RAIS MAGUFULI 'ASHTUKIZA' KUKAGUA UJENZI WA FLYOVER UBUNGO LEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 มี.ค. 2020
  • RAIS MAGUFULI 'ASHTUKIZA' KUKAGUA UJENZI WA FLYOVER UBUNGO LEO
    RAIS Dkt John Magufuli, leo Machi 16, ameanza safari ya kuelekea mkoani Morogoro kwenda kutazama daraja la Kiegea ambalo limekatika tena jana ikiwa ni siku chache baada ya kufanyiwa ukarabati..
    Akiwa njiani kuelekea Moro, Rais Magufuli amesimama barabarani katika maeneo mbalimbali na kuzungumza na wananchi pamoja na kukagua baadhi ya miradi inayotekelezwa na serikali.
    UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
    ( +255 784 888982)
    ( +255 676 229628)
    Email: globaltvbest@gmail.com
    abbymrisho@gmail.com
    HABARI MPYA DAILY:
    bit.ly/habarimpya
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    GLOBAL RADIO TV:
    bit.ly/255globalradio
    EXCLUSIVE INTERVIEW:
    bit.ly/exclusive_interviews
    Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
    Subscribe bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 218

  • @diamondswahidia5416
    @diamondswahidia5416 4 ปีที่แล้ว +40

    miaka kama25 iliyipita niliwahi kumwambia kaka yangu kuwa ingekuwa nchi za nje maeneo kama tazara ingekuwa nchi za ulaya pangekuwa na flyover lkn hapa kwetu haiwezekani,tulikuwa tunaamini mambo haya hayawezekani.kha!!!! kumbe hata ssi tunaweza dah,tulilishwa matango pori tukaamini aisee

    • @LeeUfudu
      @LeeUfudu 4 ปีที่แล้ว

      Utadhani wanjenga meli duuuuuh muda mrefu saana

    • @caseyzayne8987
      @caseyzayne8987 2 ปีที่แล้ว

      Sorry to be so offtopic but does anyone know a method to log back into an Instagram account?
      I somehow lost my login password. I would love any assistance you can offer me!

  • @davydany9648
    @davydany9648 4 ปีที่แล้ว +30

    Hapa tumekuelewa wanaojifanya vipofu watakuelewa ukistafu,hongera rais

  • @mathiasmikongoti5798
    @mathiasmikongoti5798 4 ปีที่แล้ว +58

    tujuane wasoma comments! 🥰

  • @eliakimchaiikobellah358
    @eliakimchaiikobellah358 4 ปีที่แล้ว +12

    Wanaokukataa wewe wakatae tu
    Ila hawawezi kukataa kazi zako Mh, Rais.
    Endelea kupiga kazi watakuelewa tu.

  • @kadaskarim5175
    @kadaskarim5175 4 ปีที่แล้ว +27

    Macho yang au baba Leo umeamua kuvaa laba kwel nimekukubali nakupenda San rais wang

    • @muhsinmwambule9435
      @muhsinmwambule9435 4 ปีที่แล้ว +1

      Si laba bali ni raba kama ukiitamka tamko lake ukiliazima kama lilivyo kwenye lugha yake ya asili.

    • @deusrobert1343
      @deusrobert1343 3 ปีที่แล้ว

      raba za tsh 7500

  • @halimakari9558
    @halimakari9558 4 ปีที่แล้ว +8

    Asante mh rais usipoteze hata sekunde kuwa wazia wasanii wa siasa,Iwazie tanzania yako tu najua huna muda huo ila wanaweza kukuloga hao.Kwakweli wengi tunakupenda sana kazi yako imeonekana.

