Hongera Dr.Bashiru kwa mchango wako mzuri kwa Taifa, wewe ni hazina iliyojificha! Inayonyimwa nafasi katika Taifa hili kwa sasa, ila ipo siku Mungu atakupatia kibali tena! Wahuni mafisadi wamekunyima nafasi ila Mungu anakuandalia nafasi nyingine siku za usoni! Asante.
Umeongea vzr sana Dkt Bashiru, kwakweli hapo kwenye kupanda vyeo ni mtihani inakatisha tamaa... Utumishi waangalie tuweze kuwa wa kimataifa... kuandika machapisho ni kazi kubwa sana tupewe motisha
Ukiritimba tu unasumbua ,wangewezesha vyuo vikuu kujiendesha ,kisha serikali ikatenga asilimia ya fungu I support stahiki za raslimali watu ikiwepo kugharmia publications nk zitatolewa kwa wakati mambo yangekua poa sana ,
Dr Bashiru Ally Kakurwa, -he is genius real, kikundi cha wahuni hawampendi si sababu is a bad person he is smart and intelligent I pray to the almighty God, individuals like Bashiru to take a tenure one day.
Haloooo....Bashiru, Polepole , Majaliwa, Ukichombeza na Bwana Ndugai, uje uweke vijana kina Mtatiro, Msando, Tulia, Msukuma, Boteko, KABUDI, LEMA NA MAKONDA😂😂😂😂😂😂😂Nchi itakwenda mwendo wa FERARI V12 Miaka 5 Twaweza ongoza EAST AFRICA kwa Maendeleo na Tutaishi kama Wafalme, NI MAONI YANGU TUU❤❤❤❤
Jamani sisi ni binadamu. Tuna madhaifu na tunakosea. Huyu Dr. Ni Hazina, Mama Samia akunjue roho kibinadamu hata kama kuna alichowakosea, ampe Wizara ya Elimu huyu Baba. Atamsaidia mpk atamwekea historia katika maisha yake ya uongozi. Aaache kubeba hiyo mizigo ambayo inemchomesha Kwa wananchi. This guy is an Important asset in this country.
@@ingozescopion Wala Haijalishi Nadhani ukishakua Mbunge una haki ya kuwa Waziri bila kujali umeteuliwa au umepigiwa kura. Kabudi amekuwa Waziri kipnd Cha Magu akiwa Mbunge wa kuteuliwa, Ummy Mwalmu, Angela Kairuki. Na manaibu Waziri kibaoo
@@senziashwaibu3219 Watu kama Dr Bashiru watafaa zaidi kwenye mifumo mizuri inayozingatia uwezo au weledi badala ya kuzingatia uchawa,kujipendeleza kama njia kuu ya mtu kupewa nafasi ya kuongoza
Mimi ni Mtanzania ninayejielewa kuhusu nchi yangu ya Tanzania. Tokea Bashiru anaanza hoja yake mimi nimemuelewa kabisa.Uchungu wa kuipeleka mbele nchi anayo kutoka moyoni mwake.Huyu ni Mtanzania haswa wala haupepesi macho. Ameongea maneno machache lakini ameongea maneno makubwa sana ambayo siyo tu ya kielimu. Kwa jinsi ninavyoipenda nchi yangu ya Tanzania natamani watu wa aina yake waiongoze nchi yetu. Eee Menyenzi Mungu upo unaona mioyo ya viongozi wetu.Nakuomba utupe kiongozi yeye Bashiru au wenye kuipenda Tanzania kama yeye.Amen!
Bashiru Kaka wew ni mkweli daima wew nikiongozi mkubwa mh Magufuli alikuona mapema alikuwa anakuandaa lkn haya ni maisha tu tutafika siku moja utakuwa kiongozi imara zaidi
Mmmh, tupe mkakati wako uliokuwa umeuandaa wakati ukiwa Mkuu wa Utumishi kuhusu kuwapandisha vyeo watumishi waliokuwa hawajapandishwa/badilishwa vyeo baada ya kupata sifa kwa muda wa miaka 6 ya kuanzia 2016-21?
