ZIARA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI MKOANI RUKWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2019
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anafanya ziara ya siku tatu Mkoani Rukwa ambapo anafungua na kukagua miradi ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi wa Maeneo mbalimbali ya Rukwa na Wilaya zake

ความคิดเห็น • 35

  • @famitoissanawanda6295
    @famitoissanawanda6295 4 ปีที่แล้ว +3

    Daaa!!!!!! hatari sana uwongozi we huyu mzee ni wakweli aise hongera mzee baba

  • @antonykashube2065
    @antonykashube2065 4 ปีที่แล้ว +5

    Yaani angekuwepo tangu Uhuru saa hizi hii TZ ni zaidi ya Ulaya. God bless my President JPM.

    • @amourmohammed3572
      @amourmohammed3572 4 ปีที่แล้ว

      Antony Kashube wacha kufananisha Ulaya na kitu vya kijinga wewe

    • @antonykashube2065
      @antonykashube2065 4 ปีที่แล้ว

      @@amourmohammed3572yaani mashoga sijui kwa nini mnakurupukaga kuandika ugoro kama mnavyokurupuka kujinyea. Kakalie vibamia vya wazungu wako huko unipishe hapa.

    • @amourmohammed3572
      @amourmohammed3572 4 ปีที่แล้ว

      Mwanza hawaishi wazungu choko wewe usifananishe Ulaya na upumbavu

    • @antonykashube2065
      @antonykashube2065 4 ปีที่แล้ว

      @@amourmohammed3572 unadhani Ulaya ni kwa mama yako?

  • @abuyabally5086
    @abuyabally5086 4 ปีที่แล้ว +2

    kupitia mh raisi wetu mpendwa na waziri mkuu nchii lazimaa ipaeee kwa harakaa kazi zinazofanywa haijawahi kutokeaa hakikaa sasa tanzania ni nchi ya kujivunia kuzaliwa love president love tanzania love africa

  • @dicksonaroka6961
    @dicksonaroka6961 4 ปีที่แล้ว +3

    hahahahahaha kweli leo ndo nimeamin JPM usimkasirishe aiseee unaweza ukapoteza kaz mda wowote ule

  • @muddyndui4610
    @muddyndui4610 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni mbogo haki ya mungu

  • @antonykashube2065
    @antonykashube2065 4 ปีที่แล้ว +2

    RPC una Mungu duh!

  • @claudsanga2129
    @claudsanga2129 4 ปีที่แล้ว +3

    Gari mbovu sio mpya 😁😁😁😁

  • @coogyelectrislabs
    @coogyelectrislabs 4 ปีที่แล้ว +1

    Yanii hakuna alie kuwa salama katika uongozi wa uncle magu ukifanya ujinga imekula kwako hakuna kuogopana nampenda bure

  • @dicksonaroka6961
    @dicksonaroka6961 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Askari hata kuja kusahau alivyo ponea chupu chupu kutumbuliwa....nafikir atakuja kusimulia siku moja kilicho mkuta mbele ya JPM kweli aendelee kuomba kwa Mungu nafikir ndo kamuepushia ilo balaaaa

  • @wilsonjohn1919
    @wilsonjohn1919 4 ปีที่แล้ว +2

    Duuuu awamu hii kazi ipo

  • @mwalimabrahmanmohamed8245
    @mwalimabrahmanmohamed8245 4 ปีที่แล้ว +1

    Kudaaadekii jpm fire

  • @emmanuelernest3776
    @emmanuelernest3776 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde Dr John pombe magufuli raisi wa wanyonge usiyependa MTU yeyote kuonewa

  • @kiatu
    @kiatu 4 ปีที่แล้ว +1

    We can only say thank you 🙏🏿, you mean what you say

  • @jumambarale699
    @jumambarale699 4 ปีที่แล้ว

    Nashukur sana Mr president

  • @wilsonjohn1919
    @wilsonjohn1919 4 ปีที่แล้ว +1

    Watafutie gari jipya kwa kuthamin kaz yao

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 4 ปีที่แล้ว

    SAFI SANA TANZANIA KWANZA UZALENDO KWANZA

  • @mswanawamswana3129
    @mswanawamswana3129 4 ปีที่แล้ว

    hawa watu walijisahau sana. hiyo ni dharau sana kwa kufikiri waziri hana ubavu na kukaidi amri halali ya waziri

  • @habibumallanga6392
    @habibumallanga6392 4 ปีที่แล้ว

    Saluti MZEE JPM

  • @godfreysanga2405
    @godfreysanga2405 4 ปีที่แล้ว

    Nitasema ukweli daima fitna kwangu mwiko na haki huinua taifa hizo nyimbo ni zawahenga hakika kula yangu haikupotea kamwe

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 4 ปีที่แล้ว

    MUNGU NDIO KILA KITU KWELI MH RAIS WAWANYONGE

  • @Moon-wf2ec
    @Moon-wf2ec 4 ปีที่แล้ว

    Goo d san yni atuwez kuwa nawatu wazembe kwenye kz arafu mwisho mwez anapokey pesa zabure kz akuna uzembe uzembe awataki kur kwa jasho wanatak waninyinie tuu ofisi kutwa kunjwa chai na c juis zito 😏🙂ukwer ubaki kuwa hukwer tuu good

  • @nazirnoor4160
    @nazirnoor4160 4 ปีที่แล้ว

    Haitoshi hiyo hela MJOMBA.

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 4 ปีที่แล้ว

    MUNGU NI MWEMA KWA NCHI YETU RAIS WAWANYONGE UWE NA AFYA NJEMA

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 4 ปีที่แล้ว

    KWAKWELI ASANTE MUNGU

  • @focusaloyce7259
    @focusaloyce7259 4 ปีที่แล้ว

    huyu ndo jpm unanikosha kwenye moyo

  • @isayachisanza7748
    @isayachisanza7748 4 ปีที่แล้ว

    kama umeona tecno kwa Rais niambie

  • @hasanially9294
    @hasanially9294 4 ปีที่แล้ว

    Hawa wange pelekwa kulinda bank

  • @johnsonkiwia6577
    @johnsonkiwia6577 4 ปีที่แล้ว

    Mkuu hana number ya IGP?🤣🤣🤣

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว

    Dont ever cross this dude..litakula kwako..cha kushangaza bado watu hawajampata!!!

    • @kiatu
      @kiatu 4 ปีที่แล้ว

      erry deo Baado wanajaribu kiberiti.

    • @miltonstephano3246
      @miltonstephano3246 4 ปีที่แล้ว

      Nafikiri mpaka siku achomoe betri ndio wamuelewe