MTOTO WA MCHUNGAJI ACHANGANYA MASHABIKI KWA MISTARI YAKE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2021
  • Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 11 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
    :Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
    Bongo Star Search
    Follow Our Pages
    Facebook: / bongostarsearch
    Twitter: / bongostarsearch
    Instagram: / bongostarsearch
    SnapChat: BongoStarSearch
    TikTok: bongostarsearch
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 495

  • @farajaamily2832
    @farajaamily2832 3 ปีที่แล้ว +21

    Yusuf fundi mpaka unaboa khaaaa kula yangu chukua Dr keep going bro

  • @suleysuley6889
    @suleysuley6889 ปีที่แล้ว +27

    Wanao rejea iy vidéo weka like Jama alitisha🔥

    • @doreenfrank3508
      @doreenfrank3508 7 หลายเดือนก่อน

      Aliimba vzur kuliko mwenye wimbo wake

  • @Melodylan5
    @Melodylan5 3 ปีที่แล้ว +33

    Jamaaa anakikosha sana kwa wanao mkubal km mm tujuane kwa like

  • @aminaabdul7966
    @aminaabdul7966 3 ปีที่แล้ว +15

    Mshindi wangu anaeondoka na milioni 20 Yusuph kazi nzuli

  • @filbertmilanzi4730
    @filbertmilanzi4730 3 ปีที่แล้ว +30

    🔥🔥yuzooo nyumban kwet wote tunkkbli... Unjua 🔥

  • @watsonchaula1302
    @watsonchaula1302 3 ปีที่แล้ว +28

    Huyu mwambaaa ni mshind tokaa shule kulee kls alikuaa ananiombaa ushaur ilaa leoo sanaaa umetusuaaa umeuaa mwambaaaa 🛡🛡

  • @siboliyuu4837
    @siboliyuu4837 3 ปีที่แล้ว +14

    Yusuph nizzar MAARUFU kama SANAMU LA POSTA 💯💯

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 3 ปีที่แล้ว +64

    Piga kelele kwa Yusuph wangu wew😂😂😂🥰🥰🥰🥰

  • @esthermosses5475
    @esthermosses5475 3 ปีที่แล้ว +45

    Huyu kaka yeye kila show ni fire 🥰

  • @sarahokwach8041
    @sarahokwach8041 3 ปีที่แล้ว +9

    Yusuph u have been my favorite all the way from Kenya here I'm yo biggest fan😍

  • @massudbiz9828
    @massudbiz9828 3 ปีที่แล้ว +35

    The winner 👊👊mshindi wangu #Youssufa

  • @princeibra2042
    @princeibra2042 3 ปีที่แล้ว +112

    Mshindi wa msimu wa 11 wa Bongo star search ni Yusuph NIZAR 🔥🔥🔥🔥

    • @officialkdee35
      @officialkdee35 3 ปีที่แล้ว +1

      Sikupingi prince

    • @princeibra2042
      @princeibra2042 3 ปีที่แล้ว +1

      @@officialkdee35 Tukutane Tarehe 29👊🏻👊🏻👊🏻

    • @khamoshmikidadi9262
      @khamoshmikidadi9262 3 ปีที่แล้ว +3

      Uyu ndo mshindi haswaa

    • @princeibra2042
      @princeibra2042 3 ปีที่แล้ว +1

      @@khamoshmikidadi9262 sikupingi 👊🏻👊🏻

    • @shaldoky9382
      @shaldoky9382 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/eqFkMXZKCco/w-d-xo.html

  • @naimahhussein8430
    @naimahhussein8430 3 ปีที่แล้ว +19

    Daaaaah ila yusuph nomah jmn....daaaaah 💃💃💃👐

  • @sisychocolate1170
    @sisychocolate1170 3 ปีที่แล้ว +4

    Jamani uyu ndo mshindi wetu 2021 ao VIP 👌👌👌👌👌👌👌🤗🤗🤗

  • @veronicammbasha4608
    @veronicammbasha4608 3 ปีที่แล้ว +3

    Yaani umetishaaaaa🙊🙊🙊🙊nitakusindikiza mpaka kwenye siku zako

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 3 ปีที่แล้ว +39

    Huyu angepita ili atengeneze historia ya kichungaji

  • @mwatsmrembo5585
    @mwatsmrembo5585 3 ปีที่แล้ว +35

    I love this guy Uganda 🇺🇬

  • @user-ti6rx4kh5w
    @user-ti6rx4kh5w 5 หลายเดือนก่อน

    The way mimi hurudi hapa kuwatch hii performance is wanting.lots of love yusuph from Kenya ❤❤❤

