Joel Mungu akubariki kweli ulikuwa na moyo wa utoaji. Nakushukuru ulinisaidia suruali yako nyeusi ya kitambaa ulipokuwa form six. Ile mimi ndo ilikuja kuwa suruali ya kutokea. Ulinibariki sana
Pole sana. Nishawahi kwenda Bank mmoja na si mara moja nikipanga foleni ya kwenda kwa teller wa Foreign naambiwa " Hiyo siyo foleni yako". Safari moja bank hiyo hiyo nikaenda tena kwa Teller wa Foreign nikamwambia. Nataka fedha kiasi kadhaa incase kuna hela iliyoingia kama hakuna basi. Baada ya kumwambia hivyo akanza. kucheka na kunikebehi kwa kuniuliza mara kwa mara umesema unataka kiasi gani, nikimjibu anacheeeka . Alipoifungua akaunti akanijibu hakuna pesa iliyoingia kwa. siku hiyo. lakini alikuwa hacheki tena. Nikamwambia sawa lakini nikamuuliza mbona huendelei kucheka tena? Akabaki ananiangalia tu. Nikamwambia hiyo ndiyo AKAUNTI YANGU MIMI ENDELEA KUCHEKA. Nilichogundua aliacha kucheka baada ya kukuta balance ni kubwa zaidi kuliko kiasi nilichokuwa nimemuweleza kuwa kama imeingia niichukue. Dharau ni mbaya sana.
Shukrani sana kiongozi kiukweli najifunza mengi sana kupitaia wewe,na nina amini nitaenda kufanikiwa kwa kufanya ivyo na kumtanguliza mwenyenzi MUNGU pia. kiongozi MUNGU akazidi kukuinua viwango adi viwango
Kaka Joel Mungu ana makusudi na wewe kutuleta kwetu. Naamini kukutanishwa na wewe huku youtube sio bure ni Mpango wa Mungu kwangu na vijana wengine. Ubarikiwe sana kaka
Very true kaka unayoyasema yani kaka Mungu aliyekuleta duniani alikuwa na makusudi yake kabisa na una kitu kikubwa sana ndani yako kwa ajili ya jamii kwani unatuvusha kwa mengi,Stay Blessed kaka J
Duuu umetusaidia wengi kaka @joel nanauka, nakumbuka ni mmoja ambaye nilisaidiwa sana pindi nakosa nauli ya kurudi nyumbani Tena ilikuwa 5000 Kwa train, nakumbuka uliniambia kila inapofunga shule niwe nakuona na nilifanya hivyo na ukawa unanipa nauli ya kurudi nyumbani na ya kurudi shule pia. MUNGU akubariki sana still I'm learning from you 🙏🙏🙏🙏
Kaka your the best public speaker..... sauti yako inadhibitisha unacho kisema .... unaweza kuniambia umetumia mda gani kuwa hivyo... plz naomba tu unijibu
I wish to know ni nin nilicho nacho ndan yang 😢😢 cause naisi nami ni miongon mwa wale wanaamka na kwenda kazin na kurudi nyumban sijui ni nin nataka in this world
Tatizo ni watu ambao anaambata nao amezungukwa na machawa wengi sana na wafanyakazi wake hakuna mtu anaweza mbeza boss wake so wafanyakazi wake na machawa wanamuaminisha kile ambacho hana yani hata kwenye list ya matajiri Africa wacha Africa matajiri wa tz hayupo halafu unaamka asubuhi unasema nataka kuwa tajiri namba 1 dunia 😮😮hatujaambeza ila angalau angekuwa hata kwenye top ten ya matajir wa tz hakuna mtu anazuia ndoto ya mtu any good luck kwake
Kweli kabisa aongee kiswahili tu maana anatupa mkanyiko na kama kingereza kiwe kingereza tuu. Sio anachanganya changanya haeilet picha nzur kwa sisi wazawa😢😢😢😢@@FaruhMarite
Nafurahia unapochanganya kakiingereza kidogo sijawahi kuelewa wanaoongea kingereza ila kwa sauti yako na unavyoongea rafuzi yako nadaka maneno mengi ya kiingereza na siku hizi nafurahia kila anaekiongea japo sikijui
Broo barikiwa sana unatujenga vilivyo na madini unayotema kwanye mdomo wako unajua kutuelewesha ila unanipinga chenga kias pale unapotia kizungu kwa mda jaribu kutumia kiswahili kwa wingi ili ata ambae ajasoma awese kukuelewa ukisingatia ndo lugha ya taifa letu la Tanzania
Mungu akubariki sanaa😊😊
Joel nakushukuru nimemaliza madeni yote kupitia Ku to a kipao mbele kwa Deni lenye liba kwanza Mungu akubariki Asante.
