SIMULIZI FUPI: REBEKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ต.ค. 2022

ความคิดเห็น • 165

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 ปีที่แล้ว +10

    Wow nice and interesting story big thumb 👍 brother Ankol J tunainjoy🙏

  • @happygissy7693
    @happygissy7693 ปีที่แล้ว +12

    Wow Anko nimefurah kukuskia tena pia asant san kwa simuliz nzur ya Rebeka 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @dionsiashayo2414
    @dionsiashayo2414 ปีที่แล้ว +11

    Nimependa mdundo mtulivu unaofanya simulizi iwe tamu zaidi.....
    Ahsante anko J

  • @rizikinyamz3383
    @rizikinyamz3383 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana simulizi mix kwa simulizi nzuri na sauti yako jamani anko jay mungu akusadie Kwenye kazi yako

  • @salmasulleykrl71
    @salmasulleykrl71 ปีที่แล้ว +4

    Rebeka anakera pole sana mabogo simulizi mix nawapenda 💯💯💯💯💯💯♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 ปีที่แล้ว +9

    Thank you Anko Jay Wanaume Watano wote wapoteza Maisha kwa ajili ya Msichana ambaye alikuwa mke wa Mtu. Kiburi cha pesa mwisho wake mauti.

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 ปีที่แล้ว +8

    Asante Anko J kwa simulizi nzuri yenye mafunzo

  • @halimahaji3856
    @halimahaji3856 ปีที่แล้ว +9

    hongera anko jay, simulizi iko bomba kabisa👌👌👌👌

  • @anithahalicy2715
    @anithahalicy2715 ปีที่แล้ว +5

    Waoo nice anko jay 🎃

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 ปีที่แล้ว +11

    Woow! Ndani ya mjengo. I'm no. 1 Thanks Smix kwa kigongo chengine 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @ahmedhamisi328
    @ahmedhamisi328 ปีที่แล้ว +7

    Kwa kweli kabisa aina adabu na inapoteza Hadi kufa

  • @annasituma8810
    @annasituma8810 ปีที่แล้ว +6

    Daah Kwa kweli Rebeka yake ilikuwa too much

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 ปีที่แล้ว +4

    Duuh pole sana sana mabogo ila inauma sana hii simulizi inahuzunisha

  • @MohaMmad-bl3fm
    @MohaMmad-bl3fm ปีที่แล้ว +7

    Ianoma sana kukuwamulembo

  • @sanetag2173
    @sanetag2173 ปีที่แล้ว +7

    Hongera anko jay. Simulizi yenye mafunzo

  • @omanalshaab4193
    @omanalshaab4193 ปีที่แล้ว +5

    Asante anko j kwa simulizi nzur

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 ปีที่แล้ว +5

    Mmh nipagumu hapa jamani

  • @ahmedhamisi328
    @ahmedhamisi328 ปีที่แล้ว +8

    Apa sasa hi ndio simulizi kwani aya ndio mambo yanao fanyika

  • @sharifamohamedsaid515
    @sharifamohamedsaid515 ปีที่แล้ว +8

    Nilikua namsikiliza felix nimechelewa huku msukuma😇

  • @ashamenza2212
    @ashamenza2212 ปีที่แล้ว +4

    Yaani. Hii, kiboko tamaa haina,mwisho mwema

  • @suzanpeter8944
    @suzanpeter8944 ปีที่แล้ว +5

    Lovely one nmeepeda

  • @fghetu1309
    @fghetu1309 ปีที่แล้ว +7

    Asante sana barikiwa simulizi ni tamu sana❤❤

  • @nancygitonga3282
    @nancygitonga3282 ปีที่แล้ว +9

    Uncle J, wewe ni superb 👌

  • @user-gi1ez6fc1y
    @user-gi1ez6fc1y ปีที่แล้ว +4

    Kwa Mara ya kwanza nasikiliza Simuliz iliyo simuliwa na uncle J🙏🙏😘😘😃😃😃

  • @annejohn8601
    @annejohn8601 ปีที่แล้ว +5

    Kwanza rest in peace Kwa hao matajiri, alafu, thank you very important, anko jay Kwa simulizi vizuri,more love 🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +6

    Hongera kwa mtunzi story ina mwanzo na mwisho hongera pia anko Jay

    • @aminaomarimaidi
      @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว

      Kila likuepukaloo lina kher na wewetulia Mabogo jipange upya huyo mtumishi m tengeneze vzr akutoe mawazo maisha yaende

    • @aminaomarimaidi
      @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +1

      Huyo Rabeka muone kama matapishi
      Mungu atakulipa

    • @aminaomarimaidi
      @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว

      Ubora wa mtu ni tabia
      Hakika uzzuri si shanj jipange upya Mabogo
      Huyo mtumishi ni mwanamke kama Rebeka tengeneza hapo

