Nimeipenda sana hii na nimewapenda sana mama na mwanao. Na kwa ukubwa sana nampongeza baba aliyewajibika kukuchukua hata kama hakuwa wa kutoka viunoni mwake. Wanaume wachache sana wa hivyo. Mungu awatunze
MAMA ENG TINA NIMEKUPENDA MWANAMKE JAAIRI NA SHUJAAA❤💪. MY LOVELY LILIAN NINAKUPENDA SANAAAA WW NI MTU MUHIMU SANA HAPA DUNIAN MUNGU AZIDI KUKUBARIKI SANAAAA NA AKUPE ITAJI LA MOYO WAKO MY BABY WANGU LUV U❤💋
This is hard talk for sure. Waah some mothers go through a lot to protect their children. Hope itaendelea they is more to this story. Thank you for letting us in to your lives
Engineer Tinna is Bahati Mwakajila (me) Lilian Mwasha is Prudence Luhinda (my daughter) L.Mwasha is on the way from Almighty God. I am still waiting for the right time from God. This exclusive interview has made me cry for sure 😭😭😭🙌🏽🙌🏽 But I see the light in the end of the tunnel 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Prudence Luhinda, Mungu atamuinua ktk viwango vya juu sana, wait and you will see, coz it my story, and I see God jinsi anavyo nibariki na kuniinua ktk viwango vya ajabu. And my really dad is there waching my success, Mungu azidi kumueweka zaidi na zaidi ili avune alichokipanda (maumivu)
When love comes from within it speaks loud.... Mzee Mwasha God bless you wherever you are. Kila mtu anao ukurasa wa kukumbuka katika maisha yake... We thank God for every moment in our life
Liliane!Liliane! Liliane! Nimekuita mara 3..kweli it's really a hard talk. Mimi mwanaume, niko kwenye gari nasikiliza hiki kipindi, najikuta machozi na makamasi yanatiririka..
Namatani kujua Kama Mzee Mwasha Yupo Hai ,. Nimejifunza Mengi sana.. Mungu awabariki SANA.... JE Mumy Lilian ulifanikiwa kuongea na baba Yako mzazi au kumuona ????Pia kuwafahamu Ndugu zako upande wa baba Yako.....
Maisha yana sura nyingi. Upendo ni tunu kwa watu na upo pale pale ukitutolea macho ili tuzisikilize kwanza nafsi zetu, tuzisikilize za mwengine kwenye huu mviringo tulimokaribishwa, na kusikiliza kitokacho katikati ya mviringo tulioutengeneza kwa kukaa kwetu. Usikilizaji katika ngazi zote hizi ni muhimu sana na kwa usikilizaji huo dada Tina aliweza kusonga mbele kwa mafanikio. Lakini pia kusikiliza ni stadi [skill]. Siyo kila MTU anaweza kusikiliza kwa ngazi hizi tatu. Na kama huwezi kujisikiliza nafsi yako mwenyewe ni vigumu sana kuwasikiliza wengine, na kile kitokacho katikati ya huo mviringo - hapo kwenye meza iliyo katikati [ahangambiro]. Utatuzi unatokea hapo katikati. Mbarikiwe sana na mafunzo mengi yamo humu.
😭😭dah hii story niyangu mimi leo Nina mtoto mchanga nalea na yamenikuta hayo hayo anayo elezaza mama lily.nina mtoto na ni WA kiume namlea kwa mapenzi makubwa na siumii moyoni kabisa Nina amani sana.
Pastor lilian hope your fine I hope you'll see my comment I'm in Daresalaam University I have vision as a girl but I don't know where to start how can we meet and where?
Comments nyingi zinaogelea Lilian na mama yake Baba wakambo walilia amjamuona vile alikua Bora kama Baba alie mzaa Hata jina la Baba wakambo Lilian Dio utumia Lilian Kwa maisha yako yote uyo.dio Baba halisi usiwai waza mwengine mpende kwasiku zote za uwai wako
Jamani kila siku Lilian ukisema this is hard talk, I used to say, like , hard talk gani hii! But this was really a tough talk, Lilian! We cried with you for sure! Strong mum you have there!
