ZIARA YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI NACHINGWEA NA MASASI .

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ameongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli tarehe 16 Oktoba, 2019 anaendelea na ziara yake Nachingwea na Masasi

ความคิดเห็น • 6

  • @simu2008
    @simu2008 4 ปีที่แล้ว +6

    Mimi najiuliza hivi awamu hii Rais Mkali hivi bado anakuta madudu na uzembe, je awamu ya 4 ilikuwaje!!!

  • @fatmamlumbwa7616
    @fatmamlumbwa7616 4 ปีที่แล้ว +1

    Mambo ni🔥 🔥

  • @zozohmeed5546
    @zozohmeed5546 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani kweli kweli

  • @johnmbugani6532
    @johnmbugani6532 4 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mfumo gani wa ufuatiliaji wa kutimiliza Kauli na maelekezo ya mh Rais? Maana siamini hao wakurugenzi na wengine wenye kufanya madudu akiondoka km wanafuatilia. Lazima kuwe na kitengo cha ufuatiliaji wa karibu wa maamuzi yote anayotoa Rais

  • @twalibkassimu3042
    @twalibkassimu3042 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu yangu una chelewa kutuma video za matukio una pitwa views na j w