Maelezo KAMILI Kuhusu Njia Za Kufika Marekani | Aina Za Visa Utakazohitaji Ili Uje Huku USA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Kama unatafuta njia za kwenda marekani, bhasi hatua ya kwanza ni kutambua aina gani ya Visa utakayohitaji kulingana na safari yako ya kwenda USA. Nimeorodhesha baadhi ya aina ya hizo visa. Tazama video hii ili upate maelezo zaidi.
    Types Of US Visas below⬇️
    🇺🇸TEMPORARY VISAS (Nonimmigrant Visa To The US)
    ⚫️TOURISM & VISIT (B-1 and B-2 Visa)
    Special for business & Tourism travelers
    travel.state.g...
    ⚫️STUDY & EXCHANGE
    -Student (F-1 visa)
    -Vocational training (M-1 Visa)
    -Exchange visitor program (J-1 Visa)
    travel.state.g...
    ⚫️WORK
    travel.state.g...
    ⚫️K-1 or Fiancé(e) Visa
    -Hii ni special kwa walioengage na a US citizen and plan to marry and live in the US. Your fiancee will petition for a K-1 visa for you.
    It'll allow you to travel to the US and get married within 90 days of arriving.
    🇺🇸IMMIGRANT VISAS
    ⚫️FAMILY BASED (Visa IV)
    travel.state.g...
    ⚫️EMPLOYMENT or INVESTMENT
    -Immigrant Investor Visas
    travel.state.g...
    ⚫️INTERCOUNTRY ADOPTION
    -For more information;
    travel.state.g...
    ⚫️TEMPORARY RELIGIOUS WORKER VISA (R-1 )
    travel.state.g...
    ⚫️REFUGEES AND ASYLUM
    -Status itakua granted kwa watu waliokua persecuted or fear they'll be persecuted on account of race, religion, membership in a particular social group or political opinion.
    travel.state.g...
    ⚫️DIVERSITY VISA PROGRAM
    -Apply for Green Card Lottery online at
    dvprogram.stat...
    Ubalozi Wa Marekani Nchini Tanzania
    tz.usembassy.gov/
    Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!
    My previous video;
    • Soko Lenye Wauzaji Wa ...
    🔸FOLLOW ME ON;
    INSTAGRAM: / jacchalz
    TikTok: www.tiktok.com...
    My Other Channel: / @jackchalz
    #hukuyues #usavisa #americandream

ความคิดเห็น • 318

  • @jackwausa
    @jackwausa  ปีที่แล้ว +32

    Please Subscribe pia kwenye hii channel yangu nyingine ili ujionee zaidi ⬇️ ⬇️
    youtube.com/@Jackchalz

    • @zubedaathumani137
      @zubedaathumani137 ปีที่แล้ว +4

      Kaka mtu akitaka kuwasilian a nawew wthasp unapatikana vip naitaji proses natak unisaidie

    • @thomasmwasongwe7790
      @thomasmwasongwe7790 ปีที่แล้ว +1

      Kaka vipi hali yako ?kaka naitaji msaada wako naomba imer number yako nikutafute

    • @adamchizabushahuchizabus-bu4ui
      @adamchizabushahuchizabus-bu4ui ปีที่แล้ว

      Kaka nakukubari

    • @jacksoncharles6223
      @jacksoncharles6223 ปีที่แล้ว

      Kaka naomba no.yako ya watsap

    • @rashidially4623
      @rashidially4623 ปีที่แล้ว

      Kaka naomba no yako tuzungumze nimekupenda san ukopoa

  • @nassoribrahim5931
    @nassoribrahim5931 ปีที่แล้ว +9

    I'm addicted for this channel

  • @betomkwinda8744
    @betomkwinda8744 ปีที่แล้ว +1

    Jack maelezo yako ni mazuri sana na ufafanuzi wako ni mzuri,na tunakuelewa vizuri kwa kweli unafanya jitihada nzuri sana kwa kutupa maelezo ya kina na kwa mapana zaidi tofauti na wengne, Asante sana

  • @thebmcblackmiccatcher3949
    @thebmcblackmiccatcher3949 ปีที่แล้ว +6

    Nimependa ufafanuzi wako na refferences unazotoa.
    You''re good bro!

