MBUNGE MUSUKUMA AMVAA BASHE SAKATA LA SUKARI, "VUNJA BODI, TUACHE MIZAHA, KUNA MCHEZO UMECHEZWA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 มิ.ย. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 154

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES 2 วันที่ผ่านมา +7

    Niliwaambia mpina hao wabunge wote anaweza kuwakusanya wote na akili zao ndogo akawaweka mfukoni na Bado wataona aibu Kwa mpina na mungu atazidi kumpaisha zaidi na zaidi

  • @mwankenjatv9330
    @mwankenjatv9330 2 วันที่ผ่านมา +4

    Wabunge mwaka huu watahukumiwa kwa ajili ya mpina😂😂

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 2 วันที่ผ่านมา +10

    Msukuma mnafiki chawa

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 2 วันที่ผ่านมา +7

    Msukuma ni wa hovyo kabisa

  • @user-cp8df8ik5h
    @user-cp8df8ik5h 3 วันที่ผ่านมา +14

    Msukuma sio MTU anachozungumza ndio LOGIC YA MPINA.

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 2 วันที่ผ่านมา +2

      Alisimanga kumbe na yeye anzungumza hayo hayo ya Mpina

    • @BabuGga-td3mg
      @BabuGga-td3mg วันที่ผ่านมา

      Huwa hawamuelewi na wivu ndiomana hawapigagi makofi Mpina akichangia au kukosoa

  • @geraldgogadi7054
    @geraldgogadi7054 3 วันที่ผ่านมา +20

    Kwahiyo mpina alikua na kosa gani? Bunge la hovyo sana kuwahi kutokea,

    • @gstone830
      @gstone830 3 วันที่ผ่านมา +1

      Mpina kosa lake ni kutoa tuhuma kwa waziri wa kilimo kisha kwenda kwenye media kulielezea wakati taarifa alisha ifikisha kwa spika,alipaswa kukaa kimya mana bunge lina sheria zake za ndani kwa wabunge

    • @gstone830
      @gstone830 3 วันที่ผ่านมา

      Mpina kosa lake ni kutoa tuhuma kwa waziri wa kilimo kisha kwenda kwenye media kulielezea wakati taarifa alisha ifikisha kwa spika,alipaswa kukaa kimya mana bunge lina sheria zake za ndani kwa wabunge

    • @RamadhanKitama
      @RamadhanKitama 2 วันที่ผ่านมา

      ​Ww nae​@@gstone830acha kuwadanganya humu! Ko Mpina aliziita media bungeni? Au alikua place? Tuambie spika anahusikaje nje ya bunge? Huon kuna kanuni muda mwingine anaketi na kuchangia hoja akiwa kama mbuge wa kawaida. Ndo ujue kua hujui.

    • @hakiyangu
      @hakiyangu 2 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@gstone830kwani mpina aliitisha media bungeni? Kua smart bro hawa wabunge ni wahuni tu msukuma alimsimanga mpina kiasi kwamba wana chuki binafsi, hivi kuongea na media nje na bunge unadhani hakujua kua yuko sahihi au yuko wrong?

  • @ElibarikiEliud
    @ElibarikiEliud 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mheshimiwa spika ninaamini Mpina alikukwaza baada kuleta vielelezo badla ya kusubiri maamuzi yako aliitisha vyombo vya habari na kueleza alichooleza Lakini leo ukiwa umetulia umeweza kubaini ukweli kuwa bei ya sukari Tanzania iko juu zaidi kuliko nchi jirani. na waziri hajaeleza ni kwanini bei iwe juu nchini kwetu. Naomba kwa mamlaka Mpina apunguziwe adhabu. kwa sababu ukweli ni kuwa waziri ameshindwa kuwalinda watanzania. Mungu akubariki. Amen

  • @tronline6959
    @tronline6959 3 วันที่ผ่านมา +4

    Msukuma amepoteza mwelekeo baada ya kuhongwa na DP World. Hajui anachokitaka

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 3 วันที่ผ่านมา +7

    Mmh kazi kwelikweli kumbe mnjua kwenye sukari kuna shida,mlimsha mbulia mpina wa nin

    • @RamadhanKitama
      @RamadhanKitama 2 วันที่ผ่านมา

      Haka haka ka kenge maji kanakoongea hapa! Kweli kunatofauti kati ya skilled and unskilled labours, siku anamshambulia Mpina kichwan mwake palikua mavi yamejaa, naona leo sijui yamenyonywa.