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 4 ปีที่แล้ว +11

    Huyu mtu anaweka alama isiyofutika Miaka zaidi ya 100 ijayo tutamkubuka na ataandikwa kwenye vitabu vingi za history ya Maendeleo ya Tz

  • @kulwapaul2721
    @kulwapaul2721 4 ปีที่แล้ว +22

    Hizo raba sizani Kama zinafka 15000 huyu rahsi nampenda Hana makuu

  • @jamilasaid2718
    @jamilasaid2718 4 ปีที่แล้ว +16

    asante baba kwa kuijali nchi yetu kwanza starehe baadae

  • @leandrowilliam7956
    @leandrowilliam7956 4 ปีที่แล้ว +11

    Namkubari sana rais wetu big up

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana Mh. Rais JPM nazani wakuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, wakurugenzi wanatakiwa kumsaidia kazi Rais sio mpaka Rais afike eneo husika mfno soko la machinga ambalo halijajengwa ilihali ilikua maelekezo ya Mh .JPM

  • @abdulkarimhamissi3755
    @abdulkarimhamissi3755 4 ปีที่แล้ว +33

    Embu mumtag awa watu waje waone labda wataingiwa na aibu wataacha unafki 🤣🤣🤣🤣@zito @mbowe @tundulisu

    • @innocentrushambya1671
      @innocentrushambya1671 4 ปีที่แล้ว +6

      Umesaau na mange kimambi mratibu wa kigogo 2014 Twitter

    • @blenfikru5012
      @blenfikru5012 4 ปีที่แล้ว +1

      @@innocentrushambya1671 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @amosimichael208
    @amosimichael208 4 ปีที่แล้ว +31

    Jpm Mungu azidi kumlinda duh huyu president is so fire nikiwa India nafurah kuona maendeleo ya nchi yangu I love Tz

    • @dr.tumainiandrea6957
      @dr.tumainiandrea6957 4 ปีที่แล้ว +1

      Safi sana comrade...tuwadiliane mkuu

    • @omarymohamedi3490
      @omarymohamedi3490 4 ปีที่แล้ว +1

      Jamani tuombe cana mungu atuondolee ugonjwa mbaya wakorona

  • @muksinimkahakala4383
    @muksinimkahakala4383 4 ปีที่แล้ว +5

    Nakpenda saana JPM kwa Kaz nzur, MW/Mung akurinde na mabaya, mazuri yakufie. Amin

  • @pastoreliamsika9355
    @pastoreliamsika9355 4 ปีที่แล้ว +7

    Sichokagi kumsikiliza huyu baba aisee❤️

  • @user-fc8xe2sc3w
    @user-fc8xe2sc3w 4 ปีที่แล้ว +13

    Love you Tz,

    • @mwalimumatunda8742
      @mwalimumatunda8742 4 ปีที่แล้ว +1

      And tz people's love every contries tz no war no miss understand

  • @wilsonjohn1919
    @wilsonjohn1919 4 ปีที่แล้ว +22

    Nakubali sana president wewe siku zote unawaza maendeleo tu

  • @mosallah4907
    @mosallah4907 4 ปีที่แล้ว +15

    Magufuli baba lao

  • @elizabethdismas7660
    @elizabethdismas7660 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyu raisi Noma Sana, hataki ujinga anatak mambo yaende kwa uhalali

  • @kinyemkira5623
    @kinyemkira5623 4 ปีที่แล้ว +6

    Kazi nzuri Mh Rais, maendeleo kwanza, nchi yetu isonge mbele!

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 4 ปีที่แล้ว +8

    My President mimi Mushy ila ndio hivyo wote hatufanani,keep it up our prayers always 🤲

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 ปีที่แล้ว +15

    Magu oyeeeeeeeeeee

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 4 ปีที่แล้ว +6

    Kaz nzur baba. Songa mbele

  • @manmachomaasai1095
    @manmachomaasai1095 4 ปีที่แล้ว +11

    oya utamgonga na icho kichuma chako rais wetu bwana walinz mko wapi nyinyi

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 4 ปีที่แล้ว +6

    Allah ametupa wewe hakukosea utakuwa salama nchi yako bado inakuhiji my President ❤

  • @mbwanaseif404
    @mbwanaseif404 4 ปีที่แล้ว +6

    Kweli watz tunamtaka raisi gani zaidi ya huyu

  • @ramamtetu2327
    @ramamtetu2327 4 ปีที่แล้ว +16

    Corona 😭😭😭😭
    Ewe Allah lilinde Taifa Letu na Huu Ugonjwa Hatari.