  • @fatmasaid4381
    @fatmasaid4381 ปีที่แล้ว +11

    Nice content mwanangu mungu akubiri Sana huko America 🇺🇸

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 ปีที่แล้ว +5

    Iko poa sana kaka iyo video nimeisubiria sana wish you all the best brother🙏🙏👏👏👏👍👍💪💪

  • @Shibuzeman
    @Shibuzeman ปีที่แล้ว +9

    Much blessings to you and Respect Mzee Jay,Tusomeshe..✌️🇹🇿

  • @methodjasson2159
    @methodjasson2159 ปีที่แล้ว +3

    Well done bro you're doing good bro,Asante sana kwa maelezo mazuri sana sana.May God Bless you!

  • @NeemRamadhani-j8h
    @NeemRamadhani-j8h 8 หลายเดือนก่อน

    Broo,michongo ni mingi sana na unafafanuwa vizur kabisa,naomba unifanyie mpango nikilipwa unachikuwa chako na cha ziada kama shukrani Job yoyote ata bustani au usafi si unajua tena uku waafrica asa tulopigwa na maisha kama mm I swear to god nikiipata kazii ntahisi nimependelewa sana na Mungu.❤❤❤🙏🙏

  • @n3mz
    @n3mz ปีที่แล้ว +13

    Aisee ni hatali. Kuunga bendo na kuyatazama mapini yako aisee ni njia moja ya kuja malekani. Tokea ukunda PWANI ya Kenya bariida zaidi

  • @nelsonmwaipaja3727
    @nelsonmwaipaja3727 ปีที่แล้ว +3

    Respect xana kaka ## una moyo wa tofauti xana bro🤝🤝🤝

  • @piusundisputed
    @piusundisputed ปีที่แล้ว +3

    Always nakuamini brother,,una information safi sana hongera Kwa kutujuza vema sana

  • @giftbala4687
    @giftbala4687 ปีที่แล้ว +5

    Hello bro, content iliyokwenda shule. Big up brother na shukrani sana kwa kutujuza mambo kibao kuhusu mamtoni. God bless you brother.

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +2

      Thanks!!🙏🏾

    • @officialniffer5493
      @officialniffer5493 ปีที่แล้ว

      @@jackwausa mimi naomba mawasiliano yako my brother sio kwa ubaya

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 ปีที่แล้ว +11

    Nimepends video sababbu unakwenda kwenye point so wale wanaongea lisaa kumbe point ni mbili, wewe umeongea fasta na mambo mengi kwa muda

    • @sharifnassor4417
      @sharifnassor4417 ปีที่แล้ว

      Nina shangaa sana kuona wataliii wanapokuja Tanzania hawapendi kuvaa nguo ,tunaona video zote unazo tuonesha mitaa beach wamevanguo vizutu,

  • @ngoynzoagermain
    @ngoynzoagermain 10 หลายเดือนก่อน +1

    Iyi madini kweli.. pamoja sana Bro 5/5 G from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana mze bb. Umefanya poa sana kuachia hiii video inayohusu njia za kuja uko kk.

  • @alainndindimaamuri8459
    @alainndindimaamuri8459 ปีที่แล้ว +5

    Nakukubali Sana jack man more respect 🙏 #DRC 🇨🇩

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      Pamoja sana!

    • @alainndindimaamuri8459
      @alainndindimaamuri8459 ปีที่แล้ว

      @@jackwausa man nifazi mchongo wakuja huko niko South Africa inatakiwa kiasi gani kya pesa

    • @GeorgeMtei
      @GeorgeMtei ปีที่แล้ว

      Hukosei Jack kuwapa watu elimu

  • @mukhtarally5819
    @mukhtarally5819 ปีที่แล้ว +3

    I say wagwan au jaaa bless Jack da sante sana papa ku keep us manding us keep fighting

  • @wariobamussa2462
    @wariobamussa2462 ปีที่แล้ว +2

    Wow.... Great content Brother umenifungua macho leo.....