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 2 วันที่ผ่านมา

      @@RamadhanKitama kudadeki kweli kbs

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 3 วันที่ผ่านมา +6

    Msukuma MNAFIKI SAANA ALIONGEA MPINA UKAMUSEMA hivi we toka lini wasukuma tukawa WANAFIKI?

  • @teshashaban2479
    @teshashaban2479 3 วันที่ผ่านมา +3

    Msukuma umetukana Sana mpina huku unajuwa mpina aliongea ukweli iliniuma sana

  • @user-qx4pc3rx8g
    @user-qx4pc3rx8g 3 วันที่ผ่านมา +7

    Hatuna wabunge

  • @yohanemwitumba3711
    @yohanemwitumba3711 3 วันที่ผ่านมา +19

    Jaman mm binafsi naona mpina alikuwa sahihi sana

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 3 วันที่ผ่านมา

      Kwa yeyote asiyekuwa na akili atamuona mpina kuwa yupo sahihi

    • @wilfredywilhelm1426
      @wilfredywilhelm1426 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@walidmgonja3644kwa yeyote aside na akili atamwona bashe yuko sahihi

    • @RamadhanKitama
      @RamadhanKitama 2 วันที่ผ่านมา

      Ukianzia ww ​@@walidmgonja3644

    • @KelvinConorard
      @KelvinConorard 2 วันที่ผ่านมา

      Kilichomuhukumu mpina sio alichosema icho bado akijahukumiwa kahukumiwa kwa kuongea sehemu isiyo sahihi ili kujenga itention kwenye jamii

    • @WilliamMsungu
      @WilliamMsungu 2 วันที่ผ่านมา

      @@walidmgonja3644kwahiyo ww tu ndiyo mwenye akili?

  • @SelemanMhana-ol7tk
    @SelemanMhana-ol7tk 3 วันที่ผ่านมา +11

    Mpina ni kichwa bhana ni WA kwanza kuelewa jambo kuliko wabunge wote wengine kuja kuelewa tayari wameshamhukumu Mh. Mpina

    • @user-us4tk2tk3c
      @user-us4tk2tk3c 2 วันที่ผ่านมา +1

      Duuuuh! Kweli bado kuna safari ndefu sana ya kuwafanya watu kufikiri mambo kwa kina. Eti leo mtu alie kua anaatack mawazo mazuri ya Waziri kutuondoa kwenye tatizo la sukari dhidi ya mabepali wachache wanaotuumiza ndio anaonekana Mzalendo kuliko wote. Tatizo sana

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya 2 วันที่ผ่านมา

    Hapo Spika ,safi sana. Kweli wananchi wa kawaida tunapata shida. Hilo lifuatilie sana.

  • @evansdecaprio8196
    @evansdecaprio8196 2 วันที่ผ่านมา +1

    Msukuma we mnafiki sana umemkashifu mpina ila unarudia mlemle kwa mpina

  • @barackbrysonramsey
    @barackbrysonramsey 3 วันที่ผ่านมา +8

    Mlimhukumu mpina mnarumbana

  • @teshashaban2479
    @teshashaban2479 3 วันที่ผ่านมา +2

    Msukuma nikigeugeu umemshambulia mpina nakuingiza fitina zakishamba

  • @user-jy4pm3hh9s
    @user-jy4pm3hh9s 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mpina luhaga anaona mbali wote mlimbeza leo ndo mada inawasumbua kenge nyie

