"WEWE USINITISHIYE MKWALA SITISHWI NA SIOGOPI" AFSA AMTISHIYA RC MAKONDA "MAKONDA NAOMBA UNISAMEHE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • #AdilTV

ความคิดเห็น • 80

  • @msomaliwilliam
    @msomaliwilliam หลายเดือนก่อน +6

    Makonda unatisha sana. Nakuombea siku moja uwe Rais wa Tanzania mungu akulinde

  • @user-uy8ig8wz7b
    @user-uy8ig8wz7b หลายเดือนก่อน +23

    Nakubali makonda ninoma pambana baba weka lake yako apa

  • @AshaRamadhani-px9ov
    @AshaRamadhani-px9ov หลายเดือนก่อน +13

    Kusema ukweli nilikua namchukia sana huyu baba mungu anisamehe.😢😢 Makonda hongeraaaa sana na Mungu akuweke

    • @mumuog7876
      @mumuog7876 21 วันที่ผ่านมา +2

      Upo Kama mimi mtupu

  • @CyprianSapi-tq7qj
    @CyprianSapi-tq7qj หลายเดือนก่อน +3

    Jah akulinde wewe,makonda usijekusahau maneno yangu.Utakuwa Raisi watanzania siku moja.Asante

  • @MERYEDWARD
    @MERYEDWARD วันที่ผ่านมา +1

    uko vizuli Mungu akuzidixhie neema😊😊😊😊😊😊

  • @SalimHamzaFadhili
    @SalimHamzaFadhili หลายเดือนก่อน +3

    Makonda mungu akulinde na maadui wabaya

  • @RulaRajabu
    @RulaRajabu 19 วันที่ผ่านมา +1

    Nijembe mkomboza umejitolea kwajili ya watanzania hongela sana ubalikiwe sana

  • @samwelnjau301
    @samwelnjau301 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki kaka

  • @RutaEmmaMachumu
    @RutaEmmaMachumu หลายเดือนก่อน +7

    Ila mama jmn..... Hamuoni Mkuu wa Mkoa lkn kamuona Diwani.....😂😂😂😂

    • @atukuzwesanga4982
      @atukuzwesanga4982 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @luganomasanja6196
      @luganomasanja6196 หลายเดือนก่อน

      Mama anasema kamuona Diwani ila mkuu wa Mkoa hamuoni.

  • @ramadhanikalungwana8377
    @ramadhanikalungwana8377 20 วันที่ผ่านมา +1

    Nimempenda sana mh,Diwani.

  • @ntirapinjocy1984
    @ntirapinjocy1984 9 วันที่ผ่านมา

    WE love makonda❤❤❤

  • @OtimalyMayemba
    @OtimalyMayemba 17 วันที่ผ่านมา

    makonda kama magufuli nampenda sana kauli mbiu zake aje ajenge taifa

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g 2 วันที่ผ่านมา

    DAH INASIKITISHA SANA
    MAKONDA FANYA KAZI USITISHIKE ,ATAKUCHUKIA KILA MWENYE MAKANDO KANDO YAKE

  • @gileadmushi8294
    @gileadmushi8294 12 วันที่ผ่านมา

    Pastor 🙌🙌🙌

  • @marthadaniel4904
    @marthadaniel4904 25 วันที่ผ่านมา +1

    😢😢😢😢😢Haki ya mtu haipotee jmn watu watu achen kuzulum watu ni laaaaan kubwa san😢😢

  • @JADIDITWAHA
    @JADIDITWAHA หลายเดือนก่อน +2

    Chapa KAZI boss angu

  • @eliaorgenes676
    @eliaorgenes676 11 วันที่ผ่านมา

    diwani yuko vzr sana huo mgogoro ni tata .

  • @zebedayoloilukumai.8813
    @zebedayoloilukumai.8813 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akulinde Makondo wetu

  • @jesckamolel5693
    @jesckamolel5693 หลายเดือนก่อน +1

    Et diwan diwan gan wew nyumbu njaa tupu tu huna lolote pumbav sana huyu diwan

  • @ndagijimanakibibi7381
    @ndagijimanakibibi7381 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda nukupenda kweli mungu andeleee kukulinda

  • @Nagelleislamictv
    @Nagelleislamictv หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Makonda Mungu akulinde wewe ukona utu kama mister maghufuli Mungu akusaidie sana na akupe hekima na busara mimi Ahmed kutoka Kenya nafurahia kwa uongozi wako