  • @tekittontv1
    @tekittontv1 ปีที่แล้ว +4

    Hello Jack
    Hasante sana for the videos.
    How can someone get sponsors in yues ? Or friends that are genuine ambao anaeza to support projects zetu huku nyumbani

  • @mosiabdul
    @mosiabdul ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe sana brother kwa elimu hii

  • @nemestesha7784
    @nemestesha7784 ปีที่แล้ว +1

    mnyamwezi kabisaaa.!.mnyamwezi mwenye brain yake nzuri iliyopangika vizuri,

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      🙏🏾✌🏾

  • @chafichahamejuma8910
    @chafichahamejuma8910 ปีที่แล้ว +2

    Masha allah bro nimependa maelezo yako Allah akujalia,,, tunapambana kutafuta passport kisha mambo ya viza

  • @zainabumohamed8541
    @zainabumohamed8541 ปีที่แล้ว +1

    Kweli unachosema siuongo hii ya wachumba na kazi nimezipenda

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 ปีที่แล้ว +4

    Asant sana jack twakupenda sana Mwenyezi Mungu akujalie kila la kheri sasa visa ni pesa ngapi na kazi za wanawake nazo kama za ndani naeza pata vip

  • @KabintiSpecialVlogs
    @KabintiSpecialVlogs ปีที่แล้ว +7

    Very good info!!! & you’re hair is so 😍😍

  • @Jane-en2jg
    @Jane-en2jg ปีที่แล้ว +3

    You are very Enlighten, I like how you easily explain things and your vlogs are very informative 👍 you have earned my subscription onto your channel. Keep it up we your viewers have known things we didn't know, Also your very bold and a go getter. But don't do tattoo on ur body n don't nose pieace. 🤧
    Keep up the good work 👏 🙌 👍 👌 💪 "Am 🇰🇪 Kenyan "

  • @pendo8082
    @pendo8082 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah uko vizuri waelekeze wajue duh mie uko tu ndo sijafika Good endelea kuwaelewesha

  • @amospiusngeleja9776
    @amospiusngeleja9776 ปีที่แล้ว +3

    Tunakipenda zaidi yako!vipi stendi kuu za marekani

  • @ramadhanimsolopa9840
    @ramadhanimsolopa9840 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa nakuelewa sana nawafuatilia wengi ile ww zaidi yao sio mchoyo weka no best

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 ปีที่แล้ว +1

    Upo vizuri jembe

  • @muhidinsultan2049
    @muhidinsultan2049 ปีที่แล้ว +1

    Thanks so much bro Jack u deliver good bro be blessed

  • @pendo8082
    @pendo8082 ปีที่แล้ว +3

    Just Good waoo You Speak point 👉

  • @alexmwakasape3452
    @alexmwakasape3452 ปีที่แล้ว +1

    Bora umekumbuka kuhus kuja kutoa video inayohusu Total cost ya kila ktu adi mtu ufke US....manake kuna bwna mmoja anaitwa D nyota anatuambia tumtumie millioon 9 na hatoi maelezo wala nn ye anakomaa tu tuma hela...By the way good job mzee kw kutupa muongozo

  • @estasiashiringa1038
    @estasiashiringa1038 ปีที่แล้ว +1

    Yani swagz on mnyamaaaa … walaaah⚡️

  • @luckysichone6705
    @luckysichone6705 ปีที่แล้ว +4

    Pamoja Sana kaka,natamani kufika us kakaangu.