  • @melichmahingule2896
    @melichmahingule2896 วันที่ผ่านมา

    Hii yote ni kwa ajili ya kukopakopa hovyo, sasa mnahaha jinsi ya kupata hela ya kulipa madeni, but hongera weww msukuma kwa mchango mziri sana

  • @mwankenjatv9330
    @mwankenjatv9330 2 วันที่ผ่านมา +1

    WAHUNI WOTE HAO😅😅😢😢😂😂😂

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 วันที่ผ่านมา

    Msukuma ameungana mkuu wa mkoa dar,
    Eti mnataka kuturudisha kwenye mateso🎉

  • @gibrilmongi5646
    @gibrilmongi5646 3 วันที่ผ่านมา +3

    SPIKA YA REDIO YANGU INAPASWA KIJITATHIMINI, JE INACHOKISEMA NDIO TAFSIRI YA MAWIMBI AU KELELE TU

  • @AugustKisaka-qy7kl
    @AugustKisaka-qy7kl 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kuvunja bodi sio tiba ,Tiba iundwe tume ichunguze wizara na pia bodi, ndi madudu mtayaona na kama ni kuvunja bodi ndio mfuate ,kwa masilahi ya wananchi

  • @MarcoMhande
    @MarcoMhande 3 วันที่ผ่านมา +3

    Mpina alikuwa sahihi, alichokuja kukosea nikwenda kulizungumza swala inje kwenye vyombo vya habari Ili Hali tayari supika ameshatoa mwongozo wa Nini kifanyike!

    • @ramadhanimushi6059
      @ramadhanimushi6059 2 วันที่ผ่านมา

      mbona sasa alichokianzisha hakiendelei kujadiriwa.Bunge letu linakosa mvuto kabisa

    • @piusmaduka
      @piusmaduka 2 วันที่ผ่านมา

      ​mpina alijua hawatamsikiliza maana hata wabunge wengine hawana uelewa wa mambo nyeti Kwa maslahi ya nchi ndio maana akaamua kujilipua kwenda Kwa waajiri ambao ni sisi wananchi​@@ramadhanimushi6059

  • @jumakilinja6341
    @jumakilinja6341 3 วันที่ผ่านมา +3

    Akili ndogo inarudi nyuma haiwezi kwenda mbele

  • @ndimuelias6183
    @ndimuelias6183 วันที่ผ่านมา

    Mpina ana akili nyingi sana na ndiyo pekee anayepaswa kuigwa na watanzania wote viva meatu viva viva mwandoya viva viva wasukuma viva viva kanda ya ziwa viva hiyo ndo chapa ya ng'ombe luhaga mpeni maua yake anapambana na ufisadi vilivyo

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 วันที่ผ่านมา

    Wote wapigaji tu,serikali ina wapigaji,na bunge zima ccm mnaiunga mkono kila kitu, mijadala yenu ni ya kupoteza muda na kupitisha sheria na mikataba mpokee chenu mrudi majimboni kujipitisha bila kupingwa!. Bashe mpigaji, bodi na wanaowapa tenda wote wapigaji tu... Hamna

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 วันที่ผ่านมา

    dk msukuma mimi ninakukubali sana,siku zote umekuwa ukiwatetea walaji wa mwisho wale wa vijijini,tofauti na mpina kazi yake kuwatetea mataycoon wa sukari mara wa nguo!!

    • @user-qx4pc3rx8g
      @user-qx4pc3rx8g 3 วันที่ผ่านมา

      Acha uchawa huyo msukuma mbona hakuwatetea chochote anawapuliza tu

    • @paulmteki8196
      @paulmteki8196 3 วันที่ผ่านมา

      Wewe hukumwelewa Mpina ulimsikia juu . Yeye analala mika kulikua na upigaji kwenye kuagiza sukari

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 2 วันที่ผ่านมา

      Wachangiaji humu mjitathmini maana naona wendawazimu mnatuchanganya hapa. Mtu anasemaje kuwa Msukuma ndio sahihi na Mpina ni adui? Jitahidini kuelewa mambo kabla kuropoka humu. Msukuma ni ndumilakuwili .