    • @claudiangowi9585
      @claudiangowi9585 4 ปีที่แล้ว +2

      Usijali utaisha soon. Wala hautatudhuru

  • @hamadamabali2895
    @hamadamabali2895 4 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu zenu kutoka Kenya tunaikubali sana Kaz anayoifanya Raisi Magufuli, we need to see him again for the next five years, thanks alot!

  • @douglashaule6371
    @douglashaule6371 4 ปีที่แล้ว +6

    Piga kazi mzee

  • @devidpanja115
    @devidpanja115 4 ปีที่แล้ว +1

    Rais wang mpendwa najiskia vibaya sn unaposema ipo siku tutakukumbuka naomba Mungu akupe maisha na umri mrefu uiongoze Tanzania hata kwa miaka 30 ndio useme hivo..Mungu akulinde my president

  • @barikimwakajumba2627
    @barikimwakajumba2627 4 ปีที่แล้ว +10

    Yaan magu sijui tulikupata wapi maana hukuwepo before

    • @thetycoon8799
      @thetycoon8799 4 ปีที่แล้ว +1

      @Bariki Mwakajumba hakuwepo na wakati huyu alikuwa ni waziri wa miundombinu ya barabara kipindi cha Kikwete au hukumbuki?? Watu mnajifanya mmesahau duhhh juzi tu

  • @manuelhealth100channel7
    @manuelhealth100channel7 4 ปีที่แล้ว +10

    Nakukubali sana JPM pigakazi tukopamoja na wewe kaziyako inaongea yenyewe

  • @joashandhoga4019
    @joashandhoga4019 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongera Mr President John Pombe

  • @swahilipoetry8781
    @swahilipoetry8781 4 ปีที่แล้ว +12

    Go go go Mr President JPM....🙏👌

  • @lyimoshopingbag5374
    @lyimoshopingbag5374 4 ปีที่แล้ว +8

    Nakuelewa

    • @evarestmathew9040
      @evarestmathew9040 4 ปีที่แล้ว

      Nakk balisana jpm salot kwako miaka10000

  • @pendomathaw6829
    @pendomathaw6829 4 ปีที่แล้ว +3

    Ee mwenyezi Mungu kwa mapenzi yako,ikiwezekana KIKOMBE HIKI CHA CORONA KITUEPUKE AMINA

  • @eliazarinyakiema1969
    @eliazarinyakiema1969 4 ปีที่แล้ว +3

    This president is a world symbol

  • @KUTOKA-ep2fk
    @KUTOKA-ep2fk 4 ปีที่แล้ว +8

    Mtu wa nguvu hongera!

  • @taufiqyahya324
    @taufiqyahya324 4 ปีที่แล้ว +4

    pamoja sana Mr jpm nakukubali

  • @branconguvila4639
    @branconguvila4639 4 ปีที่แล้ว +3

    Kabla hujawaza Tanzania itakufanyia nini, waza wewe utaifanyia nini Tanzania...asante JPM kwa kujitoa kwako juu ya nchi hii

  • @suzannnko5055
    @suzannnko5055 4 ปีที่แล้ว +1

    Nguvu yetu Rais wetu tunakuunga mkono na MS Forum 🇹🇿💪💪🤝

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 4 ปีที่แล้ว +2

    👏🏾👏🏾👏🏾mkubwa we ni fire Mashaallah. 👍🏾

  • @andrewmgoyo8008
    @andrewmgoyo8008 4 ปีที่แล้ว +8

    Jamani si mikusanyiko isiyokuwa lazima imezuiliwa inawezekana kukawa na ulazima kutembelea hiyo miradi lakini kipaumbele hasa katika hiki kipindi cha korona virus ndo maana director general wa WHO amesema dunia inafanya uzembe wa kuzuia maambukizi ya virusi hivi,kwa maoni yangu namshauri mh Rais aende direct mpaka kwny destination yake.