  • @abdallahbaruani8596
    @abdallahbaruani8596 ปีที่แล้ว

    Learning is relatively change in behaviour,,am Happy 4 experience u give us,God bless u

  • @frankmpembu
    @frankmpembu ปีที่แล้ว +2

    Uko juu sana brother

  • @mjzone9633
    @mjzone9633 ปีที่แล้ว +3

    l am super excited my financial life has totally changed ever since I ventured into crypto market. Ive been earning over $12,000 every single week. Lol 😊

    • @mjzone9633
      @mjzone9633 ปีที่แล้ว

      @Roberto sam As a newbie, investing in crypto will be the best for you, I know of a portfolio/ investment manager, Mrs Catalina trading services, an expert in trading and investments as you I know stress in trade, She manages my trade.

    • @mjzone9633
      @mjzone9633 ปีที่แล้ว

      @Felicia Zidane Her availability is assured

    • @mjzone9633
      @mjzone9633 ปีที่แล้ว

      WhatsApp>>>Messenger👇

    • @roseannpugales725
      @roseannpugales725 ปีที่แล้ว +1

      Her analysis are so amazing. My first investment with her gave me a profit of over 25,800 dollars as beginner

    • @JustInnocentBoy
      @JustInnocentBoy ปีที่แล้ว

      Oh them scammers again 😂😂

  • @AngelaBongoye-gz9gt
    @AngelaBongoye-gz9gt ปีที่แล้ว +1

    I love your videos am from Kenya

  • @atroisfoundation5546
    @atroisfoundation5546 ปีที่แล้ว +4

    Nice content

  • @FrancisJuline
    @FrancisJuline ปีที่แล้ว +1

    Nimekubali braza

  • @amindavid9347
    @amindavid9347 ปีที่แล้ว +1

    Am your new subscriber,,maelezo yako sawa kabisa,big up bro,I'll check on you for more information about the visas etc.

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      Big up!!✌🏾

    • @wakalaafrica4013
      @wakalaafrica4013 ปีที่แล้ว

      bro nicheki Whatsapp 0677434301 niko Tanzania 🇹🇿

  • @fistonkasereka8012
    @fistonkasereka8012 ปีที่แล้ว +1

    Asante kutufunza njia yakwenda USA sasa bro huko mutu akijitayidi kufika huko malekani bilafamilia unakwenda ku jitafuta sasa nanta anja GONGEYA WAPI NANANi ndatakaye nikaribicha nakuniyelekeza nipejibu kaka

  • @lucykhamsin3700
    @lucykhamsin3700 ปีที่แล้ว +3

    Naam! Mambo ni mazuri kwakweli

  • @issakitundu617
    @issakitundu617 ปีที่แล้ว +1

    kuanzia DV LOTTERY 2024 wametoa kigezo cha passport katika application, ukishashinda ndipo utahitaj kua na passport kwenye interview

  • @ErickyMrosso-id7ty
    @ErickyMrosso-id7ty 10 หลายเดือนก่อน +1

    Big up kaka mtoto wa nyumbani Kila la heri broo mungu akulinde ni erico wa Kilimanjaro moshi

  • @gasperrobert7036
    @gasperrobert7036 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana bruh,big up sana

  • @mwasamiramedics2666
    @mwasamiramedics2666 ปีที่แล้ว +2

    You are good person.

  • @standardtv3494
    @standardtv3494 ปีที่แล้ว +1

    sio ku like tu nimesha comment kabisa🤣😅🤣😅😅🤣🤣😂

  • @yvonneirakiza3990
    @yvonneirakiza3990 ปีที่แล้ว +2

    Unaeleza vizuri Sana

  • @lucaspaulo5371
    @lucaspaulo5371 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana, vipi huko kazi za galdeni zimekaaje zipo au hakuna

  • @bitecastory2137
    @bitecastory2137 ปีที่แล้ว +6

    Big up brother 🙏

  • @preciousjoy4487
    @preciousjoy4487 ปีที่แล้ว +1

    Naweza kupata vipi...kaka tuongee more about this, please

  • @alphoncemdete2897
    @alphoncemdete2897 ปีที่แล้ว +1

    You’re soo smart and very intelligent 🪄

  • @DaghauMsule-e3u
    @DaghauMsule-e3u 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja

  • @charlesmakelele4268
    @charlesmakelele4268 ปีที่แล้ว +1

    Jack vp kuhusu kuwa ajent wa watu tunaotaka kuja kupambania maisha huko,gud job bro.