  • @LaigwanaMollel
    @LaigwanaMollel 3 วันที่ผ่านมา +1

    Msukuma❤

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 2 วันที่ผ่านมา +1

    Bora uangalie sajili ya simba na yanga kuliko bunge letu,

  • @ElishamaBoaziHubiEBH
    @ElishamaBoaziHubiEBH 3 วันที่ผ่านมา

    Nakubaliana na hoja za Mheshimiwa Msukuma kuhusu hali ya sukari nchini. Ni muhimu kwa serikali kuchukua hatua za haraka kuhakikisha kuwa tatizo hili linatatuliwa kwa manufaa ya wananchi wote. Pia, ni muhimu kufanya mageuzi makubwa ili kuboresha sekta ya sukari. Asante.

    • @solotap
      @solotap 3 วันที่ผ่านมา

      Asante sana nimependa Mchango wako

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 2 วันที่ผ่านมา

    samia tuondoleee mwiguru saivi ushapata uzoefu wa kazi weka waziri mwingine

  • @hubertmroso1664
    @hubertmroso1664 3 วันที่ผ่านมา +6

    Mheshimiwa mpina alikuwa na haki Kwa maneno haya.

  • @EmanuelyMbagalla-rt2vm
    @EmanuelyMbagalla-rt2vm 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni changamoto za biashara zinazofunga kiwanda au ni mabadiliko ya Sera zenye kutetea matumbo ya wachache? Anaogopa kuwa mkweli.

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 3 วันที่ผ่านมา +1

    Msukuma ww sku hizi unadifia hata wizi daaaaaah hatari sana hiyo sukari mbona bado ipo juu? Sasa unamsifia nini

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hili bunge limejaa wahuni tu. Genge la majambazi ndo wamejaa humo. Wazalendo kama Mpina lazima waonekane hawafai.

    • @KelvinConorard
      @KelvinConorard 2 วันที่ผ่านมา

      Na wew haufai kilichomuondoa mpina ni kwenda public kujenga tension na sio alichokisema

  • @Kisimatigin
    @Kisimatigin 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hiii ni point sana aiseeee

  • @bakaryngoneke5606
    @bakaryngoneke5606 2 วันที่ผ่านมา

    Hawa wabunge wanakera sana mpina amewaanzishia hoja ameijenga vizuri ameisimamia ipasavyo mmemfungia vikao vingi sana leo hii kile kile alichoongea ndicho mnachokiongea sasa mlimfungia ili iweje? Hata kama mnachukiana ipokuwa jambo ni la taifa liangalieni taifa ugomvi wenu binafisi usiriathili taifa

  • @jumaabdalla3374
    @jumaabdalla3374 2 วันที่ผ่านมา

    Ukimuondoa mpina wabunge waliobaki wanajali matumbo yao tu hawapo kwa ajili ya watanzania wabunge wa ovyo kabisa

  • @medardchenge
    @medardchenge 3 วันที่ผ่านมา +4

    Nilitegemea umuunge mkono mpina, Kwenye swala la uagizaji wa sukari kumejaa ufisadi sana. Uchunguzi ufanyike.

    • @chrithicksambo2287
      @chrithicksambo2287 3 วันที่ผ่านมา

      Kuangalie hivohivo hako kajamaa huwa ni kanafiki sana kameshiriki kuuza bandari hako

    • @FelicianSimon
      @FelicianSimon 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂​@@chrithicksambo2287

    • @wilfredywilhelm1426
      @wilfredywilhelm1426 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@chrithicksambo2287😅😂

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 วันที่ผ่านมา

    Hivi mabepari ni wakina nani? Mabepari si ninyi mliomdharilisha Mpina ambaye ni mbunge wa wanainchi? Kwa kweli hili bunge ni la CCM na unafiki wao wanaongoja kuiba kura mwaka kesho hao ndiyo wabunge wa wanainchi?

