NILIVYOSAFIRI NA JINI KUTOA DAR MPAKA MOSHI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2023
- Jina langu naitwa Halima Mohamed Mgaza, nilizaliwa mwaka 1995 katika mkoa wa Kilimanjaro wilayani Moshi mjini. Wakati nikiwa natafakari hayo mabadiliko ya ulimwengu juu yangu nikajikuta naangukia katika jaribu la
kipekee, jaribu ambalo hata familia yangu ililazimika kusimama mbali nami na kufanya subra kimaamuzi iwapo wasogee ama wakimbie moja kwa moja.
Narejea kulitambulisha jina langu mpenzi msomaji wa mkasa huu.
Naitwa Halima Mohamed Mgaza. Tafadhali nakusihi sana ujifunze na kuchukua tahadhari kwa yale yaliyonitokea.
@ankojay_ - บันเทิง
Hata wa mwisho hua anapewa Like na 🎉🎉🎉🎉 yake nipozeni jp kidogo kwa like
Hakuna nga wa misho😂
Mimi wa pili
Naipenda sana sauti ya msimulizi, kuna watu wamejaaliwa na sauti zao. 16.11.23.
Simulizi tamu ila unapoota ndoto jaribu kuzikemea na kujiombea ili yasikupate kama yaliyompata huyo halima mungu simama nasi yarrab 😢😢😢😢😢😢
Nimelipenda sana simulizi kabla hata aijaisha imebidi nicoment
Mimi wa Kwanza naombeni hizo like nihangaike nazo😂
😂😂😂😂😂😂😂vip na ww ni shaghara 😂😂
Subhanallah mwenyezimungu atulinde yarrab kuna mambo ya kutisha duniani 😢😢😢😢
Anko j..sauti yako nzuri ndio yanifanya niwe nakuskiza kila mda nakupenda sana
Nawapenda pia 😍
Anko jay simulizi nzuri
👍👍asnte kwa simuliz zuri❤❤
Wow,naomba likes zenu wapendwa,kazi nzuri sana Anko jay,
Nisimulizi nzuri na yenye mafunzo Ahsante sana Anko Jay na mwandishi Juma Hiza! Ni kisa chenye mafunzo hasa Imani kwani si kila king'aacho ni dhahabu Ahsante
Eeee mambo hy jin tena ndan ya buss like jaman leo wa kwanza ❤❤❤
Wakwanz Leo jamn like hat 5 zinatoxh ❤❤
Nimejitaidi leo asante ❤❤❤🎉🎉
Asante kaka nakuelewa sana
Wakwanza leo 🎉🎉🎉🎉 likes zang please
Ahsante sana kwa simulizi
I like your voice❤
Zuri sana ina kafunzo
😊😊ninavyo jua kukesha atimaye juma hiza Leo ametukumbuka Asante anko jay Kwa sauti nzuri
Mwenyezi mungu atulinde na majini😢😢😢😢
Anko jay umetishaaaaaaaaaaaaa
Hata nusu saa haijafika watu wamecomment hatr bs tijuana kwenye like ❤❤
❤❤❤💐💐💐💐💐💐💐 nimeipenda na ina mafunzo mazuri sana pia honger mtangazaj maan umejaliwa sauti moja bomb ana hata umenikosh jaman
Una sauti nzuri sanaaaaaaaa anko j mungu akupe maisha marefu na yenye furaha tele
Ankojay you are one in a million Yani ujua kusimulia Ady unakera, ni ankojay tw ambaye hua nasikia faraja pindi nisikiapo sauti yake❤❤❤❤
❤🎉 Enjoy
Daah pole sana halima yapo hya tunayaona❤❤
Asante anko jay kwa kitu kipya🎉🎉🎉
Umetishana anko j kwa simulizi kali
Good job 👍❤❤❤🎉🎉🎉 mungu azidi kukubariki kila wakati usicheko kutupa vitu moto moto
Pole sana Halima Kwa yote, anko npo ngangari Sana kwa simuliz ya X achilia mambo banaa
Hatimae mmetukumbuka wa kilimanjaro❤❤❤❤❤❤❤❤ishisana anko jay unapepoyako chauongo wangu😊😊😊😊😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
Anko jay simulizi nzuli sana
Simliz nzur san❤❤❤❤❤
❤❤❤❤🎉🎉🎉asante sana ankojey 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mashallah anko Jay maana kila siku unamapya barka rafiki Allah akubariki sana
Asante Ankojay 🙏🙏❤❤❤ big up kwa kazi nzuri
Mamaaa ndonaamka jamani😂😂 sijachelewa sanaa anko jay asante kwa kitu kipya❤❤❤❤
Kwl amejaliwa saut
Pole san dada halim mungu akulinde pamoj na mwanao
Excellent work uncle
shukrani anko j
Yani anko unajua kubalansi sauti yako kilasekta unaiweza mpataka nahisi nipo na mtu ananipigisha stori asante nainjoi
Simulizi tamu sanaa.17.11.23.
