Kwa kweli utamu hadi raha tumeinjoy sana anko wetu leo ulikuwa na mbwembwe sana si kwa raha izo mwanzo tumecheka katikati tumelia mwisho tumefurai zamwamwa ni mecheka sana kwa sauti kubwa nimeinjoy sana Jabali wetu King 👑❤❤❤🎉🎉
Yaani 😘😘lkn umetuboa ilivyopotea gafla Kam tanesco wanavyokataga umeme gafla ndo ww ulivyo fanya sasa but enyw tunakupenda Sana pamoja na madam Lissa mwalla♥️♥️♥️ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Unajua anko hii simulizi ya sindelella naipenda kwa kweli mungu akogezee siku tuzidi kuburudika napenda tu kusikia sauti yako si ya mtu mwingine from Zambia ❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😅 nimecheka sana aisee! ati zamwamwa anko Jay wewe acha tu jamani niwape heko za dhati kutoka moyoni mwangu hongera sana anko Jay pamoja na daa Lisa mungu akubariki sana congratulations 👏👏❤❤❤🎉🎉🎉
😢😢😢😢pole nyamizi mwaya mana hata huyoboss rohoo chafu yani unahukumu mtuu kabila kumuulixa jaman mpka wanawake wako wanamsema kumbe niyatima jamani.dunia hii yani kosa maisha mazuri lkn usikose mzazi 😢😢😢😢😢
🤣🤣🤣🤣 daaaah nimecheka sana, et bonge nyamizi anko j Leo umenikosha sana ila Jimi nawe uwe ata na uruma🤣🤣🤣 ishi miaka mingi Ako j napenda sana unavyosimulia more love
Part 02 bonyeza hapaa👇th-cam.com/video/w3Zjyu478IU/w-d-xo.htmlsi=fDSlj_Ka8oa-dlnS
Asante sana Anko J mapesa kwa smlz tamu ingawa nayianza sasa kusikiliza ila inaonekana imenoga kishenzi,,pia ongera kwa sauty yako murwaaaah
Part 3 plzzz plzzzzzz ❤❤❤
Anko j namba yako bac
Naweza tuma pesa kwa m mpesa nataka part 3 na 4
@@rizmwMwriz-mf2cuughu
Mi wa mwish nipe hat Tano 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤simulizi nzur san
💗❤️💞🥰😍😇
Kwa kweli utamu hadi raha tumeinjoy sana anko wetu leo ulikuwa na mbwembwe sana si kwa raha izo mwanzo tumecheka katikati tumelia mwisho tumefurai zamwamwa ni mecheka sana kwa sauti kubwa nimeinjoy sana Jabali wetu King 👑❤❤❤🎉🎉
Tujuwane Wana simulizi❤❤❤❤
Yaani 😘😘lkn umetuboa ilivyopotea gafla Kam tanesco wanavyokataga umeme gafla ndo ww ulivyo fanya sasa but enyw tunakupenda Sana pamoja na madam Lissa mwalla♥️♥️♥️ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Pole alikua anatengeneza mazingir tunufaike sote mpenz 😊
Umepewa ubonge nyanya lkn una sauti nzur,uchapakazi,ukirembwa unarembeka,Mungu hakunyimi vyote
Hi gaizzzz mimi wa mwisho naomba like zenu 😂😂
Good top ten, let's give Anko Jey his likes for starting by singing ❤❤😂😂😂
Hahaha kuimba sio talanta yako ankojay 😂😂😂😂
Unajua anko hii simulizi ya sindelella naipenda kwa kweli mungu akogezee siku tuzidi kuburudika napenda tu kusikia sauti yako si ya mtu mwingine from Zambia ❤❤❤❤❤
Wowowo jmn nimejiskia laha San kuskia smlizi Tam yenye mafunzo ❤❤❤❤❤ank jey 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 na sauti yako mwenywe
Jamani teem anko j muna onaje tufungue group la kupeana maono kwenye simuliz tunazo sikiliz ili tufurah au muna onaje ❤❤
Poa
Mkipanga nipo ndani 😅😅😅😅 yaani anko jay kaniroga uyu sifanyi kazi bila kusikiliza habari tamu tamu na sauti yake nzuri kabisa
AnkoJ si kwa sauti hiyo bora uwe msanii wetu kutoka simulizi 😂😂😂😂 much love anko j❤❤❤❤
Leo mnipe likes nimejaribu kuwa wa ishirini na sita Huwa na kua wa mwisho 😂😂❤