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 3 วันที่ผ่านมา +1

    Bepali ni Nan tofaut na nyinyi

  • @madengejr
    @madengejr 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa mpina alifukuzwa kwa lipi ,,bunge la wapumbavu

  • @augustinekusekwa183
    @augustinekusekwa183 3 วันที่ผ่านมา +1

    nilichogunduwabungeni kuna watu ambao ni chawa sana

  • @jumaabdalla3374
    @jumaabdalla3374 2 วันที่ผ่านมา +1

    Msukuma ww ni fisadi tu unayozungumza ndio yale yale ya mpina unazungumka mbuyu tu

    • @KelvinConorard
      @KelvinConorard 2 วันที่ผ่านมา

      Kilichomuondoa mpina bungen sio alichokiongea bali utaratibu haukufuatwa acha miemko

  • @user-gd3qz5pe6x
    @user-gd3qz5pe6x 2 วันที่ผ่านมา

    Kosa la mpina liko wapi?

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 3 วันที่ผ่านมา

    Pumbaf sana wanasiasa wa nchi hii. Mwajengaje kiwanda bila kufanya upembuzi? Mwatumia mabilioni ya pesa za maskini kujenga viwanda vinavyolala mapopo? Kisha mwazidi kuongeza kodi, ushuru....
    Yaliyokea Kenya ilibidi yatokee Bongo!

  • @michaelmeshaki9931
    @michaelmeshaki9931 2 วันที่ผ่านมา

    ULIMTUKANA SANA MPINA

  • @user-sh4vq1kn4t
    @user-sh4vq1kn4t 3 วันที่ผ่านมา

    Kwelii tenah

  • @AbshirMubaarack
    @AbshirMubaarack 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kuvunja bodi co tatz,ishu ya msingi ni mumpe mpina uwaziri wa wizara ya kilimo,then bashe aende wizara ya maliasili akapumzike huko

    • @KelvinConorard
      @KelvinConorard 2 วันที่ผ่านมา

      Ingekuwa ni ivyo kaangalie bashe kipindi akiwa mbunge alivyotetea wizara hii mpina alipewa yakamshinda tangu enzi za magu au umenunua simu lini

    • @AbshirMubaarack
      @AbshirMubaarack 2 วันที่ผ่านมา

      @@KelvinConorard nimenunua jana

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 3 วันที่ผ่านมา +1

    Msukuma kamponda Mpina Kisha anapita na hoja za Mpina.
    Hii kitaalamu inaitwaje?

  • @rashidswed2147
    @rashidswed2147 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa mpina mmemtoa kwanini uku amewasaidia kujua hii mambo ikoje mabosi wangu

  • @paulnsabi3779
    @paulnsabi3779 2 วันที่ผ่านมา

    mpima alikuwa sahihi inbox ushahidi wake usingefanyiwa kazi pamoja suspended ya spika/bunge bado linawasumbua wabunge h/kuu ccm izingatie kusema kweli ya mwanaccm ni haki ya mwanachama bila uoga hjvyo pasiwepo na kulindanalindana viongozi/yeyote anayepiga dili

  • @jumaalmasjuma1700
    @jumaalmasjuma1700 3 วันที่ผ่านมา

    Msukuma unaongea kwa data na mtubanaelewa majitu mengine yanaongea kwa percent tuuu avieleweki

  • @andrewkilulu
    @andrewkilulu 3 วันที่ผ่านมา +1

    Tunakumbuka mlimshambulia mpina 😢

  • @gbbuku4714
    @gbbuku4714 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mpina Hoja ilikua nzuri shida yake kutoa ripoti kwa waandishi wakat ripot ishaenda kwa spika Mana naona mnamzonga spika kuhusu Mpina