Isaya 44: 3 Kwa maana nitamimina maji juu yake aliye na kiu, na vijito vya maji juu ya mahali pakavu; nitamwaga roho yangu juu ya wazao wako, na baraka yangu juu yao utakaowazaa; *TUMSHUKURU SANA MUNGU WETU MAANA ANATUTUNZA, ANATUJAZA MAHITAJI YETU YOTE NA KUTUONGEZA PALE TULIPOPUNGUA SISI NA WAZAO WETU!!!*
Nimeipenda sana hii na nimewapenda sana mama na mwanao. Na kwa ukubwa sana nampongeza baba aliyewajibika kukuchukua hata kama hakuwa wa kutoka viunoni mwake. Wanaume wachache sana wa hivyo. Mungu awatunze
Sanaaaa
Pio
Kweli kabisa
Daaaah
Lillian nakupenda mno,umefanana na mama yako mno.Napenda sana kipindi chako
Dada tokea nchini kenya nafurahi sana kipindi chako sio tu kwa mambo ya maisha Bali uwepo wa mungu unajidhihirisha 🙏🙏🙏
Like mother like daughter😍I’m so inspired with the two🙏🏾,I won’t give up🙏🏾.
Nawapongeza mno familia ya Remeni P. Mwasha.
Barikiwa mama na mtoto
MAMA ENG TINA NIMEKUPENDA MWANAMKE JAAIRI NA SHUJAAA❤💪. MY LOVELY LILIAN NINAKUPENDA SANAAAA WW NI MTU MUHIMU SANA HAPA DUNIAN MUNGU AZIDI KUKUBARIKI SANAAAA NA AKUPE ITAJI LA MOYO WAKO MY BABY WANGU LUV U❤💋
Ama kweli mtoto wa nyoka ni nyoka tuhh Big up 🥰🥰
Liliane mama yako anakupenda sana sana mpaka raha ila kakupa upendo huo wewe. Mwanamke mcha Mungu Liliane. Mungu akubariki pamoja na mama
Thats good ni noma san good creativity ,si san kujuwa historia ya waandishi but leo tumepat hii nafc ten kw creativity ya pekee ✊👍
Kipindi kizuri kweli ina furahisha mama na mtoto Masha Allah mnafa nana kweli nina wapenda utazan muna asiri ya kinya rwanda mnafanana wa kwetu💕🇬🇦
hatuna ukabila sisi ni watanzania
@@marianakapeller4699 Hatasis hatuna ukabila kusem wana fanana wa nyarwanda nikosa?
Wanawake tuna changamoto nyingi sana machozi yananitoka but ee Mungu nisaidie😭
Jamani mi najiisi kuzimia,mungu wangu siamini alichotuletea liliani mwasha,
Wow! LILIAN YOUR MOTHER IS VERY STRONG WOMAN SAFI SANA
Mwanamke wa shoka ndiyo huyu sasa🔥🔥🔥🔥🙏
This is hard talk for sure. Waah some mothers go through a lot to protect their children. Hope itaendelea they is more to this story. Thank you for letting us in to your lives
Engineer Tinna is Bahati Mwakajila (me)
Lilian Mwasha is Prudence Luhinda (my daughter)
L.Mwasha is on the way from Almighty God. I am still waiting for the right time from God.
This exclusive interview has made me cry for sure 😭😭😭🙌🏽🙌🏽
But I see the light in the end of the tunnel 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Pole dear😭😭
Prudence Luhinda, Mungu atamuinua ktk viwango vya juu sana, wait and you will see, coz it my story, and I see God jinsi anavyo nibariki na kuniinua ktk viwango vya ajabu. And my really dad is there waching my success, Mungu azidi kumueweka zaidi na zaidi ili avune alichokipanda (maumivu)
real huyu Mama ameongea POINT sana nimependa sana na ninampa HESHIMA sana....allan macha
Best mama mmefanana sana mpaka sauti hongereni mno
Ongera sana mama,wewe ni mama wa nguvu,na mfano wa kuigwa kwetu,nakupenda sana mama lily,
Mama ,mama,mama nimekusikia nimekuona nimelia sna wewe ni super woman, Mungu akutunze mama yetu
Yaani wewe dada nakupendaga sana. Nilkuwa sijui kama unaitwa lilian. Nimefurahi kumuona mama Mungu awatunze
When love comes from within it speaks loud.... Mzee Mwasha God bless you wherever you are. Kila mtu anao ukurasa wa kukumbuka katika maisha yake... We thank God for every moment in our life
Lilian, story yako iko very emotional. Sijui uliwezaje kuandaa kipindi hiki! na mpendwa mama !
Yaani huyu mzee mwasha ana moyo mweupe ,Mungu ambariki.mmefanana Sana na mama.story imenitoa machozi.
Wewe ni mama kila mtoto angetamani uwe mama yake I'm blessed kufatilia hiki kipindi Mungu awatunze
Kila lijalo kwene maisha muumba ndiye mpangaji huctaman mama wa mwenzako unamkosea wako hucrudie tena
Lil umefanana na Mama 🧡🧡❤️❤️❤️
Waoh,very interesting this, Ooh Mungu baba azidi kumlinda na kumtunza mama.
Hawa wababa wenye upendo km wa Mwasha wameenda wapi?