Hongereni sana Wabunge wetu kwa mjadala wa kuboresha elimu yetu hasa Vyuo vikuu. Naomba msifumbie macho tabia ya Wahadhiri kusumbua watoto wetu na hasa wakike kwenye swala la mapenzi japo kuna kisingizio kwamba wanaosoma chuo kikuu ni watu wazima.
Mko kwenye ajira mnajitetea wenyewe wanaohitimu ambao hawana b wala che hamnampango nao hii nchi kweli amakweli mwenye nacho huongezewa ambae hana hata kile alicho nacho hunyangany
Ulifeli sana Dr.Bashiru,wewe ni kinyonga,no one can trust you any more,kabla ya kuteuliwa katibu wa ccm,ulikuwa mwingine baada ya kuteuliwa ukawa mwingine,ukishakuwa kigeu geu ktk maisha hufai tena,fanya umalize muda wako ukatulie tu,huna sifa tena mwanzo ukiwa chuo nilikukubali leo hapana.
Ndio maana ndugu zangu mkiambiwa mtu anaitwa Dr ndio watu kama hao wenye elimu na uwezo, sio mtu anaitwa doctor hata vyeti vya ufundi veta hana alafu anaitwa Doctor!!!!!! Duuuh aibuu hiyooooo
Huyu jamaa alikuwa smart kipindi yuko Udsm akichambua mada kwnye media tatizo ni kipindi kawekwa kileleni na kupewa mrija wake wa asali y taifa wakati wa Mpenda utukufu na misifa,busara ubongo alivihifadhi tumboni akageuka gafla mtu wa kejeli na mropokaji nguri kama bosi wake ,Ni mnufaika na ameonja utamu wa serikali ya kibabe na ndo maana kataja adi mfano wa madikiteta waliosoma Uds kama m7 na mtetezi wa wanyonge kana kwamba ni sifa mojawapo nzuri Udsm.huyu mwamba ni sehemu ya wasomi wetu nchini wa majalalani.
😂😂 KUMBE Mtu aliyekaa madarakani miaka 05 tu akaiwezesha nchi kuwa na ndege zake, kuwa na makao makuu yake halisi badala ya makao makuu ya maneno, kuwa na chanzo cha umeme madhubuti na cha kudumu, kuwa na Reli ya kisasa, kuwa na huduma nzuri za kijamii huyo ni MPENDA SIFA? Basi kama ni mpenda sifa alikuwa sahihi. Je wewe MPENDA KASHFA na wenzako mmelitendea nini Taifa hili? Nchi yetu imetawaliwa na Marais 4 Kabla ya JPM? Kama 03 wangekuwa WAPENDA SIFA za hivi tungekuwa hapa? Rais wetu mama yetu naomba uwe MPENDA SIFA ZAIDI YA NYERERE NA JPM Kwani WAPENDA SIFA NDIYO WALIOACHA ALAMA ZENYE TIJA KATIKA TAIFA HILI.
Kivipi wewe unalala unaamka saa nne mwenzio kaamka 11 mfanane kimaisha tafuta pesa acha kulalamika lalamika wakati wa magu mlikuwa mnasema hapa kazi fanya kazi magu si mjomba wako😅😅😅
Wenye akili nyingi wakiongea husikii minong'ono yyt kutoka kwa ilimradi liende, hapo ndipo unaona maana halisi ya uchakachuaji wa matokeo na kupitisha wawakilishi wanaoomba kikao kiishe wakale chips kwa bar ya jirani, na hapo ndipo kura zao za ndio zinapoumiza taifa, makala zao utasikia .... kalifurahisha au kalichekesha bunge. Sijui ni elimu ya wapiga kura bado haijafika vizuri kwa wananchi duni na wasioweza kung'amua vema viongozi wa kuwaongoza! Maana ma-Pweza huwa wanafanya hila nyingi ilimradi washinde wakasinzie na kupiga makerere bungeni na miongozo yenye nia ya kuficha uozo wa wanao wakumbatia ili waendelee kula bata. Akili kubwa ikiongea, husikii minong'ono wala kicheko...maana huwa hawana hoja zaidi ya kuchekesha.