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 2 วันที่ผ่านมา

      Alitaka watanzania tuelewe,ndio maana aliita waaandishi

    • @stevenmabungi3245
      @stevenmabungi3245 2 วันที่ผ่านมา +1

      Ni kweli Mpina alikosea kusema nje ya Bunge kabla ya maelekezo ya spika kufanyia kaz
      Lakin kwa nn hawajafanyia kaz mapungufu ya wazir na kumchukulia hatua?
      Maana ni kweli aliongea lakin hawajamshughulikia mlalamikiwa ambaye ni Bashe naye si ashughulikiwa coz ni muongo

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 2 วันที่ผ่านมา

    Hueleweki

  • @paulmadundo8084
    @paulmadundo8084 3 วันที่ผ่านมา

    u-mbu mbu mbu unatusumbua sana, yule jamaa mmempa adhabu mkapiga na makofi na kumkejeli juu...leo mnaanza kujitekenya taratibu kurudi kwenye point zake jamani

    • @wilfredywilhelm1426
      @wilfredywilhelm1426 3 วันที่ผ่านมา

      Bado wanampigia makofi na msukuma, wakati pia walimpigia makofi nayule waziri na wakapiga makofi adhabu ya yule mbunge

  • @anthonyluhumbika4693
    @anthonyluhumbika4693 วันที่ผ่านมา

    Kweli nimeamini wanasiasa ni wanafiki

  • @yohanemwitumba3711
    @yohanemwitumba3711 3 วันที่ผ่านมา

    Wabunge ihi nchi ili ikae sawa unategemea sana mawazo yenu ya busala zaid ila sio kubebana bebana tuu

  • @user-zr1mk3xd2x
    @user-zr1mk3xd2x 2 วันที่ผ่านมา

    Bunge la kikuma xn hili,,tunataka mjadili yalè ya mpina

  • @aloycemruma6552
    @aloycemruma6552 3 วันที่ผ่านมา

    Kwanini watunga Sheria ni. Wakatili. Nammna hii angalieni nyie mnajilipa.mnavyotaka ndio maana niwajeuri lakini hatuna lakuwafanya basi Mungu. Nae hamumuogopi msitese. Wananchi please

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 3 วันที่ผ่านมา

    OK...SASA SWALI DOGO HILI: JE, MHESHIMIWA MBUNGE MPINA...HAKUWA SAHIHI..?
    -MIMI NAONA,HUKUMU YA MPINA...HAIKUWA SAHIHI MAANA ALIKUWA MTETEZI SAHIHI

  • @Fundi12345
    @Fundi12345 3 วันที่ผ่านมา

    Huyo ni darasa ra saba. Anawashinda wazi wasomi wamejaaa hapo wapo kuiba tu musukuma na mpina ni majembe na nk wapo hapo tunataka watu wanaotutambua watz n hari yetu kiukweri kweri

  • @BakariIssa-nx3yf
    @BakariIssa-nx3yf 2 วันที่ผ่านมา

    Kama munajua ayo kwa nn munamtimua mpina? Nyie majambazi waongowaongo nyie

  • @jacksonsawe2301
    @jacksonsawe2301 3 วันที่ผ่านมา

    Kuna jambo linatengenezwa Kanda ya Ziwa

  • @user-mn2et2pf6z
    @user-mn2et2pf6z 3 วันที่ผ่านมา

    Hoja ya mpina au wasilisho la mpina kwa sipika hamkulitendea haki

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 3 วันที่ผ่านมา +4

    Haka kamusukuma kashamba fulani kanajiweka kanajua kumbe kanaungua jua hakana musimamo

    • @michaellutonjagospelsinger6611
      @michaellutonjagospelsinger6611 3 วันที่ผ่านมา

