Nafundisha namna ya kuanzisha biashara kwa muda wa ziada inayoweza kukuongezea kipato cha ziada sh laki 1 hadi laki tano kwa wiki na kwa mtaji mdogo bila kuathili bila kuathiri shughuli zako
Ni kweli mkuu wakati mwingine mishahara haiongezi mm nilishawahi kufanya kampuni moja naingizia milioni zaidi ya thelathin kwa mwezi lakn nalipwa laki mbili na nusu mkuu
Tatizo wanao soma ni wengi ila wanaoipat elimu ni wachache na ndio mn wengi wanazan elim ni digr ,mast,phd. hapn hay n majin tu na ndio mn kunawat wanay alfu wanahangaika. hat mtaan elimu ipo Mfano nan anakat kwamb bahares anaelimu kubw bac hiyo ndio elimu,tumuombe Mungu atupe elimu tufanikw sio majin y elimu
Wewe ulisoma Historia ndio mana imekulazimu kusaka shughuli nyingine mana masomi yako hayana deal, pili MSOMI ni mtu aliyeenda DEEP kwenye elimu na anapenda TAALUMA hajali mambo ya mshahara, mali, utajiri akili na mawazo ya msomi ni beyond MATERIALS 📌
Nini tofauti kati ya kujimudu kimaisha na kutajirika? Mtakua matajiri wote? Hata Ulaya watu waliowengi wanajimudu kimaisha lakini matajiri ni wachache.
Alafu usiwaaminishe watu kumtoa thamani kwa watu wengi ndo mafanikio,inawezakana unachokiamini ndo mafanikio ikawa si mtazamo kwa watu wengi Bali wachache,pia usijithaminishe thamani yako kwa watu,thamani yako NI yako bro
Wewe ni mpuuzi, unajua maana ya ajira? Daktari amesoma miaka Saba aache taaluma yake aanze kulima? Kimsingi mwajiriwa kipato chake ni cha kujikimu tu. Wote hatuwezi kuwa wa fani moja.
Bro tafadhal xana usidanganye watu,waelimishe watu kuhusu mafanikio,suala la mafanikio NI mtazamo,wala mafanikio hayajafungwa kwenye magari, majumba au kumiliki pesa na Mali nyingi,haina maana Mtu mwenye PhD anaishi kijijini na nyumba ya makuti anaishi kwa shida! Mafanikio NI pale unapofikia inaridhika na kile unacho miliki pamoja na unachokifanya ama kuishi ktk kusudi lako na kufeel furaha moyoni
We mwamba😂😂😂😂 nimesoma comment yako mara5 sielewi. Ila naomba nijilazimishe walau kwa mbinu za medani. Naomba nikujibu, mafanikio yoyote dunia ya leo lazma yapimwe kwa pesa. Ila mafanikio ya kiroho hupimwa kiroho. Sasa huwez kusema umeridhika na hivyo unajiona umefanikiwa. Unaumwa leo miguu unatakiwa kutibiwa kwa Milioni 15, huna unaanza kwenda ITV kuchangisha. Tafuta hela, wekeza na uwe na njia kumi za vipato. Na kwa sie Wakristo hutakiwa Kibliblia kurithisha mpaka wajukuu wako. So braza acha kuwa mkali, tafuta helaaaa😂😂😂
Nakubaliana nawewe kwenye sababu za kufanikiwa ulizozieleza, ila sikubaliani nawewe kwenye kichwa cha habari ulichokiweka. Ni kweli wasomi wengi ni masikini? Huo uwingi unaulinganisha na wasiosoma ama? Je, tukichukulia mfano wa hapa Tz na Africa tu, ukiangalia takwimu za matajiri waliowengi ni wasomi ama wasiosoma? Hiko kichwa cha habari hakina uhalisia. Si kweli kabisa.
Bro uko Vizur na ni mwanzo mzuri pia ila maeneo machache boresha 1.eleza maana masikini 2.elezea maana kusoma 3.jitahidi kufanya tafiti kwa watu wengi 4. Usitumie nguvu tumia akili na shule zitasaidie kukutoa 5. Jipe muda utatokeza 6. Mwisho msomi si masikini ni swala la muda tu. Asante mkuu
Wasomi wengine wa Kitanzania ni limbukeni! Hawakijui Kiswahili vizuri na hawakijui Kiingereza vizuri!