  • @hanleytz9209
    @hanleytz9209 ปีที่แล้ว +1

    Yan kati ya vitu naenjoy ni the way u talk brah daah jocks za kutosha alafu hauringi kunajamaa yetu yupo huko nae anafanya kama ww ila anakaza xana mpk anaboa ila God bless u bro inabidi ufanye kufungua kampuni yako itakayotusaidia tunaotaka kuja huko tupitie kwako kwanza tusihangaike

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      Thank you. I'll work on that, Stay safe and God bless you!

    • @hanleytz9209
      @hanleytz9209 ปีที่แล้ว

      God bless u too brah I appreciate u 🙏

  • @MohamedOmary-s9n
    @MohamedOmary-s9n 10 หลายเดือนก่อน

    Habari bro vipi kuhusu Welcome Corp .itatoka lini phase 2 pia wewe ujaongelea hilo fanya uchambuzi kisha tujulishe bro

  • @stellavictor39
    @stellavictor39 ปีที่แล้ว +1

    maelezo yako yako sawa kabisa

  • @MussaHamisi-x4t
    @MussaHamisi-x4t 4 หลายเดือนก่อน

    Umetisha

  • @christonchristian7448
    @christonchristian7448 ปีที่แล้ว +5

    @Jack mfano nina visa tayari na professional yangu naweza kupata kazi ? na kinacho nipa guarantee ya kuwa mkazi wa huko na nipige kazi ni nini?

  • @saidiamisiwilondja3999
    @saidiamisiwilondja3999 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana baba nice job

  • @jerrylyimo215
    @jerrylyimo215 ปีที่แล้ว +3

    Hii ya kizaz sana nimeipenda

  • @devothakiwone448
    @devothakiwone448 ปีที่แล้ว +3

    Jack uko poa sana unajua kuelezea

  • @Enock-t6i
    @Enock-t6i 3 หลายเดือนก่อน

    Enyewe bro nakusikiliza vizuri kabisaa bila tatizo lolote

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah uko vzuri sana kakangu mm nimeshkuru niko Saudiarabia bt nlikua naomba kama kuna visa ya house girl nijue wanachukua na kama wanachukua contract ni miaka mingapi na salary ya huko kenya 🇰🇪 ni ngapi pa month nisaidie pls 🙏🙏🙏

  • @ocenathrkalwans6545
    @ocenathrkalwans6545 ปีที่แล้ว +2

    Good ❤

  • @mohamedmndeme6293
    @mohamedmndeme6293 ปีที่แล้ว +2

    Nakubali sana bro

  • @Manlike96
    @Manlike96 ปีที่แล้ว +1

    Big time bro, umetisha

  • @salminimindiwili954
    @salminimindiwili954 ปีที่แล้ว +1

    Vizur sana bro salut sana

  • @mcno1noah
    @mcno1noah ปีที่แล้ว +2

    Kaka na kubali Sana unavyotupa mwanga was nchi za watu vip safari ya ndege Tanzania to America inakua how much

  • @edwinacyril3611
    @edwinacyril3611 ปีที่แล้ว +2

    I want to visit America

  • @BALEKECH2770
    @BALEKECH2770 ปีที่แล้ว +1

    Bro naona kabisa weye uko sawa kabisa

  • @jacksonlusagalika
    @jacksonlusagalika ปีที่แล้ว +2

    Keep going home boy

  • @hamisshassani4335
    @hamisshassani4335 ปีที่แล้ว +1

    Mkn

  • @imanienock4250
    @imanienock4250 ปีที่แล้ว +3

    Jack umetisha sana mimi natamani sana kuja huko marekani hivi ni viza ipi itakuwa ni rahisi kuipata na nikafika marekani bila utata tukiachana na hii ya bundle ile ya kupanda pipa na cost yake bei gani na vip process unaweza kuzifanya mwenyewe?