  • @AdamuMsaghaa-jb5uc
    @AdamuMsaghaa-jb5uc หลายเดือนก่อน +2

    Makonda njoo singida utusaidie nasisi

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 หลายเดือนก่อน +1

    Ni busara ya kawaida tu...ila mh makonda ameamua kujitoa kwa ajili ya haki za wasio na sauti. Ameshuka chini kabisa kwa walio chini kabisa kwa jamii

  • @user-mc7lh6js3o
    @user-mc7lh6js3o หลายเดือนก่อน

    Kweli , napenda kuasikiliza makonda❤❤❤❤

  • @HappyBlini-zd8ej
    @HappyBlini-zd8ej หลายเดือนก่อน

    Makonda Makonda. Makonda Mungu wa mbinguni akulinde mwanangu. Malaika. Mikaeli. Akulinde. na ule. Upanga unaokula kuwili adui asiwe karibu. Nawe

  • @FamilyVideos-pt1mo
    @FamilyVideos-pt1mo หลายเดือนก่อน +2

    16:20 sasa kama inaripoti kwako hukuona na wewe kama kuna tatizo?

  • @user-fz1ph3cn4s
    @user-fz1ph3cn4s หลายเดือนก่อน

    Excellent Makonda

  • @MohamedMrija
    @MohamedMrija หลายเดือนก่อน

    Hongera makonda

  • @yahayabakali-x7y
    @yahayabakali-x7y หลายเดือนก่อน

    Simba

  • @eliaorgenes676
    @eliaorgenes676 11 วันที่ผ่านมา

    Diwani ako na busara kubwa sana.

  • @luganomasanja6196
    @luganomasanja6196 หลายเดือนก่อน +1

    Ila mama katisha, yeye ni kipofu hamuoni mkuu wa mkoa ila kamuona Diwani yupo hapa kwenye mkutano.

  • @andrew29468
    @andrew29468 หลายเดือนก่อน

    diwani yupo vizuri

  • @matitutvonline4184
    @matitutvonline4184 26 วันที่ผ่านมา

    Mbona waliojenga wamewaacha 😂😂 ? Hawa jamaa ni wahuni sana ilifaa wenye dochuments wawalipe fidia na sio kuwapeleka porini wahuni sana hawa jamaa. MAKONDA KATIKA HILI BIG UP SANA. WAMEKUWA NA DHULMA YA WAZI SANA.

  • @eliaorgenes676
    @eliaorgenes676 11 วันที่ผ่านมา

    huyu diwani na maamuzi yako sawa alikua anaenda vzr.amekatizwa tu maelezo yanakwenda .na hicho anaongea makonda ndio hicho diwani amesema ni kwenda kukatiwa mashamba kwa walio wauzia

  • @venasmlega6727
    @venasmlega6727 24 วันที่ผ่านมา

    Makonda ww ni zaidi ya rais nakuombea sikumoja uje kuwa rais

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 29 วันที่ผ่านมา

    Diwani yuko vizuri na ukifuata kelele za mob unaweza kumuonea

  • @user-pu8bp3tw5s
    @user-pu8bp3tw5s 25 วันที่ผ่านมา

    Tz itarud kwenye msitari wa MAGUFURI siku MAKONDA akiikamata. Naamimini ipo siku
    Lakini siyo leo ni pale ifikapo 2030 au 2035

  • @meckgodfrey7334
    @meckgodfrey7334 หลายเดือนก่อน

    Viva makonda viva

  • @isacksimonmahungilo
    @isacksimonmahungilo หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa kaingia kwny kuminanane

  • @Paplick9
    @Paplick9 หลายเดือนก่อน

    Poul makonda 💥💥🙌🙌

  • @RamadhaniSelemani-bn1fz
    @RamadhaniSelemani-bn1fz หลายเดือนก่อน +1

    Shenzi kabisa watu wanapenda sana kuzulumu Mali za watu

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 20 วันที่ผ่านมา

    Hapo wazi kabisa mtu alieuza ndie mhakifu , ni kwanini mnaruka eneo hilo wakati mhakifu yuko?

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 หลายเดือนก่อน

    Diwani/mchungaji upo vzr tu,,
    Sema ulishayakuta madudu yamefanyika.