Following from Kenya, asante Sana victor
Ahsante Sana 🙏🙏
Nimekuelewa sana brother
Naanza kuyafanyia kazi yote niliyojifinza kwenye clip hii.
Nafundisha namna ya kuanzisha biashara kwa muda wa ziada inayoweza kukuongezea kipato cha ziada sh laki 1 hadi laki tano kwa wiki na kwa mtaji mdogo bila kuathili bila kuathiri shughuli zako
Kozi===== Mafunzo
Mwisho wa siku===== Hatimaye
Asante sana kwa elimu nzuri
So incredible and highly educative.Thanks our educator.Following you from Mozambique.
Elimu nzuri saana, Asante
Uko sawa kabisa
Following you from Nairobi
perfectly said
👌
Kaka mungu akubariki sana umenifungua sana akili yang mm nasuka nywele lkn ninapokufatilia nazidi kijifunza
Good. Na ungepata ajira ya ualimu Mimi nisingekufahamu
Good lesson
Naomba namayako
Namba
Ni kweli mkuu wakati mwingine mishahara haiongezi mm nilishawahi kufanya kampuni moja naingizia milioni zaidi ya thelathin kwa mwezi lakn nalipwa laki mbili na nusu mkuu
Binafsi nakuelewa sana kaka, hata huku mitaani tunaona matajir wengi na darasa la saba
Lakini kutokusoma sio guarantee ya kufanikiwa
Be blessed, only open minded will comprehend
You are on point following you from Zambia
Well done
Elimu nzuri bro
Good point
Wasomi wako makini sana tofauti na ndugu zake p.didy
Thanks
Tatizo wanao soma ni wengi ila wanaoipat elimu ni wachache na ndio mn wengi wanazan elim ni digr ,mast,phd. hapn hay n majin tu na ndio mn kunawat wanay alfu wanahangaika. hat mtaan elimu ipo Mfano nan anakat kwamb bahares anaelimu kubw bac hiyo ndio elimu,tumuombe Mungu atupe elimu tufanikw sio majin y elimu
Umeupiga mwigi xanaaa ndugu yanguu hongeraaa xanaaa
Bro kwakwel umebobea sana kwa elimu unayotoa da! Vijan tuchakarike,
Wakisoma wanataka kuajiliwa! Sio kujiajili! Ndio maana hawafanikiwi! Wale ambao hawajasoma hua wanajiajili wenyewe! Na ndio maana wanafanikiwa!
Ni kweli kabisa akiacha alichosomea anakatili taaluma yake na amepoteza muda. Sikia tafuta majibu sahihi 10:01
Kwakweli kak shulen hawakufundishi kutafuta hela
Obrigado
Uma boa aula
Kama ni ajira inategemea umeajiriwa wapi mfano ajira za bandarini ajira TRA MIPAKANI AJIRA KWENYE MADINI KWENYE SIASA 🏃🏃🏃🏃🏃
Mudi Mabiriani alikuwa hapa
Wewe ulisoma Historia ndio mana imekulazimu kusaka shughuli nyingine mana masomi yako hayana deal, pili MSOMI ni mtu aliyeenda DEEP kwenye elimu na anapenda TAALUMA hajali mambo ya mshahara, mali, utajiri akili na mawazo ya msomi ni beyond MATERIALS 📌
Ww kilaza kwel hap anazungumziaa watu wanaotAk kuwa na utajir lakin wamesoma sasa wewe kama upo deep huhitaj pesa hukutakiwa kuja hapaa
Tutampakia mafuta mke wake @@shukurugasper4571
Nini tofauti kati ya kujimudu kimaisha na kutajirika? Mtakua matajiri wote? Hata Ulaya watu waliowengi wanajimudu kimaisha lakini matajiri ni wachache.
🙏
Alafu usiwaaminishe watu kumtoa thamani kwa watu wengi ndo mafanikio,inawezakana unachokiamini ndo mafanikio ikawa si mtazamo kwa watu wengi Bali wachache,pia usijithaminishe thamani yako kwa watu,thamani yako NI yako bro
😂😂😂😂😂😂we jamaa unahasira na nani, mbona comments hazijengi ila inaonesha kama umeghafilishwa.
Kweli
NIMEKUELEWA VIZURI SANA , UBARIKIWE SANA
Bando za buku mzee twende mbioo kidogo
😂
Wasomi wengi wanalenga kuajiriwa naunapoajiriwa unakuwa umefungwa yaani unamilikiwa muda wako huwezi kuwa huru
Asante.vitabu vya kiswahili vinapatikana?