hayo ndo matatizo ya watanzania sasa mgufuri kaingiaje hapa sikiliza point na kila maelezo au points kuna wakati maalum na mazingira yake sasa hoja ya kwanini hakumshauri magufuli ni shida hiyo watanzania tujitambue
Dr bashiru naunga hoja hapo kwenye swala la vigezo na kupewa unacho stahili nitatizo kubwa sana kwenye inchi yetu na linakatisha tamaa sana yani jambo linawezekana kufanyika ndani ya dakika tano linafanyika siku tano hadi mwenye jambo lake anakata tamaa na kuanzisha jambo lingine
waallaah kwa uongozi wa mm samia masikini hawa wezi kuvuka kwasababu wasaidizi wake wengi sio wazelendo wana wapiga sana wana nchi na akitokea mtu wa kuwatetea wanaenda kumlisha matango bori raisi anamtoa kwenye hicho kitengo na yy baado hajaguduwa wasaidizi waraisi wengi ni mabom ya yukilia
Hongera Dr.Bashiru kwa mchango wako mzuri kwa Taifa, wewe ni hazina iliyojificha! Inayonyimwa nafasi katika Taifa hili kwa sasa, ila ipo siku Mungu atakupatia kibali tena! Wahuni mafisadi wamekunyima nafasi ila Mungu anakuandalia nafasi nyingine siku za usoni! Asante.
Hongera sana Mhe Bashiru M mungu akulinde na azidi kukupa afya njema na subrah ktk maisha yako yote ya hapa Duniani
🙏🏾
Mungu akubariki sana Dr Bashiru na akulinde umeongea vitu mhimu sana 🤝💪🏻💪🏻🎉🎉🎉❤❤❤
Hongera Mh.kwa uchambuzi huru na mzuri kwa maboresho endelevu,Salute kwako baba
Mungu akutunze Dk. Bashiru! Muda utaongea!
Jembe kabisaa mr president BASHIRU ALLY KAKULWA
Umeongea vzr sana Dkt Bashiru, kwakweli hapo kwenye kupanda vyeo ni mtihani inakatisha tamaa... Utumishi waangalie tuweze kuwa wa kimataifa... kuandika machapisho ni kazi kubwa sana tupewe motisha
Ukiritimba tu unasumbua ,wangewezesha vyuo vikuu kujiendesha ,kisha serikali ikatenga asilimia ya fungu I support stahiki za raslimali watu ikiwepo kugharmia publications nk zitatolewa kwa wakati mambo yangekua poa sana ,
Hongera sana Mh. Bashiru. Tunakuelewa, God bless you
Kuna wote wamezaliwa kuwa viongozi ukiwasikiliza tu maneno yamenyoka,salute na heshima kwako Dr.Bashir Ally kakurwa
Akika anahoja za msingii Sana ,salute kwako
Dr Bashiru Ally Kakurwa, -he is genius real, kikundi cha wahuni hawampendi si sababu is a bad person he is smart and intelligent
I pray to the almighty God, individuals like Bashiru to take a tenure one day.
Haloooo....Bashiru, Polepole , Majaliwa, Ukichombeza na Bwana Ndugai, uje uweke vijana kina Mtatiro, Msando, Tulia, Msukuma, Boteko, KABUDI, LEMA NA MAKONDA😂😂😂😂😂😂😂Nchi itakwenda mwendo wa FERARI V12 Miaka 5 Twaweza ongoza EAST AFRICA kwa Maendeleo na Tutaishi kama Wafalme, NI MAONI YANGU TUU❤❤❤❤
@@bobjulieoneheartband
Mmmm kwenye Lima kuna ukakasi bado
@@bobjulieoneheartbandUmeongea ukweli bila kuangalia chama Wala nini, Yani umeangalia uongozi, ueweledi, na ufanisi. Ila hapa umemsahau Mh. Mpina
Hongera Dr KAKULWA
Jamani sisi ni binadamu. Tuna madhaifu na tunakosea. Huyu Dr. Ni Hazina, Mama Samia akunjue roho kibinadamu hata kama kuna alichowakosea, ampe Wizara ya Elimu huyu Baba. Atamsaidia mpk atamwekea historia katika maisha yake ya uongozi. Aaache kubeba hiyo mizigo ambayo inemchomesha Kwa wananchi. This guy is an Important asset in this country.