  • @eminentmnzavas4463
    @eminentmnzavas4463 3 ปีที่แล้ว +6

    This guy ni creativity na si musician

  • @godifalsafa6956
    @godifalsafa6956 3 ปีที่แล้ว +13

    "Huyu jamaa watu wanatakiwa walipe hela waangalie shoo isiwe tena kama mashindano "

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 3 ปีที่แล้ว +6

    Yusuph mshindi 👍

  • @isihakanassor8397
    @isihakanassor8397 3 ปีที่แล้ว +15

    Nakupenda we jamaa mistar yako by doricaa

  • @sakinamarjebi2206
    @sakinamarjebi2206 3 ปีที่แล้ว +3

    Uyo ndio mshindi wetu bss 2020

  • @esterkimath1214
    @esterkimath1214 3 ปีที่แล้ว +11

    Yusuph your really artist kura itakuwa na manufaa ❤️ Sweden 🇸🇪

  • @felichinakihaga509
    @felichinakihaga509 3 ปีที่แล้ว +1

    Zao la Njombe Safi saana Yusuph

  • @yusrahussein1406
    @yusrahussein1406 3 ปีที่แล้ว +13

    Nilipenda Sana hii show

  • @tripplejaytz3934
    @tripplejaytz3934 3 ปีที่แล้ว +48

    Uyuu jamaa nimefatilia sana na ndo mshindi wa msimu wa 11

  • @cobrachristian3685
    @cobrachristian3685 3 ปีที่แล้ว +6

    Jama yupo vizuri sanaaaaaaa

  • @jennifermmandama5903
    @jennifermmandama5903 3 ปีที่แล้ว +16

    I swear this guy ❤️❤️❤️😍🙌🏾

  • @salmashahbal9306
    @salmashahbal9306 3 ปีที่แล้ว +5

    We love u yusuph...ua our winer

  • @RandyMwanaKin
    @RandyMwanaKin 3 ปีที่แล้ว +3

    Wa Congo tunapenda Bss... watching from USA 🇺🇸
    #randykinamber

  • @alliyahamilly8101
    @alliyahamilly8101 3 ปีที่แล้ว +5

    Uyu Kaka Ana vibe

  • @florasimon6402
    @florasimon6402 3 ปีที่แล้ว +20

    My winner jaman majaj asiposhindaaa huyu mtto ntawarogaaa woteee

  • @elyudsaleh6044
    @elyudsaleh6044 3 ปีที่แล้ว +18

    PURE TALENT100%

  • @Yuzzowgrapher
    @Yuzzowgrapher 3 ปีที่แล้ว +15

    Yuzzo mwamba ndyo winner msimu huu,,,

  • @paulinazacharia8474
    @paulinazacharia8474 3 ปีที่แล้ว +2

    Hv unapataje nafasi ya kufika kuwa audience jamn😚😚😚😚😚 i I wish this khaa

  • @husnahassani8189
    @husnahassani8189 3 ปีที่แล้ว +13

    Yusuphu 🔥🔥

  • @dainessrafael4391
    @dainessrafael4391 3 ปีที่แล้ว +5

    mshindi wetu

  • @fatmakhoja417
    @fatmakhoja417 3 ปีที่แล้ว +39

    Yusuph ni 🔥🔥🔥 eeebwana eeeeee round hii huyo ndo mshindi wetu🏆🏆🏆

  • @straightkonect1613
    @straightkonect1613 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa ni Bando mc ukimchanganya na Rapcha jamaa yupo level kali

  • @unclevirustv9772
    @unclevirustv9772 3 ปีที่แล้ว +4

    Winner

  • @nelsonmataba1426
    @nelsonmataba1426 3 ปีที่แล้ว +18

    He deserved a win 🤠👍🏾

  • @wisperfect5320
    @wisperfect5320 3 ปีที่แล้ว +2

    Apite tu anaweza

  • @mauthamani
    @mauthamani 3 ปีที่แล้ว +16

    Kama mshindi vile kwa ubunifu wake aisee

  • @veredianamagesa2953
    @veredianamagesa2953 3 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥 yusuph ni moto wa kuotea mbali na huyu ndie mshd wa 2020