  • @pendomathaw6829
    @pendomathaw6829 4 ปีที่แล้ว +6

    Hata Kama kila mtanzania angetoa billion moja,Kama cyo maamuzi ya john pombe magufuli,hakungefanyika lolote,FUMBUA MACHO YAKO

    • @thetycoon8799
      @thetycoon8799 4 ปีที่แล้ว +1

      Pendo Mathaw Maamuzi gani?? Mbona hiyo mambo ilianza kipindi cha kikwete, hata ile ya tazara ilikuwa kipindi cha kikwete muwe mnakumbuka lakini , hata airport ilikuwa imeanza kipindi cha kikwete so muwe mnakumbuka tu

  • @sammotv6920
    @sammotv6920 4 ปีที่แล้ว +9

    Waoooooh

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 4 ปีที่แล้ว +3

    Ewe mwenyez MUNGU enderea kumuongoza kumrinda kumsimamia na kuzidi kuimalisha afya yeke raisi wetu

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 4 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana mheshimiwa jpm

  • @jumadea6899
    @jumadea6899 4 ปีที่แล้ว +5

    Umesomeka mkuu piga kazi

  • @kamanyile
    @kamanyile 4 ปีที่แล้ว +4

    huyu Rais ninampenda sana

  • @saidiyusuph964
    @saidiyusuph964 4 ปีที่แล้ว +10

    Hongera! Sasa kazi tunaiona

  • @mohdsalum3832
    @mohdsalum3832 4 ปีที่แล้ว +13

    Safi sana serekali ya awamu ya tano

    • @geraldkishenyi5786
      @geraldkishenyi5786 4 ปีที่แล้ว

      Kaka nakukibali sana katika watu wanao iunga mkono serikali ya awamu ya tano nawewe upo

    • @mohdsalum3832
      @mohdsalum3832 4 ปีที่แล้ว

      Tunaunga mkono kwa sababu maendeleo yanaonekana

  • @violethmtalemwa5190
    @violethmtalemwa5190 4 ปีที่แล้ว +7

    tunaomba ufunge mipaka hakuna kuingia wala kutoka corona ni tishio mkuu

    • @enockbenson4969
      @enockbenson4969 4 ปีที่แล้ว

      Corona imeshaingia toka jana soma habali

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 4 ปีที่แล้ว +9

    ❤❤👏👏🙏

  • @ahmedmsangi1653
    @ahmedmsangi1653 4 ปีที่แล้ว +5

    Mimi sijapenda maelekezo ya engenear kwaupande wa libakora lake kwa RAISI kuliinua inuwa sijapenda"

    • @zenamadhan2517
      @zenamadhan2517 4 ปีที่แล้ว

      Hahaaaa

    • @gorettimtungwe9011
      @gorettimtungwe9011 4 ปีที่แล้ว

      Umeona màaskari hawakuona sijui. Wawe makini

    • @ericmashulano8769
      @ericmashulano8769 4 ปีที่แล้ว

      ulitaka ainue nn? wakati unaona hiyo ndio support yake

    • @zenamadhan2517
      @zenamadhan2517 4 ปีที่แล้ว

      @@ericmashulano8769 hahaaa apo chacha

  • @tanzaniamemorialtv6771
    @tanzaniamemorialtv6771 4 ปีที่แล้ว +1

    respect dear Greatest world President

  • @sammotv6920
    @sammotv6920 4 ปีที่แล้ว +10

    This. Is magufuli

    • @mwalimumatunda8742
      @mwalimumatunda8742 4 ปีที่แล้ว +1

      Anaitwa mwalimu salum matunda anauliza viongoz mmefungamipaka.