Huyu anafaa kuwa waziri wa wizara tatzo yeye cyo Mbunge wa Jimbo ni wakuteuliwa
@@ingozescopion Wala Haijalishi Nadhani ukishakua Mbunge una haki ya kuwa Waziri bila kujali umeteuliwa au umepigiwa kura. Kabudi amekuwa Waziri kipnd Cha Magu akiwa Mbunge wa kuteuliwa, Ummy Mwalmu, Angela Kairuki. Na manaibu Waziri kibaoo
Sometimes kuongea ni rahisi kuliko kutenda
@@dassustephen731huyu ni mtendaji mzuri sema tu nafasi ndo hapewi
@@senziashwaibu3219 Watu kama Dr Bashiru watafaa zaidi kwenye mifumo mizuri inayozingatia uwezo au weledi badala ya kuzingatia uchawa,kujipendeleza kama njia kuu ya mtu kupewa nafasi ya kuongoza
Well said brother..you reall said truth..ndio maana wangine wanaamua kufanya biashara..ila kusoma UDSM nishida sana..kuwa professor ni kitu kigum sana
Mungu akusaidie Bashiru Aly hakika tumekukumbuka sana
Inapendeza Sanaa MASHAALLAH
Hata ukifichwa haufichiki mzee Bashiru
Kafichwa na nani mbona yupo huru
Mimi ni Mtanzania ninayejielewa kuhusu nchi yangu ya Tanzania.
Tokea Bashiru anaanza hoja yake mimi nimemuelewa kabisa.Uchungu wa kuipeleka mbele nchi anayo kutoka moyoni mwake.Huyu ni Mtanzania haswa wala haupepesi macho.
Ameongea maneno machache lakini ameongea maneno makubwa sana ambayo siyo tu ya kielimu.
Kwa jinsi ninavyoipenda nchi yangu ya Tanzania natamani watu wa aina yake waiongoze nchi yetu.
Eee Menyenzi Mungu upo unaona mioyo ya viongozi wetu.Nakuomba utupe kiongozi yeye Bashiru au wenye kuipenda Tanzania kama yeye.Amen!
Kabisa kabisa...🤝
Uwooooooongooooooo
Niko pamoja nawe
Hujakosea mimi NAMPENDA huyu Baba akiongea tuu Namkumbukaga JPM Na Machozi hufuata😢❤❤❤BASHIRU SIKU AWE TU PRESIDENT 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tuna hadhina kama huyo Dr lakini hawapati nafasi😢😢
Bashiru Kaka wew ni mkweli daima wew nikiongozi mkubwa mh Magufuli alikuona mapema alikuwa anakuandaa lkn haya ni maisha tu tutafika siku moja utakuwa kiongozi imara zaidi
Mmmh, tupe mkakati wako uliokuwa umeuandaa wakati ukiwa Mkuu wa Utumishi kuhusu kuwapandisha vyeo watumishi waliokuwa hawajapandishwa/badilishwa vyeo baada ya kupata sifa kwa muda wa miaka 6 ya kuanzia 2016-21?
@@festokemibala5832anaongea tu
Mtu pekee mwenye sifa ya kuwa Rais wa nchi,lakn kwa nchi hii na CCM ilivyo ngumu atausikia tu wataingia wahuni wahuni tu
Great contribution
Hongera Sana Baba
Mh: DR BASHIRU Mwenyezi Mungu aendelee kukusimamia . Mchango wako ni Muhimu Kwa Maendeleo ya Elimu TZ.
Huu ubongo bado upo vzr, nalazmika kuamini ulitumika vbaya kweny SG
Acxademician 👍
Hongera sana, endelea kulifumbua taifa.
