wasiopendana wanalazimishwa kuingia ktk ndoa na familia zao, Mwanzo wa safari ya mapenzi inakua ni vurugu, vituko , patashika nguo kuchanika.... Ila mwishoni sasa utashangaa kilichotokea. Sikiliza hii
Jamani story tamu inaisha na utamu wake shadrack na rahima ni cup yenye mapenzi ya dhati na mafundisho mazuri na msimamo big up mtunzi msimuliaji ankojay uwa hakosei kaitendea khaki 1❤❤❤❤❤
Masha Allaah...Mashaa Allaah...TabarakaLlaah...Simulizi tamu na yenye mafunzo... Natoa Shukrani zangu za dhati kwa mtunzi na muwandishi na msimuliyaji...na bila kuwasahau Similizi Mix wote...kwa ujumla...
TRUE LOVE DOESN'T COME BY FINDING THE PERFECT PERSON, IT COMES BY LEARNING TO SEE AN IMPERFECT PERSON PERFECTLY. DON'T RUIN OTHER PEOPLE'S LIVES BECAUSE YOU CAN'T FIND YOUR OWN. 😊😊 LOVELY STORY ANKO JAY.
Shedrack we ni kiboko aesee kila mutego haukamatike wengine wa na kamatika harakaharka na kusema eti ni shetani sasa uyu shentani hau kukuwa na muona ww ❤❤❤
Jamani tunao rudia kwenye simulizi hiii tujuane wakwanza from 🇧🇮🇧🇮 kisha like zangu tafadhali
Vp na hl boss
Anko j naomba nikuulize Kuna simuliz ya mkaka na mdada
wachuo majina kalen na kriss inaiwaje jina lake
@@nahimanaismaily❤❤❤❤
Vp
😂😂hapo kwenye Sisi ndiyo wanaume tusio kuwa natamaaa😂😂simulizi nzur sana🔥🔥
Jamani story tamu inaisha na utamu wake shadrack na rahima ni cup yenye mapenzi ya dhati na mafundisho mazuri na msimamo big up mtunzi msimuliaji ankojay uwa hakosei kaitendea khaki 1❤❤❤❤❤
Hii story nzuri sana. Naisikiliza nikiwa kazini 😊😊
❤ story tamu sana
Penda ww ❤️
Asante sana kwa simulizi zuri
Daaaahhh aiseee Story nimeipenda hii 😀😀😀😀♥️♥️♥️♥️♥️
Rahma unajuwa kujipigania...if you can't have it..grab it
Uwiiii anko jay ongezea hii stor tamu Sana 🔥🔥
Mashaaalah hakika nimeisikiliza simulizi adhimu nimejifunza yakwamba maisha hayajawahi kuja na karatasi yanini chakufanya vingi vinavyoumiza huja ghafla sana
Kwa kweli Rahma ni mwanamke wa Shoka drama mwendo mdundo na bado kashinda kweli ukitaka cha uvunguni…..!!!
Shariti uiname
Wawooo simulizi nzuri pongezi kwa bi asia
Nazipenda sana simulizi kama. Izi yani 😍
🔥🔥🔥 tuko pamoja anko jj
❤️🇨🇨🇧🇮
Yan story ni tamu xana Ila ingekuwa muvi ingebamba zaidi
Story zur sn jamn🥰
Nimeipenda sana sana halafu wa jina langu
Wacha weeh
Waoooh nimeipenda tu sana hii simulizi hawo couple MashaAllah Wanaupendo sana
Uyu shufaaa jamn mnitajie story zake zingne anajua anakitu atafika mbali
😂😂😂anakit
Asante kwa simulizi nzuri Anko J Bwana wewe kiboko
😂😂😂nzur sanaa na inachekesha jamn yn km nimewaona wakikimbizana
Nakubali mwamba😊😊😊
Kwanza Hongera sn msimulizi wa hadisi hii maana ni nzur sn na niyakusisimuwa pia ni ya uvumilivu
Kwahiyo wote wanahitaji Hongera
Nyingi sn
Wow ni mzuri sana
Masha Allaah...Mashaa Allaah...TabarakaLlaah...Simulizi tamu na yenye mafunzo...
Natoa Shukrani zangu za dhati kwa mtunzi na muwandishi na msimuliyaji...na bila kuwasahau Similizi Mix wote...kwa ujumla...
Kina rahma tukoment wap jmn cc😅😅🙌🙈
Yaani kila.siku simulizii hii naisikiliza hainishi hamu dah rahma kiboko
TRUE LOVE DOESN'T COME BY FINDING THE PERFECT PERSON, IT COMES BY LEARNING TO SEE AN IMPERFECT PERSON PERFECTLY. DON'T RUIN OTHER PEOPLE'S LIVES BECAUSE YOU CAN'T FIND YOUR OWN. 😊😊 LOVELY STORY ANKO JAY.
