Ankojay wewe ni mmojawapo mmoja wapo wa la Mwaseba na Abdul na mashujaa wa like waliopoteza uhai. Subusription na thumbs up hazikutoshi mtu kama wewe. Hongera Sana,wewe ni Mwl. Halisi wa Dunia ya ya sasa.MUNU YU NAWE MAANA HATA YEYE ANA JESHI.
Jmn kipaji ni kipaj2 Anko Jay Congratulations 🎉🎉🎉 Yaani Unajua mpangilio wa kitu ili kuufikisha ujumbe mubashara kwetu!! LEO umekuja na Biti moja kaliiii ambalo nilipolisikia tu likanipa hisia na ham ya kuendelea kuskiliza yaliyomo
Anko j mwezio sijamaliza lissa binti wa kimasai mbona unaniangasha hivo maana sitaki nipitwe na simulizi zako ila Acha nisikilize hii nikimaliza nitamalizia ile
Wow amazing story,nmeipenda sana shukran sana kwa mtunzi na musimuliaje much love from 🇰🇪
Kumbe kuna wengine pia kutoka Kenya wanasikiliza hizi simulizi..nafurahi sana
Anko Jay simulizi tamu Allah akulinde kwakwel maana wewe ni kubwa la Masauti,sauti yako ina upako, sjui🙌hatasielew💋 💚❤💛
😃😃😃😃 makubwa sauti ina upako
4.
Penda sana wew anko j
Ankojay wewe ni mmojawapo mmoja wapo wa la Mwaseba na Abdul na mashujaa wa like waliopoteza uhai. Subusription na thumbs up hazikutoshi mtu kama wewe. Hongera Sana,wewe ni Mwl. Halisi wa Dunia ya ya sasa.MUNU YU NAWE MAANA HATA YEYE ANA JESHI.
My brother @AnkoJ- #VoiceKiller 🔥 I wish all My team #SimuliziMix Happy new year 2023 💦
Hongera sana Daniel kwa Ushujaa tungepata wengine watatu kama ww mbona wahalifu wangejuta kuzaliwa😎😀
Woow very intresting story🙏🙏
MashaAllah anko j Allah abariki sauti yko🇧🇮🇧🇮
Jmn kipaji ni kipaj2 Anko Jay Congratulations 🎉🎉🎉 Yaani Unajua mpangilio wa kitu ili kuufikisha ujumbe mubashara kwetu!! LEO umekuja na Biti moja kaliiii ambalo nilipolisikia tu likanipa hisia na ham ya kuendelea kuskiliza yaliyomo
Woow my classmate thanks Smix kwa kipya kingine I'm no.1
Leo ankoo inasimulia story ya upelelezi imekupendeza sana
Daah Daniel ni matayo mulumbi wa pili, ama Gosugosu wadau 😥😅
Mm nadhani matayo malumbi huyo🤣🤣🤣
E bwana weee leo sitak kuamin kama wa kwanza 😍😍😍😍ANKO JAY comment vizur baadae
@Huawei Y5- sawa tumeona umekuwa wa kwanza pokea attendance Award kwa niaba ya Anko J🙏🏾
@@jennytugara9470 p
@@jennytugara9470 oooooooooooo
Simulizi safi pongezi I like them be blessed
@Anko Jay you will kill me with laughter 🤣🤣🤣🤣roho yake imeruka to heaven
Anko jay mwenyewe asante kwa simulizi tamuuu 🥰🥰🥰like zenu kwa simulizi mix🥰🥰🥰
Daaah!!simulizi Kali na imetulia balaa❤❤
😭😭😭😭 what a sad story
Ni nzuri kuliko❤ MAX😂
Hahaha dah anko leo umechapia it was too funny 🤣 😆 😂 😄 😅
Umeonaee napenda saut yake htr 😂😂
Hongera sanaa kaka Daniel
Haha humu mnalala
Nikajua kwenye simulizi za mapenzi tuu ndo upo vzr kumbe adi uku jamn daah nzuri kuliko zote hii chukua maua yako anco j❤
Eeeeh Ankojay yeni mambo taradadiii Shukran sanaa 😉💃💃💃💃💃💃💃💃🙌🙌🙌🙌🙌 Mungu akubariki
Simulizi nzuri nimependa
🤲❤️
Yaaan nikickia tu sauti yak anko j huwa nafurah xaan kiukwel una simulia vizuri 🔥🔥✌️✌️
Hii simulizi tamu sana hata stamani iishe,I am fro from saudia
Ank jey nakupenda buure na maviutuko vyako,hongera so nice uncle mungu akulinde dhidi ya maadui like salehe😁😁
Woow!!!😘🇰🇪🙏🙏
Mungu aibariki kazi yako ww n wenzako allahuma Aminn
Danieli mwaseba ni mdogo wangu jomoni ❤❤❤❤❤
😂😂😂😂
@@RahelIbrahim-id2li kweli Daniel ndo kafata sema ss n. Mwasweba uyo ni mwaseba🤣🤣🤣🤣
mashallah anko jay,hongera sana. Happy New year 2023 Kwa woke dunia
Great bro Jay, malipo kweli n hapa duniani n kila kitu huwa kwa kusudi maalumu ,asante sana kwa s.mix
Hhhhhhhh Sasa ank upo upande gani
Wow that a very beautiful story mashallah
Huyu Daniel shujaa kweli kweli ila sio kama Daniel baba mtoto wangu hata kuruka kwamba hawezi 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Nlichelewa ila habari zimefika kwa mumeo mwaya😂😂😂😂
@@LispaKadzoKalu 🤣🤣🤣
Ipo vizuri hiyo
Story ya kuhuzunisha ila Kwa mungu hakuna lisilo wezekana ambudhuli mungu Yuko pamoja nawe
Amazing 👏 😯story.