    • @mwalimumatunda8742
      @mwalimumatunda8742 4 ปีที่แล้ว +3

      Magufuli watafute wafanya kazi apo ccecc kwa mchina uwasikie kele zao

    • @jamilasaid2718
      @jamilasaid2718 4 ปีที่แล้ว +1

      mwl matunda hakuna mpaka ulofungwa juzi tren kutoka zambia imejaa wazungu imeingia dar kupitia reli ya tazara. tuombe dua ugonjwa mbaya sana huu kuliko ukimwi

    • @abuuhudhaify5195
      @abuuhudhaify5195 4 ปีที่แล้ว

      hhh

  • @SEMANKA97
    @SEMANKA97 4 ปีที่แล้ว +2

    Watu nawamba JPM kuwin kura hahitaji nguvu kubwa mnapiga kelele, huyu baba anaijua nchi ndani nje na alijua itaendeleaje

  • @victoria5839
    @victoria5839 4 ปีที่แล้ว +13

    I love you magufuli ❤️❤️

  • @yusuphwella9651
    @yusuphwella9651 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawapa pongez japo kwa hatua iliyofikiwa sema tuu mim nilitarajia ukiwa unatokea kimara ukiwa kwenye Moro road unanaweza kuingia kwenye samnujoma ukiwa kwa juu lakini imekuwa Zina crossover pekee bila kutawanyika

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 4 ปีที่แล้ว +3

    "Tuko pamoja kwenye Raha na shida"🤔sawa Mr Ila Mmmh mtaan vyuma ni balaaaa MzeeBaba. sijui huko uliko mwenzetu Hali ni gan?

  • @emmanuelbonifas2804
    @emmanuelbonifas2804 2 ปีที่แล้ว

    Tutalia kila siku magufuri kila tuonapo yale ulikuwa ukiyatenda kwa vitendo kwa ajiri yetu sisi watanzania mungu akusamehe upumzike kwa aman baba

  • @asiasuedy4880
    @asiasuedy4880 4 ปีที่แล้ว +3

    Big up magufuli tupo pamoja nawe

  • @moturithevictor2522
    @moturithevictor2522 4 ปีที่แล้ว

    Watanzania ndio sasa mwatumia barabara za juu kwa juu,,,huku Kenya tumechoka nazo miaka kumi sasa,,lakini hata hivyo hongereni

  • @tophousecommunication570
    @tophousecommunication570 4 ปีที่แล้ว

    ZUNGUMZA LUGHA YA TAIFA,,,JAMAA AMBIWA HIVYO..KINGEREZA SI LUGHA YA TAIFA HILI...hongera tanzania,,,hapa KENYA vingereza tupu

  • @sammotv6920
    @sammotv6920 4 ปีที่แล้ว +11

    Mchina anateteemeka maskin

    • @muhsinmwambule9435
      @muhsinmwambule9435 4 ปีที่แล้ว

      Mchina hatetemeki! Ana uzoefu wa kukutana na viongozi wa aina tofauti tofauti. Isipokuwa tuache ulimbukeni. Kumshikia mtu kipaza sauti ama akihitaji kukishika mwenyewe hamna tatizo. Siyo mtu anataka kushika kipaza sauti wao wanafanya kama kukwepesha au kutoa mkono wake. Huo si uwerevu! Kwani rais na huyo mzungumzaji wapo mbali kama suala likiwa ni ulinzi.
      Na sijui muktadha wao ni upi! yaani ni utovu wa nidhamu kiukweli.