  • @leonoso5082
    @leonoso5082 ปีที่แล้ว +1

    Kweli jack me nikiangalia video zako nahisi nishapanda mwewe

  • @salumjoseph2402
    @salumjoseph2402 ปีที่แล้ว +3

    Kaka nakuelewa sana.

  • @carolinemmary8338
    @carolinemmary8338 ปีที่แล้ว

    Thanks Jack kwa somo zuriii

  • @richardscofeld9136
    @richardscofeld9136 ปีที่แล้ว +3

    Good,naomba uongelee hata mamb ya green card rotary,uanzie mwanzo ukishacheza mpaka utakapo shinda ,na requirements za kua nazo ukishinda

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla ปีที่แล้ว +2

      EBM anazo hizo video ashaeleza,sana

  • @allyabdallah8534
    @allyabdallah8534 ปีที่แล้ว +1

    Upo sawa Sana bro

  • @rashidsalumu8129
    @rashidsalumu8129 ปีที่แล้ว +4

    Bro nyengine piga uelezee kazi zinazopatikana kwa unskilled labour

    • @Listacom
      @Listacom ปีที่แล้ว

      😂😂😂

  • @beatbyrich2891
    @beatbyrich2891 ปีที่แล้ว +2

    Mahitaji hayafanani bwana america sio hitaji la watu wengine.

  • @saidomary7930
    @saidomary7930 ปีที่แล้ว +1

    Upo vizuriii sana

  • @posterfarjarman967
    @posterfarjarman967 ปีที่แล้ว +1

    basi kuzuli mbinguni tunakoenda bila viza kwa kila vizazi 😂

  • @evanswekesa5372
    @evanswekesa5372 ปีที่แล้ว +1

    Napenda vibe yako mwanangu

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 11 หลายเดือนก่อน

    Jack bhana unachekesha sana demu anakukatia waya si unamlipua tuu

  • @asdasd9253
    @asdasd9253 ปีที่แล้ว +1

    Mm sijasoma shule lkn nataka kuja kufanya kazi japo kazi zandani au kulea wazee jee nifanyeje

  • @salumjoseph2402
    @salumjoseph2402 ปีที่แล้ว +3

    Kaka mm nataka unijukishe maswali ambayo wanauliza kwenye intariew na wanatumia vigezo gani ili upate visa ya seminary?

  • @shukuluraphaelmwampambas-sz7bh
    @shukuluraphaelmwampambas-sz7bh ปีที่แล้ว +1

    Mimi naitwa shukulu mwampamba natokea mkoa wa mbeya Tanzania natam kufika marekani

  • @stamalamkulungwa8708
    @stamalamkulungwa8708 ปีที่แล้ว +1

    Brother nakukubali sana

  • @FilosofoMoz
    @FilosofoMoz ปีที่แล้ว

    Good broz

  • @myhlmn3701
    @myhlmn3701 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo sio kuja huko...tatizo 🤔🤔🤔michongo mwmba

  • @HassanmashakaSingano-gi2fp
    @HassanmashakaSingano-gi2fp ปีที่แล้ว +1

    Uko viziri kaka,somo linaeleweka sana

  • @ramadhanimjema4764
    @ramadhanimjema4764 ปีที่แล้ว +1

    Mzee baba we kwenye huo mlolongo wa viza uko wapi?

  • @petromsomba4523
    @petromsomba4523 ปีที่แล้ว +2

    Me naomba kuuliza viz umezitaja vizur na zina maerezo yake swari rangu ni hizo viza zinachukua mda gani mpaka uzipate?

  • @zainabumohamed8541
    @zainabumohamed8541 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa sana

  • @shabiruponera4323
    @shabiruponera4323 ปีที่แล้ว +1

    Wewe binafsi ulienda USA kupitia visa gani..???

  • @kibulugwaclain7527
    @kibulugwaclain7527 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naitaji kujuwa galama shingala