❤❤❤
Bravo Lissa is back with hot stories so great Lissa
Eti jamani Nani kawaambia pobe znaondoa stress nnaam saut ya ankojay ndo inaondoa stress bhn utanishukuru badae🎉🎉😂😂❤❤nyieeeeeeee
Iyo ni kweli
😂😂😂 Daah hii itakuwa hatareee sana inazaa na kuimba kabisa 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤ anko j much love 😘🎉🎉🎉🎉
Anko j 😮ahsante napenda saut jmn me hoi kakang
Usimdharau usiyenjua,na usimnyanyapae binadamu mwenzio,wote tumeumbwa na Mungu mmoja kama apendavyo
Picha linaanza na Wimbo kwanzaaa hii Hataree🙌😅😅
Anko saut yak iyo jmn umejaliw kabezi flani ivi amazing i love u moreee❤❤❤❤ ank
😂😂😂😂😂inko je kumbe wajuwakuimba nakukubalisana katika simulizi zako shukrani sana tunainjoy kwakweli haya nazakusikiliza cc
Wow Amazing😍😍😍 Jimmy anampenda nyamizi🤣🤣🤣🤣waiting for part 2
😅
Ankojay hoyeeee Asante saana ❤kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Simulizi nzur asante sanaa uncle jay❤❤❤❤🎉
Woooooow anko j unajuwa kuimba nce voice🧡🇬🇧🇬🇧🙏🙏😅😂🤣
Dah 😂
@@ankojay_😂😂unajua anko
Love you
😂😂😂😂
Anko Jay simulizi mzee wamapesa😂❤❤❤
Hicho kicheko chake ankojay uwiiiih ❤❤❤❤❤❤
Oooooiiiiii
Na akikolezzea uuuuuiiiiii,au mie fulan mie ananikosha sana
Thank you Ankojay much love ❤❤❤❤❤❤❤❤❤from Kenya 🇰🇪
2️⃣5️⃣4️⃣🤝
❤❤❤
Tu as une belle voix! Much love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Asante dda Lisa Mwala kwa smlz tamu ongera pamoja na msimulizi wetu Anko J
Asanteee saaana anko j ebu nipe like wa kwanza
Cinderella n tamu ankol jay simulizi nzuri
Angalau leo nmewahi jamani like zenu mashabiki wedzangu😊😊
Ankojay ahsante kw simuliz tam San
😂😂😂😂😂😂😂😅 nimecheka sana aisee! ati zamwamwa anko Jay wewe acha tu jamani niwape heko za dhati kutoka moyoni mwangu hongera sana anko Jay pamoja na daa Lisa mungu akubariki sana congratulations 👏👏❤❤❤🎉🎉🎉
Thanks you ankojay🎉 nashukur ndugu zangu leo mie wamia tatu kubwa kuliko nime enjoy Cinderella😂😂😂
Jamani hamna simlizi mpya nzuri mana hata sielewi zinaendaje hizi naweka tu ninayo kutana nayo❤️❤️❤️❤️
😂😂😂 bonge nyanya,duuuh mm siezi kubali hio jina😅😅
Kujitambua mwili wako na kujiweka smart
Nice story anko j nimeipenda
Woow bora mana nilikuwa na muhaho😊😊
Mmm Anko jamani
Huwezi kuimba mwenzangu
Kkkkkkkkkkkkk dhaaaaa ana juwa tuuuu ila siyo sana
Hello Lissa mwalla? ahsante Ankojay 🙏🙌
Hongera sanaa ankojay kwa kuimba vizuri ❤❤❤😂😂😂😂
Nanunuaje ya 3 anko jay
Anko Jay mungu akubariki sana mwana simba mwenzangu❤
👋 hey jaman nawapenda wote mnao sikiliza Cinderella❤❤❤❤
Anko yani hii story nimesikia maya 6 nabado hamu ainitoki ❤️❤️.
Asante sana dada Lissa kwa story nzuri yenye mafunzo mazuri
Yani tangu niisikiye binti Cinderella na furaha. Hadi na cheka nikiwa pekeyangu. Mungu akubariki kaka anko🙏🙏🙏
Jamn nilikua sijajua utamu was sinderela no nzur mbk nzur Tena ❤❤❤❤Asante ank Jay
Daah hii kali kwakweli nimeirudia ten siichoki wala siikinai
Wow bombastic story I like it mmwaaaaah💋💋💋💋💋
😢😢😢😢pole nyamizi mwaya mana hata huyoboss rohoo chafu yani unahukumu mtuu kabila kumuulixa jaman mpka wanawake wako wanamsema kumbe niyatima jamani.dunia hii yani kosa maisha mazuri lkn usikose mzazi 😢😢😢😢😢
Anko jay your voice wow is deeper nice
Pole sana kaka.
