Huyu mama ni tunu kubwa kwa nchi yetu asiachwe hivi hivi Rais wetu Mama Samia ampe nafasi na wengi tutanufaika na elimu busara upendo na experience yake ktk maisha haya. She's a mentor. God bless you Eng. Mama Mwasha
Dar mam nashukuru kwa ushauri wako ki ukweli ujane unatesa mam nimefiwa na mme wangu gafla akiwa kazi njee ya nchi kikazi napigawa cm Niko mbali nae mwaka sijamuona niliumia sana mpaka Leo mam Niko pekee yangu napambana na wangu hakuna msaada Ila Mungu tu ananipigania na wanangu wawili bila kujipa moyo unashindwa kabic kuendelea
Duh! Vipindi vyako ni hard talk kweli lakini pamoja na yote vinamafundisho mazuri mno. Barikiwa sana Dada na wabarikiwe wote unaowaleta kutupa somo. Asante sana
Eng.Tina nimekupenda bure na nimejiona ndani yako wewe ni mama kwangu but tunafanana sana mitizamo. Binafsi nimechoose my son against my life chaguo ambalo linanipa furaha na sijawahi kujutia ..... Hongereni sana mama na bintie ✌💞
Zab 125:1 Mitikisiko inakuja haijalishi una elimu, mali, heshima nk. Imani ndiyo rasirimali pekee ukimridhisha mtoto haitapotea sasa na kukufikisha ulimwengu ujao. Ubarikiwe Eng,
What a mother and daughter conversation exuding wisdom and love. Mama Lilian God has always been with you throughout your life journey. No wonder you passed all life tests and emerged victorius. I remember my younger days when you used to lead church choir for the English service at St Peter's Church at Oysterbay. With God leading your life everything gets just fine. Hongera Lilian for making your mum smile.
Asante mama nimekupenda Kwa vile umefundisha Asante mama upendo wa mama niwapekee sana dada Lilian nakupenda mmno najifunza vitu vingi kupitia kipindi hiki
Mama Lily your such a darling mama, sooooo beautiful answers and very enjoyable to watch. Really there are lessons to be learnt from her. A humble mom, beautiful in and out❤🩹❤🩹❤🩹
Waoooo 🥰, Mungu naona hekima na upendo ndani ya hii familia,Hakika Mungu huwainua wanyonge,lily elimisha jamii kuhusu watoto wa kike Bado jamii haiwakubali,
Dah so touch liliy......hakika mama ameongea maneno mazito ya kutupa moyo...nimelia lili kam ulivokuwa unali. .hakika wamama tunapitia mazito...alafu lili chizi kweli ukaanza kumwmabia mama ongea kiswahili bwana...haaaaa hakima kupitia mm lili tumejifunza jambo
Yani kuna muda natamani lily ungekuwa unafanyia hivi vipindi kwenye television za ulaya! Wewe ni level za kina Oprah! Wallahi hamna kitu unaongea au unakifanya kisiguse maisha ya mtu! Me personally unanigusa mnooo kwa namna ya pekee ambayo Mungu mwenyewe anajua! Naomba Mungu anipe uzime nije nikushsuhudie level za kina Oprah winfrey mama ! Amina 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿😍
Amina. Mama Lilian ni maneno ya kuwatia moyo wajane wanaokata tamaa baada ya kuachwa na waume zao. Kweli kabisa Mungu anafanya kile anachotaka katika maisha yetu.
Mama jasiri, intelligent with wisdom.,Lillian to have a mother like her, you have seen God's hand. God bless this kind of mothers out there. Thank you again for letting us in to your lives.
Hongera sana dada @Lillian Mwasha kwakuwa na mama bora mwenye uwezo mpana sana. Dada nimesikiliza kwa makini sana interview na nimejifunza mengi sana ila i wish nifanya na mimi mambo makubwa kama mama na wewe ila uwezo unapigwa sana.. 😭😭😭😭🙌🤲eeeh MUNGU nisaidie 😥😥🙌
Mungu awatunze, Mungu awtunze, Mungu awatunze Tena, nimewapenda Sana upendo wa Mama nimzur jmn, naomben niwatembelee uwiiii jmn Cc hakika unaenjoy Mungu awabarik sna
MAMA...YOU ARE ONE OF A KIND. I HAVE LOOOVED YOUR TALK. GOD BLESS YOU SO ABUNDANTLY MORE. LIVE LOOOOONG IN GODS GODS GRACE AND LOVE. LILY...YOU HAVE A SUPER SUPER MOM.