Huwa namukubali sana
Hongereni sana Wabunge wetu kwa mjadala wa kuboresha elimu yetu hasa Vyuo vikuu. Naomba msifumbie macho tabia ya Wahadhiri kusumbua watoto wetu na hasa wakike kwenye swala la mapenzi japo kuna kisingizio kwamba wanaosoma chuo kikuu ni watu wazima.
Hongera. Bashilubkb. Inawasomi
Mungu Akubariki sana Dr. BASHIRU
Mungu muumba mbingu nakila kichopo dunian akubariki wewe bashiru aly
Akilinya kusema ukweli inamfinya bakozi
Alikuwa mahiri sana zaidi hapa
Huyu ndo Bashilu ninayemjua
Mko kwenye ajira mnajitetea wenyewe wanaohitimu ambao hawana b wala che hamnampango nao hii nchi kweli amakweli mwenye nacho huongezewa ambae hana hata kile alicho nacho hunyangany
Ulifeli sana Dr.Bashiru,wewe ni kinyonga,no one can trust you any more,kabla ya kuteuliwa katibu wa ccm,ulikuwa mwingine baada ya kuteuliwa ukawa mwingine,ukishakuwa kigeu geu ktk maisha hufai tena,fanya umalize muda wako ukatulie tu,huna sifa tena mwanzo ukiwa chuo nilikukubali leo hapana.
Point Dr MUNGU akutunze
❤❤❤❤❤❤❤❤❤tanzania
Huwa sielewi ni kwanini hawa viumbe huwa kila neno wanapiga makofi,
Hongera sana Daktari Bashiru ❤
Very good 👍
Dr. Bashiru umesema ukweli kabisa, hatuwezi kushindana na vyuo vikuu vingine duniani wakati ukiritimba ni mkubwa sana nchini kuhusu elkimu ya juu.
Balozi Dr Bashiru Ally Kakurwa siku moja atakuwa Rais. Mimi Mkenya
Hongera
Wazarendo kama ninyi hamtakiwi na hawa mafisadi wanaotawala Sasa, strong leader bashiru
Ile trilion 1.5 ilikwapuliwa kipindi gn ebu nikumbushe kidogo..!
Hawa ndio wamezaliwa viobgozi.
Unaona mchango kabambe huo, tuwe na imani Tanzania in watu. Mungu ibariki
Ndio maana ndugu zangu mkiambiwa mtu anaitwa Dr ndio watu kama hao wenye elimu na uwezo, sio mtu anaitwa doctor hata vyeti vya ufundi veta hana alafu anaitwa Doctor!!!!!! Duuuh aibuu hiyooooo
Ubarikiwa sana baba
Very good
❤❤❤❤🙏🙏🙏
Presidential Material, lakn wahuni wakimsikia wanadhani na kuhofia atakuwa Rais,
Hawa watu ndo tunahitaji kutuwakilisha wananchi mbungeni tunahitaji bunge asilia 85 liwe na watu bright namna hii💪
ccm unawajua lkn
Naiomba serikali ipunguze bei ya mafuta ya magari inatutesa tulio huku chini maisha magumu mno
Jiwe walilolikataa waashi Iko siku
Huyu jamaa alikuwa smart kipindi yuko Udsm akichambua mada kwnye media tatizo ni kipindi kawekwa kileleni na kupewa mrija wake wa asali y taifa wakati wa Mpenda utukufu na misifa,busara ubongo alivihifadhi tumboni akageuka gafla mtu wa kejeli na mropokaji nguri kama bosi wake ,Ni mnufaika na ameonja utamu wa serikali ya kibabe na ndo maana kataja adi mfano wa madikiteta waliosoma Uds kama m7 na mtetezi wa wanyonge kana kwamba ni sifa mojawapo nzuri Udsm.huyu mwamba ni sehemu ya wasomi wetu nchini wa majalalani.