  • @salmasulleykrl71
    @salmasulleykrl71 ปีที่แล้ว +4

    Asante simulizi mix nawapenda wote watunzi pamoja na wasimuliaji 🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +7

    Woow nice .....we loved and enjoyed the story ❤❤❤❤

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +6

    Mwisho nimejikuta machozi yakinitoka

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +9

    You are the best❤️❤️❤️❤️

  • @abrahamnathan4115
    @abrahamnathan4115 ปีที่แล้ว +8

    Anko jay unakipaji broo🔥🔥

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +5

    Rabeka kiboko jamanii

  • @selfamitche3530
    @selfamitche3530 ปีที่แล้ว +7

    Simulizi nzuri sana ,thank you anko jay

  • @mwanaally4972
    @mwanaally4972 ปีที่แล้ว +3

    Daaah simuliz nzuri xaan jomon🙏🙏🙏🙏

  • @shamsaalrahbi5573
    @shamsaalrahbi5573 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂😂😂😂Imenibid ncheke kwanza aka

  • @emmanueltesha7638
    @emmanueltesha7638 ปีที่แล้ว +10

    Wow bonge la simulizi

  • @maryamibrahim3640
    @maryamibrahim3640 ปีที่แล้ว +8

    Anko ile simuliz ya BARUA YA REHEMA Kwan bado haijatoka

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 ปีที่แล้ว +4

    Njo maana napendaga kwa masilahi yangu 😅😅😅😅😅

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +11

    Anko jay mwenyewe asante kwa simulizi tunainjoi na rebeka nitakoment tena like zenu 🥰🥰🥰

    • @matesoasmani489
      @matesoasmani489 ปีที่แล้ว

      Asalam alaikum shadya

    • @shadyasalum192
      @shadyasalum192 ปีที่แล้ว

      @@matesoasmani489 walykumsalam warahmatullah wabarakatuh

    • @irenewilfred7767
      @irenewilfred7767 ปีที่แล้ว

      Mbn kimya nyinyi

    • @shadyasalum192
      @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +1

      @@irenewilfred7767 tupo kipenzi niambie upo poa kipenzi 🥰🥰🥰

    • @irenewilfred7767
      @irenewilfred7767 ปีที่แล้ว +1

      @@shadyasalum192 yes nipo. My uko mkoa gn

  • @shaall1322
    @shaall1322 ปีที่แล้ว +7

    Ahsante kwasimuliz mix munanitowa mawazo kwakweli💞💞💝💘💕

  • @ahmedhamisi328
    @ahmedhamisi328 ปีที่แล้ว +8

    Hizi ndio simulizi za kusikiza

  • @shamsaalrahbi5573
    @shamsaalrahbi5573 ปีที่แล้ว +9

    Mashoga wabaya

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 ปีที่แล้ว +5

    Yaani mbona wanawake tuna roho mbaya hivi maana hapa ni kumpoteza mwenzao kwa siri ,,alf baadhi ya wanawake tunapenda kubebewa akili na wenzetu mmmh mbona Rebecca huko mbele utalia tu

  • @Adonai810
    @Adonai810 ปีที่แล้ว +7

    OMG 😶😶FOR THE LOVE OF MONEY IS THE ROOT OF ALL EVIL.REBEKA IS A TRUE BLACK WIDOW. I GUESS NOTHING IS PERMANENT. 🔥🔥🔥🔥AMAZING STORY ANKO JAY

  • @SaraUmalila
    @SaraUmalila 5 หลายเดือนก่อน

    marafiki ndo maadui tuwe makini kwa hilo tumtangulize Mungu kwa hilo na pia asante anko jei jamani Mungu asikuache

  • @HuaweiY-wx7we
    @HuaweiY-wx7we ปีที่แล้ว +5

    Haaaa Leo siamin kama Leo nimewahi wa kwanza🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa simulizi nzuri yenye mafunzo ......yaani kitu pesa jamani million200 nizikatae kweli daah
    😂😂😂😂

  • @asiamodriq2933
    @asiamodriq2933 ปีที่แล้ว +8

    Kwenye ubora wako anko j

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 3 หลายเดือนก่อน

    Imeniumiza sana Rebeka kumwacha mumewe Mabogo

  • @sharifamohamedsaid515
    @sharifamohamedsaid515 ปีที่แล้ว +5

    Simuliz nzuri na yenye mafuzo, 😭😭😭

  • @emmanueltesha7638
    @emmanueltesha7638 ปีที่แล้ว +3

    Hili bonge la simulizi af inamafunzo kibao

  • @mercyowange5401
    @mercyowange5401 9 หลายเดือนก่อน

    Vipi jay,naomba smulizi la hofu

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 ปีที่แล้ว +3

    Tamaa mbaya asante Uncle J

  • @valerianhammaro9992
    @valerianhammaro9992 ปีที่แล้ว +4

    I will comet later nice story

    • @nurahmumy2065
      @nurahmumy2065 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣 HATUJAAMBIWA TUSUBIRI MWENDELEZO😂😂😂