  • @imaculatadominic7005
    @imaculatadominic7005 3 ปีที่แล้ว +6

    UMEDESERVE KUWA WINNER YUSUPH BIG 5 KWAKO

  • @TheMandela21
    @TheMandela21 3 ปีที่แล้ว +36

    Never seen a KID so talented
    This boy is Tanzania one

  • @abdulyabdunuru1476
    @abdulyabdunuru1476 3 ปีที่แล้ว +18

    Daaah huyu jamaa 🤔 weka mbali nawatoto asee new gwear

  • @abbahyoung1194
    @abbahyoung1194 3 ปีที่แล้ว +6

    Mambo yamefik trending😂😂😂😂

  • @hellenmwambembe9342
    @hellenmwambembe9342 3 ปีที่แล้ว +2

    Mkalii

  • @musascholar3369
    @musascholar3369 3 ปีที่แล้ว +7

    Safi sana una mistar mikali sana Yuzzo Mwamba kula zangu zote kwako

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 3 ปีที่แล้ว +7

    So far so good

  • @hildamakona2168
    @hildamakona2168 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa anajuaaaaa

  • @veronicammbasha4608
    @veronicammbasha4608 3 ปีที่แล้ว +4

    Waoooh congrats sijui nikagongee nyagiiiih😅😅😅😅😅

  • @alidajamal1008
    @alidajamal1008 3 ปีที่แล้ว +21

    Yusuph 😍😍😍

    • @bajosdamour2347
      @bajosdamour2347 3 ปีที่แล้ว +1

      Yusufu mim huu apa😀

    • @alidajamal1008
      @alidajamal1008 3 ปีที่แล้ว

      @@bajosdamour2347 😀😀😀😀😀

  • @seiphselemani1506
    @seiphselemani1506 3 ปีที่แล้ว +4

    Hatareee kabisa brother

  • @johnfrance6077
    @johnfrance6077 3 ปีที่แล้ว +6

    Nizar ndo mshindi wetu Wa 11

  • @Nezia_Simulizi
    @Nezia_Simulizi 3 ปีที่แล้ว +11

    Huyu jamaa ni noma sana🙌🙌

  • @christinamatem2336
    @christinamatem2336 3 ปีที่แล้ว +1

    Ushindi ulioupata ni halali yako hongera sana Yusuph Nizar

  • @neyousingo7616
    @neyousingo7616 3 ปีที่แล้ว +2

    Waaaàoh umerudi kaka ww unaweza sana

  • @cutescooedward9555
    @cutescooedward9555 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani hadi raha hongeraa kijani wetu

  • @pendoyohana6220
    @pendoyohana6220 3 ปีที่แล้ว +1

    Yusuph hongera sana

  • @richardciza9668
    @richardciza9668 3 ปีที่แล้ว +42

    Bro unatisha sana ,usiposhinda wewe basi hamna fair hapo ,wakupe tu

  • @naomiarthur5177
    @naomiarthur5177 3 ปีที่แล้ว +9

    Your the winner 💪 yuzooo

  • @mudikitali6215
    @mudikitali6215 3 ปีที่แล้ว +3

    Aminia sana kijana

  • @bobjastvlive6966
    @bobjastvlive6966 3 ปีที่แล้ว +1

    Unawezaa bb

  • @cathrynnarly8583
    @cathrynnarly8583 3 ปีที่แล้ว +4

    The winner

  • @saraphynarajabu8413
    @saraphynarajabu8413 3 ปีที่แล้ว +4

    winner💪

  • @safinamdingi2338
    @safinamdingi2338 3 ปีที่แล้ว +3

    Nice

  • @aal1855
    @aal1855 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu ndiyo Best 2020😌🤗💯