      Wengi walifata mkumbo wa azabu tu😅,ila inawauma

    • @piusmaduka
      @piusmaduka 2 วันที่ผ่านมา

      usikahukumu sana Bali hukumu elimu ya kenyewe, kangejuaje kutafakari jema na baya huku ka bashe kanawachanganya na kingereza uchwara bungeni​@@michaellutonjagospelsinger6611

  • @MasoudyMichael-ox7xl
    @MasoudyMichael-ox7xl 2 วันที่ผ่านมา

    Kwa mala nyingine bunge la hovyo😅

  • @CharlesSomeke-ml7ju
    @CharlesSomeke-ml7ju 2 วันที่ผ่านมา

    Ulisema mpina apimwe akili leo wewe unachangia nini

  • @bigdad1816
    @bigdad1816 2 วันที่ผ่านมา

    Bunge 2025 asilimia 70 ya wabunge wa CCM watolewe nje kabisa Mphina ni kichwa cha wabunge 200 wa CCM ndio maana hakuna hata mmoja aliyesimama kumtetea.fuckin hell

  • @johnshayo9635
    @johnshayo9635 2 วันที่ผ่านมา

    Ccm imechoka

  • @MrutaJusto
    @MrutaJusto 2 วันที่ผ่านมา

    Na wewe kumbe WA ovyoo kabisa tangu uliponunuliwa na bandari hujielewi

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 3 วันที่ผ่านมา +1

    Msukuma fala alikuwa anamzingua mpina sasa mbona anaongea maono ya mpina

    • @solotap
      @solotap 3 วันที่ผ่านมา

      Mpina hakufata utaratibu, point ziko sawa sema udhalilishaji

  • @richardnott4403
    @richardnott4403 3 วันที่ผ่านมา

    Ww ndo ulimtukana sana mpina sa hv nn kimekusibu

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 2 วันที่ผ่านมา

    Wabunge ni wasaliti

  • @user-ce2wi1ht8g
    @user-ce2wi1ht8g 3 วันที่ผ่านมา

    Saruti
    🇹🇿🇿🇦🤲🏾😢😢🙏☝🏿

  • @SimonSamson-wp5ik
    @SimonSamson-wp5ik วันที่ผ่านมา

    Msukuma wewe sasa hiv hatukuelewi ulishakuwa chawa wa serikali

  • @yohanemwitumba3711
    @yohanemwitumba3711 3 วันที่ผ่านมา

    Kingine uyo waziri wa fedha kwanza anakitu gani zaid kinacho mfanya afanye anacho jisikia yeye

  • @victorwilliam1111
    @victorwilliam1111 3 วันที่ผ่านมา

    Tunakiwa kujifunza tusiwe vichwa ngumu.

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 2 วันที่ผ่านมา

    Musukuma Mnafiki wewe mlikataa ushauri wa Mpina mkamtoa kafara halafu hoja zake mnazikopi na kuzifanya zenu ili mwonekane ninyi ndio mnatetea wananchi

  • @gililwise
    @gililwise 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hovyoo mi ni timu Mpinaaaa ndiye tunayemsikiliza Kwa sasa

    • @samochristopherroche9953
      @samochristopherroche9953 3 วันที่ผ่านมา

      Huyu akili zake anazijuwa mwenyewe,alishazibwa mdomo akamgeuka mpina,lkn huyo co wa kuangalia hoja ya mpina na kukifanya haoni

  • @innocentkanyata9923
    @innocentkanyata9923 2 วันที่ผ่านมา

    Hana lolote huyu alikuwa anamponda Mpina

  • @peterdamiano6740
    @peterdamiano6740 3 วันที่ผ่านมา

    Ukiona anaongea sana jua linamuhusu hilo

  • @davidgeorge9324
    @davidgeorge9324 2 วันที่ผ่านมา

    Hakuna lolote wapigaj tu hawa

  • @vianmarcel818
    @vianmarcel818 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mpina the great

  • @user-zr9sj8sf3w
    @user-zr9sj8sf3w 2 วันที่ผ่านมา

    Mnafik mkubwa ww ,leo hii unaend na mawazo ya mpina

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 3 วันที่ผ่านมา

    Msukuma unavuruga hatukuelewi.Kosa la Mpina liko wapi?

