Maashaaallah dada Lillian leo umependeza sana,na vazi hilo lime fanya kipindi chako kiwe kitamu sana, ubarikiwe nakupenda sana pia napenda vipindi vyako,Namiss kipindi chako kizuri cha Women matter sijui hufamyi tena hiko kipindi au??but na enjoy vipindi vyako vyote may Allah bless your family
Ushuhuda mzuri sana huyu dada aendelee kumshuhudia Bwana Yesu na kuwalete wengine kwa Yesu, amtumikie Bwana Yesu katika utakatifu amen! Lilian unajua kuuliza maswali keep it up!
Dada Stella Mungu amekubariki na yupo nawewe,Una moyo wa uvumilivu na imani, usiangalie watu angalia Allah anakupenda inatosha! anakutendea mema zaidi ya wale wanao jiona bora kuliko wengine, mshukuru Allah kukuweka nafasi hio ulipo, binadamu Sio lazima tufanane ndo tupendane, ndo maana Allah akatuumba tofauti tofauti tusifanane na wengine ili kutuonesha udhaifu wa mioyo yetu'na upendo kwa wengine, usihizunike upo na anae kupenda nae ni Allah inatosha!
Watanzania wenzangu Mungu hashindwi kufanya lolote.Kwa story hii nimeguswa na zile gharama.Duu ukiambiwa Tanzania ina shule be hazina vyoo hazina madawti wamama wanaokufa be kwa kukosa huduma za afya,hutaamini.Jamani tugawe huu utajiri wa nchi hii kwa usawa.Ole wao wanaokula vinono na kulala kwenye vitanda vya semadari kwa sasa.Kuna siku watalia na kusaga meno.
wow sad and the same time is a story that touches the heart and pain But the moon, God is great.🙏🙏🙏🙏🙏 thanks very much to beautiful sister for sharing your story wanana wa bukoba Bk. big up Miriam Nshemba your bless and good Job.
Ni kweli adui anaweza kuchelewesha lakini kusudi lq mungu liko palepale. Niliishi maisha ya uaminifu nikimgonjwa bwana anipe mume. Kwamqjila na nyakati nimeolewa mikiwa na miaka 48
Hongera sana mtumishi Stela.🙏👍. Lilian Mwasha, kazi njema sana hii, unatia moyo sana waliokata tamaa ktk hizi interview zako. Asante 🙏 Mungu akutie nguvu!.
Msimlaumu labda amechanganya tu miaka lakn stori ni ya kweli. Ninachojua tu miaka ya 2013 aliolewa alifunga ndoa kabisa ya kanisani na yule mume alifariki lakn hajaisema. Na pia hajaongelea kuhusu mtoto wa pili.
Unaonaa angesema siwez kurudiana na X,kumbe Kwa Mungu hakuna X Kuna mume na mke ,kwaio tuwenj makini Kuna wengine waliwakataa ma x zao Kwa kusikilizq manen ya wandamu kumbe walikuwa wameandikiwa wapitye watakayopitia ili waje kutengeneza ndoa imara,lkn Kwa kushupaza shingo mpaka Leo Badoo hawajapat watu
Mungu akasema wajikusanyapo watu wawili watatu nami nipo katikati yao. Haya huyu anasema pasipo na watu pana uwepo wa Mungu. Kila mtu ana Mungu wake humu tuwe makini.
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Mungu Ni mwema Kila wakati. Amina
Dda lilian umependza sna na hiyo nguo uvaage hivo bn achna na mawigi 💃🏼💃🏼
Maashaaallah dada Lillian leo umependeza sana,na vazi hilo lime fanya kipindi chako kiwe kitamu sana, ubarikiwe nakupenda sana pia napenda vipindi vyako,Namiss kipindi chako kizuri cha Women matter sijui hufamyi tena hiko kipindi au??but na enjoy vipindi vyako vyote may Allah bless your family
Mimi nimekuamini kwa asilimia mia moja100 kwasababu mimi niliuona muujiza wa Mungu niliponywa ndani ya sekunde moja.ukimuomba anatenda.
Kwa kweli Mungu ni mwema kila wakati!! Imani ni kila kitu!!!! Mubarikiwe sana.what a beautiful testimony!!!i just luv it!!!
Uhuhuda nzuri sana. Mungu asanteh kwa kuwa hutamtupa mtu hata milele ujapomhuzunisha utamrehemu. Nirehemu na mimi
Ushuhuda mzuri sana huyu dada aendelee kumshuhudia Bwana Yesu na kuwalete wengine kwa Yesu, amtumikie Bwana Yesu katika utakatifu amen! Lilian unajua kuuliza maswali keep it up!
haleluyaaaaa kwa sauti kuuuuu hakika Mungu wetu ni mkuuu hakuna sababu kuchelewa twendeni kwa Yesu
Dada Stella Mungu amekubariki na yupo nawewe,Una moyo wa uvumilivu na imani, usiangalie watu angalia Allah anakupenda inatosha! anakutendea mema zaidi ya wale wanao jiona bora kuliko wengine, mshukuru Allah kukuweka nafasi hio ulipo, binadamu Sio lazima tufanane ndo tupendane, ndo maana Allah akatuumba tofauti tofauti tusifanane na wengine ili kutuonesha udhaifu wa mioyo yetu'na upendo kwa wengine, usihizunike upo na anae kupenda nae ni Allah inatosha!