Super women huyu ndiye super women wa kweli love you mommy
Nimeipenda hii sana mama na mwana where is part 2
A mum is strong,God bless her,this is really hard talk for sure!
Soo touching and emotional Lilian. Msalimie Sana mama
Waoooo nimempenda Lilian na Mama
Liliane!Liliane! Liliane! Nimekuita mara 3..kweli it's really a hard talk. Mimi mwanaume, niko kwenye gari nasikiliza hiki kipindi, najikuta machozi na makamasi yanatiririka..
😁
😂😂Daa ilaa
Hi miss lilian, your mother life story is very touching.
Same story abt me aki nilipata ball na sikujibiwa kama mama hapa bt thanks to God I n dota we stil alive up to now
Waoooh hongera mama kwa ujasiri
Thank you,I'm inspired.
Indeed hard talk, very touching😍
Lilian you have a responsible mother. She loves you deeply.
yah
Wow ase hongera sana dada na mama, hakika hii ni hardtalk
Namatani kujua Kama Mzee Mwasha Yupo Hai ,. Nimejifunza Mengi sana.. Mungu awabariki SANA.... JE Mumy Lilian ulifanikiwa kuongea na baba Yako mzazi au kumuona ????Pia kuwafahamu Ndugu zako upande wa baba Yako.....
Kasemaa kafaa,,,,
Maisha yana sura nyingi. Upendo ni tunu kwa watu na upo pale pale ukitutolea macho ili tuzisikilize kwanza nafsi zetu, tuzisikilize za mwengine kwenye huu mviringo tulimokaribishwa, na kusikiliza kitokacho katikati ya mviringo tulioutengeneza kwa kukaa kwetu. Usikilizaji katika ngazi zote hizi ni muhimu sana na kwa usikilizaji huo dada Tina aliweza kusonga mbele kwa mafanikio. Lakini pia kusikiliza ni stadi [skill]. Siyo kila MTU anaweza kusikiliza kwa ngazi hizi tatu. Na kama huwezi kujisikiliza nafsi yako mwenyewe ni vigumu sana kuwasikiliza wengine, na kile kitokacho katikati ya huo mviringo - hapo kwenye meza iliyo katikati [ahangambiro]. Utatuzi unatokea hapo katikati.
Mbarikiwe sana na mafunzo mengi yamo humu.
Nami nimelia 😢😢 baba wakambo alikuwa na moyo mzuri Sana
😭😭dah hii story niyangu mimi leo Nina mtoto mchanga nalea na yamenikuta hayo hayo anayo elezaza mama lily.nina mtoto na ni WA kiume namlea kwa mapenzi makubwa na siumii moyoni kabisa Nina amani sana.
hongera kipnz
Mungu azidi kukusimamia, mtunze mwanao atakuja kua mtu mkubwa sana hutoamini macho yako
Wanawake hawa Mungu awalinde jamani!
nakupenda sana Lilian na mamayako
Hii story imenigusa sana yaaani kuna maisha tunapitia
WOW!!!What a woman...salute to all responsible mothers out there...She sacrificed her desires for her child😭😭 my ther did thesame.
Waaoooh Super Woman!
Yote yametendeka kwa mema na Mungu awabariki sana sana🙏🏼🙏🏼
Part two please!
I'm crying 😭 good momy
Kweli kuna watu wanaupendo wa dhati! Mungu ambariki sana huyu baba aliejitoa kwa moyo wake wotee.
Pastor lilian hope your fine I hope you'll see my comment I'm in Daresalaam University I have vision as a girl but I don't know where to start how can we meet and where?
Congratulations Madam Engineere,your story is so inspiring.
Comments nyingi zinaogelea Lilian na mama yake Baba wakambo walilia amjamuona vile alikua Bora kama Baba alie mzaa Hata jina la Baba wakambo Lilian Dio utumia Lilian Kwa maisha yako yote uyo.dio Baba halisi usiwai waza mwengine mpende kwasiku zote za uwai wako
Wengi hawaliangalii hili lkn jamaa alifanya kazi sana kubwa ambayo wanaume wengi hawawezi kufanya
What a beautiful family icried too
Hongera sana Tina ulizaa madini
Lilian dada mashaallah umepata mama bora , Na kila mtu angetaman kuwa Na mama huyo , niseme to nakuonea wivu , nikitokwa Na machozi 😭
Mimi natamani kuwa na mama kama mamaangu vile alivo
Mimi mama yangu ni bora sana kwangu kuliko mwanamke yeyote, siwezi kumfananisha mama yangu na mama yeyote chini ya jua.