  • @japhethnoah5924
    @japhethnoah5924 3 ปีที่แล้ว +3

    Dede baba

  • @ummulkheirzubeir6320
    @ummulkheirzubeir6320 3 ปีที่แล้ว +2

    Yusuf ushindi mwema bhana

  • @hamisisulley7719
    @hamisisulley7719 3 ปีที่แล้ว +4

    Big respect u boy tisha

  • @thefunzone254
    @thefunzone254 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazii safi kipajiii on top

  • @monseluka4689
    @monseluka4689 3 ปีที่แล้ว +26

    Mshind wa 2020 msmu wa 11 from MNMA yuzzo mwamba

  • @furahakusaga7857
    @furahakusaga7857 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamanii Kura nyingi kwake me na muelewa Sana na atafika mbali yuko fresh sana

  • @ropezlove5615
    @ropezlove5615 3 ปีที่แล้ว +2

    Unatixhaaa👊😍😍😍

  • @kelvinjonathan4772
    @kelvinjonathan4772 3 ปีที่แล้ว +8

    shenzi Unazichuka hizo 20M

  • @bilha_nyawera
    @bilha_nyawera 3 ปีที่แล้ว +2

    Yusuuuuuuf😗😗😗😗

  • @anzamenmsalanga1873
    @anzamenmsalanga1873 3 ปีที่แล้ว +2

    Yusuph wew jaman unamaliza unajuaaaaaaa

  • @deeh7322
    @deeh7322 3 ปีที่แล้ว +2

    Namsindikiza mpk kwenye siku zako 😂😂
    Kijana moto weee

  • @rasulyyoba8474
    @rasulyyoba8474 2 ปีที่แล้ว +1

    Master J You Do What I Think You Best One

  • @hawahussein9058
    @hawahussein9058 3 ปีที่แล้ว +1

    Aise uyo kijana yuko vizur 🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @abkarmoka1765
    @abkarmoka1765 3 ปีที่แล้ว +3

    Unajua

  • @2dredkagina69
    @2dredkagina69 3 ปีที่แล้ว +5

    Kweli Mtoto wamchungajii hatariii

  • @lightmashauri1725
    @lightmashauri1725 3 ปีที่แล้ว +6

    Haaaaa uwiiii unamshirikisha Mungu etii

  • @agnessmsimbe6705
    @agnessmsimbe6705 3 ปีที่แล้ว +1

    Mshindi wetuuuuuu huyuuu keshoo hyooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @evagervasnyembeke9075
    @evagervasnyembeke9075 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaani sijawahi penda hipop lakin hapa nimejikuta nazamaaaaa piga kelele kwa yuzo akeeewwwww

  • @Vanessa13785
    @Vanessa13785 3 ปีที่แล้ว +17

    Yusuph Nizar is the best of all👏👏Your fan from Rwanda

  • @saddyclassicfashion9577
    @saddyclassicfashion9577 3 ปีที่แล้ว +1

    Anakipaji Cha kuimba anakipaji Cha kuandika anakipaji Cha paphormans🔥🔥🔥🔥🔥

  • @antoniadudus7917
    @antoniadudus7917 ปีที่แล้ว

    Dogo upo sawa hongera sana much love kipaji unacho

  • @jozzeykyando1587
    @jozzeykyando1587 3 ปีที่แล้ว +2

    Hauna mpinzani Yusuph ushindi ni wakwako👊

  • @victorialilian4788
    @victorialilian4788 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana,uko vizuri.

  • @vumiliahamisi7046
    @vumiliahamisi7046 3 ปีที่แล้ว +4

    Maashaallah

  • @sarahmartin4794
    @sarahmartin4794 3 ปีที่แล้ว +1

    😁😅😀😅😁nimecheka et nitakusindikiza kwenye siku zako

  • @shadrackdeogratius6760
    @shadrackdeogratius6760 3 ปีที่แล้ว +1

    Idrisssss,unamshilikisha Mungu na haya mambo,hahaaa

  • @djblacktz1512
    @djblacktz1512 3 ปีที่แล้ว +3

    Atariii

  • @rubengaally8476
    @rubengaally8476 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa ni mkali kinoma

  • @ziadakimbawala5430
    @ziadakimbawala5430 3 ปีที่แล้ว +1

    Yusuph anaweza balaaa....!

  • @georgebundi6802
    @georgebundi6802 10 หลายเดือนก่อน

    The very best from kenya