ZIARA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI MKOANI RUKWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anafanya ziara ya siku tatu Mkoani Rukwa ambapo anafungua na kukagua miradi ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi wa Maeneo mbalimbali ya Rukwa na Wilaya zake

ความคิดเห็น • 7

  • @madhuru2554
    @madhuru2554 4 ปีที่แล้ว +1

    Very nice choir.

  • @stevenlevocatus2072
    @stevenlevocatus2072 4 ปีที่แล้ว +1

    Saf baba mungu akurinde

  • @issackibrahim840
    @issackibrahim840 4 ปีที่แล้ว +1

    Magu oyeeee

  • @mamahustru
    @mamahustru 4 ปีที่แล้ว

    RPC alitakiwa amjibu Magu kuwa hao waliopewa dhamana ni watuhumiwa, hawajahukumiwa. Na kosa pekee lisilo na dhamana kwa mthumiwa ni jinai.

  • @mamahustru
    @mamahustru 4 ปีที่แล้ว

    Mzee wa Namanyere hatakagi mchezo.

  • @vince_vinson.2083
    @vince_vinson.2083 4 ปีที่แล้ว +1

    3:39:06 "Ulikua ufikika Dar es salaam, utadhani upo kiwandani". Kila mtu anatumia Generator. Miungurumo hiyo kakakaka
    Kekekeke...😂😂

  • @hamismamba7668
    @hamismamba7668 4 ปีที่แล้ว +1

    Iweje machifu wa kikabila wamuombe MUNGU wa dini za kigeni badala ya kuwaomba MABABU ZETU NA MIZIMU YETU?AU NDIO TUMESHATEKWA NA DINI ZA KIGENI ZA KUJA NA KUWAPUUZA MABABU NA MIZIMU YETU???!!!