ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Waziri Junior asimulia alivyokwepa kulala selo Tunisia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ค. 2024
  • Kuipambania ndoto si kazi nyepesi. Njiani kuna uwezekano wa kukutana na milima na mabonde, lakini jambo la msingi ni kuamini siku ya kicheko inakuja, kama anavyosimulia mshambuliaji Waziri Junior mitihani aliyokubana nayo Tunisia wakati akitaka kurudi Tanzania baada ya dili la kusajiliwa Olimpique Beja nchini humo kukwama.
    Waziri anasema, pasipoti ya kusafiria alikuwa nayo wakala aliyempeleka, hivyo ikawa mtihani mwingine baada ya kuambiwa na rafiki yake aliyekuwa Rais wa Olimpique Beja, kuwa endapo kama atakamatwa atawekwa selo miezi mitatu baada ya hapo ndo atarudishwa Tanzania. Hata hivyo, akaamua kwenda kituo cha polisi kwa ajili ya kutoa taarifa kuwa pasipoti ameipoteza kwani kila akimuomba wakala wake anamwambia asubiri.
    Nini kilitokea hadi akafanikiwa kurudi nchini? Tazama mpaka mwisho.
    #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

ความคิดเห็น • 12

  • @edwinisdory3250
    @edwinisdory3250 หลายเดือนก่อน +1

    Maisha ya ughaibuni sio rahisi kuishi na pole sana Waziri.

  • @willbroadpontion
    @willbroadpontion หลายเดือนก่อน +1

    Pole

  • @salimsalimali8285
    @salimsalimali8285 หลายเดือนก่อน

    Pole sana bro, usikate tamaa endelea kupambana

  • @fahadfaraj6474
    @fahadfaraj6474 หลายเดือนก่อน +1

    Nmegundua jamaa anakumbuka kila detail

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 หลายเดือนก่อน

    Waziri vipi passport unamwachia Agent.

  • @FurahahansiMwakatobe
    @FurahahansiMwakatobe หลายเดือนก่อน

    Bwana madogo pole siku shida kama hiyo ikijirudia ktk utafutaji wako nenda ubalozi watakusaidia haraka sana

  • @user-to4ki3db3j
    @user-to4ki3db3j หลายเดือนก่อน

    Pole sana

  • @FurahahansiMwakatobe
    @FurahahansiMwakatobe หลายเดือนก่อน

    Vp hatuna ubalozi tunis mbona uliishi kama kibaka

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 หลายเดือนก่อน

    Waziri bora uende Qatar huko Utafika mbali Qatar hakuna ubabaishaji.

  • @protteprofitmmanga4142
    @protteprofitmmanga4142 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @FurahahansiMwakatobe
    @FurahahansiMwakatobe หลายเดือนก่อน

    Vp hatuna ubalozi Tunisia na wewe ni mchezaji siyo kibaka kwa Nini usiende ukawaeleza shida Yako wakusaidie

  • @saeedmagoda9651
    @saeedmagoda9651 หลายเดือนก่อน

    Duh