    • @KelvinConorard
      @KelvinConorard 2 วันที่ผ่านมา

      Kutofuata utaratibu

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 3 วันที่ผ่านมา

    Kichowafanya mumfukuze mpina nn

  • @yohanemwitumba3711
    @yohanemwitumba3711 3 วันที่ผ่านมา

    Jaman huko bungen muwe unajuwa huku nje kuna watu ambao wanaumia na kupotea kabisa kibiashara kulingana na sela zeni mnajiangalia nyinyi wenyew tu

  • @saidmabanga388
    @saidmabanga388 3 วันที่ผ่านมา

    Mkundu ww

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 3 วันที่ผ่านมา

    Muuu

  • @Mussa-id9jb
    @Mussa-id9jb 2 วันที่ผ่านมา

    Ha😅

  • @shabanikisiga5710
    @shabanikisiga5710 3 วันที่ผ่านมา +3

    We Mnafiki tyu

  • @charleskinyala3216
    @charleskinyala3216 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe Mheshimiwa Msukuma mbona ulitoa hoja ya kumdhalilisha Msukuma mwenzako? Mbona kwa muono wangu nisiye elimu kubwa ninaona kama kinashabihiana na hicho unachokichangia.

    • @shabanikisiga5710
      @shabanikisiga5710 3 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli kabisa Mnafiki mkubwa huyu Umeongea vizuri sana

    • @solotap
      @solotap 3 วันที่ผ่านมา

      mkundu nyie

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 3 วันที่ผ่านมา +1

    Yaani hili bunge ni kama kikao cha walevi. Mpina mmemfukuzia nini?

    • @JaneChissawilo-dr7nn
      @JaneChissawilo-dr7nn 2 วันที่ผ่านมา

      Mpina hana utulivu alitaka haki kupitia watu siyo taratibu. Usitake haki kabla ya hukumu. Hill ndiyo kosa.Halafu moyo wake ulijaa hila!! Na hila ni ya shetani!!Akamkosea Mungu.

    • @piusmaduka
      @piusmaduka 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@JaneChissawilo-dr7nnumetumwa na bashe kidhoofisha hoja za mpina? kwani angefuata taratibu ww ungejua bashe ni mpiga Dili? mpina alijua yote ndio maana akajilipua liwalo na liwe

  • @chrithicksambo2287
    @chrithicksambo2287 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna kimtu kinafiki kama hiko kijamaa .....kameuza bandari leo hii kanafanya kama kanawatetea wananchi

    • @solotap
      @solotap 3 วันที่ผ่านมา

      We ni fara nini , Hauna Akili yoyote , Msukuma ana Nguvu Gani ya kuuza Bandari !!?? Si ni Mbunge kama wabunge wengine ,, mkundu wewe

  • @samochristopherroche9953
    @samochristopherroche9953 3 วันที่ผ่านมา

    Sasa hivi hamuongelei urasimu uliofanyww kwenye kuagiza sukari,mpina akirudi anaanzisha hoja tena mpaka ijadiliwe,mmejifanya kuipotezea hiyo hoja lkn tutawapiga kama mlivyopigwa kenya...kila mbunge aliepiga kura ya ndio kama nyie amekula kichapo...sasa na nyie ngojeni

  • @taaonlinetv1820
    @taaonlinetv1820 3 วันที่ผ่านมา

    Msukuma bhana

    • @user-cp8df8ik5h
      @user-cp8df8ik5h 3 วันที่ผ่านมา

      Msukuma ni mchekeshaji tu HIVI UTATUMWA MBUNGE UTAFUATA MSUKUMA????

    • @solotap
      @solotap 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-cp8df8ik5hmkundu wewe , utamfata Babu yako