My brother mungu alikuleta kwajili ya watu wengi hapa Dunian na leo mm ni mmoja ya watu walio fanikiwa kufunguliwa na mafunzo yako.🙏🏾Muungu akupenguvu na maisha malefu ewe uzao mteule nami nipo nyuma ya mafundisho yako. Mungu amekuleta kwajili yangu ili nilishi kusudi langu kabla yako skujua nini maana ya kusudi maana nilikua nijikuta nimefanya kitu kama bahat kumbe ndilo kusud langu. Mungu akubaliki sana kaka ninapo pata changamoto hii video inaludisha memories zote zilizotaka kufutika🙏🏾 proud of you brother
Mungu zaidi kukutumia kufumbua macho ya kizazi hiki. Naamini ndiyo sababu yake kukuleta duniani. Kazi yako ni njema sana. Ubarikiwe na kuzidi. Natamani elimu hii ikiwafikia wengine live hapa Kigoma. Rev. Zacharia Andrea FPCT MWANGA KGOMA
Nipo kaka angu nami ni MU FPCT KATUBUKA... NAMFATILIAGA SANA.. NDIO MAANA NAMI NINA NDOTO YA KUFIKA MBALI PAMOJA NA WANAKIGOMA WOTE.. NA NIMEILETA FURSA KIGOMA TUPO JENGO LA NMB GOROFA YA KWANZA.. karibu sana kaka
Thanks br again, I was not aware kwamba kusudi la maisha yangu ni zaidi ya mafanikio yangu binafsi, ooh, kumbe tumepishana na baraka za Mungu kwa sababu ya ubinafsi, nimejifunza kitu na ninaanza kufikiria wengine zaidi yangu binafsi, thanks, this is a kick towards my real vision. Stay blessed Joel, keep it up
Mungu akuinue juuuuu zaidi mtumishi, yaani najuta kwa kutokukufahamu Mapema maana nimepoteza mda wangu mwingi kufuatilia visivyo vya msingi mpaka juzi nilipoona post Kali ya diamond alafu akanukuu imetoka kwako ndo nikaamka
Asante Sana kwa ujumbe huu Naamini nimeupata kwa wakati maalumu Naahidi kupitia Video hii utakuwa ni ushuhuda mkubwa Sana Ahsante Mungu akupe Baraka na Maarifa zaidi nimejifunza Mambo mengi kwa kina God First ....🙏🙏
Nimekufuatilia mala moja tu! Hapo hapo nikajikuta nimependa mafundisho yako, nashukuru mungu, katika pitapita zangu kwenye TH-cam nikakutana na ujumbe huu🙏🙏🙏
Mr Nanauka, kweli kazi unayofanaya yanafanya kazi kubwa sana katik maisha ya watu. Mimi mwenyewe ninakutazama sana usoni unapoongea,na sasa swali langu ni kuwa: kwanini unabadili ukubwa na shindo la sauti yako ikitegemea ukumbi unaohotubia? Mimi nina mradi wa kukuiga wewe na kuwa mzungumzaji bora kama wewe na labda kufikia kukuzidi wewe. Una mchango wowote unaweza kuchangia kwa swali langu? Mimi ninaitwa Ndulu Theodorick nikiwa USA. Asante kwa kazi zote ufanyazo.
“Mafanikio yakweli yanatakiwa yakusogeze karibu na Mungu nasio kukutoa kwa Mungu”🙏.
My brother mungu alikuleta kwajili ya watu wengi hapa Dunian na leo mm ni mmoja ya watu walio fanikiwa kufunguliwa na mafunzo yako.🙏🏾Muungu akupenguvu na maisha malefu ewe uzao mteule nami nipo nyuma ya mafundisho yako. Mungu amekuleta kwajili yangu ili nilishi kusudi langu kabla yako skujua nini maana ya kusudi maana nilikua nijikuta nimefanya kitu kama bahat kumbe ndilo kusud langu. Mungu akubaliki sana kaka ninapo pata changamoto hii video inaludisha memories zote zilizotaka kufutika🙏🏾 proud of you brother
Qa
Aisee hili somo bhana ni powerful sana natamani kila kijana angeliskia...
Mungu akubariki sana kaka Joel...