Joel Mungu akubariki kweli ulikuwa na moyo wa utoaji. Nakushukuru ulinisaidia suruali yako nyeusi ya kitambaa ulipokuwa form six. Ile mimi ndo ilikuja kuwa suruali ya kutokea. Ulinibariki sana
Amen 🙏🙏
Abarikiwe sana nawe hongera kwa kuyashinda mapito kadhaa ukiwa shule
Kaka asante Una maneno mazuri ya kutuma hasira ktk naisha
Hakika kipaji ulichonacho mungu akibariki kwa sababu watu wengi wamebadirika kupitia wewe🙏
Pole sana. Nishawahi kwenda Bank mmoja na si mara moja nikipanga foleni ya kwenda kwa teller wa Foreign naambiwa " Hiyo siyo foleni yako". Safari moja bank hiyo hiyo nikaenda tena kwa Teller wa Foreign nikamwambia. Nataka fedha kiasi kadhaa incase kuna hela iliyoingia kama hakuna basi. Baada ya kumwambia hivyo akanza. kucheka na kunikebehi kwa kuniuliza mara kwa mara umesema unataka kiasi gani, nikimjibu anacheeeka . Alipoifungua akaunti akanijibu hakuna pesa iliyoingia kwa. siku hiyo. lakini alikuwa hacheki tena. Nikamwambia sawa lakini nikamuuliza mbona huendelei kucheka tena? Akabaki ananiangalia tu. Nikamwambia hiyo ndiyo AKAUNTI YANGU MIMI ENDELEA KUCHEKA. Nilichogundua aliacha kucheka baada ya kukuta balance ni kubwa zaidi kuliko kiasi nilichokuwa nimemuweleza kuwa kama imeingia niichukue. Dharau ni mbaya sana.
Shukrani sana kiongozi kiukweli najifunza mengi sana kupitaia wewe,na nina amini nitaenda kufanikiwa kwa kufanya ivyo na kumtanguliza mwenyenzi MUNGU pia.
kiongozi MUNGU akazidi kukuinua viwango adi viwango
Somo zuri Sana coach Joel.. asante sana
Mr. Joel may God bless you coz you have made me know about my value🙏🙏
Ahsante mtumishi kwa neno!!!
Asanteee sana kwa masomo yako, natamani Sana uje kahama nitajitahindi sna kuwepo
Kaka Joel Mungu ana makusudi na wewe kutuleta kwetu. Naamini kukutanishwa na wewe huku youtube sio bure ni Mpango wa Mungu kwangu na vijana wengine.
Ubarikiwe sana kaka
Mungu akubariki sana
bila malengo hakuna kitu katika maisha Asante kaka🙏🙏
Hongera Sana mafunzo Yako yanaeleweka na pia yananufaisha
Sina cha kusema kaka God bless u
mungu akubariki sanaa hakika napata madini mengi mnoo
This information is very encouraging thank you mr joel
Mungu ni mwema ana fanya kitu kwa MDA sahihi mwaka huu na toboa 2025, Kaka wewe ni wasa mani, Nime ji tambua, Mungu aku he pushe na Goliath 🎉🎉❤✍️🇨🇩
Ubarikiwe sana, naiona kesho iliyo Bora kwangu.Mungu akujalie maisha marefu.