Nc
Simuliz ya motooo xaaan anko j ww ni 🔥🔥❤️🙏🙏
Anko jay simulizi nzuri hiii uwiiiii natamani kurudia rudia akiiiii it's so amazing 🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Jmn hii simulizi ni ya kwel au??mana me nimeweka umakini sana😢😢na pia huyo Daniel Mwasega km hajao mwambieni mm nipo jmn😅
Anki jay simulizi zako ziko smart
Asante sana kwa simulizi nzuri kama kawahida.
Hii kitu kali sana jamani anko j uko vzr sana kusimulia hongereni sana
Napenda simulizi zako anko j
Wacha tu ni Simulizi ya kimataifa ya kusisimua shukran sana msimuliaji Anko Jay na team nzima ya Simulizi Mix akiwemo Mwandishi
Wow very nice simulizi pongezi mashujaa
Anko j mwezio sijamaliza lissa binti wa kimasai mbona unaniangasha hivo maana sitaki nipitwe na simulizi zako ila Acha nisikilize hii nikimaliza nitamalizia ile
Ile unasikiliza nusu nusu aise ni ndefu mmmmmmh
Dah Lisa bonge la simulizi siku nzima jana
Pole hahaha me tayar
Yeah me Tatar cku nzima
Nimeiyanza usiku nimeimaliza asubuhi😁🇬🇧
Anko jay let e chombo kimpya hiki tayar harakisha wifi zifanye kazi vzr
Uncle jay. I love your story.
😂😂😂😂Kweli akufae kwa upanga atakufa kwa upanga
Ank jay na nzangwe zange zwange 🙈😅😃😃😃😃
Jamn mnalala TH-cam
Duuuuh simrizi nzuri hila hinauzunisha sana mayasa msamalia mwema
🥰🥰🔥🔥
Asante sanaa anko j kwa simulizi mpya 👍🔥🔥
Nzuri asante Anko J
Anko J story zako hua zinapandisa sana. Unaniuwa na kucheka 🇰🇪
🙌🙌🙌🙌🙌
Thanks God bless you ❤️🙏🙏 tamu sana na sana
Anko J kwa kujisifia mashallah
Anko j yaan we unaakil kushinda uyo Daniel ❤️
Penda sana wewe🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Nimeipenda sana japo majozi ya mate wetu alitutoka lakini tam
Simulizi nzuri Sana anko Jay Asante na ulichapia mwee et uwanja wa ndoo🤣🤣🤣
Mayasa
Eeh bwana wee yaani simulizi zinanifurahisha kweli
Asant sana anko Jay ❤️❤️❤️❤️
🎉😂❤
Uuuwiii....anko j...sauti nayo....From kenya
Anko j mapesa hahahahah!!!
😀😀😀
amazing one love it anko j 💖💖
Uyu ni moo j sauti nimeijua baba maila
3....✌️✌️
amazing strory
Mine penda xana jamani ankojeyi
Asante sana anko jei mungu akubariki Sasa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏pamoja sana
Nice❤
Woow ni nice
Asant San anko Jay 💛💛❤️
Ndah dayeli ww ni matayo mlubi kabisa yani nimefulai walivo kufa washezi Hawa wanakuwa watu wasio na hatia asate sana simlizi mix ako j
🔥🔥🔥👌
Nzuri sana aiseeee
Anko Jay kujisifia jmn 🤣🤣🤣
Mayasa ndo chaguo bora
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Jmn hiz xmuliz ni kweli mn zinatia huzuni zinafurahixha n kutoa mfunz ktk maixh kwa xx raia wapya
Nayeye auliwe kwani simtu mzuri wakuishi kwa ni hataakiachiwa watarejea tena
❤❤❤❤❤❤❤
Anko jay wetu
Ujamaliza binti Sonia
2
Simulizi nzuri sana
Yaaani asante sn kwa simulizi ya kusisimua na kufurahisha pia hasa kwa utani wk mwingi sn love you all😘👌😊
Anko jay we kiboko🤣🤣🤣🤣
Ila hii simulizi ina tisha kidogo
❤❤
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