    • @neemakilomoni4258
      @neemakilomoni4258 4 ปีที่แล้ว +1

      Muhsin Mwambule ndio wale wale kila kitu mnakosoa hakuna jema Tanzania 🇹🇿 kwanza Mchina katetemeka keli na lazima atetemeke ana ongea na Boss

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว +2

      @@muhsinmwambule9435 watu weusi ni shida sana 😢😢

    • @eliaskajiru1206
      @eliaskajiru1206 4 ปีที่แล้ว

      Cn

    • @muhsinmwambule9435
      @muhsinmwambule9435 4 ปีที่แล้ว

      @@neemakilomoni4258 Ni tafsiri ipi inayokuambia kukosoa ni hakuna jema? Kukosoa ni kuonyesha dosari. Dosari haina tofauti na mapungufu. Tangu lini anayekuambia mapungufu yako anakutakia shari? Anayetaka uharibikiwe hakuambii bali atakulamba kisogo kwa unalotenda kwa sababu anajua unapoelekea unajiangamiza.
      Bongo Zozo aliulizwa kama mali anazo kwa nini asinunue magari makubwa ya kifahari? Akajibu, kutembea/kusafiri ni kujifunza! Unapata maarifa Dunia ina mengi. Nakusihi tembea angalau kwa kutumia smart phone yako uone wasaidizi wa rais wa wenzetu wakishika kipaza sauti kama anayezungumza akihitaji kukishika wanafanyaje? Tatizo letu tunaona ule ni umadhubuti ni ungangari. Mambo hayakwendi hivyo! Inabidi tutoke kwenye fikra ya kila kutanguliza mabavu, panapo usalama hekima itawale.

  • @alexsimon4345
    @alexsimon4345 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila nimemkubali sana mfugale kuna raha sana katika kuelezea kitu unachokielewa vizuri na kitaauluma zaidi.

    • @BabuGga-td3mg
      @BabuGga-td3mg หลายเดือนก่อน

      Huyo mzee ni mtaalamu haswa. RIP kwake

  • @merinaemanuel8100
    @merinaemanuel8100 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana baba angu mungu akulinde na akubarik zaid kipenz. Cha Tanzania

  • @diamondswahidia5416
    @diamondswahidia5416 4 ปีที่แล้ว +8

    sehemu moja ambayo pengine huko baadae inatakiwa ifanyiwe kazi ni makazi ya watu.Nina maanisha serikali ichukuwe usukani katika kujenga makazi ya watu wa kawaida katika miji mikubwa,maeneo kama temeke mikoroshini,manzese tandale na maeneo mengine kuwe na nyumba za flats ambazo watu wa hali ya chini watakaa kulipa kodi ambayo ni ya chini ili waweze ku afford kulipia,sasa hapo tanzania ita change completetly

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 4 ปีที่แล้ว +1

      Bonge la point hilo

    • @gasperkanje8930
      @gasperkanje8930 4 ปีที่แล้ว +1

      Hayo ongeeni na raisi wenu wa manzese madii

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 4 ปีที่แล้ว

      @@gasperkanje8930 ww c hujatembea fala ww uone miji mingine ilivyopangika

    • @gasperkanje8930
      @gasperkanje8930 4 ปีที่แล้ว

      @@abubakarihamissi4178 sasa unamaind nini?si mna raisi wenu wa manzese?alishughulikie hilo

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 4 ปีที่แล้ว

      @@gasperkanje8930 🤣🤣🤣🤣 we jamaa ww una jokes sana, raisi wa mateja yule...

  • @josephnchunga1247
    @josephnchunga1247 4 ปีที่แล้ว

    Dah huyu rais Wetu yuko vizuri sana namkubali kinoma anamsimamo sana hata ange ongoza miaka 20 sawa tu.

  • @dr.erickjmazyala8905
    @dr.erickjmazyala8905 4 ปีที่แล้ว +8

    eti shikamoni! Huyu rais kazi kweli kweli! Mungu azidi kumlinda, kumuongoza, na kumbariki rais wetu huyu pendwa Mh. Dr. JJPM na serikali yetu yote! Mungu azidi kuibariki nchi yetu Tz!

