YUSUPH AMLALAMIKIA SPONSOR
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2021
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 11 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz - บันเทิง
Wazeee wenzang wa huh jamaa embu tumpe like kwake
you prolly dont give a shit but if you guys are stoned like me atm you can watch pretty much all the new movies and series on InstaFlixxer. I've been binge watching with my girlfriend recently :)
Huyu ndio mshindi wa BSS msimu huu wa 11
Kama kweli unaamini gonga like hapa
Yusuph mi nakuhakikishia ushindi mwaka huu ni wako Mungu akutangulie big up dogoo.
Wakupe Tu iyo ela maana wewe ndo mshind🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Uko vizuri kijana
Moto unawakaaa The best of the best Yusuph Nizar 🔥🔥🔥
Tulioludi huku kwa raha zetu baada ya jambo letu kuisha safi nipeni like
Yn me ndo at a schokiii
Huyu jamaa ni hatari sana kwa live, anaweza sana
Usiposhindaaa wallah naandamanaaa
uwiiiiiiiiii mshindi huyapa
Kubwa na nusu kama unaamin hajawah tokea kama yuzzo gonga like hapa
Niachie my wangu The best Winner @yuzzo_mwamba
Apooooo umeuwaaaaaaaaa kabsaaaaa .....😂 unajua babaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Harafu Kazuri kana jua sna❤️❤️❤️
Bss ya mwaka hii ina vipaji vya Moto kuliko ile ya kina Hamisi!
Yusuph ni 🔥🔥mungu akujalie ushindi ni wako
,,hivi BSS mbona mwapotezea wengine mdaa tangazeni huyu ndie mshindii jameni hahaha
Perfomance ya yuduph lazim uirudie mara mbili
Umeona eeh
Nyie bss hivi kwaini mnapotezea hao wengine mda si mseme tu huyu ndio mshindi watu waludi wakalime 🙄
Huyu ndio mshindi watake wasitake kama unaungana namimi Like twende sawa
Daahaaaa Jamaa kwal anajuwa sana
Wanaompa yusuf ushindi like zenu
show kaliii ya kibabeee yusuph Nizar
Yuzzo yuzzooo😍😍🔥🔥
Kama still unaview hii video gonga like twende pamoja
Even diamond platnamuz he is a super star but he can't do this kind of performance,this energy is something else 💯💯
Labda zile diamond karanga, ndo unazozizungumzia😅
🤣Jiheshimu kijana tusifikie huku
Wakizinguwa ma juges tutawachana kabisa
Dada ulie niita mbwa nakubwekea ili unielewe 🤣🤣mwamba in the Bss broo u gud
😆😆😆🙌
Yuzo kama yuzoo🥂
Talented
I like u Guy utadhani n msanii mkubwa anafanya live performance I wish mwaka huu ushind n wako labda wakuhujum
Hatariiii
Wanangu 047 ISHAKUWA GANG 🇹🇿🇹🇿
047
Nimejikuta narudiarudia Mara 5 upo vizuri yusuph
Hngeraaaa yusuph Nazar you are good
Yuzzooo mwambaaaaaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Uyo ndio muchindi kwakweli ni muchindi
Nakubali
Mshindi ndo huyo mpeni hela zake
Jamaa anajua mpaka anakera aise
Uyu ndo mshind
Dimpozi ulisema kweli huyo jamaa kapata kula nyingi za Raia aiseeee hongera Nizari
Ningekuwa nashindana na uyu jamaa ningeacha tuuu kwa kweli maana Ni anajua ad sio poa
Huyu ndo mshindi bwana ukweli ahupingiki
Washa moto blood💥💥💥
Kali sanaaaaa
Daaah huyu Bwana mdg anajua yaan ana uwezo talent anayo c ya kibangaiza
Pole kaka mwenye ukuni halafu unademu gogo
Huyu jamaa ni noma na nusu
Daah ! hakika unajua
Yusuph amemaliza maliza kwa kweli Merter amebadilika kwa kweli
uyu mshindi wetu
Mshindi wangu mm
Nakuelewa brother then unajua sanaaaa man
wonderful performance
Nampenda Sana Yusuph love so much 😘 😘
Unaweza kipaji unacho
Kipaj unacho
Huyu kaka moto watu kumbe wametulia tu na vipaji vyao
Anajua Sanaaa
Cha ambaruti sili ata km kapika shishi 😅😅😅
Hahahaaaaaaaa
😂😂😂
😂😂😂😂 nmecheka sana
Wow boy
🤣🤣🤣Yusuph banah eti demu wako ana kalio ao ndo ume fanana nae 😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂
Fundi mungu kwa makubwa na madago pole wwa kka muuni una demu gogo
Duh raha sana sponsor niache my wangu
Vibe kama lote
And the winner issssssssssss YUSUUUUUUUUUUUUPH 👌👌👌👌👌👌
Nani ameona huyu chali anafanana na z anto
Mmmh...
Tunasubir tukiona ukikabidhiwa mpunga wako keshoo unajuaaa brooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣
Fire to fire ♨♨♨♨♨
yeni mpaka rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Yusuph is a new big 🌟 star
Ka baby kangu 🥰
Nampenda pia
Shobo hizo
Uko vizuri
Nakukubali
Yeah you are star
Love u utafika mbali!
Kweli ulistahili kuwa mshindi mpk najikuta natoa chozi la furaha...🙏
I wish ushinde yusuph
Masta jei unapitapita😢😢😢😢😃😃😃
Idriss Sultan mpuuzi sana.... Ety anamuuliza Ommy dimpoz au you love him😂😂😂😂😂😂
Aaaahhh dogo nishid
Daaaah wewe kaka mkali sana
Kipaji anacho kikubwa Sana
Nakupenda
Keep it up Yussuph 💪
We mkali San bro
Alkwa anafaa kuwa bingwa
huyu ndo mshindi
Mshind wng
Big up ma men👊 unaweza so pambana
ufike mbali sana hata kama wasipo kubali
Mshindi wng jmny@yuzzo mwamba
Mshindi wangu
MSHINDI ndo uyu hapa
Utaniuaa kucheka ki China hahahhah
Full kipajii
🙂🥰🥰😍🥰🥰🥰🥰
Nomaxan
I Love this boy
Jamaa anaweza sana #FUNDIIII
Mwanetu✌🏿
Alistahili kushinda big up kwaKe
Butamu sanaa