Mama na Mwana mnafanana kweli kweli! Love you mum kwa kusema ukweli bila kumung'unya! Jamani tuwathamini sana wamama, wana siri kubwa sana wamebaba mioyoni mwao kwa ajili yetu! Yaani they put a lot to have us.
Mama mjasiri san kweli nimependa sa nilikuwa naitaji unipe mbinu zakuweza kuwasongeza mme wangu jaribu na watoto wawe karibu yangu yaani naomba ile mbinu yakumsongeza mtu karibu.
Yan hi interview wallah nilikua sitaki hata iishe. Nataman siku moja nikutane na Lilian ama mama najua Kuna mengi Sana nitajifunza kupitia nyie.. mnaonekana ni watu wenye really good love Mash'allah. Nawapenda Sana Mungu awabariki Sana muendelee kua na huo upendo mko nao
Hongera San kwa huyu bab aliye kulea Kam mwanaw Lilian,natamani Mwenyezi Mungu anipe Mme mwema atakae Lea wanangu Kam ambavyo baba yao alivyo walea kipindi yupo hai
Hakikaa katika siku Bora na isiyo na kifani hii siku ... MAMA MAMA MAMA 💗 mungu akulinde na akupe kilicho Bora Zaid ... ONGERA MWASA KUWA NA MWENYE UWEZO MKUBWA WENYE MENGI YA KUELEZEA ... please copy kila kitu chake usiache chochote especially the love she has ♥️♥️♥️♥️
bit.ly/3MraYdQ SUBSCRIBE NOW UWE WA KWANZA KUONA
Q11000⁰
Huyu mama ni tunu kubwa kwa nchi yetu asiachwe hivi hivi Rais wetu Mama Samia ampe nafasi na wengi tutanufaika na elimu busara upendo na experience yake ktk maisha haya. She's a mentor. God bless you Eng. Mama Mwasha
Kweli kabisa
Naomba no zako Dada Lilian
Dar mam nashukuru kwa ushauri wako ki ukweli ujane unatesa mam nimefiwa na mme wangu gafla akiwa kazi njee ya nchi kikazi napigawa cm Niko mbali nae mwaka sijamuona niliumia sana mpaka Leo mam Niko pekee yangu napambana na wangu hakuna msaada Ila Mungu tu ananipigania na wanangu wawili bila kujipa moyo unashindwa kabic kuendelea
Pole but tupo wengi ni kujipa moyo tu na hvyo vifo vya ghafla vya wapendwa wetu na pia kupambana Ili watoto wetu wafike mahali.Nina watoto wawili pia
Liliy Ulinifundisha kumushukuru Mungu kwa nilicho nacho hadi leo huwa na mshukuru Mungu hata kwa kucha zangu. Ninajikubali jinsi nilivyo thankfully
OMG miss lilian, your mother is incredible. Every African little girl deserves ❤
Wow! What a beautiful program, mama anaongea kwa hekima sana and you are beautiful inside out Lilian
Mama anahekima iliyopitiliza, nmemuelewa Sana hapo alipoulizwa angerudishwa miaka 40 amejib Kwa hekima sanaaaa❤️🙏
98% of comments come from ladies whom non of them find it worthy praising Mzee Mwasha. RIP mzee Mwasha . Big Love to Mzee Mwasha.
Lilian Inspires ladies not only in Tanzania but also around the world. What a great Women. Thank You Mama Lilian. Love from Kenya.
Mwenyezi Mungu amuongezeye miaka mingi ,Akili zake nyingi Kama mtoto wake 👏🏾💕
Duh! Vipindi vyako ni hard talk kweli lakini pamoja na yote vinamafundisho mazuri mno. Barikiwa sana Dada na wabarikiwe wote unaowaleta kutupa somo. Asante sana
Kaelezea vzur sana swala la marafk ,kila mtu ni rfk kulngana na purpose
Asante mama upendo hautazami muonekano, mtu wa ndani ndo uzuri halisi wa mtu.