@@rahelimuhehe7068 sawa sawa siwezi kumdharau mamaangu kwa mama Wa mtu mwengine mama ni mama tu hata kama chizi anathamani kubwa kwako
@@rahelimuhehe7068 n
@Happy tv kabisa mpenzi, mm nitamuenzi mama yangu hata akiwa kaburini, wala hayupo mwanamke atakayefanana wala kulingana naye milele.
Ninakupenda sana mama ubalikiwe sana
You are all super great! Mama is beautiful and daughter is beautiful! Proud of you girls! Mungu na azidi kuwabariki sana
Wow! Nice! Nmefurahi sana ...Kwel n HardTalk very touching conversation! I like it...Ngoja ni subscribe channel hii rasmi
Kumbe ww dada Lilian unaakili Kama mama yako na nimbunifu pia ,ongera kwa familia bora
Jamani kila siku Lilian ukisema this is hard talk, I used to say, like , hard talk gani hii! But this was really a tough talk, Lilian! We cried with you for sure! Strong mum you have there!
😭😭😭baba yangu aliniambia Rudi nyumbani Kama maisha ya dar es salaam 😭😭sitasahau...God plz bless my father
Hongera sana mama🥰🥰🥰🥰
Like mother like daughter and I love to see it. God bless you dearly
Mmefanana Sana jmn 🥰
❤❤❤❤❤love mama.umefanana nae sanaaaa
🤣🤣🤣🤣 English imefika penyewe kwa muhaya tena safi sana Lilian and mam
Mapasha kabisaaa, Dada Liliane mumefanana na Mama🥰🥰
wow. part 2 please ❤. true ❤love
I love this enterviw❤️
27yrs kuwa na mimba pia ulijaribu .this is hard talk wallai
Iv izo nywele za rangi ya nxh gani sjaelea 🤗🤗🤗Ila sio bongo
Good job god bless you
Mh! Wewe ni shujaa, kwa hiki nilichojifunza hapa kutoka kwa mama. Mungu afanye aishi pamoja nawe
liliane mom shes look like mama ruge mtahaba
Mmefanana sana mashallah
Beautiful yet very emotional. Much love 🥰🥰🥰🥰🥰
Mashallah, Beautiful mother 😘😍
Nakupenda sana dada yangu
Mama naye ni Motivation speaker. Blessed farmily
Woooow..nice..mama na mwana..wote mpo simart
Hii story inamafunzo sana kwasisi tuliotelekezwa namimba
Pole dear
@@jackyluns8224 Asante dear
@@mwanaishamande8880 Nakutabiria utapata MTU sahihi mpaka utajiona kama ulichelewa hivi Mungu mwema atajibu haja ya moyo wako
@@jackyluns8224 aamin mom
@@mwanaishamande8880 Mungu ni mwema
Wow amazing
Woooow yaani mmenibariki sana
Looh,hata sijui nisemeje!!Mama nimemwelewa mno mno mno mno!!!Baba Lili pia(Mwasha)nimemwelewa,wababa hawa wapo wachache mno.Natamani mwendelezo
Kafanana na huyu 😮
The best interview ever
Waoooo strong mama
Say hi to mama Lilian ❤️❤️
Kuna watu mna raha sana Jaman.Hongera mama na mtt
Kwakweli wanaraha, upande wangu 😔 sisemi ni mtihani mtu 😢
Kuna wababa wengine wamejaliwa hekima na busara.. Kama baba yake hongera yake kama cyo baba ake asingekua apa leo huenda angehadithia mengine
Amina Namoyo.Pole kipenz tuko wengi ambao hatuna cha kusimulia mbele za watu.Anasemaga SENGA muigizaji , hutaman hata kupata copy ya huko
Grace Silayo.Kabisa baba apongezwe ni baba aliye mojawapo ya WACHACHE wanaotambua nafasi zao DUNIAN
I see my really life here 😭😭😭😭
Where is part two jaman
Surely that is hard talk.....
Lili you have such a wonderful mom
Nice mama
Isaya 44:
3 Kwa maana nitamimina maji juu yake aliye na kiu, na vijito vya maji juu ya mahali pakavu; nitamwaga roho yangu juu ya wazao wako, na baraka yangu juu yao utakaowazaa;
*TUMSHUKURU SANA MUNGU WETU MAANA ANATUTUNZA, ANATUJAZA MAHITAJI YETU YOTE NA KUTUONGEZA PALE TULIPOPUNGUA SISI NA WAZAO WETU!!!*
🙏
Waouh ! Mama jasiri mno
Saf sana mama
Lilian this is touching hardtalk. Inagisa sana. Namie natamani niweze kufanya hardtalk nawe maana nilikuwa mama wa nyumbani na kusoma na kuwa Engineer
Awesome 😍
Mama yko kijana bado pia mrembo
😥😢 Jamani