Good massage
Casto...umeongea kama ninavotamanigi siku zote nikiona ujumbe mzuri natamani vijana au watu wote wausikie 👍
Mungu zaidi kukutumia kufumbua macho ya kizazi hiki. Naamini ndiyo sababu yake kukuleta duniani. Kazi yako ni njema sana. Ubarikiwe na kuzidi. Natamani elimu hii ikiwafikia wengine live hapa Kigoma. Rev. Zacharia Andrea FPCT MWANGA KGOMA
Nipo kaka angu nami ni MU FPCT KATUBUKA... NAMFATILIAGA SANA.. NDIO MAANA NAMI NINA NDOTO YA KUFIKA MBALI PAMOJA NA WANAKIGOMA WOTE.. NA NIMEILETA FURSA KIGOMA TUPO JENGO LA NMB GOROFA YA KWANZA.. karibu sana kaka
Asante baba kwa somo lako
Kua maskini ni chaguo la mtu🙌🏽🙌🏽
Amina❤❤❤
Jaman jaman ubalikiwe ili somo limekuja kwa ajili langu Mungu akupe maisha marefu
Nipo WA Kwanza Leo kumeza doze ya Kaka Joel!!!😀
Mungu amekupa kipawa kikubwa kaka ubarikiwe sana napenda kukufuatilia ktk mafundisho yako ubarikiwe sana.
Asante mwalim wangu umenigusa kwakiasi kikubwa ....
Only "VISION" Ahsante sanaaaa
MUNGU wa mbinguni azidi kukuinua daima hili somo limenigusa sana sana naamini ipo siku ntayafikia maono yangu
Thanks br again, I was not aware kwamba kusudi la maisha yangu ni zaidi ya mafanikio yangu binafsi, ooh, kumbe tumepishana na baraka za Mungu kwa sababu ya ubinafsi, nimejifunza kitu na ninaanza kufikiria wengine zaidi yangu binafsi, thanks, this is a kick towards my real vision. Stay blessed Joel, keep it up
Mungu akubarik mtumish vipindi vyako vimekuwa faraja kwangu sana
Naitwa siffah nipo oman hakika asante sana Joel umenifanya niwe na maono madhbuti
Pamoja sana kaka, natumia Mb, zangu kwa usahihi kabisa
Brother unatupa maarifa makubwa sana, Yesu akutunze
Mafanikio ya kwel yanatoka katika Mungu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Joe is Annointed..powerful.. Mungu akutunze kila siku.
God blessing us
Asante my brother,Mungu azidi kukutumia na kukubariki,This is what I needed to hear
Nataka niwe mwanafunzi wako ,nitumie Contact.
Professor nakusoma vzr sana MUNGU akubariki SoMo lako limenigusa na nitafanyia kazi MUNGU akupe miaka mingi katika jina la yesu amen
Mungu akuinue juuuuu zaidi mtumishi, yaani najuta kwa kutokukufahamu Mapema maana nimepoteza mda wangu mwingi kufuatilia visivyo vya msingi mpaka juzi nilipoona post Kali ya diamond alafu akanukuu imetoka kwako ndo nikaamka
Great talk, great learning bro
🙌🏾🙌🏾
Barikiwa saana kaka Joel
I regret why nilichelewa kuanza kukufuatilia vision,time and priorities
Mafanikio yakweli yanahitaji kuji connect na mungu.nakubali sana your are the best motivation speaker
Mungu akubariki sana
Mungu ni mwema ❤
AMEN in JESUS NAME, I believe in this message, God bless you sir ❤🙏
Tunashukuru saaana kwakuona namashahuri unayo tupa,Mungu akuongezeye Siku zakuhishi m'pendwa professa.🙏🙏🙏
❤❤❤❤
Praise be to God, may God add u more strength to do this
Hatujaja duniani, kuzurura, nimeipenda hiyo!
Niko na wewe mh unanisisimua sana unanikumbusha ndoto nyingi lakini zitafanikiwa Asante baba mwenyezi akuzidishie pumzi unagusa sana maisha yangu
God bless you!
Joel unanipa maarifa Hadi nashindwa nikuambie nn mungu akubariki zaidi🙏
❤kaka mafundisho yaka yamenijenga na ya nikumbusha maisha yangu niliyo pitia
Asante sana KK mungu. akubariki na kukupa maisha marefu
MashaAllah mungu akuzidishie kaka,,, nimejiona mtu mtofauti kwa nasaha zako..... Mob love from kenya
Amina kaka nimekuelewa maana nilikua nachelewa Mungu akubariki
Amina nimekukumbuka mwl ,, bila shaka ulisha wahi kuja Nzega kkkt kwa ajili ya semina
Asante Sana kwa ujumbe huu Naamini nimeupata kwa wakati maalumu Naahidi kupitia Video hii utakuwa ni ushuhuda mkubwa Sana Ahsante Mungu akupe Baraka na Maarifa zaidi nimejifunza Mambo mengi kwa kina God First ....🙏🙏
Hakika 100% najifunza vingi sana kwako keep moving we are together brooo
Elimu hii ni muhim sana,vijana tutilie maanan kwani ni taa kwetu iwakayo kwa mwanga mzur!ubarikiwe sana mtoa somo!
Hakika!