Eng.Tina nimekupenda bure na nimejiona ndani yako wewe ni mama kwangu but tunafanana sana mitizamo. Binafsi nimechoose my son against my life chaguo ambalo linanipa furaha na sijawahi kujutia ..... Hongereni sana mama na bintie ✌💞
Zab 125:1 Mitikisiko inakuja haijalishi una elimu, mali, heshima nk.
Imani ndiyo rasirimali pekee ukimridhisha mtoto haitapotea sasa na kukufikisha ulimwengu ujao.
Ubarikiwe Eng,
Nimeenjoy sana muhaya mwenzangu nshomile Engineer mama mwasha ,mama Lilian Mwasha nimewapenda sana❤️❤️💯
What a mother and daughter conversation exuding wisdom and love. Mama Lilian God has always been with you throughout your life journey. No wonder you passed all life tests and emerged victorius. I remember my younger days when you used to lead church choir for the English service at St Peter's Church at Oysterbay. With God leading your life everything gets just fine. Hongera Lilian for making your mum smile.
Saut ya mama saut ya Mungu📌👏👏👏❤❤❤ inafanana na yako nayoisifia siku zote naipenda.
So good form Emirates 🇦🇪 pamoja Sana mwasha mama ana akili ya ziada Sana si rahis kuyaelewa alioongea kama hupo smart i love you mama mwasha
Upo maeneo gani ally
Kweli kabisa maana Mimi nahisi anaongelea ndani ya moyo wangu nashindwa mpk kujizuia kulia
Wamtumainio bwana ni kama mlima sayuni hautatikisika kamwe 🙏🙏🙏🙏🙏Mungu awabariki sana
Asante mama nimekupenda Kwa vile umefundisha Asante mama upendo wa mama niwapekee sana dada Lilian nakupenda mmno najifunza vitu vingi kupitia kipindi hiki
Inspiring mom!
Mungu akulinde mama Lilian!
Nimeipenda hii, wakina mama tupambane watoto wasome huu ndio urithi na watatukumbuka maisha yao yote❤❤
Maa Shaa Allah. Umebarikiwa mama mwenye hekima. Thats why na ww umekua ktk mwenendo wako. Allah ampe nguvu na afiya mama Mwasha
I'm proud of her
Mama Lily your such a darling mama, sooooo beautiful answers and very enjoyable to watch. Really there are lessons to be learnt from her. A humble mom, beautiful in and out❤🩹❤🩹❤🩹
Beautiful mama...God bless u mama Lili, proudly of you Eng.
This woman is so beautiful. 68 years looking like that? Muulize mama the secret of looking younger than her age. Yaani hata wrinkles hana
Lilian Mungu akuinue kwa viwango vya juu sana nakupenda sana
Amina mama, nimejifunza vingi kutoka katika hii story ya maisha yako. Lily endeleeni kunishukuru Mungu Kwa ajili ya mama huyu.
Dah nimejifunza kitu hapa thank you lovely mum and da Lilian🙏
Nakupenda Mama,.Najiona unaongea na mm.Mungu akutunze.Amen
Waoooo 🥰, Mungu naona hekima na upendo ndani ya hii familia,Hakika Mungu huwainua wanyonge,lily elimisha jamii kuhusu watoto wa kike Bado jamii haiwakubali,
Wow Mama bora🥰Jasiri💪mcha Mungu ubarikiwe Mama Lilian Mwasha umeniongezea kitu kipya ktk maisha yangu🙏
Nimependa mahojiano haya.Mungu awabariki
Hongera sana Mama Lilian Mwasha You look Good and strong !
Sikudhania kwamba una 68 yrs Waaaw!!!!
Mungu akubarik mama Lily yan u muwazi mpaka raha
Dah so touch liliy......hakika mama ameongea maneno mazito ya kutupa moyo...nimelia lili kam ulivokuwa unali. .hakika wamama tunapitia mazito...alafu lili chizi kweli ukaanza kumwmabia mama ongea kiswahili bwana...haaaaa hakima kupitia mm lili tumejifunza jambo
Huyu mama nimempenda sanaa I wish Angekua mtu wangu wa karibu...