  • @venasmlega6727
    @venasmlega6727 24 วันที่ผ่านมา

    Kiongoz akiwa msukuma huwa ni hatari kwakuongoza vzr

  • @kambaragemwatya498
    @kambaragemwatya498 หลายเดือนก่อน

    Hapoo makonda anaye mtetea sio mwanamke ..mbona watu wa haki za binadam hawwpo

  • @AthumanyMvula
    @AthumanyMvula หลายเดือนก่อน +1

    😂huyo mama kasema haoni mala kamuona diwani yupo hapa sa cjui kaonaje kama yupo

    • @ShangeMbogo
      @ShangeMbogo หลายเดือนก่อน

      Watoto wake ndio wanae muona na waka mwambiya bibi diwani yupo yele pale ndio maana kasema yule

    • @EvelyneNifasha-zc6jr
      @EvelyneNifasha-zc6jr หลายเดือนก่อน

      Jmn mpak kuchanganyikiwa😂😂😂

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 25 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤

  • @menyajoseph9729
    @menyajoseph9729 26 วันที่ผ่านมา

    diwani nimbuzi lakini aliva ngozi la kondo kama ma sheikh watafuta kondo mwisho akachinjwa kama kondo

  • @zebedayoloilukumai.8813
    @zebedayoloilukumai.8813 หลายเดือนก่อน

    Wachungaji wanatakiwa wahubiri injili sio siasa

  • @oneonego705
    @oneonego705 หลายเดือนก่อน

    Unaweza kwa kiwango cha juu kutatua mambo

  • @josephatkiliko2546
    @josephatkiliko2546 หลายเดือนก่อน +1

    Amemuonaje wakati haoni?

  • @jitulamtumba
    @jitulamtumba 23 วันที่ผ่านมา

    Mama anasema hauni ila nashangaa kamuona mbaya wake kwanza ncheke😂😂😂😂

    • @venerandakisaki94
      @venerandakisaki94 23 วันที่ผ่านมา

      Amemuona kwenye ulimwengu wa roho 😅😅😅

    • @mumuog7876
      @mumuog7876 21 วันที่ผ่านมา

      Nahis atakuwa kaambiwa kuwa mbaya wako yupo😊😊

  • @Isackhamka
    @Isackhamka หลายเดือนก่อน

    kwanini usiingie kwenye kapeni muheshimiwa make wewe unafaa kuwa raisi au wazili mkuu

  • @jaydenbedas5729
    @jaydenbedas5729 หลายเดือนก่อน

    Serekalee

  • @maichile3557
    @maichile3557 24 วันที่ผ่านมา

    Qchefu nyimbo zake

  • @ManuuNgingo-cs3hx
    @ManuuNgingo-cs3hx 28 วันที่ผ่านมา

    Huyo mchungaji tapeli tu

  • @deusNjimba
    @deusNjimba หลายเดือนก่อน

    WATU. WA. ARDHI. NI. WEZI TU. ARDHI. ZA. WATU

  • @user-eu6ql9zl7n
    @user-eu6ql9zl7n หลายเดือนก่อน

    Bibi ushamuona Diwan lakin mwanzo ulisema huon

  • @Boaz22
    @Boaz22 หลายเดือนก่อน

    Sasa mama umemuonaje diwani wakati umesema hauoni😂

  • @josephudoba5563
    @josephudoba5563 หลายเดือนก่อน

    Hao walio uza hamkuwakamata Kwa nini

  • @kenedytheonest2798
    @kenedytheonest2798 25 วันที่ผ่านมา

    Mgorogoro bibi jamani poole

  • @fredyambrose7562
    @fredyambrose7562 28 วันที่ผ่านมา

    Siioni mi kipofu ila diwani namuona

    • @user-pu8bp3tw5s
      @user-pu8bp3tw5s 25 วันที่ผ่านมา

      Hata mimi naishangaa kauri hiyo, ila atakuwa alimuona kwa njia ya roho mtakatifu

  • @FamilyVideos-pt1mo
    @FamilyVideos-pt1mo หลายเดือนก่อน

    1:21 hela enzi ya Nyerere zinatumika?

    • @Paplick9
      @Paplick9 หลายเดือนก่อน

      Ana maanisha alikusanya toka enzi hizo

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 25 วันที่ผ่านมา

    Makonda😂😂😂😂😂

  • @isacksimonmahungilo
    @isacksimonmahungilo หลายเดือนก่อน

    Ni maswali madogo ila ukijichanganya tu