😂😂 KUMBE Mtu aliyekaa madarakani miaka 05 tu akaiwezesha nchi kuwa na ndege zake, kuwa na makao makuu yake halisi badala ya makao makuu ya maneno, kuwa na chanzo cha umeme madhubuti na cha kudumu, kuwa na Reli ya kisasa, kuwa na huduma nzuri za kijamii huyo ni MPENDA SIFA? Basi kama ni mpenda sifa alikuwa sahihi. Je wewe MPENDA KASHFA na wenzako mmelitendea nini Taifa hili? Nchi yetu imetawaliwa na Marais 4 Kabla ya JPM? Kama 03 wangekuwa WAPENDA SIFA za hivi tungekuwa hapa? Rais wetu mama yetu naomba uwe MPENDA SIFA ZAIDI YA NYERERE NA JPM Kwani WAPENDA SIFA NDIYO WALIOACHA ALAMA ZENYE TIJA KATIKA TAIFA HILI.
Nimeipenda
Uko vizuri
Huyo ndiye Mwalimu Bashiru Ally ninaye mpa heshima kubwa. Anajua kujenga hoja zenye mantiki kwa umahili mkubwa, umpende au husipende, ukubaliane na hoja anayojenga au husikubaliane na hoja hiyo!
Cuf ilitoa watu wenye akili kubwa
Pongezi sana, Allah aendelee kukupa khekima na abariki kazi ya mikono yako
KAZI KUSIFIANA TU. EMBU ONGEENI KUHUSU REPORT YA CAG ...JE MAJIZI YAMEKAMATWA MPAKA SASAHV??
Yote majizi ndiomaana yapokimyaa
Akili nyingi✍
Sauti na ujengaji wa hoja amefanana na Askofu Mkuu,Yuda Thadei Ruwaichi.. hata umakini wa kuongea
Wote wahaya
Jamaa wanapiga makofi hata kwenye NEGATIVE. Au mimi tu nimeliona hili.
Mama Salma umenikaa kwenyemoyo wangu piga kazi wanapika kelele wache wapige
Balozi Dr. Bashiru umeongea ukweliii kabisaa, tunapambana saana kuchapisha kwa mifuko yetu, lakn unapanda leo unakuja kupata mshahara miaka3 mbelee
Bashiru ni kweli kabisa. Jana kabudi alikosea sana kusema kuwa tuna publish na perish. Sio sawa kabisa
Nakumbuka kausemi " nafasi hii ni nafasi ya mwisho sitaki uteuzi na Wala sitakubali kuteukiwa hahaha"
Mh. BASHIRU, Nchi yetu si maskini bali ni Nchi iliyojaa watu wengi wenye kujilimbikizia mali pekee yao bila kujali mgawanyo sawa wa keki ya Taifa.
Kivipi wewe unalala unaamka saa nne mwenzio kaamka 11 mfanane kimaisha tafuta pesa acha kulalamika lalamika wakati wa magu mlikuwa mnasema hapa kazi fanya kazi magu si mjomba wako😅😅😅
Kichwa Cha habari halikuakisi yaliyoongelewa ndani BASHILU ALLY YUPO sawa lakini hii ni blog ya kihuni click bites za nini? sijakufurahia
Wenye akili nyingi wakiongea husikii minong'ono yyt kutoka kwa ilimradi liende, hapo ndipo unaona maana halisi ya uchakachuaji wa matokeo na kupitisha wawakilishi wanaoomba kikao kiishe wakale chips kwa bar ya jirani, na hapo ndipo kura zao za ndio zinapoumiza taifa, makala zao utasikia .... kalifurahisha au kalichekesha bunge. Sijui ni elimu ya wapiga kura bado haijafika vizuri kwa wananchi duni na wasioweza kung'amua vema viongozi wa kuwaongoza! Maana ma-Pweza huwa wanafanya hila nyingi ilimradi washinde wakasinzie na kupiga makerere bungeni na miongozo yenye nia ya kuficha uozo wa wanao wakumbatia ili waendelee kula bata. Akili kubwa ikiongea, husikii minong'ono wala kicheko...maana huwa hawana hoja zaidi ya kuchekesha.
Kwa kwelii ni point tupu na mifano dhahir
HAPO KWENYE VYEO BASHIRU UMENIKOSHA.WATUMISHI HATUPANDI KWA WAKATI ILA MBONA HUKUTUSAIDIA ULIPOKUWA KATIBU MKUU ENZI ZA MAGUFULI.