    • @cosmasmasolwa1811
      @cosmasmasolwa1811 4 ปีที่แล้ว

      Hata watoto wadogo wameamkiwa duh kuta bana

  • @abdallahngohe8346
    @abdallahngohe8346 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapo sawa wewe ndie laisi bola kuliko wrote salio pita pia unamsimamo

  • @rogerioathumani9084
    @rogerioathumani9084 4 ปีที่แล้ว

    Kiukweli baba mungu ndie pekee ajuae jisi gani ulivyo tujaamoyoni mweni kiukweli mungu akupe afya njema uwendelee kukutumikia baba...

  • @abdulmayombo3355
    @abdulmayombo3355 4 ปีที่แล้ว

    Nice works

  • @veronicatweve8908
    @veronicatweve8908 ปีที่แล้ว

    R.I.P Baba ni miaka 2 sasa tangu ulipotuacha M/Mungu akuweke mahali patakatifu Amen😭😭😭 🙏🙏🙏

    • @NdageKitahama
      @NdageKitahama 4 หลายเดือนก่อน

      Umatuachia maumivu makali Sana nikiangalia hotuba zako nalia ufisadi umerudi Tena hawana hata uoga wanazichota tu

  • @salmajuma4015
    @salmajuma4015 4 ปีที่แล้ว +3

    Hiii kumbe ubungo nako kunajegwa hivo duhhh

    • @dastanfussy4898
      @dastanfussy4898 4 ปีที่แล้ว

      Nmepita Jana. Karbu wanamalizia. Kubwa kuliko ya tazara

    • @salmajuma4015
      @salmajuma4015 4 ปีที่แล้ว

      @@dastanfussy4898 duhhh mashallah mm sipo tz mda kidogo ndo maana sijui kinacho endelea

    • @dastanfussy4898
      @dastanfussy4898 4 ปีที่แล้ว

      Poapoa Dada. Pande zp huko?

  • @SEMANKA97
    @SEMANKA97 4 ปีที่แล้ว +1

    Watu ni mtaji hiyo ni kweli

  • @hassanabdalla2741
    @hassanabdalla2741 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwetu sisi hapa ni kazi tu ila wale wanaosema kazi na bata watasubiri Karne ya 22 tukijaaliwa

  • @victormtani7170
    @victormtani7170 4 ปีที่แล้ว

    Daaaaah......nilikuwa km ninaota vile nikiangalia miguuni kwa Mh. Ni nini kinawaka km mwanga vile kumbe bhana Ni Raba kavaa Rais wetu.
    Sijawahi kuona Rais kavaa ila kwa huyu jamaa nilikuwa sijamuelewa hizo Raba Sidhani km zinafika hata 20,000 ninaona Huyu Mzee Mungu wetu Mlinde na wabaya wote wasio na nia mbaya na kiongozi wetu.

  • @drshytonagen2357
    @drshytonagen2357 4 ปีที่แล้ว

    tanzania wako na best president ,unacheka na watu wa kawaida hadi utani hizi. dont to fake and dopey politicians who are trying to teach you how to hate and not how to love

  • @neemalambo9790
    @neemalambo9790 4 ปีที่แล้ว +1

    Piga kazi baba

  • @davidmunduwi5962
    @davidmunduwi5962 4 ปีที่แล้ว +2

    namuona mchina hapo

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 4 ปีที่แล้ว +2

    Haya Mambo Ni ya ulaya uko

  • @NdageKitahama
    @NdageKitahama 4 หลายเดือนก่อน

    Jembe umeondoka umatuachia maumivu nikiona hotuba zako naumia Sana ungekuwepo Leo najua tren ya kutokea dar kwenda Moro ingekuwa imeanza kazi mwendo Kasi mbagala ingekuwa imeanza kazi tunaumia Sana tuna maumivu ya nauli zimepanda mfumko wa bei uko juu mafisadi wamerudi upya wanaitafuna nchi yaani hatuelewi