Anafanana na hamo rapa dada nakupenda
Watanzania wenzangu Mungu hashindwi kufanya lolote.Kwa story hii nimeguswa na zile gharama.Duu ukiambiwa Tanzania ina shule be hazina vyoo hazina madawti wamama wanaokufa be kwa kukosa huduma za afya,hutaamini.Jamani tugawe huu utajiri wa nchi hii kwa usawa.Ole wao wanaokula vinono na kulala kwenye vitanda vya semadari kwa sasa.Kuna siku watalia na kusaga meno.
@@fatmasaleh9516 Muogope sana Mwenyez Mungu na zijali hisia za mwingine kabla hujatamka
@@fatmasaleh9516 una matatizo ya akili
Dada Stella habari za siku? Hongera Kwa kuzidi kumtukuza mungu tulikuwa wote posta
Congrats dada stera Mungu ni mwema sana na mungu aibariki ndoa yko.your very smart the way you talk it's describe how smart you are,God bless you
Mungu ni mtenda miujiza na anaweza kila kitu, Amina 🙏🙏 Dada Stellah HAKIKA wewe NI shuhuda kwa waaminio.
BARIKIWA SANA 🩸🩸
Ibada hii Mungu aikumbuke na izidi kwendelea sana Yesu awakumbuke
Nimeguswa sana na testimony ya dada Stella. We give God all the glory. Endelea kumtumikia Mungu
Amina nimebarikiwa sana sana Mungu yupo
Eeti da liliani umjui Dr. Silivester Gwamanywa
Naendelea kukuona Mungu maishani mwangu 😍💓🙏
Aaamin 🙏
Ashukuriwe Mungu, hakika yote yawezekana kwa yeye aaminiye.
Huyu mungu alie kuponya miguu aniponye na mie miguu
Amen Pokea Uponyaji In Jesus Name 🙏🏿
Mungu hawezi kukuwacha atakuponya katika jina la Yesu Kristo Amina.
Ooh Glory to God! Dada Stella kwa kweli ushuhuda wako umenitoa machozi. Maan NAMI ni mhitaji. Kweli Mungu anaweza. No.ya Dada Stella please
Jamani na mie naomba namba ya Stella
Imani yangu imeongezeka kupitia ushuhuda huu, asante Lilian na mwimbaji wetu bi Joel
wow sad and the same time is a story that touches the heart and pain But the moon, God is great.🙏🙏🙏🙏🙏 thanks very much to beautiful sister for sharing your story wanana wa bukoba Bk. big up Miriam Nshemba your bless and good Job.
Hakika Mungu wetu yupo na anaishi🙏
29January HONGERA SANA RAFIKI YANGU.
Mungu yupo dada zangu , mimi pia nina mengi jwa ajili ya Yesu christo wetu ❤️🙏🏾
Natamani unishuhudie maana nimekata tamaa kabisa
Ni kweli adui anaweza kuchelewesha lakini kusudi lq mungu liko palepale. Niliishi maisha ya uaminifu nikimgonjwa bwana anipe mume. Kwamqjila na nyakati nimeolewa mikiwa na miaka 48
Hongera na ulipata mtoto maana bado pia sijapata mwenza
Ohooo kumbe Una watoto wawili hongera Sana
This is true God we serve.Hallelujah🙏🙏🙏
Imani yangu imeongezeka...asante Yesu kwa kunileta katika hii page .hope sio bure nimejengeka..🥺🥺
Bwana Asifiwe nimewapenda kikao kimepata watu ushihuda mzuri mtangazaji umenibariki Safi sana.msalimie Stella mwambie Mchungaji Tumaini Mwanyonga anakusalimu amefurahi kukusikia.
Hallelujah hakuna kama Mungu, sifa na utukufu tunakurudishia wewe Bwana.
Haleluyaa!Hakika Mungu anatenda Asante kwa ushuhuda wa kuongeza imani
Lilian interview zako zinatusaidia sana unabarikiwe
Hongera sana mtumishi Stela.🙏👍.
Lilian Mwasha, kazi njema sana hii, unatia moyo sana waliokata tamaa ktk hizi interview zako.
Asante 🙏
Mungu akutie nguvu!.
Mtangazaji bigup na Roho Mtakatifu Safi Sana nimekupenda
Kwakweli Lilian mwasha umependeza sana na hilo vazi, wallah stara haimtupi mtu,natamani u as hivyo kila siku kila saa kila sekunde 😘
Hallelujah hallelujah hallelujah!! Utukufu Kwa Mungu.
Kuamini jamani ndo kila kitu.
