinafsishaji, huwezi ruhusu kubinafsisha na hakuna taasisi huru kukagua aina huo wa uwekezaji kama una tija kwa taifa letu. Wananchi wa ngorongoro wamegeuzwa kuwa watumwa ndani ya nchi Yao kwasababu ya biashara ya cabon credit

  • @emmanuellangoi5654
    @emmanuellangoi5654 15 วันที่ผ่านมา

    Anastahili kuwa Rais

  • @mosesgodfrey4143
    @mosesgodfrey4143 16 วันที่ผ่านมา

    5:35

  • @Mr_king_st
    @Mr_king_st 15 วันที่ผ่านมา

    Naona kama majaliwa anapotea taratibu

  • @ms123ru
    @ms123ru 14 วันที่ผ่านมา

    Unemployment aisee ni kitu kidg alf mataifa yote yenye migogoro chanzo ni iko ndio maana marekani ina vitengo vingii sana vya jeshi ili wengi wenye elimu ya kawaida waendee kujiungaa jeshi. Na kupunguza hatri kubwa uasi kwenye nchi

  • @user-ig6pg6oz9i
    @user-ig6pg6oz9i 16 วันที่ผ่านมา

    Wamesikiliza sikio la kulia yametokea sikio la kushoto basi tenaàa ng'oo

  • @agastokissatu2667
    @agastokissatu2667 15 วันที่ผ่านมา

    ........cdf(Chief of defense forces)the former one,sijuwi kama huyoo mama amekuelewa

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 11 วันที่ผ่านมา

    Vijan upep umegeuk saiv mpo na mabeyoo😂😂😂😂 kisa kagusia ajira za vijan

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 17 วันที่ผ่านมา +2

    maneno kuntu

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 17 วันที่ผ่านมา +3

    Uaminifu hapa haupo bali uchawa tu ili wachaguliwe kuwa kwenye board ili waweze kuwasifu mbona hujatueleza mafanikio yo yote ya hayo mashirika?

  • @juvenalismnali1901
    @juvenalismnali1901 16 วันที่ผ่านมา +2

    Na tanesco nao watafutiwe washindani kibiashara Ili serikali ipate Kodi.

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 14 วันที่ผ่านมา

    Wana nchi tuna taka katiba mpya

  • @gosbertireneus5558
    @gosbertireneus5558 17 วันที่ผ่านมา +2

    huyo madam ndo kachukua nafasi ya zuhura yunus??

    • @hashimshaban1921
      @hashimshaban1921 15 วันที่ผ่านมา

      Zuhura yunus haonekani

    • @hashimshaban1921
      @hashimshaban1921 15 วันที่ผ่านมา

      Haonekani kwenye tukio kubwa Kama hili

  • @SamwelMbeye
    @SamwelMbeye 15 วันที่ผ่านมา

    Hamna jipya,uyo ndo katufikisha uku

  • @patrickmtunguja3201
    @patrickmtunguja3201 17 วันที่ผ่านมา +2

    Nchi masikini kutokufanya biashara eti zitegemee kodi tu kuendesha nchi ni natural fault! Tax bases za nchi zilizoendelea zinatosha lakini zetu hazitoshi kabisa hivyo lazima kukopa na kuumiza wananchi kwa kodi kubwa. Serikali iache uvivu iwekeze kwenye management and administration ya makampuni yake ifanye biashara na itakua tajiri.

  • @user-lr7em1ch8g
    @user-lr7em1ch8g 12 วันที่ผ่านมา

    Tatizo wageni wameshika nafasi za vijana wetu wapo kibao mishahara yao mikubwa akiajiriwa mtanzania anapewa mishahara mdogo 😢😢😢 nenda kwenye makampuni uone wageni walivyo wengi wakija wanasimama nyuma ya fundi wakishajua wanakuwa ndio mafundi wakuu

  • @athanasiusnjita227
    @athanasiusnjita227 17 วันที่ผ่านมา +1

    hakika umeonesha jinsi jeshi lilivo na ukomavu kutokana na hotuba yako nzuri na yenye mashiko kwa taifa letu ishi kwingi mzee

    • @user-jn2qj5wf6c
      @user-jn2qj5wf6c 16 วันที่ผ่านมา

      Uho ni uchawa na kujipendekeza Mama Yako anashona vilaka unasifia mambo yasiyo kuwepo

  • @temekepamoja2757
    @temekepamoja2757 17 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu ndio kauza nchi......