  • @aminah9557
    @aminah9557 ปีที่แล้ว +8

    Naangalia ni wangapi Walio mbele yangu alafu nitarudi badae kucoment

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 ปีที่แล้ว +4

    Anko haya mafunzo sio kwawanandoa tu na sisi ambao hatujaolewa au kuowa zinatuusu🙏 Asanteni sana simulizi mix family😘😘😘😘😘

  • @HuaweiY-wx7we
    @HuaweiY-wx7we ปีที่แล้ว +5

    ANKO JAY NITAKUCOMENT VIZUR NIKIMALIZA KISIKILIZA

  • @irenemacool6491
    @irenemacool6491 ปีที่แล้ว +2

    Bwana bingo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-sy8fd1bs9w
    @user-sy8fd1bs9w 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana . imekuwa hadithi ya kuvutia sana, yenye kuelimisha na kuelimisha

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +6

    Anko jay again ✌

  • @kassimmbwana9025
    @kassimmbwana9025 ปีที่แล้ว +17

    Hata sikuwa mraibu wa izi simulizi hii ndio ya kwanza na umenifanya nikasimamisha shuhuli zangu kwa masaa matatu

    • @ruthwaithera2650
      @ruthwaithera2650 ปีที่แล้ว +4

      Once you try them u become addicted to them

    • @shamsaalrahbi5573
      @shamsaalrahbi5573 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂Welcome two simulizi mix family enjoy babaaa

    • @kassimmbwana9025
      @kassimmbwana9025 ปีที่แล้ว +1

      Surely am already become addicted imagine jana nikalala na earphones kwa masikio ata sikujua nilishika aje na usingizi

    • @shamsaalrahbi5573
      @shamsaalrahbi5573 ปีที่แล้ว

      @@kassimmbwana9025 😂😂😂😂😂

    • @chancekambale3498
      @chancekambale3498 ปีที่แล้ว +3

      Wewe huja sikiliza Train 🚊 yakigoma🎉Enda uka isikilize uta niambia 🤜🏽🤜🏽🤜🏽🤜🏽🤜🏽🤜🏽🤜🏽🤜🏽🤜🏽🤜🏽🤜🏽

  • @euniceumazi5143
    @euniceumazi5143 ปีที่แล้ว +4

    Nzuri sana

  • @OmanOman-ep7bw
    @OmanOman-ep7bw ปีที่แล้ว +1

    Anko Jay kama hujaoa nipo apa sina mume napenda sauti yako sanaaa

  • @ahmedhamisi328
    @ahmedhamisi328 ปีที่แล้ว +8

    Siku zote watu ndio awajui lakini uwa marafiki uwa sio wazuri sana asili mia moja

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 3 หลายเดือนก่อน

      Sana,marafiki ni wabaya sana na wanaponza sana

  • @EpmackChami
    @EpmackChami 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanawake achen tamaa

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +4

    Hahaha wachekesha anko jay mumewe atabai hai 🤣🤣🤣

  • @slicemarwa
    @slicemarwa 11 หลายเดือนก่อน

    Simulizi inafundisha sana...hongera sana Anko J

  • @izackmabena6313
    @izackmabena6313 ปีที่แล้ว +4

    Anko j simulizi nzuli

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh,mwadamu tukumbuke fadhila na tuache tamaaa

  • @aishashomali2716
    @aishashomali2716 ปีที่แล้ว +3

    Hakika tamu na inamafunzo

  • @elizabethsteven116
    @elizabethsteven116 ปีที่แล้ว +1

    Daah! Mungu wa ajabu pengine mabogo angebki na Rebecca ingetokea shida kubwa Zaid Mungu alimuepush mabogo

  • @abuuvesso188
    @abuuvesso188 ปีที่แล้ว +7

    Noma😥😥

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +5

    Tamaa mbayaa

  • @mariammsemakweli7904
    @mariammsemakweli7904 ปีที่แล้ว

    Your talented men very nice story l least some for then may Allah bls you ❤️❤️👍👍👍

  • @mwapendosultan887
    @mwapendosultan887 ปีที่แล้ว +3

    Anko jay umenifanya niwe chizi wa simulizi

  • @maicofidelix3549
    @maicofidelix3549 ปีที่แล้ว +5

    Muito obrigado

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 ปีที่แล้ว +5

    Kwani Sisi wanawake tukianza kwenda kwenye pesa huwa tunalia?hatullii tena tunafurahia chezea pesa wewe

