MANENO YA MAMA MZAZI WA NANDY KWENYE USIKU WA KITCHEN PARTY YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 86

  • @ashuraismailismail5805
    @ashuraismailismail5805 2 ปีที่แล้ว +13

    Hongera sana mama Nandy kwakuzungumza maneno mazuri yenye mafunzo mengi 🥰 kiukweli anaevunja ndoayake nimwanamke mpumbavu 🥰🥰asuejua nini anacokitenda insha'Allah mwenyezimungu aibariki doa yako 👸Nandy❤️❤️❤️❤️

  • @gregortherry6048
    @gregortherry6048 2 ปีที่แล้ว +2

    This is real mom. Hongera sana. You've aired an excellent msg for all new weds and those wishing to get married. Mungu aendelee kukubariki.

  • @thebisadorychannel7574
    @thebisadorychannel7574 2 ปีที่แล้ว +6

    Mama Nandy you are Amazing mother what a beautiful message to All mothers and young women👏🏽👏🏽👏🏽🌷😍😍😍

  • @jayrwalihmussa8475
    @jayrwalihmussa8475 2 ปีที่แล้ว +4

    Ongera sana kipenz changu nandy nakupenda sana hakika kumcha bwana ni chanzo Cha maharifa usisahau nakutakia kila lakher kwenye maisha yako ya ndoa

  • @neemamarando7806
    @neemamarando7806 2 ปีที่แล้ว +1

    Mama nandy you so beautiful hongera kwa kumlea vizur kipenzi faustina I love so much nandy

  • @bahlaoman6467
    @bahlaoman6467 2 ปีที่แล้ว +7

    Mama Nandi Mashaallh umependeza sana Tabaraka Rahman Biharusi mtarajiwa jicho lahasidi lisikuone Allah Akabariki ndoa yenu Ameen 🤲

  • @josephinembithe851
    @josephinembithe851 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki nandy

  • @barakaotto7899
    @barakaotto7899 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Dada nandy, nakutakia maisha mema,

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 2 ปีที่แล้ว +7

    Nimekupenda bure Mama Nandy.
    Maneno ya Hekima sana Mama!!!!

  • @lucyndoro4403
    @lucyndoro4403 2 ปีที่แล้ว +5

    Congratulations Nandy and your family may God bless you so much

  • @ridiaelias8042
    @ridiaelias8042 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Dana mama umependeza sana

  • @joharihamis9100
    @joharihamis9100 2 ปีที่แล้ว +2

    Ila uongo zambi mama nandy mzuri jaman

  • @faustinaurio3703
    @faustinaurio3703 2 ปีที่แล้ว +6

    Wajina angu mungu awatangulie kwenye ndoa yenu mtangulize mungu mbele ndoa sii mchezo

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 2 ปีที่แล้ว

      Yeah,,,ndoa siyo starehe ni kujitoa

  • @chamillairakoze6465
    @chamillairakoze6465 2 ปีที่แล้ว +1

    mama good advice for really god bless u Nandy u look good❤️❤️❤️🥰🙏🙏

  • @judithkihiyo7767
    @judithkihiyo7767 2 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha mama

  • @christophermwangi1410
    @christophermwangi1410 2 ปีที่แล้ว

    Hongera nandy that's a good advice from mama c wengi naweza kuadvice ivo

  • @MaaneML
    @MaaneML 2 ปีที่แล้ว +16

    Hongera Sana Nandy na familia. Huyu mpambaji ametoka Tanzania au nje ya nchi? Ameupiga mwingi.

    • @mrswater7018
      @mrswater7018 2 ปีที่แล้ว

      Hongera nandy nenda kaanze maisha mapya

  • @deborasimon422
    @deborasimon422 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mama kwa maneno mazuri yenye hekima

  • @doreenkinabo4091
    @doreenkinabo4091 2 ปีที่แล้ว +7

    Hongera sana dada yangu mama nandy umependeza sana, hongera sana Faustina Mungu akutangulie katika ndoa yako

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 ปีที่แล้ว +8

    Saut ndogo
    Mama nandy🥰

  • @adijamwanduga5749
    @adijamwanduga5749 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana usimuangushe maliamu somo wako

  • @stelabrent6056
    @stelabrent6056 2 ปีที่แล้ว +4

    umependeza mama faustina

  • @hadijajohn7434
    @hadijajohn7434 2 ปีที่แล้ว +5

    Wapiiiiiiii. Mamamam chaziiiiiiii. Mfinangaaaaaa. Pendezaa.sana. maneno yakooo kuntuuuuuuuuuu.

  • @upendojoel3370
    @upendojoel3370 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana kwa maneno mazuri

  • @gladnesskamana8706
    @gladnesskamana8706 2 ปีที่แล้ว +1

    Umenena mema mama, hongera sana kwa mrembo wako.

  • @thebisadorychannel7574
    @thebisadorychannel7574 2 ปีที่แล้ว +2

    Many Congrarulations Nandy you are stunningly beautiful 💯gorgeous 😍 God bless you on your coming wedding Day 💒 Much Love 🙌🙌😍😍😍

  • @skbahati5233
    @skbahati5233 2 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏👏👏 well said mama muzazi
    Its a good package for one to carry with her kwa safari ya marriage

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 2 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah tabarakaAllah mama nandy you look peaceful and beautiful

  • @mussamkwawa579
    @mussamkwawa579 2 ปีที่แล้ว

    Hongera unaenda kua mtunza Siri za boy usije kua pakacha ukavujisha mistali ya mwamba keep it up.