Anko jay mm l like your voice
🎉Nice
Nzuriii
Love Anko ❤
wakwanza jamani Asante sana anko jay ❤❤
Simulizi zako zote alizowahi kusimulia wewe tangu upo simulizi mix mpaka uku zote nimesikiliza ila Lissa imenishinda kwakweli😢
Inasikitisha sana japo duniani sote ni wapita njia hutujuwi ya Kesho, thank you so much Ankojay
Watu wanalala humu ndani jmn duu ❤❤❤
😂😂😂😂
Nzuri sana❤
Wakati mwingine mungu hutuletea ndoto ila tunapuuza ety ni ndoto tw, yafaa tujifunze ukiota ndoto mbaya amka na ukemee hiyo ndo na hai watu hukuonekania kwenye ndoto ni mungu anakufungua macho ili uwajue wabaya wako na ujue jinsi ya kuepuka, kama bado hayajakukumba, tuwe makini sana na ndoto zingine
Maskini ndiyo huwa wanaota ndoto za ajabu tu,sisi matajiri kwanza huo muda wa kuota hatuna.Maskini wamewekeza kwenye mapenzi,ngono na ushirikina.Hata ukimwi umeletewa maskini tu ili uwapunguze
❤❤🎉🎉anko j asante Kwa kigogo kipya hatimae Leo nimetimba kwenye simulizi 😊😊
Simulizi ni pambe kwani tujifuze tunapo safari kuwa makini sio wote ni habiliya unaweza kuyatimba kam dada angu g
hapo na pia usiwe walaini Sana kukubali kwenye siku mbili mchunguze kidogo kwani Dunia hii jamani Kuma mambo mengi mnooooooo pole Sana dada halima mlee mtoto wako uwezi kujua sawa eshima kwako mwandishi na Ankojay pamoja sana
Mm ndio ndio wa mwisho wapenzi naombeni like zenu 😅
Nzur sana🎉🎉
🎉umetisha sana🎉🎉
Shukran Anko Jay❤❤❤
🎉🎉🎉 Asante ank jay
Asate ankojay❤❤❤🎉🎉allah akubariki
Anko jay pamoja na madamu rissa hongera kwa simulizi nzr penda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤kozizuri sn ninapenda kazi yako❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwaanza 🎉🎉❤❤
Wa 37 leo nimewahi❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉 sweet voice 😍 🎉🎉
Kazi safi😊😊😊
🎉napenda San simulizi zako anko jay
Waaaah nimepata leo furaha kumbwa❤❤
Waooo ❤❤❤🥀🥀🥀💐💐💐
Nice voice unakiti chako mbinguni yaan munguabarki kipaji chako🎉❤❤
Kweli Dunia is have many megic 😮
ᴸᵉᵒᵒ ⁿⁱᵖᵒ ʳᵃᵈᵃ ʷᵉˡᶜᵒᵐᵉ ᵃⁿᵏᵒ ⁿⁱᵖᵒ ⁿᵃʷᵉ ᵐᵖᵃᵏᵃ basi❤❤❤❤
Cjachelewa sana ❤❤❤
Asante sana mabrukiii 👍
Nzuri sana😘💌
Nili kumiss we anko ❤❤
Nmechelewa❤❤❤❤❤❤
Anko kazi zako n safi sana❤❤saba ❤
Kweli upo vizuri katika simulizi hongera pia mtunzi.
Msimulizi sauti yako tamu kweli kweli . Hongera dogo.
Nipo ndani ya ankojay simlizi 😊
Natamani na mimi siku nikutane na jini ❤
Story zako nazipenda sana from oman hilo bas sasa😂😂😂
Napenda sauti yako nzuri kaka mungu akubariki sana
Pole sana dadangu nakuombea mema
Asante sana🙏🙏
Bado tuko pamoja Anko Jay.
Mungu wangu jamani 😭💔😭 pole kaka angu
Ananias Edgar alianza nayo hii simulizi. By the way wewe pia uko gud
Nimechekewa kindogo ila na enjoy Anko j thanks 🎉🙏🙏 ❤❤❤❤
Jamaaa history nayo ni hot sana
Nzuri sana
Anko j anapenda xn simlizi zako nasikiliza kutoka kenya
Ahsante sana
@@ankojay_ part 2 plz
Sio poa anko jj
Nimejitahidi Ku wahi Siku ya leo❤❤❤❤❤🎉🎉
Thank you Ankojay🥰🥰🥰kaka juma napenda story zako 🥰🥰🥰
Hellooo, im in
Pole halima kwa mapito hayo
Nzur xn♥️