Yaani???????.....????????
Wewe ni mpuuzi, unajua maana ya ajira? Daktari amesoma miaka Saba aache taaluma yake aanze kulima? Kimsingi mwajiriwa kipato chake ni cha kujikimu tu. Wote hatuwezi kuwa wa fani moja.
Kaka ninakukumbali sana
💪💪bro
Hivi ukiwa tajiri ndio umefanikiwa?
Ndy utakuwa umefanikiwa kiuchumi
Sjafka mwsho lakn npo kinyume na makala yako
introduction ndefu mzee.. tunatumia bando
Ok
Bro tafadhal xana usidanganye watu,waelimishe watu kuhusu mafanikio,suala la mafanikio NI mtazamo,wala mafanikio hayajafungwa kwenye magari, majumba au kumiliki pesa na Mali nyingi,haina maana Mtu mwenye PhD anaishi kijijini na nyumba ya makuti anaishi kwa shida! Mafanikio NI pale unapofikia inaridhika na kile unacho miliki pamoja na unachokifanya ama kuishi ktk kusudi lako na kufeel furaha moyoni
Umesikiliza kwa makin anachokisema????
Huyu jamaa anadhani utajiri ndio mafanikio. Uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo. Hii ni shida kwelikweli.
acha idea za kimasikini huna pesa wewe ni shida tuuu
We mwamba😂😂😂😂 nimesoma comment yako mara5 sielewi. Ila naomba nijilazimishe walau kwa mbinu za medani. Naomba nikujibu, mafanikio yoyote dunia ya leo lazma yapimwe kwa pesa. Ila mafanikio ya kiroho hupimwa kiroho. Sasa huwez kusema umeridhika na hivyo unajiona umefanikiwa. Unaumwa leo miguu unatakiwa kutibiwa kwa Milioni 15, huna unaanza kwenda ITV kuchangisha. Tafuta hela, wekeza na uwe na njia kumi za vipato. Na kwa sie Wakristo hutakiwa Kibliblia kurithisha mpaka wajukuu wako. So braza acha kuwa mkali, tafuta helaaaa😂😂😂
Fikira za kimasikini hizo
Nitapataje hivyo vitabu kaka naitwa charles nipo usa tafadhali nahitaji mawasiliano yako.
We mwenyewe unahangaika na kupata viewers tu hapa,mbona hukatajirika uko busy kujirecord na kuuza vitabu
Ulitaka awe anatupostia mali zake😂😂😂
Nakubaliana nawewe kwenye sababu za kufanikiwa ulizozieleza, ila sikubaliani nawewe kwenye kichwa cha habari ulichokiweka.
Ni kweli wasomi wengi ni masikini? Huo uwingi unaulinganisha na wasiosoma ama? Je, tukichukulia mfano wa hapa Tz na Africa tu, ukiangalia takwimu za matajiri waliowengi ni wasomi ama wasiosoma?
Hiko kichwa cha habari hakina uhalisia. Si kweli kabisa.
Sorry bro nikwanamna gan naweza kusoma na kufanya biashara kwa wakati mmoja, na biashara gan?
Inawezekana sana tu nicheki nikupe maelekezo
kusoma sio shule... elimu ya mtaa inatosha
Bro uko Vizur na ni mwanzo mzuri pia ila maeneo machache boresha 1.eleza maana masikini
2.elezea maana kusoma
3.jitahidi kufanya tafiti kwa watu wengi
4. Usitumie nguvu tumia akili na shule zitasaidie kukutoa
5. Jipe muda utatokeza
6. Mwisho msomi si masikini ni swala la muda tu.
Asante mkuu
Inategemea na definition yako ya MAFANIKIO? Wasomi wanapenda modest life, majumba,magari,mali ni mafanikio kwa definition yako mwenyewe.
Wewe umefanikiwa Fara wewe
Makala yako ni kwa ajili ya views za mtandao. Ila uhalisia ni tofauti. Matajiri wengi ni wasomi. Anayepinga aje na fact
Erick shigongo ni mtanzania na n founder of grobal publisher je elimu yake phd???
Mm nakupinga huyu jamaa anaonge fact
Nakubal Matajir weng ni wasomi ila hawakuwez kupat utajir kwa kuajiriwa au kufanya kile ambacho wamekisomea mara nying hufny vit tofaut na walichosom
Kweli
Ok
Kweli
Ok
Kweli