Mungu anaponya
MUNGU ANAWEZA
MUNGU NDIO KILA KITU
God is always Faithful
Lilian leo umependeza kuliko siku zote
Asantee mungu wetu. Nikumbuke na Mimi amina
Nimebarikiwa n a ushuda sana .barikiwa kwa huduma uma.ylako aendelee kukuiina
Amen amen .ndivyo ilivyo
God bless you my sister you have motivated me through your testimony
I like your confidence Lilian as you are an effective communicator.
Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏 nafurahi namimi niko mwika10 nikiwamugojwa
Lilian umependez hiyo nguo ni nomaaa
J
Haleluyaaaaa.. asante mungu..
Naomba na Mimi uniguseeee baba
HII SIKU YA LEO SITOKIUJA KUISAHAU NIMEFARIJIKA SANA NA KUNA KITU KIKUBWA SANA NDANI YANGU
Ameen,barikiwa sana dada,ushuhuda mzuri na unazidi kunikuza kiimani,Haleluya
Thanks lord Jesus, ushuhuda umenitia moyo saaanaa
Hakika YESU ni mzuri.
Mungu akubariki
Asante kwa Ushuhuda hadi machozi yamenitoka
Sifa na utukufu zimurudie MUNGU BABA WAMBINGUNI 🙏🙏🙏👏👏👏
Amen
Yupo Mungu asiyeshindwa
Maadui watakuja kwa njia.moja watatawanyika kwa njia saba.sifa na utukufu zimurudie. YEYE JEHOVAH ALIE JUU 🙏🙏🙏
Amen What A Life Story
More Blessings My Sister Stella 🤗
Jesus Love You
Utukufu kwa Mungu 🙏
Amen mtumishi ubalikiwe
Be blessed my sister stelah &bro frank
Glory to GOD..
that why God say if he say yes no one can say no
Natamani part 2 jamani
Amen, Mungu ni mwema kila wakati
Amina Stella, mungu mwema Kila wakati
Matendo makuu ya Mungu ,namuogopa Mungu mimi
Asante 👋
Leo umeva vizuri umependeza
Amina,nimepona
Hallelujah Jehova is the highest 🥲😢😭😭
Mungu ni mwema sana tusikate tamaa
Inashangaza sana Mungu ni mwema kila wakati
Dada Lilian. Mi ni mwanamke ambaye napitia magumu
. Unanifariji mno dada yangu nikuambie nakupenda mno.
Atukuzwe mungu aliyejuu
Lilian bana napenda unavyouliza maswali kuhakikisha huachi point hata moja
God is able inhia huyu mungu
Ubarikiwe. Dada
Msimlaumu labda amechanganya tu miaka lakn stori ni ya kweli. Ninachojua tu miaka ya 2013 aliolewa alifunga ndoa kabisa ya kanisani na yule mume alifariki lakn hajaisema. Na pia hajaongelea kuhusu mtoto wa pili.
Peace Makers!
Natafuta nyimbo za Peace Makers.
Humble woman
Wajina wangu Stella .hongera.
Lilian naomba contact zako pls
Yaani you are the best ladies ii Tanzania
Unaonaa angesema siwez kurudiana na X,kumbe Kwa Mungu hakuna X Kuna mume na mke ,kwaio tuwenj makini Kuna wengine waliwakataa ma x zao Kwa kusikilizq manen ya wandamu kumbe walikuwa wameandikiwa wapitye watakayopitia ili waje kutengeneza ndoa imara,lkn Kwa kushupaza shingo mpaka Leo Badoo hawajapat watu
Nafatilia kutoka Burundi 🇧🇮, kwakweli ni meguswa
Amina
Hongera sana Stella.
Ukiwa na Imani kama chembe ya Haradati utaweza ukauambia mlima huu uhame ukahama.
Sad history ila nyuma nimefurahi Alhamdulillah
Yesu mnamchezea saana Hizo kucha ni za mama anayemtukuza Yesu??Mmuogope Mungu wapendwa
Amina ubarikiwe mama.
God is good
Aisee sijaelewa amemaliza Shule lini? Amekaa hospital muda gani hapo nimepiga mahesabu sijamuelewa Dada Stella atueleze vizuri bwana
Hakumaliza shule ,kama umemsikiliza vizuri alipoulizwa vyeti vyake alisema hana hakumaliza shule
Hata mm sujaelewa. Amesema alipata ajali akiwa form 3 alafu akakaa hosii miaka 9. Alafu akatoka hosii akiwa na miaka 18.
God is able 👌👌👌
Mungu akasema wajikusanyapo watu wawili watatu nami nipo katikati yao. Haya huyu anasema pasipo na watu pana uwepo wa Mungu. Kila mtu ana Mungu wake humu tuwe makini.
Unatakiwa uelewe alikuwa anahitaji utulivu na Mungu alikuwepo Live
🤣🤣🤣🤣
Wakati huo huo anasema huko mnugani walikuwa watu 400
Ee MUNGU wa mbinguni unayeishi kutana na maisha yangu kama jinsi ulivyo kutana na huyu mtumishi wako stella
Lilian you look good on your outfit
Mungu mkuu anastahili sifa
Aamiina, Asante Yesu
very true indeed
Love from Kenya