  • @esthermwangi2826
    @esthermwangi2826 ปีที่แล้ว +1

    Daa nimeipenda sana

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว +8

    ❤️❤️❤️

  • @kimzymamy6594
    @kimzymamy6594 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani tamaa mbaya 😢😢😢😢

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 ปีที่แล้ว +4

    Yaani mtu anakwambia anakupenda na huku anakuacha huu ni ukweli jmn???baadhi ya wanawake ata mbingu hatutaiona ata kwa macho tu mmhhh

    • @najma1450
      @najma1450 ปีที่แล้ว

      Nikwel kabisa

    • @irenemacool6491
      @irenemacool6491 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @paulalove1223
      @paulalove1223 ปีที่แล้ว +1

      Mtu anaeza kukupenda lakini inapobid kuondoka anakuacha kabsaa

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 9 หลายเดือนก่อน

    Very stor so much 😢😢😢

  • @michealjoseph796
    @michealjoseph796 ปีที่แล้ว +1

    hakika tamaa ya mwili ni majuto ya moyo tulizike na tulivyo navyo ht km ni vidogo kweni tamaa ukiiendekeza mauti inafuata nyuma asnt ankojay Kwa simuliz nzuri zinafundisha sn

  • @teddylameck3355
    @teddylameck3355 ปีที่แล้ว +6

    Good good

  • @cimpayeriziki6680
    @cimpayeriziki6680 ปีที่แล้ว +1

    Tamaa mbaya

  • @maijamtoso5673
    @maijamtoso5673 ปีที่แล้ว +1

    Ila Anko J bhana.... Unafurahisha... that voice is an asset

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 3 หลายเดือนก่อน

    Niko ndani ya mjengo kumsikia Rebeka ,na sauti tunayoiitaji na kuielewa saaaaana sio ya mwingine bali ni ya kijana machachari na mtanashati,msafi na anayenukia masaa yote kama jini ,na mwenye roho nzuri saana na mapesa yake meeengi sio mwingine ni anko j

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +5

    ❤️❤️❤️❤️❤️😘😘

  • @vero756
    @vero756 ปีที่แล้ว +7

    Hilo lisaa moja milioni Mia mbili Rebecca kanunua ukimwi 🤭😏Rebecca wewe

    • @irenemacool6491
      @irenemacool6491 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @termankalendo1439
    @termankalendo1439 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mdada tamaa ilimpoza🙄🙄😪

  • @salomesaedy8186
    @salomesaedy8186 ปีที่แล้ว +16

    More than a talent🔥🙌🏻

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 ปีที่แล้ว +6

    To be continued

  • @latifaally2429
    @latifaally2429 ปีที่แล้ว +11

    It is fantastic 👏 thanks anko j ❤

    • @ellatumbwene
      @ellatumbwene ปีที่แล้ว

      oOoOO to oo to do oooooo oOoOO I can help or have on it I 😢😢😮😮😮 of o😮 of oOoOO 😮

  • @goulchenmoukhtar4846
    @goulchenmoukhtar4846 ปีที่แล้ว

    Kiukwel wee kaka nime kupenda bure nime jifunz meng kweny simulizi zako asant zaidi

  • @irenemacool6491
    @irenemacool6491 ปีที่แล้ว +2

    Ety kanyute🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 7 หลายเดือนก่อน

    Huna baya

  • @lucymakia8308
    @lucymakia8308 ปีที่แล้ว +1

    Amaizing_👊

  • @malkiawafizi2394
    @malkiawafizi2394 ปีที่แล้ว +4

    Asante sana ❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 ปีที่แล้ว +2

    Mh,ama kweli,fedha ni chanzo cha kila aina ya uovu

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 3 หลายเดือนก่อน

      Mlango mkubwa ukiwa ni tamaaa

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 3 หลายเดือนก่อน

      @@RahelIbrahim-id2li ni kweli hiyo my dear

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 3 หลายเดือนก่อน

      @@avelinabaluhya2804 jaman ninyi mlisikiliza mwaka mzima uliopita mim ndio nasikiliza leo,ina mafunzo makubwa kuridhika na ulicho nacho na kujiepusha na tamaa

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 3 หลายเดือนก่อน

      @@avelinabaluhya2804 nimefurahi kupata coment yako mpendwa

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +1

    Dah Mabogo ulitakiwa kumdhibiti mkeo mapema ulihadaika na kipato cha mkeo ukampa uhuru wote ulikosea

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuwa wake,ndio maana Mungu alimwepusha,hatta kama angemdhibiti vip huyo mwanamke ana tamaa