@@jumanneselemani2172toka Lin katibu mkuu akahuaika na TAMISEMI kama sio Rais na Waziri husika
@@jumanneselemani2172hawa wakitoka ndio wanajifanya watetezi wa wafanyakazi 😅😅
Mpini wa JPM
Wanasiasa meneno mengi mazuri ila utendaji mdogo sana
Kabisa aisee
BASHIRU UMEONGEA VYEMA ILA WAKATI UKIWA KATIBU MKUU.ENZI ZA MAGUFULI MBONA HUKUSHAURI JUU YA UPANDAJI WA MADARAJA KWA WAKATI.
umejuaje kama hakushauri
Wazee wa kukurupuka Taarifa wamenywea maana hoja ya kum challenge daktari hawana wanaofia kudharirishwa
Umeongea point Daktari
Huyu ndie aliefaa kuwa Raisi baada ya JPM. Tatzo nnchi zetu mtu akionekana ana uwezo mkubwa(intelligent) basi anawekwa kando
Kweli
Nipo pamoja na wewe dr bashiru hata kama ikinibidi kutoa sadaka kubwa ktk karne hii ya 21 kwa sababu wewe ni msema ukweli na kiongozi shupavu
Yupo makini sana
Nipo Na Ww Zaman Sana Dkt.Bashiru Ally Kakulwa
Sijui kwanini watu kama hawa (akiwemo Polepole) kupewa uongozi wa juu katika chama. Hii ni kukidunisha chama.
Jembe la nguvu!💪🏿
Walikuwa wanadharau watu hawa enzi za Magufuli
Huyu jamaa ni mkweli na sio mnafiki anasimama na kusema sio mambo ya kuanza uchawa wa anaupiga mwingi
Huyu mnafikitu pasi
Dhahabu iliyokataliwa na mafisadi ya nchi hii.
Hapa akina Kibajaji, Msukuma ni maluelue kichwani wameachwa mbaaaaaali na huwezi wasikia.................taarifa muheshimiwa spika kwakua sio eneo lao.🤣🤣🤣🤣🤣
dk bashiru ni mtu makini sana
🎉
Hivi jamani Kasi ya Tanzania ya viwanda ipo?
Sina neno maneno ya bashiru yanatosha.
😂😂😂😂 hawa jamaa wanaofanya editing ya hizo picha wananifurahisha sana.
Kwanini hukumshauri Magufuli?
hayo ndo matatizo ya watanzania sasa mgufuri kaingiaje hapa sikiliza point na kila maelezo au points kuna wakati maalum na mazingira yake sasa hoja ya kwanini hakumshauri magufuli ni shida hiyo watanzania tujitambue
Mheshimiwa Balozi Dr. Bashiru Ally ni Msomi mwandamizi anayetumia elimu yake sawasawa kama nyenzo.
Dr bashiru naunga hoja hapo kwenye swala la vigezo na kupewa unacho stahili nitatizo kubwa sana kwenye inchi yetu na linakatisha tamaa sana yani jambo linawezekana kufanyika ndani ya dakika tano linafanyika siku tano hadi mwenye jambo lake anakata tamaa na kuanzisha jambo lingine
Hawa wabunge kila sentence wanapiga Meza hivyo hawaoni Kua wanaleta fujo?
Hahahhah hahhahaah jaman
Wanaharibu meza bure tu
In that way , our universities are simply glorified secondary schools .
Tht is the fact.
You are damn right
waallaah kwa uongozi wa mm samia masikini hawa wezi kuvuka kwasababu wasaidizi wake wengi sio wazelendo wana wapiga sana wana nchi na akitokea mtu wa kuwatetea wanaenda kumlisha matango bori raisi anamtoa kwenye hicho kitengo na yy baado hajaguduwa wasaidizi waraisi wengi ni mabom ya yukilia
Mama apumzike awapishe wengine
Duu 0:31
Niwaulize kitu ..kama wasomi ndio nyie iweje umadkini umejaa tz ..usomi ujinga kumbe . Sioni faida ya elimu ... ni sehemu ya kuchumia tumbo LA family
U are right
😢😢😢😢😢