  • @magrethkamugisha3263
    @magrethkamugisha3263 2 ปีที่แล้ว

    Huu mdomo billnass asije kujichanyaaa😂😂😂aweeehh

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera nand kila la her ukatulie kwa mume sasa

  • @victoriampangala6795
    @victoriampangala6795 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera nandy tulia kwenye ndoa sasa mungu akupe maisha marefu kwenye ndoa yako na watoto wazuri

  • @JoanessRaimond
    @JoanessRaimond ปีที่แล้ว

    Hongera Sana mama nandy

  • @winnimartin7799
    @winnimartin7799 2 ปีที่แล้ว

    Nkwel mama umeongea vzur snaa

  • @aishamduluh9216
    @aishamduluh9216 2 ปีที่แล้ว +1

    Umependeza mama nandi

  • @zainaselemani9775
    @zainaselemani9775 2 ปีที่แล้ว +1

    Much congrats 👏 to nandy's momy all the best in ur marriage 🤗nandy de super heroes

  • @trissateddy9909
    @trissateddy9909 2 ปีที่แล้ว +1

    Maneno ya busara sana mama Faustina

  • @anajohn8132
    @anajohn8132 2 ปีที่แล้ว +1

    mama pisi kali sana halafu ana busara sana.

  • @mfaumesilayo2226
    @mfaumesilayo2226 2 ปีที่แล้ว

    Asante mama etu

  • @zuwenanasibu2423
    @zuwenanasibu2423 2 ปีที่แล้ว

    Kwel mamaaa nandi

  • @rabinzsinoya1434
    @rabinzsinoya1434 2 ปีที่แล้ว +4

    Umependeza, Umeongea vizuri,Ongera mama Nandi.

  • @sophiaabdallah7821
    @sophiaabdallah7821 2 ปีที่แล้ว +1

    Mam nandera pambeee👌👌maneno kuntuuu

  • @happyfaniabatromeo8010
    @happyfaniabatromeo8010 2 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥❤️❤️❤️Mama Nandy ubarikiwe Sana umeongea maneno ya hekima ambayo ndani yake yana uwalisia ya Maisha ✍️🙌

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 ปีที่แล้ว +1

    Acha, poa 2.

  • @mayroseclemence99
    @mayroseclemence99 2 ปีที่แล้ว +4

    Umependeza sana mma Fausta

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 2 ปีที่แล้ว +1

    Nady hongela sana

  • @victorialucas4476
    @victorialucas4476 2 ปีที่แล้ว +5

    Maneno kuntu, pendeza sanaaa

  • @bigshangazi2945
    @bigshangazi2945 2 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @kurthummiraji5861
    @kurthummiraji5861 2 ปีที่แล้ว +1

    Pendeza Sana Nandy na mama nandy

  • @irenebeddah6524
    @irenebeddah6524 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mama..

  • @JoanessRaimond
    @JoanessRaimond ปีที่แล้ว

    Kwel❤

  • @rukaiyaramadhani4879
    @rukaiyaramadhani4879 2 ปีที่แล้ว +3

    safi sana mama maneno mazuri na umependeza sana

  • @renildevenerand9473
    @renildevenerand9473 2 ปีที่แล้ว +2

    Sauti kama shishi😍

  • @asiaamiri824
    @asiaamiri824 2 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenyekujituma mama nimekuelewa

  • @devotajulius7572
    @devotajulius7572 2 ปีที่แล้ว

    Mama nady umeongea vzr na mtotowako umetoa usia

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah

  • @sarahmniko3949
    @sarahmniko3949 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥

  • @coftedmnyama5775
    @coftedmnyama5775 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 2 ปีที่แล้ว +1

    Honger Sana my ❤️

  • @khadijaa815
    @khadijaa815 2 ปีที่แล้ว

    Mngesubiri ashushe huo mzigo atachoka na mihangaiko na matumbo na picha za harusi na mtumbo kavimba

  • @renaldamsoka5839
    @renaldamsoka5839 ปีที่แล้ว

    Watu wanawivu

  • @aika3024
    @aika3024 2 ปีที่แล้ว

    ❤️

  • @khadijashabaninimba7890
    @khadijashabaninimba7890 2 ปีที่แล้ว +1

    ❤️Masha'Allah Masha'Allah Masha'Allah 💞💞💞👌♥️

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe mjamzito!

  • @fikiriseleman8835
    @fikiriseleman8835 2 ปีที่แล้ว +3

    Mama kijana Huyu, mbona bado kachangamka.

  • @claudia1500
    @claudia1500 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi mama

  • @mariamshabani7146
    @mariamshabani7146 2 ปีที่แล้ว

    Tarabu

  • @warda6329
    @warda6329 2 ปีที่แล้ว +1

    Pambee

    • @alvinritha9438
      @alvinritha9438 2 ปีที่แล้ว

      Hongera sana sana M.Nandy maneno yako ya hekima sana

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 2 ปีที่แล้ว

    Angebeba mimba baada ya ndoa

  • @MaaneML
    @MaaneML 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongera Sana Nandy na familia. Huyu mpambaji ametoka Tanzania au nje ya nchi? Ameupiga mwingi.

    • @ashurafarhan8335
      @ashurafarhan8335 2 ปีที่แล้ว

      Njeee

    • @emmanuelmartin6349
      @emmanuelmartin6349 2 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli Dada umeiheshimisha familia yako hongeraa Mungu awatunze wew na familia yako