Ahsante ndugu mimi ni mwanafunzi wako mtiifu nakubali masomo yako yanafungua ubongo wangu 🎉 ubalikiwe sana
Very true kaka unayoyasema yani kaka Mungu aliyekuleta duniani alikuwa na makusudi yake kabisa na una kitu kikubwa sana ndani yako kwa ajili ya jamii kwani unatuvusha kwa mengi,Stay Blessed kaka J
Kaka jo mmi nakufatilia kila kipindi chako nimejifunza mengi kupitia weww nipo dubai ila mungu akipenda nikija tz nataka kitabu chako
WISHES WILL NOT TAKE YOU EVERYWHERE ONLY GOALS CAN TAKE YOU WHERE YOU WANT TO BE
Duuu umetusaidia wengi kaka @joel nanauka, nakumbuka ni mmoja ambaye nilisaidiwa sana pindi nakosa nauli ya kurudi nyumbani Tena ilikuwa 5000 Kwa train, nakumbuka uliniambia kila inapofunga shule niwe nakuona na nilifanya hivyo na ukawa unanipa nauli ya kurudi nyumbani na ya kurudi shule pia. MUNGU akubariki sana still I'm learning from you 🙏🙏🙏🙏
Namba ya huyu jamaaa
Kaka unatusaidia ombi punguza manento YA kingereza unanguza jamii
Kaka mi nabarikiwa sana na mafundisho yako tangu nianze kufatilia mafundisho yako yamenibadilisha pa kubwa Mungu akutunze
It has changed my life since I've known you so much and thank you so much. 👍
Ukimsikiliza huyu jamaa lazma maisha yabadilike
The best never rest 💪 God rectify my paths Ameen 🙏
Wow my B. Speaker
✅✅✅ ✅✅✅ GREAT TESTIMONY
Shukran Sana kwa somo hili Mungu wa mbinguni akutuze
Kaka your the best public speaker..... sauti yako inadhibitisha unacho kisema .... unaweza kuniambia umetumia mda gani kuwa hivyo... plz naomba tu unijibu
Thanks for changing my mindset
brother your talking the real truth i have identify purpose for me to be where iam i
Huwa unasema ukweli na uhalisiaa,Nimaombi yangu tukayaweke kwenye matendo .Binafsi i can see myself somewhere few years to come
Unaweza
MUNGU akupe Zaid
Salam kwako mkombozi wa taifa
I wish to know ni nin nilicho nacho ndan yang 😢😢 cause naisi nami ni miongon mwa wale wanaamka na kwenda kazin na kurudi nyumban sijui ni nin nataka in this world
Nmebarikiwa💯🙌🙏
Jaman kwa tusio jua iyo lunga wa lasaba Kuna vitu unatuacha Ila tuna penda
Asante san nakuelewaa
Asantee MENTOR ARTHUR NANAUKA JOEL MASTER
Fact
Napenda kujifunza kwako thanks
Namini ipo cku tamiliki nyumb nzri San nandio ndoto yangu inshallah
Wekeza tofari na cement utanishukuru
Gɓh@@Jacksonneema-j9w
Utaweza inshallah
Mm amenibariki katika maisha yangu
Asante sana
Waoooooh thanks so much brother
Big mind!
Bro you are a genius
Barikiwa sana mtumishi 👏
Ushauri mzuri
Ubarikiwe mtu wa mungu
Good message
Blessed
Asante sana🙏
shukrani kaka
Mawazo ya Anold ni km Diamond. Watu walicheka na kudharau kumbe yy ndiyo binadamu mwenye akili kuliko wengi waliomcheka.