  • @user-mo7qq8rm8j
    @user-mo7qq8rm8j 16 วันที่ผ่านมา

    Tz yetu inaangukia shimoni jamani

  • @williamboniphace5887
    @williamboniphace5887 16 วันที่ผ่านมา +1

    Wanajeshi sku zote wamenyooka sana
    Hawataki uchawa chawa🙏🙏

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 14 วันที่ผ่านมา

    Mkuu kwani kuchua nchi unashindwa nini nyumba baba mama moyo akae nyumbani alee watoto kalia kiti mkuuu

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 16 วันที่ผ่านมา

    Mama hongera sanaaaaa

  • @user-ls1es8sd1s
    @user-ls1es8sd1s 16 วันที่ผ่านมา

    UTumwa kitu kibaya Sana watu wenye Uzalendo waku Ripi ganiA hiri Taifa Awa Takiwi Apo mna sapo kila kitu Bira kujuA mna sapoti matatizo

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 17 วันที่ผ่านมา +2

    Viatu vya Ibrahim ni vikubwa mno.

  • @kedricksiame6167
    @kedricksiame6167 15 วันที่ผ่านมา

    Chamsingi na mhim nikwamba hizi Ajila ina takiwa mtu akistafu akae nyumbani siyo kuteuliwa tena ale pesheni hizo na fasi wachukue wengine mnabadilishana tu vyeo pekeenu

  • @GeofreyMwandanji-ot2lf
    @GeofreyMwandanji-ot2lf 17 วันที่ผ่านมา +2

    Akuna uzalendo hiichii tunaleteana muvi tuu😅

  • @richardalex7296
    @richardalex7296 16 วันที่ผ่านมา

    Yaan viongozi wa bongo mwamba anatospeech wanajikuta wanajua kunote kumbe unafikii hamna ata kinachoandikwa!

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 15 วันที่ผ่านมา

    Matapishi matupu

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 14 วันที่ผ่านมา

    Mama Samia sio kila mtu anaweza kuwa mkurugenzi wa ikulu hiyo nafasi muhimu mno angalia huyo mtoto anavyojikanyaja hapo ovyo kabisa unajaza teuzi zako zingine HAZIELEWEKI kabisa

  • @DavidMMKing
    @DavidMMKing 15 วันที่ผ่านมา

    Mabwege ndio wanafurahia huu upuuzi, wananchi wako hoi afu kazi kusifiana tu upuuzi kabisa. Mkiambiwa nchi imeuzwa bado vichwa vigumu. Watanzania wengi yaani mmelala sana. Mkipakwa mafuta kwa nyuma ya chupa tayari msharizika mpaka muibiwe ndio muelewe yaani serikali inaruhusu makodi kibao tena ya wizi tu afu mnafurahia!!!

  • @kichenjekichenje2072
    @kichenjekichenje2072 17 วันที่ผ่านมา +6

    Hata wale tuliowaamini wametugeuka, kweli hii ndio Tanzania.Eti wako bega kwa bega na wewe!Wakina nani hao!?

    • @AbdulRahmanAliy-sr7gw
      @AbdulRahmanAliy-sr7gw 17 วันที่ผ่านมา

      Msaliti ni Nani ?

    • @hassangasaba4565
      @hassangasaba4565 17 วันที่ผ่านมา +1

      Huwa wanalewa madaraka,ukimpa nchi atageuka kama kinyonga.

    • @emanuelleopod3949
      @emanuelleopod3949 16 วันที่ผ่านมา

      Kibaya zaidi mtu badala asemee nafsi yake yeye anajumuisha watu wote

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 16 วันที่ผ่านมา +1

    Acheni kuwafanya watanganyika wanaipenda nchi yao hawajui mnachokifanya kazi kusifiana
    Mbona hataki kubadilisha katiba?
    Jamani nyie viongozi kuanzia rais hayo matumbo yenu hayashibi?
    Kwa nini mnawatesa watanaganyika
    Tunaomba Mungu aingilie kati na mkutane na nguvu Za Mungu ndiyo mtambue maovu yenu mnayoyafanya mtayalipa hapa hapa duniani
    Shame on you

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 15 วันที่ผ่านมา

    Haya majitu ndo yanatakiwa yawe marais