Mungu na azidi kukutumia Kwa VIWANGO vya kwake❤
My best motivational speaker ever #JOELNANAUKA thanks sana kwa maarifa yako
Kaka big up mungu azidi kukutumia mda wote
Barikiwa kwa somo zuri.pia hongera kwa Kazi ya graphics
Amina sana mwamba anguh mungu ni mwema sana
Wew baba Kwanza mungu akubariki unanigusa Mimi wazir haa umupita mure mure dar
nashukuru Sana Kaka umenifanya nisikate tamaa na ninaweza na nitafika mbali mungu akubariki Sana
Mwenyezi Mungu akubariki sana.najifunza mengi kupitia elimu unayotoa.🙏🙏🙏🙏🙏
Amina Kaka nimeelewa hii Kitu (Vision )
Kuna tofauti kagi Kati ya Vision na Focus! Joel umenifanya niwe na maisha tofaut sana
Mungu awe msimamizi wako karibu sana dodoma
Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina
Man of God,Keep it up.
Brother , nahisi kama Mungu alikuinua kwa ajili yengu mimi. Ubarikiwe sana.
Asante san mwalimu weti mungi azidi kikipandisha juuuibili tuzid kipata hiii elimu ilio Bora
Amina baba balikiwa
Asante Mungu kwa ajili ya Joel.
Mngu akubaliki sana akuongeze cku zakuishi ,kwahili tutasongambele❤
Amina umeamsha ndoto yangu mungu akubariki sana
Mungu akuweke brother hili somo limenigusa na hakika sitoacha kukufatilia
This speaker is on another level...Kenyans who are here he's the Benjamin zulu of Tanzania
Long live brother Joel you have added the value to my vision one day I will be a great at a God's right time
Nimekufuatilia mala moja tu! Hapo hapo nikajikuta nimependa mafundisho yako, nashukuru mungu, katika pitapita zangu kwenye TH-cam nikakutana na ujumbe huu🙏🙏🙏
Mungu alikuleta Tanzania uwe chombo moja wapo cha kuifikisha HEKIMA ya Mungu kwa wanadamu....Efe 3:10
Ahsante
Nahitaji. VISION
Alright Joel...🕺🕺🕺 wewe ni UNSTOPPABLE.
Nitaitetea ndoto yangu hadi itimie.
Yes, nimekuelewa nimekukubali uko vizuri.
Shukurani sana kuanzia leo nimejiamini naweza kufanya kitu mungu akubarik
Barikiwa sana Joel unanivusha sehemu kubwa saana ninapokea
Naamin kuwa mungu atanisaidia kufikia mahali ya kuwa na uhuru wa kifedha (financial freedom is my dream)
Asante Sana mchungaji
God bless you
Amen amen ❤
Mr Nanauka, kweli kazi unayofanaya yanafanya kazi kubwa sana katik maisha ya watu. Mimi mwenyewe ninakutazama sana usoni unapoongea,na sasa swali langu ni kuwa: kwanini unabadili ukubwa na shindo la sauti yako ikitegemea ukumbi unaohotubia?
Mimi nina mradi wa kukuiga wewe na kuwa mzungumzaji bora kama wewe na labda kufikia kukuzidi wewe. Una mchango wowote unaweza kuchangia kwa swali langu?
Mimi ninaitwa Ndulu Theodorick nikiwa USA.
Asante kwa kazi zote ufanyazo.
Asante kwaushauri
Nakushukuru na kukuombea sana
ila kupitia kwako mungu ataninyanyua na nitakupa zawadi!
asante sana kaka...unanitia moyo sana...
Barikiwa kwa ujumbe.
Mungu akubariki sana kwa somo hilo.
Ubarikiwe kaka Nanauka Joel
I’m very excited for your training, I hope we will be successful according to your knowledge bro!
Mungu ni mwema siku zote 🙏
Umetisha
Wish you all the best brother. Kupitia wewe Umebadilisha Lifestyle yangu%
Thenkyou!
Nabarikwa sana na mafundisho yako
Nakupenda sana kaka joel nanauka nikikusikiliza napata nguvu mpya
Thank you bro
barikiwa Brother salute kwako,
Safi sana kijana mwenzangu na mwenyezi mungu akufikishe mbali zaidi kwa kutuelimisha
Dah umenibadilisha sana kwenye haya maisha💪👏
Amen nimejifunza zaidi,Mungu akubariki sana
Vzuri sana,nimekuelewa na naona maisha mazuri mbele yangu
Thanks Bro God akulinde
Mashalah
Kaka ubarikiwe sana umeniamsha toka usingizin
Fantastic
Asante kwa huu ujumbe umenijenga sana
Uko sure broo
Naitwa Richard Gilbert mpagaze Nina dreams ya kuwa muombaje mzuli wakubadisha watu na kuwa najili nuzuli naitaji ushauli.