Jaribu kutumia kiswahili kwa wingi brooh ili tuwese kukuelewa na sisi ambao atujasoma mana unatujenga sana na haya madini kaka
Tatizo ni watu ambao anaambata nao amezungukwa na machawa wengi sana na wafanyakazi wake hakuna mtu anaweza mbeza boss wake so wafanyakazi wake na machawa wanamuaminisha kile ambacho hana yani hata kwenye list ya matajiri Africa wacha Africa matajiri wa tz hayupo halafu unaamka asubuhi unasema nataka kuwa tajiri namba 1 dunia 😮😮hatujaambeza ila angalau angekuwa hata kwenye top ten ya matajir wa tz hakuna mtu anazuia ndoto ya mtu any good luck kwake
Kweli kabisa aongee kiswahili tu maana anatupa mkanyiko na kama kingereza kiwe kingereza tuu. Sio anachanganya changanya haeilet picha nzur kwa sisi wazawa😢😢😢😢@@FaruhMarite
Kweli kaka
Ongea kiswahili please mwalimu sababu Congo hapa nakufuata Saana
Ubarikiwe Joel
Amen 🙏🙏🙏,sahihi kabisa kaka
Kaka Mimi ninashida na vitabu vyako
🙏🙏🙏🙏❤❤amen
Nakuelewa San mwalimu
Joel kwa nn rais asione watu Kama nyiny mkamsaidia namna kujua kuwa Kuna watu waish maisha magum lakn wanamaono makubwa Kama wew mtaalam
Barikiwa sana
broo naomba kuonana na wew please sana
Nafurahia unapochanganya kakiingereza kidogo sijawahi kuelewa wanaoongea kingereza ila kwa sauti yako na unavyoongea rafuzi yako nadaka maneno mengi ya kiingereza na siku hizi nafurahia kila anaekiongea japo sikijui
Nahitaji kujua unaweka vikao kwaajili ya kufundisha watu ? Yani namaanisha kwamba Unapatikana wapi
Upew maua yako kak
Unge tusaidiya uongeye tuh Swahili sisi wengine hatu juwe kingereza 😢😢 mambo mengi si sikiye 🙏
Ungemtafuta kwenye account yake.. hapa nadhani ni account ya mtu mwingine kama sikosei
@@demask3423 yes sio acct yake hii
Si anakachanga lugha jamanii amuliziki❤ na wasio juwa kiswahili waseme nini sasa
Minded person 🙏
Ubarikiwe saana
Umetaja Arnaldo but ndaniyake kuna message ya Doctor miles 😅
Mimi wacha tu niseme neno nahitaji namba yako kaka😢😢
Ushaur mzur
Nimeanza kukujiua nikiwa na 19 bila shaka sijachelewa nitatimiza malengo yangu kwa wakati😊
Good
Very interesting and smart
Kiswahili
Hii elimu hauwezi kufundishwa kwenye mfumo wetu rasmi wa elimu.
Kaka nahitaji kitabu chatimiza malengo yako?
Tumia link
Joelnanauka.selar
Au mawasiliano
0756094875
Ubarikiwe sana ndugu..
@@farajmanuar3589 Barikiwa pia see you at the top 🫂🫂
Tunaomba namba yako
Mazuri hayaa
I got you my couch
Nakupa 100 kaka wewe una mchango mkubwa katika jamii
Thanks brother
❤❤❤❤
Kuna kitu nimejifunza
Nashaur uweuntmia lugha moja tu kwan wengine hatujui kiinglishi
Nakuombea izidi kuwa baraka
Nakuelewa sana
✌️✌️
Waooo
Broo barikiwa sana unatujenga vilivyo na madini unayotema kwanye mdomo wako unajua kutuelewesha ila unanipinga chenga kias pale unapotia kizungu kwa mda jaribu kutumia kiswahili kwa wingi ili ata ambae ajasoma awese kukuelewa ukisingatia ndo lugha ya taifa letu la Tanzania
Nilikuwa Gizani kupitia ushauri huu ni mefunguka akili
Kaka nahitaji vitabu vyako napataje
@@MariamEmmanuel-z1d joelnanauka.selar
Tambua wanaokusikiliza wote sio kwamba wanaijua lugha ya kiingereza naomba ubadilike Kwa faida ya wote
Kama miye sijuwe English na juwa French 😢 na Swahili kidogo
Ata kiswahil ujui?@@PrayerKitsa
Iyo alikuwa ana present chuo ndiomaana
Punguza kingereza kumbuka sis ni watanzania sio kila mtanzania anaelewa kingeleza
13:44
Good,beter best never think for rest till u'r good is beter and u'r beter is best.keep it up.god bless u.
God bless you too and see you at the top
Naomba kitabu cha timiza malengo yako
TIMIZAH WW KWANZAA LAZIMA UTUAMBUE KISHA UTUITISHEEEE PESAAAAA.... NDIO LENGO LAKOO.... HATUNA PESA... UKIAMUA KUSAIDIA SAIDIA SI LAZIMA UTUJENGE TUKUPE PESA
Mh watu mna makuu mungu wabariki watu wako
Hakunaaaa cha bureee dogooo
Mbonaaa shulee unalipaa adaaa😮😮
Hakuna kituo ya buree ata elimu Ina adaa
Vijana wa hiv watakuwa masikin sanaaaa
🙏🙏🙏🙏❤❤amen