  • @jovinikihongosi7707
    @jovinikihongosi7707 4 ปีที่แล้ว

    Very nice

  • @chuimnyama9074
    @chuimnyama9074 4 ปีที่แล้ว +1

    Chuma cha pua V12 petrol engine 💡

  • @mapesamale3379
    @mapesamale3379 4 ปีที่แล้ว

    Piga kazi Rais wangu

  • @mlokaferdinand
    @mlokaferdinand 4 ปีที่แล้ว

    Uwe unabaki na MAVI nyumbani kwako....hahaaaaa nani kasikiaa hiyooo

  • @amanibenjamini9637
    @amanibenjamini9637 4 ปีที่แล้ว

    Koti la buku jero mzee umetisha

  • @drshytonagen2357
    @drshytonagen2357 4 ปีที่แล้ว +3

    mkutano gafla watu nyoni eti magu hapendwi

  • @faustinkakule2728
    @faustinkakule2728 4 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @djumaasaidi7575
    @djumaasaidi7575 4 ปีที่แล้ว

    Nnakubali Mze wetu

  • @africanchocolate4216
    @africanchocolate4216 4 ปีที่แล้ว

    “🤩 Haya Ndiyo maendeleo ambayo Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ali sema kwamba ‘Wa Tanzania wana yataka ndani ya CCM, na waki yakosa tu, basi wata yatafuta nje ya CCM ambavyo ni vyama vingi vya siasa”! “MWENYEZI MUNGU ibaraki Tanzania 🇹🇿, MUNGU ibaraki Afrika, Amen 🙏🏾.
    “Halafu 👇🏾”
    Kuhusu “Corona”👇🏾
    “Ndivyo isivyo takiwa namna hii😡 😳” Lakini si nili waambia kwamba mipaka yote ya Tanzania 🇹🇿 ifungwe kabla hali haija kuwa mbaya, wenyeji na wageni wasi ingie wala kutoka! Na mipaka ita funguliwa pindi baada ya hali ku tengemaa lakini bado hamsikii tu mpaka kifo kime ingia hali mki shuhudia wenyewe 😳, kweli sikio la kufa hali sikikii dawa 🙄”! 😷🦠🤧🚨🤮💉💊🧪🌡🚑🚔🚨🚷❌❗️ “MWENYEZI MUNGU iponye Tanzania 🇹🇿, MUNGU iponye Afrika na Ulimwengu wote 🌍, Amen 🙏🏾😢

  • @scheffertomar2069
    @scheffertomar2069 4 ปีที่แล้ว

    Jamaa yasikitisha sana na video hii ningependa ifutwe. Mtandaoni. Mukiangalia makini. Iko dharau ndani yake. Vile yule engineer anavyo rushwa mikoni na kusukumwa sio sawa. Watoto wake na jamaa zake wanasikia vipi.

  • @mwlmazingira8705
    @mwlmazingira8705 4 ปีที่แล้ว

    SMG au macho yangu

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 ปีที่แล้ว

    Rais wetu mwenye Utu Upendo na kuchapakaz mda wote usiku mchana anafanyakaz ili watu wake wasiishi kw unyonge.

  • @salumabdallah6680
    @salumabdallah6680 4 ปีที่แล้ว

    Mzee hilo Gongo vipi usije ukatuumizia raisi wetu mpaka ulinyanyue wakati unaongea

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว +2

    Hands on Prez,hapendi mambo ya kusimuliwa,mambo ni kujionea bana!mzee mzigoni,wengine kwenye makelele wakitafuta huruma!

  • @oddolizermedia5890
    @oddolizermedia5890 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂kama umeskia iko wapi modo gonga like

  • @lichilasalumu7983
    @lichilasalumu7983 8 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa naitafuta Sana hotuba hii

  • @davidelias7803
    @davidelias7803 2 หลายเดือนก่อน

    Ulipo ingia tu madarakani Cha Kwanza ulijishushia mshahara ili usiwanyonye wananchi, Nan Kama wew dunia hii