Mama na nusu! Thats all i can say! Mama na Nusu! Mungu akuweke malkia wa nguvu 🥰🥰🥰🥰🥰i love yoooooouuuuuuu
Waooooo team mama clementine tupoo chini ya maria kamu hakika tumefunzwa vingi natuko strong kweli interview nzuri sana
namshukuru Mungu kwa ajili ya kipindi hichi. Ni mara ya kwanza kuangalia na nimebarikiwa sana. Mungu aendeleze kipachi chako Lilian
Lilian, umenichekesha eti ongea Kiswahili mama, 😃😃😃, unasahau unaongea na Engineer, MUNGU akubariki sana mama, nimejifunza Jambo hapa
Sio injinia tuu bali ni injinia Mhaya ,😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
@@joanbaby5953 😆😆
@@joanbaby5953 ukabila tulishaukataa jamani.
Yani kuna muda natamani lily ungekuwa unafanyia hivi vipindi kwenye television za ulaya! Wewe ni level za kina Oprah! Wallahi hamna kitu unaongea au unakifanya kisiguse maisha ya mtu! Me personally unanigusa mnooo kwa namna ya pekee ambayo Mungu mwenyewe anajua! Naomba Mungu anipe uzime nije nikushsuhudie level za kina Oprah winfrey mama ! Amina 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿😍
MAMA......Lillian alikua INTELLIGENT isipokua wewe ulikua unalinganisha INTELLIGENCE yako na ya Lillian ☺☺☺☺
😆😆
Amina. Mama Lilian ni maneno ya kuwatia moyo wajane wanaokata tamaa baada ya kuachwa na waume zao. Kweli kabisa Mungu anafanya kile anachotaka katika maisha yetu.
Asante sana Mama Mwasha, Yaan nimekusikiliza kwa makini sana tangu part one, kwa kweli nimejifunza mengi sana. Mama nakupenda sanaaaa🥰
Mama jasiri, intelligent with wisdom.,Lillian to have a mother like her, you have seen God's hand. God bless this kind of mothers out there.
Thank you again for letting us in to your lives.
Beautiful Mom barikiwa sana Mungu awaweke kwaajili ya jamii.
Nimejifunza kitu kikubwa sana leo Lilian.
Mungu abariki kazi yako!
Mulungu kwa lugha ya kabila langu,Ni Mungu!,unalijua hilo!?
Yaan nimelia kwa furaha.... Nimejifunza mengi kwako mama yangu!! Pamoja na kua mm ni Iman nyingine lkn lkn mama wewe ni zaid ya mama
Nasema kweli ya dhati kutoka moyoni una mama mzur sana hongera sana dada yangu❤
Hongera sana dada @Lillian Mwasha kwakuwa na mama bora mwenye uwezo mpana sana. Dada nimesikiliza kwa makini sana interview na nimejifunza mengi sana ila i wish nifanya na mimi mambo makubwa kama mama na wewe ila uwezo unapigwa sana.. 😭😭😭😭🙌🤲eeeh MUNGU nisaidie 😥😥🙌
Amiin
Mungu awatunze, Mungu awtunze, Mungu awatunze Tena, nimewapenda Sana upendo wa Mama nimzur jmn, naomben niwatembelee uwiiii jmn Cc hakika unaenjoy Mungu awabarik sna
Hongera mama Mwasha na binti Lilian kweli ,wazazi tunakosea mtoto kama haelewi unapiga mpaka unamuumiza mtoto, ana kipaji
Wewe ni mama true
Ninamtoto mmoja , mungu anisamamie niwe kama lilian i wish to be like this women . I love you mom
Mahojiano Bora kuwahi kutokea kati ya mama na mtoto Mungu akubariki Lilian una Mama mwenye hekima kubwa.
Bonge la mama na mwana😘😘😘😘
Nimependa kicheko Cha mama hapo kwenye kuruka ruka💓💓💓💓
Sanaaa
Mum at your age, you are still looking young.
The best mother every child could wish to have wawoo I cried.What a beautiful mother Mashallah
Really appreciated...,😍😍😍
Duuu nimefifunza kitu Asante dada lily
Mama Samia amejitahidi saana kutupatia nafasi kwa kweli Mungu anubariki saana.
Oooh , This very important hard talk for many women. Very impressive
Asante sasa dada lilian nmejifunza mengi kama mama kutoka kwa mama lilian🙏
Mungu akubariki sana mama pamoja na Lilian nimepata kitu kikubwa sanaa sanaaa kupitia hiki kipindi
MAMA...YOU ARE ONE OF A KIND. I HAVE LOOOVED YOUR TALK. GOD BLESS YOU SO ABUNDANTLY MORE.