Kinachofata mapenz tu😂😂
Simulizi nzuri sn ❤❤❤
Simulizi tamu sana❤❤❤❤❤❤
Mwisho. Wa sku utampenda nyamize
Ankojay we noma Kwa Nini unapenda kuongelea ma binti
Simulizi tamu sana jamani 😂😂❤
Huwa najiskia faraja sana kuskia simulizi za lissa mwala
Simulizi noma sana ankol jay mungu akulinde sana kwa kazi nzuri❤❤❤❤ part 2 nasubiri sana kwa hamu
Jameni Leo tumekiona😂😂😂❤❤❤
ankojay asant san kwa simuliz nzr san, je part 2 yake lin
wow amazing 😍😍😍
😂😂😂yaani hakuna sehemu iliyonifurahisha tangia jimini akutane na bonge nyanya nimelia😢 nimecheka😂 nimefurahi yaani
Sija isikia mm nimecheka
Vanilaaaaa aaaahhh vanilaaa 😂😂😂😂😂😂 bro umefanya nicheke usiku
Vanilaaaa amemdatisha mtu
😅😅😅😅
Jaman likes zangu na mimi nimekua wa mwisho sikua na bando jamn nitieni moyo😢
Now imekubali❤
Hapa kunakitu nyamizi na boss 😂😂😂
Labda huruma za kibinadamu
Anko Leo umejua kunivunja mbavu jamaniii😂😂😂😂😂
Vanilla kakutoa kijasho
Sasa mbona inarudiwa wakati miee nipo airport ya muscat jamani 😂😂 tuonana tz inshaallah🙏🙏sijapendraaa ankojay 😂😂
Anko j napenda sana simulizi zako mungu akubaliki akupe afya njema
Simulizi nzur sana❤
😂😂😂 Yani anko
Asante anko zuri sana
Ninoma sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
You are very right, watu wanene huwa wana sauti nzuri sana
Bonge nuksi aaa nimecheka atar
Aweeee🔥🔥🔥🔥🕺🏾🕺🏾
Jaman mpaka choz limenitoka daa asee
Anko. J. Unasimulia. Vizuri. Manjonjo. Mengi. Utamu. Ukolea. Weee🇹🇿🇮🇹 Kaka. Hodari. Sana. Kwa. Kusimulia🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Anko jay❤
🤣🤣🤣🤣 daaaah nimecheka sana, et bonge nyamizi anko j Leo umenikosha sana ila Jimi nawe uwe ata na uruma🤣🤣🤣 ishi miaka mingi Ako j napenda sana unavyosimulia more love
Haya Anko Jey wetu tunasubiri bonge nyanya wetu part 2, maana hata jimmy nae bado hajazama kwenye mapenzi ya dhati tokea awe young Rich man😅😅😅😅❤❤
jamani wakwanza mimi leo nipeni like uncle jay jay love you more
Davina tabia kama za Vanila Nyamizi mungu akutangulie
Wadau. Tumpe. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yake. Ako. J. Hongera. Sana. Anko. Wangu🇹🇿🇮🇹
Anko Jay Mungu akubariki sana simulizi zuri sana asante ❤❤❤
🎉🎉😂❤ simulizi tamu jamani😢😮
Asante kwa simulizi nzuri anko na pole kwa kuumwa tayari ushapona
Unanifurahisha unapo anza na wimbo ❤❤❤
Shukran sana anko jay Allah barik😊 na hiko kawimbo sasa😂
Chelewa ila ufike jamani ndio nimefika sasa hivi nawapenda sana❤
😂😂😂😂 simulizi nzuri sanaah inafurahisha Kila nikikaa nasikia bonge nyanya mara na minyam yake Kam puto ahhahahahahaaha
Kwani Cinderella ni nyamizi au nani 😂😂
Mwenzangu hata mie namsubir huyo cinderella ni upi
Yaan navo subili kujua acha my Dr🤣🤣
Nime waza vile vile ila nyamizi dhaaaa
NYAMIZI. ANAKUWA. MKE🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇹🇿🇮🇹 WA. BOSSSSS
wamwisho😂😂 kabisa
Hujawa wamwisho dear
Anko jay usiku wa manane huu usingiz sna simulizii zinanifariji dah ila bonge kanikosha jmn
Nyamiziiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣bongeee
Nipeni like zangu