!
Hakika Anko hujawai kosea hata siku moja
Tamsana👏❤️💓🥰 nimeinua mikono🙏
Mashaallah story nzur na ngoja nikamsake mwanaume mwenye msimamo km shadrack🤣🤣
Asante kwa simulizi tamuu anko jj 🙏🙏
Ahsante kwa hadithi nzuri 🙏
Shedrack we ni kiboko aesee kila mutego haukamatike wengine wa na kamatika harakaharka na kusema eti ni shetani sasa uyu shentani hau kukuwa na muona ww ❤❤❤
Hahah
Mapenzi bwana shida ningekuamimisizani kamaningeweza aaaaaaaaa♥️😊❤️
Dah mapenzi
Wawoooo ni nzuri sana
Wow🥰 nzuriii
Wallah nim penda mno najisikia lah q
Asantenii sana kwel kwel waoo 😍😍😍🥰🥰🥰💋💖😍💖❤💋🥰🥰🥰
Ha haaa eti anamsimamo kama uncle j jomon 😋
Anko j ivi wanaume kama shedrack wapo bado?🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eti kama mimi subutu😀😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣Walibembwa na meli ya wajerumani
@@aishamussa3245 😂😂😂😂😂
@@aishamussa3245 😁😁😁😁😁😁😁😁Eti wanaume wasiyo na Tamaaa 😂😂😂😂😂😂😂
@@aminajuma wa
Wanaume kama hawa hawajazaliwa Bado 😜😜😜😜
Nakuku bali sana anko jj
Napenda simulizi sana ingawa nimebanwa na masomo ila bado nasikiliza
Woooo MashaAlla 👌👍👍👍
Awsome
Ungera sana shufaah de nimtaramu kama salima R
Nimeguna hadi nikacheka kwa sauti 😂😂😂😂😂
Simulizi tamu sana naipenda na tamani isihishe
Nimeipenda simulizi nzuri sana
Hii simulizi kama move ya kihindi viLe,🤣🤣 mashallah simulizi nzuri sana
Anko j napenda sana simulizi zako unajua saana
Natamani hisihishe simulinzi zuri sana nimependeza kwani mimi ni koyo unamijibu mabovu bwana 😂😂😂😂😂😂😂🥰🥰🥰🥰🥰
Mansha-Allah 😘 tamu saana hadi natamani ningekuwa mim ndo Rahma 😀🤣
Wanawake bwana wana roho mbaya sana Cath nikinganganishi sana
Uko vzr kaka
Story nzuri sana❤❤❤❤❤❤
Nice work shaufer
Nzuriiiiiiiii sana duh
🙌🙌🙌🙌🙌
Jmn asante ankojay
Asante
Mashallah Jamani hadith tamu sana
Good
Waoooooo❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Asante sana ninzuli
Asante sana
Mapenzi mobashara❤❤❤
Story tamu alafu kuchekesha mno maana najichekea mno km nawaona rahma na vituko vyake kwa mumewe
Wau nzuri kwa kweli...yenye mafunzo mazuuuuri aisee
Barikiweni sana🙏🙏
Anko jj nakukubalia2 kinomaa
Jamani asante kwasmliz nzur
Hayo ndo mapenzi jamani ❤you rahma
Sauti bro ❤
love smix.hongera
Hongera sana anko j. J.
Very story ❤❤
Yes shadraka kanifurahisha kumbonda mam mjinga uyo.
nacheka kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤pogezi Ako j
Nzuri
Jaman yani history 🔥🔥🔥🔥
Jamani mungu nijaalie mume kama shedrack
Kama ndoa zote zingekua hivi bas watu wengi sana wangeoa na kuolewa mapemaaaa😅
Kabisa
Tezicdhcshfgjaehnswcj
Kabas
Story ni nzuri
Story zur sn 😍 jmn
🙏🙏🙏
Ni nzuli sana
Love
Ankojay sauti nayo inaua bana
❤️❤️❤️
Uwiiiiii wanaume Kama Hawa wapo wapi jamani
Asate sana simlizi fupi by ako j
❤❤❤❤❤
Soo sweety
ninoma sana
Waw 🥰🥰🥰🥰
Wow
Kweli Anko j huna tamaa
Simulizi ipo bomb
Jamn hii stry nimeipnd kwl ank j. Hun mbv
🤣🤣🤣🤣😍😍😍
Catherine kwisha wewe na roho baya yako
😂😂😂😂 full vituk hii story
🤣🤣 vi2ko vyake hatar me nimecheka san
@@maryamibrahim2745 m mbav ndo sina kabisa
Sana