LIVE LOOOOONG IN GODS GODS GRACE AND LOVE.
LILY...YOU HAVE A SUPER SUPER MOM.
Thanks mumy ilove you,umenifundisha
Nashukuru sana mama Lily nimejifunza mengi
Aisee mama yako ana akili nyingi sanaa mashaallah hope umerithi hiyo akili kwake
Jamani huyu mama ana kitu kikubwa Sana na ndicho kimo ndani ya Lilian
Mama na Mwana mnafanana kweli kweli! Love you mum kwa kusema ukweli bila kumung'unya! Jamani tuwathamini sana wamama, wana siri kubwa sana wamebaba mioyoni mwao kwa ajili yetu! Yaani they put a lot to have us.
Nmewapenda sana mama na mwana Mungu awaweke kwaajir ya jamii
Mama mjasiri san kweli nimependa sa nilikuwa naitaji unipe mbinu zakuweza kuwasongeza mme wangu jaribu na watoto wawe karibu yangu yaani naomba ile mbinu yakumsongeza mtu karibu.
YESU NI JIBU WEKE HITAJI LAKO KWAKE.KUWA MNYENYEKEVU KWAO.WAONYESHE UPENDO.
Yan hi interview wallah nilikua sitaki hata iishe. Nataman siku moja nikutane na Lilian ama mama najua Kuna mengi Sana nitajifunza kupitia nyie.. mnaonekana ni watu wenye really good love Mash'allah. Nawapenda Sana Mungu awabariki Sana muendelee kua na huo upendo mko nao
Tumejifunza mengi kutoka kwa mama Mungu awabariki sana
Wow..what an inspiring mother and mentor!...Good job mamii and lilian😘
More love from a kenyan working in gulf region
Mungu anasababu ya kila mmoja duniani... Nimepata kitu kikubwa.... Mungu akutunze mama Mwasha na watoto wako
Wooow Mama ana madini Mungu ambariki sana
Kwakwer nina imaniiii ipo siku mungu atanijibu maombi kabisa 💯💯💯💯💣🤲🤲🤲🤲✊🤝
Wow wow beautiful mom ad dota i like this interview i hve learned alot
She's so beautiful and wise, you're blessed to have her Liliane❤❤❤
Lilian mshukuru mungu Sanaa una mama Yuko vizuli sanaa
Kweli mama lily wewe ni kioo cha jamii mungu akutunze na akujalie maisha marefu nakupenda♥️♥️♥️♥️
Hongera San kwa huyu bab aliye kulea Kam mwanaw Lilian,natamani Mwenyezi Mungu anipe Mme mwema atakae Lea wanangu Kam ambavyo baba yao alivyo walea kipindi yupo hai
Congratulations Lilian for such a blessing and mom....mama Yu are a Diamond n big treasure ...
Mungu awabariki sana sana
Umenifariji mama nina mwanangu Msonji nampenda sana.
Kweli Lilian una mama mzuri muelewa sana hongera sana
Kile kinachokataliwa huwa kikakuwa taa well said madam🥰🥰
Mama,Mungu azidi kukutunza
Very emotional interview 😅😅 God bless you Mama and my sister Lilian. I have learn a lot.
Hongera sana Lilian na mpe pongezi mama. Yaani nimefuatilia toka part 1
Nimebarikiwa na maneno ya mama Lillian 🥰
Very encouraging words from mama Lillian and God bless this family
Mungu awaongoze
Big up sana mamy.Mungu akubariki sana
One of the best show … sasa najuwa wapi umepata akili dadake
Very inspiration story indeed,God bless you all.
Hakikaa katika siku Bora na isiyo na kifani hii siku ... MAMA MAMA MAMA 💗 mungu akulinde na akupe kilicho Bora Zaid ... ONGERA MWASA KUWA NA MWENYE UWEZO MKUBWA WENYE MENGI YA KUELEZEA ... please copy kila kitu chake usiache chochote especially the love she has ♥️♥️♥️♥️
Asante nimejifunza
Ongera sana lilian kipindi kizuri, pia nimefurahi kumuona mama nimekumbuka enzi tukishi masaki nikja kwenu mama anasema mpe rafiki yako juice
Great mum....great mum....amazing lady.
I LOVE YOU MAMA MWASHA.